Breaking News: Kimenuka Bungeni, Mnyika Atolewa Nje na Askari, Upinzani Wasusia Bunge

  Рет қаралды 105,398

Global TV  Online

Global TV Online

7 жыл бұрын

Breaking News: Kimenuka Bungeni, Mnyika Atolewa Nje na Askari, Upinzani Wasusia Bunge
SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
DODOMA: Mbunge wa Jimbo la Kibamba, John Mnyika leo alisababisha kuzaazaa Bungeni Dodoma baada ya kugoma kutoka nje ya Bunge alipoamuriwa na Spika Job Ndugai kutokana na kile kilichodaiwa kukataa kuketi kama alivyoamuriwa na kiongozi huyo wakati mijadala ikiendelea.
SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
Chokochoko hizo ziliibuka baada ya Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde kudai kwamba wapinzani bungeni humo wanatetea wezi wa mchanga wa dhahabu.
SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
Mnyika ilibidi asimame na kutoa mwongozo kwa kusema wao wapinzani sio wezi isipokuwa walichokuwa wakikisema ni kulalamikia mikataba mibovu ya madini ambayo imeingiwa na serikali na kusababisha kufikia hapa tulipo.
SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
Wakati Mnyika akiendelea kumpa taarifa Lusinde, mbunge ambaye hajajulikana jina alisikika akisema kwa sauti ‘mwizi’, hali iliyomfanya Mnyika kumuomba spika amjuwe aliyemuita mwizi, hata hivyo, Spika Ndugai akawa anamsisitizia akae chini.
SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
Alimuomba kukaa chini mara tatu lakini Mnyika hakutii ndipo Ndugai alipomuamuru atoke nje lakini pia hakutoka, hivyo akawaita askari wa bunge aliowaamuru waingie ndani na kumtoa nje kwa nguvu mbunge huyo kijana.
Kuona hivyo Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na yule wa Bunda, Ester Bulaya, waliingilia kati kuwazuia askari wa bunge kumtoa nje Mnyika, hali iliyoleta tafrani, hata hivyo, alitolewa na kwenye lango la kuingilia bungeni, alisukumwa na ‘kutupwa’ nje ya mjengo.
Spika alitangaza kumsimamisha kuingie bungeni Mnyika kwa wiki moja na Bulaya na Mdee alisema wataandikiwa barua ili wakahojiwe na Kamati ya Haki na Maadili ya Bunge.
SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers

Пікірлер: 128
@omaryiddy6180
@omaryiddy6180 7 жыл бұрын
ester umeongea kwa uchungu mpaka imenigusa nyie wengine mnacoment pasipo kufuatilia tukio toka mwanzo
@estherwasira4434
@estherwasira4434 7 жыл бұрын
Review. Ester Bulaya sio mbunge wa CCM. Mmekosea kuandika...
@EcoEssence_wellness
@EcoEssence_wellness 7 жыл бұрын
Duh!
@hosearwechungura7164
@hosearwechungura7164 7 жыл бұрын
Big up upinzan we lv U
@erickford8024
@erickford8024 7 жыл бұрын
tz bahati mbaya
@kizimkazi3443
@kizimkazi3443 7 жыл бұрын
sijaona chama cha kuwatoa CCM tanzania....never and won't happen
@kebo2155
@kebo2155 7 жыл бұрын
sasa bado mnatetea wezi???
@sazafsuma7542
@sazafsuma7542 7 жыл бұрын
nchihii inaongozwa kifisiem kwetu kule Zanzibar tunasema rahaa telee tabu yanini
@graceleonard6150
@graceleonard6150 7 жыл бұрын
ajasema baadhi ya wabunge amesema tupimwe wote
@ndavidmhanuzi2130
@ndavidmhanuzi2130 7 жыл бұрын
Hili Bunge haliwezi kuwa na adabu bila idadi ya wabunge wa pinzani hawataongezeka.Ccm na serikali yake niwababe,wazandiki,wanafiki,na wanaroho za kisheti.Msukuma na kibajaji ni madomo kaya tu nawala siogopi hizo sheria za mitandaoni hata maana tulitungiwa sisi wapinzani ccm na serikali yao yote ni wasengerema.
@mbuyahonest1040
@mbuyahonest1040 7 жыл бұрын
Ndavid Mhanuzi fact...ili nchi yetu iwezekuendelea lazima tuwe na upinzani imara wenye uwezo kuhoji na kufanya maamuzi .xo hilo litawezekana pale idadi ya wabunge wa upinzani itakapongezeka . cha msingi wasikate tamaa wapambane
@dovicochristopher5388
@dovicochristopher5388 7 жыл бұрын
Ndavid Mhanuzi Serious bro
@piusjaphet2760
@piusjaphet2760 7 жыл бұрын
mkiona Hamna point bungeni msiende bakieni na wananchi majimboni
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 7 жыл бұрын
Mnawafukuza Bungeni kwa hila,halafu mnataka wawe Wazalendo!mbona haiwezekani.Hivi yule askari aliyemsukumiza Mh.Mnyika pale langoni,hivi yule ni askari wa Bunge au jambazi?Hivi askari ana weledi na kazi take?Mbunge anamdhalilisha vile,vp raia wa kawaida si atamuua?.
@sadamosses9763
@sadamosses9763 7 жыл бұрын
hatari sio kwa kutupwa huko uwiii
@hassanmohdallyally9552
@hassanmohdallyally9552 7 жыл бұрын
kazi imeanzaa nihatari sanaaa
@seleiddi4568
@seleiddi4568 7 жыл бұрын
alisema tupwimwe. (wote) sio wapinzani tu.Hampendi maendeleo sijui nani aliwachagua .Machine ya kupimia iletwe.. Kama mpirani .
@estherastron4023
@estherastron4023 7 жыл бұрын
the real situation is that kuna ubaguzi bungeni. chama tawala kinabebwa sana na hii kitu itakuja icost nchi baadae viongozi wajuu wasipokuwa makini
@hechechacha4032
@hechechacha4032 7 жыл бұрын
ujinga unaofanywa WA kwamba demokrasia ni kushangilia matakwa ya serikali ni ujinga uliotukuka
@calvinmbwana1143
@calvinmbwana1143 7 жыл бұрын
wabunge wetu wa upinzani kwenye hoja za maana ndipo kwenye vurugu. acheni uhuni watanzania tunawaona na endeleeni kukutea tu wezi wa rasilimali
@rashidsleman5545
@rashidsleman5545 7 жыл бұрын
piganeni nao tu hakuna mtu asiejua kama huyo spika wa CCM lakini hakuna jinsi
@altakadirmsang7153
@altakadirmsang7153 7 жыл бұрын
spika ni upendeleo wa hali ya juu,halima mdee aliwasha maik akakutukana spika,leo mbunge mmoja kawasha maik kumtukana mnyika umembeba huo ni upendeleo wa hali ya juu spika jilekebishe
@rehemakarafuu-xi1py
@rehemakarafuu-xi1py 5 ай бұрын
ili bunge moja ya bunge lenye maana kuwai kutokea
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 7 жыл бұрын
Nilijua watatete wezi Wa madini,huo ndo upinzani Wa Tanzania.
@sashamichaelmichael9331
@sashamichaelmichael9331 7 жыл бұрын
mmmh jamani alivyosukumwa sasa mnyika wa watu
@nsajigwasilisye4416
@nsajigwasilisye4416 7 жыл бұрын
Bunge linakosa mwelekeo wa kiuweledi. upendeleo umezidi
@tonyaron5458
@tonyaron5458 7 жыл бұрын
Mmmmh hii nchi ina watu wapumbav cjapata kuona wanaona kutoka kwa wapinzani ni ujinga ko mlitaka wabaki unafikir kingeendelea nin baada ya pale kama si kupigana? kwanza Mimi naupongeza xna upinzani wa Tanzania unazidi kuonyesha ukomavu wa khari ya juu la hasivyo mgeshuhudia ugomvi kama unaotokea kwenye mabunge mengine kama majirani zetu Kenya, wanatwangana Mara kibao jambo linakuwa linaleta uvunjifu wa amani kwa taifa, kwa mtu mwenye upeo mzuri lazima atawapongeza wapinzani kwa kuepusha Shari ambayo ingewezatokea pindi wangebaki ndani acheni kuchangia kama hamjafatilia mlolongo mzima wa tukio husika na kama umefatilia mlolongo mzima na bdo unaponda upinzani kutoka kwao nje basi ww ni mpumbavu. namaanisha Haujui na haujui kama haujui na hautaki kujua ww sifa yko kubwa ni mpumbavu. namaliza kwa kuwapongeza wapinzani kwa ujumla wao.
@jumabakari9812
@jumabakari9812 7 жыл бұрын
Hakiamungu chadema niwezi yaani hata mfanyeje Raisi kaisha washutukia we esta blaya msagani
@daudimariseli3627
@daudimariseli3627 7 жыл бұрын
fikra zenu ni finyu sana hata walio wachagua nyie wanajuta na endeleen kutoka hivyo hivyo mpaka 2020 na kodi zetu mnashiba tu bule kwa mishahara yetu msio ifanyia kaz nanyie mungu anawaona pia asahv tz nikaz tu token wote ikibid nabado mambo yata kaaa sawa.
@neemamush5689
@neemamush5689 7 жыл бұрын
Daudi Mariseli tulia ww Fanya yko siasa achia wenyw wenye siasa
@kelvinchale5549
@kelvinchale5549 7 жыл бұрын
hawa wameenda kutuwakilisha bungeni au kupoteza muda
@mushxwaggz5258
@mushxwaggz5258 7 жыл бұрын
yangu majichoo soo macho tena mazee
@hassaniharoon6079
@hassaniharoon6079 7 жыл бұрын
Hao wabungee kikosi changoma Kanga moko vigodoro vechenparty mana katolewa moja wanatoka wote Kwani wanatoka Jimbo moja huwo ni ujinga mnakula posh za bure mda wenu umeisha hatuto wachagua tena
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 7 жыл бұрын
ipo siku nchi hii kitaeleweka tu watu wanafanya nchi kama yao...
@danielambros9346
@danielambros9346 7 жыл бұрын
dhahiri naibu spika anaupendeleo sana,atende haki kwenye maamuzi
@emmanueldaud4234
@emmanueldaud4234 7 жыл бұрын
wapimweeeeeee teba kama mnyika anakula bangi huyo
@salumsimai2728
@salumsimai2728 7 жыл бұрын
nyinyi wabunge wacheni hizo fanyeni mambo ya msingi mfano kubadilisha sheria ya madini na sio bla bla bla tuu,kama watz kuibiwa madini tumeshaibiwa sana tuu
@rafaelighambi2605
@rafaelighambi2605 5 жыл бұрын
Ahaha haaaaaa Tanzania ya matajili na kudidimiza maskin
@emmanuelphinias1075
@emmanuelphinias1075 7 жыл бұрын
spika, anasema hana masikio ya kusikiliza pembeni kwanini kwa wengine wa upande wa pili huwa anasikia akina mdee?tuwe wawazi
@sharomosses5516
@sharomosses5516 7 жыл бұрын
😀😀😀 kila siku kugoma,
@alexmunishi674
@alexmunishi674 7 жыл бұрын
Yani apo nishida kwakweli
@janethjohn8658
@janethjohn8658 6 жыл бұрын
Bunge la tz linachekesha san
@bakariali4026
@bakariali4026 7 жыл бұрын
mhhh mm siwezi kusema sana ,maana nitakuja kutafutwa ramadhani hii na malengo yangu nimalize ramadhani kwa amani ,hii nchi hii mhh ,,ww ukimtukana mboe sawa ,lowasa sawa ,seif ,sawa ,zito ,sawa ,lakini usimtukane ila kosowa tu kuhusu ccm mara ,mhhh utaiona dunia,,,mbunge kessy alisema ingelikua yeye roma mkatoliki engelikiona kwa kumtukana raisi ,,ivi ni nyimbo gani ya roma inayomtusi raisi?Tanzania hamna kitu mbunge wa ccm anakosoa serikali ,mbunge mwengine wa ccm anaomba taarifa ,where we going?
@kelvinalex5644
@kelvinalex5644 7 жыл бұрын
Tanzania mbona ivo kwani hao wezi waliwekwa na selikari ipi
@mako331
@mako331 7 жыл бұрын
mbona hayo makelele ya kawaida tu mnapigaga kelele hovyo hovyo, nyie tokeni mtarudi tu kama wakati ule
@geraldmbhosy8043
@geraldmbhosy8043 7 жыл бұрын
buraya anafudishwa asungzee nini mnataka viboko
@nelsonbrian1185
@nelsonbrian1185 7 жыл бұрын
nahisi wabunge kupimwa akili ni jambo la msingi,maana utoto mnaoufanya hapo bungeni duhh,kama wapiga kura wenu huko majimboni wana akili 2020 hamrudi.
@kanaansamwel8335
@kanaansamwel8335 7 жыл бұрын
ccm msituzarau huo ushabiki Wenu pelekeni kwa rais Wenu sisi huwa hatubembelezi serikali yenu ya kinafki
@kinakithemr1042
@kinakithemr1042 7 жыл бұрын
bunge likiongozwa na huyu mwanamke ni shida kila cku wala cjui kwann alipata nafac kama hii mtu ana upendeleo kila kukicha!! bulaya uko right
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
mbon halim alimtukn spika na hakuomb radhi hapo hapo baad ya siku kadha ndo
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 7 жыл бұрын
Rosemary Benjamin dada uko outdated sana, mdee aliomba msamaha na akashangiliwa na kutetewa na wabunge wote
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
Fazeel Shomary ci baada ya siku kadha ndo tuliskia achen mambo ya kurupshn mgetulia msubil mkubwa wenu anasemj ndo muanz kupank
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 7 жыл бұрын
Rosemary Benjamin sas msamaha uliombwa au lah? then kauli yako ni ya uongo
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
Fazeel Shomary ulombwa lkin baada ya siku kadha
@bugusambalinga3603
@bugusambalinga3603 7 жыл бұрын
Mtoto kwa mama hakui. Airtel Baba lao
@prospermushi2252
@prospermushi2252 7 жыл бұрын
jamaani sote tulio angalia crip tumesikia Mnyika akiitwa mwizi so sikuona sababu ya spika kusema anasikia ilikuwa ni kumsimamisha aliyesema atengue kauli kikao kingeenderea kwa amani mimi naona spika atoe suala la uchama anapokuwa bungeni kwani yeye pale anakuwa kama baba atakiwi kupenderea upande mmoja mimi ni ccm lakini kwa hapo spiker ameenda kombo kkwa usema kweli
@florianmwaibabile5308
@florianmwaibabile5308 5 жыл бұрын
Uongo haudumu msiiishi kwa kukalili siasa faki hazita dudumu ukweli unajulikana
@abihudij.abihudi8609
@abihudij.abihudi8609 7 жыл бұрын
hivi hii nchi tunaelekea wapi vile
@josephmichael3828
@josephmichael3828 7 жыл бұрын
Tatizooooo mnatetea wezi tokeni tu.
@rogerskaniki2832
@rogerskaniki2832 7 жыл бұрын
huo ni utoto wanaofanya upinzani tumewachagua watutatulie matatizo xio huo utoto wanaoleta huo
@kaziulayakaziulaya762
@kaziulayakaziulaya762 7 жыл бұрын
Kwa ujinga wa mnyika anaofanya kazi imemshinda nampongeza sana spika kwa ma'amuzi yake
@saidmsomaly7285
@saidmsomaly7285 7 жыл бұрын
sasa mlivyosusa faida yake ni ipi
@basilnyenza495
@basilnyenza495 7 жыл бұрын
usijifanye kujua sana ww bulaya..hivi Refarii akimpa Redcard mchezaji ,mbona wachezaji hawatoki? Acheni utoto
@adamkatet274
@adamkatet274 7 жыл бұрын
Bora wapimwe hao wengi vichaaaa tuuu Mbona mnyika amesema Serekali wezi, hakusema wengine amesema wabunge wote wapimwe akili akiwa na yeye pia,
@jumannemrisho7430
@jumannemrisho7430 7 жыл бұрын
Tatizo la nchi hii ni ushabiki tunafanya siasa kama simba na yanga na ndiomaana hata coment zetu si za kutafakari mwanzo wa tukio mpaka linapoishia tutafakari nduguzangu na ndipo tutafaham nani alikosea nanani alikua sahihi
@rajabukulandea827
@rajabukulandea827 7 жыл бұрын
well done
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
kweli j4 ujue Watz ndo tabia zetu
@abbamagambo8928
@abbamagambo8928 7 жыл бұрын
hawana jipya hao
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 7 жыл бұрын
jaman aman ni kitu muhimu kuliko hayo mnayo yafanya jaman
@tatunaally1510
@tatunaally1510 7 жыл бұрын
awa chadema wanataka wawe wanasikilizwa wao tu nyinyi mnatukana mmetuchosha
@neemamwanga7300
@neemamwanga7300 7 жыл бұрын
twende Kazi kitaeleweka tu
@allymamlo1791
@allymamlo1791 7 жыл бұрын
Hao Hawajikua
@michaelmasele6859
@michaelmasele6859 7 жыл бұрын
aisee nishidaaaaaa
@josephmichael3828
@josephmichael3828 7 жыл бұрын
Nawanao wapa kula akili zao hazina machoooo
@winfraysango9646
@winfraysango9646 7 жыл бұрын
HAWA WABUNGE BAADHI YAO HAWAPO KWA AJILI YA WANANCHI WAO.BALI KWA MASLAHI BINAFSI,MASLAHI MAPANA YAMEACHWA.
@VedastusRenatus
@VedastusRenatus 7 жыл бұрын
Yaani nyie Lusinde ndio kiboko yenu... tokeni tushawachokaa
@yusuphramadhani3438
@yusuphramadhani3438 7 жыл бұрын
hivi wezi nchi hii ninani kati ya serikali na upinzani maana zikiletwa hoja bungeni nazamuhimu kwataifa kwanza zinaletwa kwa dharula tena kwasiku mbili au tatu na kwavyovyote inavyotaka serikali ndiyo hivyo inavyokuwa maana wabunge wengi ni ccm wanaalama mwisho naunga mkono hoja sasa leo mikata ya madini kweli taifa tunapata asilimia 4% kati yamia hivi kweli haya tuwalaumu kina mnyika minadhani wabunge wajuwe wajibu wao ni kuishauli serikali nakuisimamia hivi kweli sipika mtu anaomba kuhusu utaratibu unamtisha kuwa anamchokoza Lusinde hivi hajui kuwa lusinde nimsema hovyo sasa hapo kiti kinatenda haki kweli ndugai wewe nikiongozi makini nandiyo maana leo upo hapo usiishi kwamatamanio yamtu timiza wajibu wako usiendeshe bunge hivyo wee watu wanaimani nawewe wananchi tunaumia sana
@mariammammu9641
@mariammammu9641 7 жыл бұрын
GENIUS ONLY CANA UNDERSTAND THIS, ILA MOST OF THE PIPO COMMENTING INSIDEHERE ARE FOOLS, But we genius understand what it meanss
@aminisaid9785
@aminisaid9785 7 жыл бұрын
hivi nyie mnawakomesha SERIKALI au WANANCHI acheni uhini
@solomonmwisala157
@solomonmwisala157 7 жыл бұрын
Aliesema upinzani hawana akili hata yeye ni mvuta bangi
@salimmustafa1935
@salimmustafa1935 7 жыл бұрын
kumbe ndio suluhisho kutoka nje
@sudyreacts5889
@sudyreacts5889 7 жыл бұрын
Salim Mustafa wakae wanafanya nn sibora utoke kuepusha shari
@verocletus1082
@verocletus1082 7 жыл бұрын
Salim Mustafa
@paulemmanuel9512
@paulemmanuel9512 7 жыл бұрын
cio kutoka nje acheni na mjiuzuru tu mala cion kaz yenu uko Bungen nyie wapinzan
@estherastron4023
@estherastron4023 7 жыл бұрын
Paul Emmanuel aaah! huoni kazi yao? nenda kaulize kwenye majimbo yao na usiseme bila kufikiri zaidi Muogope Mungu
@verocletus1082
@verocletus1082 7 жыл бұрын
du hapa kazi2 nyinyi wapizan majipu2
@mariethagodwin2273
@mariethagodwin2273 7 жыл бұрын
Hali ifuatwe
@melkizedeckmassawe570
@melkizedeckmassawe570 7 жыл бұрын
ccm wanakotupeleka ni pabaya mno.
@mtahammirukakwelele.3428
@mtahammirukakwelele.3428 7 жыл бұрын
atuna lakfanya tukanyagwe kama chula
@omarymehta7711
@omarymehta7711 7 жыл бұрын
Hawa chadema pumbavu sana
@marekanijulius2620
@marekanijulius2620 7 жыл бұрын
FIKRA ZA MONOPART STILL ZIPO FIKRANI MWA WATU NA WANAZIAPPLY
@owennyorido1876
@owennyorido1876 7 жыл бұрын
wameaza utoto wao tena tumewazoea hawana jipya watoke
@neemamush5689
@neemamush5689 7 жыл бұрын
Owen Nyorido mbna ww jipya huna lakin atuongei acha ujinga www
@allymamlo1791
@allymamlo1791 7 жыл бұрын
Haki Fanyawewe
@allymamlo1791
@allymamlo1791 7 жыл бұрын
Nawewe sheheyamekukuta yepi
@saidramadhan5379
@saidramadhan5379 7 жыл бұрын
spika wetu ni mbumbu tu
@allymamlo1791
@allymamlo1791 7 жыл бұрын
Shikeni adabu nyie
@mpoyikipius4316
@mpoyikipius4316 7 жыл бұрын
Mmeanza utoto wenu tena
@mammyyassie7322
@mammyyassie7322 7 жыл бұрын
washapewa chao. waende tu tushawazoea kulia lia... Kwani sio siri Mnyika si Mwizi. aje atuoneshe alilolifanya jimboni kwake.
@neemamush5689
@neemamush5689 7 жыл бұрын
Saba Simba acha ushamba ww
@mammyyassie7322
@mammyyassie7322 7 жыл бұрын
Neema Mush Mshamba ww mpuuzi unae watetea wapuuzi na washamba wenzako. mmekosa akili ya darasa hata ya maarifa pia??? akili kuambia nyie, akili zenu mmeshikiwa km bakuli la uji.... Kwann uumie kuitwa Mwizi km kweli sio mwizi. Endeleen kutetea upuuzi tuone km mtafaidika. Tena next time dont reply upuuzi to my msgs. jenga hoja km huwezi kakojoe ukalale
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 7 жыл бұрын
we itakua hata iyo CM umepewa na mume wadadako mana kwaakili zako uwez nunua CM
@mammyyassie7322
@mammyyassie7322 7 жыл бұрын
Omary Mbalala sasa ww mbona roho inakuuma sana na ww si uende wakupe mume wakukupumulia???? Ndio wale wale kazi kulia lia tu... njoo na ww uolewe... wapuuzi wakubwa mmezoea vya bure nyie vilaza . Wasomi Brainless...
@husseinmohamed9365
@husseinmohamed9365 7 жыл бұрын
kimenukaaaaa
@memmeme503
@memmeme503 7 жыл бұрын
yaan mkitoka bunge linaendelea km kawa mtajua kwenye majimbo yenu
@memmeme503
@memmeme503 7 жыл бұрын
+Mem Meme unaongea hd mishipa inasimama
@husseinmohamed9365
@husseinmohamed9365 7 жыл бұрын
mnyika hakuwa mtulivu
@omaryrajabu2703
@omaryrajabu2703 7 жыл бұрын
mi jamani navojua ukipigwa ngumi na unauzalendo lazima ukomae kupigana nae mpaka kufa na si kukimbia ukitoka manake maamuzi wafanye wao mi naona kutoka bado sio busara coz wataendelea kufanya maamuz na badae mtasema walifanya maamuz wenyew busara kukomaaa humohumo
@omaryrajabu2703
@omaryrajabu2703 7 жыл бұрын
uzalendo mnao Mimi cioni kinachowafanya mtoke coz ukiambiwa mwizi huchubuki wala hautapungukiwa zaidi Kama kesho kunaishu ya kupitisha tutawaita wezi ili mtoke tena coz huo ndo udhaifu wenu nas tutafanya yetu mkomae humohumo Kama kweli nyinyi mnauzalendo
@farajimrutu8661
@farajimrutu8661 7 жыл бұрын
hata tundu lisu aliita wenzake wasio na akili hawawezi kujua inakuwaje nyie mjisikie vibaya
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 7 жыл бұрын
ill skillz 😂😂😂😂
@kebo2155
@kebo2155 7 жыл бұрын
Faraji Mrutu sasa Tundu lisu ana akili? ??
@MultiMbongo
@MultiMbongo 7 жыл бұрын
we unazo kuliko tundu lisu hebu tupe cv yako
@farajimrutu8661
@farajimrutu8661 7 жыл бұрын
Unaweza ukawa na akili ukakosa maarifa
@onlinemovie8580
@onlinemovie8580 7 жыл бұрын
Faraji Mrutu kweri hakili sio tija
@mathiasfesto3428
@mathiasfesto3428 7 жыл бұрын
Nendeni huko kila Siku mnatoka bungeni ni upumbavu msitueleze ujinga wenu, hatujawatuma kutoka bungeni waone wanavyojisikia ujinga mtupu.
@dovicochristopher5388
@dovicochristopher5388 7 жыл бұрын
Mathias Festo Ivi ww huko wapi? maana inawezakana kazi huna?
@bashilumatola5453
@bashilumatola5453 7 жыл бұрын
huko majimbo mliko wa chagua wa bunge wa ccm kwanini msibadilishe mwelekeo maana sasa atuoni msaada wao.lakini jambo moja na mpongeza mtukufu rais ana cha uccm hukikosea nje hakuna cha kada wa chama kwake.
@tehamazanzibar1951
@tehamazanzibar1951 7 жыл бұрын
upinzani wa tanzania ni kama hayawani,mradi waongewe tu,watoke wasirudi kabisa shwaayyyn zao
@zeramwakipesile7282
@zeramwakipesile7282 7 жыл бұрын
jaman mwenye macho haambiwi aone hiyo ndo wabunge wetu
@paulemmanuel9512
@paulemmanuel9512 7 жыл бұрын
cio kutoka nje acheni na mjiuzuru tu mala cion kaz yenu uko Bungen nyie wapinzan
@neemamush5689
@neemamush5689 7 жыл бұрын
Paul Emmanuel jiuzulu ww ziro br
Mtiti Tena Bungeni... John Mnyika Afurumushwa Nje ya Bunge na Askari
11:16
SPIKA NDUGAI ALIVYOMTOA NJE MBUNGE CONDESTER - "NENDA KAVAE VIZURI"..
4:50
Climbing to 18M Subscribers 🎉
00:32
Matt Larose
Рет қаралды 36 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 16 МЛН
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
MWANZO-MWISHO: Mbunge Mnyika alivyotolewa Bungeni na Askari
10:23
Millard Ayo
Рет қаралды 355 М.
Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo
9:52
Millard Ayo
Рет қаралды 1,3 МЛН
Vazi la Mnyika Laleta Kizaazaa Bungeni, Awatemea Mbovu Wabunge wa CCM
7:53
Climbing to 18M Subscribers 🎉
00:32
Matt Larose
Рет қаралды 36 МЛН