Chapa Kazi baba Angu, mbinguni hamna madhehebu thank God
@PrinceMbwana-i5o3 күн бұрын
ameni ameni ameni
@DEBORAHMASANJA-yz3go2 күн бұрын
For sure
@prophetjoelymairaministrie17783 күн бұрын
❤❤❤❤❤ Mtumishi wa Mungu Hakika Mungu Akutetee Mchungaji Magembe Uko Sahihi! Sasa hivi Mchungaji Anayekemea Dhambi Hapendwi
@NuruAlly-pd3kc3 күн бұрын
Kabisaaaa wanataka miujiza ya mwamposa t
@esthermsimbwa1812Күн бұрын
Mmmmmmmmmmmmh!!!!!@@NuruAlly-pd3kc
@HAAM6704 күн бұрын
Mungu akutie nguvu Mzee Maghembe. Nitakuombea!!!Siku zote nilikuwa napata shida kukuelewa haraka. Leo/Sasa ndo nimekuelewa haraka sana. UAMSHO huja na mimeguko kama hii, wala sio mambo mageni. Shida ya UAMSHO, huwezi kuuzima/kuuziia. ukijaribu kuuzuia tu ndo unapasua kabisa na kuusambaza!!!
@karumetluway44814 күн бұрын
Mtumish wa mungu Wakiabudiwa ni mungu katika roho na kweli na sio TAG Magembe unaenda viwango Cha juu sasa Mungu mwenyewe atakuwa nawe hakika people are going to be blessed with your decision God bless you 🙏 mchungaji
@ChanilaKitwima-zc6ko3 күн бұрын
Mungu✅ mungu ❌
@PrinceMbwana-i5o3 күн бұрын
ameni ameni ameni
@MATHAYOMSIGALA3 күн бұрын
Na mimi nimeona huyu mzee mafundisho ya ke ni ya SDA kabisa
@ericfelician79964 күн бұрын
Mimi siyo mkamilifu mbele za bwana wa majeshi hila huyu mchungaji ni mtu wa mungu hata kwa maneno tu.Mungu akuongoze daima utuombe na sisi tuwe wema tena
@Gindi-v7g4 күн бұрын
Pole mtumishi,Mungu Yuko pamoja nawe,adui anapiga sana kanisa,tag amkeni na mtubu, Yesu Kristo anakuja.😢
@erickhenry26194 күн бұрын
Wakristu Mungu aturehemu tu..Mzee Mungu akulinde..piga vita vyema na uvimalize salama.
@MeshakiJuma4 күн бұрын
Jamani tunaenda wapi huyo mtoka mbali uongozi utamshinda, huyu baba magembe yuko vizuri
@PrinceMbwana-i5o3 күн бұрын
ameni ameni ameni
@NicholousZubakwaКүн бұрын
The real servant of God. Yupo vizuri anayempinga huyu mzee ni wale wachumia tumbo
@AlexMasea4 күн бұрын
Mungu akutunze mzee magembe siku zote simama kwenye ukweli
@PrinceMbwana-i5o3 күн бұрын
ameni ameni ameni
@SamsonHollo-u7l8 сағат бұрын
Mungu atakuongoza kwa kila jambo mzee wetu katika kristo yesu ukweli lazima usemwe katika madhehebu ya kiroho👏👏👏 tena kazana ili ulete uhamsho tena
@nancyisoyi81643 күн бұрын
MUNGU AKUBARIKI sana BABA Mchungaji Moses MAGEMBE 🙏🏾 Ubarikiwe sana👏🏾👏🏾👏🏾 ENDELEA KUSEMA ……YESU ABATUDI🫡…..
@Sabinasinoya3 күн бұрын
Wewe baba yangu unaekima za kimbingu,MUNGU akulinde siku zote za maisha yako.
@elienew37882 күн бұрын
Amen amen kweli Kabisa Yesu yu karibu anarudi watu wajiandae waanze kufanya uamusho na Matengenezo i appreciate you so much ❤❤❤❤❤😢😢😢😢
@JuliusRyoba-q8l2 күн бұрын
Nimeumizwa sana Mungu akutiee nguvu baba. Tutakuombea
@rebecaelia6084 күн бұрын
The real servant of God, we are together 💪
@MagrethMhina3 күн бұрын
Oooh Yesu atunze amani ya moyo wako baba jamani huyo ni roho mt. Asema kweli magembe yupo kiroho watumishi tuache kumuhukumu ni kwamba mch hapendi dhambi kabisaaaaa Mungu akufiche kwa utukufu wake upo sahihi kilichokuondoa tag ni dhambiiiii❤
@goodluckmbacho15713 күн бұрын
Baba Mchungqji, kweli kanisa linahitaji uamsho na siyo kujenga dini. Bwana Yesu akure mafunuo makubwa zaidi. I admire your speech and honesty. Natamani kuonana na wewe. Be blesed
@PrinceMbwana-i5o3 күн бұрын
ameni ameni ameni
@leticiamakoye4871Күн бұрын
Amen uko sahihi mzee . Heri utoke tag wamekufa tunaona hata Mimi ninazaidi ya miaka 5 nimetoka . Hongera baba ponya nafasi yako YESU kiristo anarudi . Tag Dunia imejaa mwenye macho aone na masikio yakusikia uasikiee
@GovernesMtambo4 күн бұрын
Don't be worried my Pastor God is with you.
@matogololuzalia71854 күн бұрын
Amina mtumishi siku hizi wasema ukweli wanapigwa vita hata mm nimetoka kwenye dhehebu langu.
@AfroFrayerne4 күн бұрын
Hii imeniumiza sana aseeee,Mungu akutunze sana mtu wa Mungu
@paschaljeremia68824 күн бұрын
Umefanya jambo jema sana 🙏🙏🙏
@bonifasiemanueli214 күн бұрын
Hapo kwenye Uamsho mzee uko vizuri,Kiukweli Sasa hivi Tusipo angalia Makanisa yanaenda kufa Kiroho Maana hâta Ulaya yalianza hivihivi taratibu n'a mwisho pamehalibika sana mpaka ndoa za jinsia Moja zinafungwa Makanisani,
@waimani55503 күн бұрын
ukiona kuna uamsho ujue tayari makanisa yalishakufa siku nyingi sana na ndio maana Mungu ameleta uamsho ili kuamsha roho zilizokufa,
@kyalokiio48592 күн бұрын
Amen ni bora kuitii sauti ya Mungu kuliko kumtii mwanadamu kila mtu ataukumiwa pekee yake
@charleskagaruki88492 күн бұрын
Hakuna sauti ya Mungu hapo
@victoriamaige28624 күн бұрын
MCH songs mbele nimeumia sn watoto wa wachungaji wanapotea dhambini ukiona mtoto wa MCH mwenzako anao moyo wa kumtumikia Mungu ni vzr umtie moyo nakuunga mkono baba na hongera sana Kwa mwanao Mimi naumia mno Kwa ajili ya wachungaji.
@elienew37882 күн бұрын
Amen isaya 58:1 piga kelele usiache Paza sauti yako kama Tsrumbeta uwahubiri watu wangu kosa lao na nyumba ya yakobo dhambi zao
@elizabethwanjiru30224 күн бұрын
Mmi niliishi bila mtoto from 2016 ndoa yangu ikavunjika alafu nikaoleka tena 2019 nikakaa bila mtoto on 2020 mwisho nikasema nitaokoka nikaanzaga kufwatilia mahubiri ya pastor harrison nganga let me tell you nyumba yangu nliishi kuskiza yye kwatv till today niyye tuwakati nimetulia namfwatiliaga on 2020 july nikashikamimba nanliamini akiomba nashika bible naomba nayye kwasahii mtoto anaelekea 4 years 2025 april date 19 wale walionfukuza kwandoa yakwanza wananipigia nirudi kwakijana wao after 10 years nahaiwezi jusahiniko nakwangu naniko namtoto wangu nanampenda sana anaitwa jeff nanaamini mungu atanibariki nawatoto wengine wengi 🙏🙏🙏🙏🙏 I HAVE MORE TO SAY BUT ALL IN ALL GOD IS MY strength Neema yabwana itoshee leo nahata milele🙏🙏🙏🙏
@yukundapeter82004 күн бұрын
Niombee my Dear! Mungu nikumbuke.
@josephkaveya42844 күн бұрын
Mimiaoni yangu baba nilikuwa naomba unyamaze sàsa fanya KAZI baba nakusihi sanaaaaa imefanya jambo muhimu sana kuachana na tag
@josephkaveya42844 күн бұрын
❤❤❤❤
@LoFi_1204 күн бұрын
Namshukuru Mungu wa mbinguni kwa ushuhuda wako, hakika ni wakutia nguvu na matumaini, halleluia utukufu kwa Bwana Wamajeshi.
@JoyceHaule-o7b4 күн бұрын
Hongera sana
@JovinBuberwa3 күн бұрын
Huna nakupenda na nakuamini mch magembe mungu akubariki
@selelilumambo21573 күн бұрын
pole sana mzee wetu😢, mkulima yoyote anaemfuata yesu huku akiangalia na kugeuka nyuma hafai katika ufalme wake, nenda kamtumikie mungu kwa kadri Mungu alivyokutuma Tunakuombea sana Mungu akutie nguvu ....
@saxinajoseph42893 күн бұрын
Nimependa ujumbe wako ukabarikiwe
@kelvinLusana-i4q3 күн бұрын
Mungu wa mbinguni akutunze Mzee wangu❤
@FerdinandNgendamayo2 күн бұрын
Mungu akubaliki saana mzee and Merry Christmas and happy new year 🎉🎉🎉❤❤❤🙏🎄
@ekisuka122 сағат бұрын
Mungu akutangulie, Mungu akutangulie, Mungu akutangulie, Mungu akutangulie, Mungu akutangulie, Mungu akulinde, unapohubiri habari za kurudi kwa Yesu, uamsho na matengenezo ndiyo ujumbe wa sasa.
@neemamarisamarisa-rd7cq3 күн бұрын
Mungu aliponye kabisa lake. Wengine wanahitaji heshima ya Dunia hii. Roho za watu zinapotea tunamuhutaji sana Mungu, Roho wa Mungu ndiye mwenye kanisa tusaidie.
@PrinceMbwana-i5o3 күн бұрын
ameni ameni ameni
@emilianamichael94162 күн бұрын
Ameeeen Amen Twende kazi baba mbinguni hakuna dhehebu
@EmmaEmmamanex3 күн бұрын
Mchungaji,, umebeba maono makubwa!! Mungu atakuinua kwa viwango vya juu!!
@samuelkimanuka1873 күн бұрын
Mungu aendelee kukulinda na ukupe maisha marefu. Mungu akupe mwisho mzuri. Ubarikiwe, na endelea kupiga injili Baba.
@elestinajacob4363 күн бұрын
Baba yetu fanya kazi ya Mungu aliyokuitia kuachana na Dini siyo kuasi Wala sio shida kikubwa timiza kusudi la Mungu alilokuitia.
@JamesKasomi2 күн бұрын
Mchungaji uko vizuri baba, weka hadharani wapi tukuingiz ie fedha ujenge huduma nyingine yenye nguvu.
@herbertnzowa86573 күн бұрын
Kahubiri Miaka 50, kipindi cha uzee wake katoa sababu tatu za kutoka...Aisee "makwazo ni kitu kibaya sana" Mungu atusaidie katika maisha yetu sote...tuwe watu wa mahojiano na kuuliza pale tusipoelewa.
@YonathaniMwashifungwe8 сағат бұрын
Umepiga penyew baba siku zote katika maisha ukweli unaumaa baba hao hawana mbingu yakukupeleka
@TukaeSanga-z8q3 күн бұрын
Mungu akulinde baba mchungaji napenda sana unavyohubiri na kukaripia mimi najikuta natengeneza njia zangu. Mungu wa mbinguni akuonekania na akuangazie nuru za uso wako na kukupa fadhili na kukulinda siku zote za maisha yako
@PrinceMbwana-i5o3 күн бұрын
ameni ameni ameni
@UzalendoNaUtu7 сағат бұрын
Nampenda sana Maghembe, ila kuna pahala ameteleza kidogo na pahala hapo ni kuchangisha ndani ya TAG kwa huduma ya kanisa lisilo la TAG. Kuhusu kulitamka TAG live angeishia kusema kanisa, kufafanua kua hakuna dhehebu lililobaki salama ikiwapo TAG, Ila yeye kalitamkia kabisa kua ni TAG na ndani ya miaka kumi litakua limepotea kabisa. Hii ilionesha ni kama kulikosoa kwa namna ya tofauti. Ijapokua mahubiri yake ni kweli yanajenga na ni hazina mojawapo kati ya chache zilizobakia. Kuhusu kufungua huduma nyingine hilo sio dhambi, naona yupo sahihi tu ila ajue kua utabiri aloutoa juu ya TAG huenda yeye ndie anaeutimiliza. Mwisho, Kanisa (Madhehebu yote ikiwamo TAG) Tugeuke na kuwapenda wachungaji wanaotukosoa kuliko wanaotuonesha mema tu huku tukiangamia, na tutambue kua kiroho tumeshuka sana, skuiz kufanya uzinzi imekua sio ajabu tena. Zamani mtu aliyeokoka akizini Mbeya, hadi Dar watajua tuuuu kwakua ilikua ajabu sana. Saiz mtu anazini na anapanda madhabahuni kama kawaida, ni hatari sana
@priscadryton95964 күн бұрын
Baba upo vizuri simamia kile Mungu anakuongoza ni siku za mwisho ukweli huwa watu hawaupendi Yesu akulinde mzee
@isaacnnko23312 күн бұрын
Nimesikiliza kwa makin Sana ujembe wa Mch Magembe. Mungu anajambo kubwa Sana na wewe mchungaji Magembe
@AgreyAckim-pt3wv4 күн бұрын
A MAN OF GOD MAGEMBEE
@RobertAgaely-i9kКүн бұрын
Namwona Mzee Kolola akiamka upya. Ubarikiwe baba
@Rafaelymsigwa23 сағат бұрын
Mtumishi wito wako na Mungu hakuna anaejua uliitwa kwajili ya nini yatende unayo ongozwa na roho wa Mungu ubarikiwe kwa kufanya maamuzi ya busala yanayo mpendeza Mungu
@PhilipinaMakundi-n8u3 күн бұрын
Baba uko sawaaaa, songa mbele Mzee wetu.Tunaitaka T.A.G ya zamani,Tunaona mzee.uthibitisho wa nini? Tunakufuata huko huko,twaja baba.Acha jengo lao twende zetu.
@Farajastephan-pt8zgКүн бұрын
Eeeh YESU KRISTO !!! Simama na Mtumishi wako. Babangu Mungu Yuko pamoja nawe, unahekima toka mbinguni.
@jumarobert49292 күн бұрын
Aise mzee nakuelewa sana Yesu akutunze endeleza moto wa Mungu nahuko ulipo
@erastoshengezi57422 күн бұрын
Huyu mzee ni mtumishi wa Mungu wa kweli kabisa, Mungu akulinde baba yangu
@robertmaximilian32644 күн бұрын
Amen 🙏 Mungu akutie nguvu mtumishi
@rodgersabraham98374 күн бұрын
mimi ni miongoni mwa vijana wako pastor
@mariakalama3014Күн бұрын
Mungu akulinde mtumishi na umumtumikie mungu kwa moyo wako!!
@EdwardKapungu-g6y3 күн бұрын
Ubarikiwe kwa hekima ulio itumia yesu akulinde
@ChanilaKitwima-zc6ko3 күн бұрын
Yesu✅ yesu❌
@alfredlwingaubarkiiwemtumi8243Күн бұрын
Amina mtumishi wa Yehova SONGA mbele
@NicholousZubakwaКүн бұрын
Ni kweli kanisa limekufa makanisani yamejaa mashindano ya fasheni, urembo, unenguaji na uchafu mwingine huwezi tofautisha fasheni za dunia na kanisani. Nipo na wewe nilimkiri Yesu mwaka 2020 kupitia mahubiri yako barikiwa sana naikubali misimamo yako lengo lako tufike mbinguni na siyo kupoteza muda.
@BajouNizeye3 күн бұрын
Mungu akubaliki baba,unasema kweri ,sema yenye Mungu amekutuma baba ,sema,sema
@AnatoliMayot3 күн бұрын
Ubarikiwe mchungaji tuko pamoja uyasemayo ni kweli
@BajouNizeye3 күн бұрын
Mungu akubaliki baba
@tonyapollo79442 күн бұрын
You have surprised me pastor and I have been following you and I just say it's well with you......
@MpokiMwakaje4 күн бұрын
Mtumishi Yesu anakuja Mungu amekwepusha ,na ibada ya sanamu,
@PolycapySilayo-g9w4 күн бұрын
Gud baba tunakupenda sana kwa msimamo wako
@pillykinabo87223 күн бұрын
Ni kweli kanisa la sasa limekufa. Mungu atusaidie. Yanayofanyika ndani ta kanisa Mungu anajua
@alainmuhigirwa51513 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana Moses M.
@josephjoel93913 күн бұрын
Umefanya maamuzi sahihi mtumishi wa Mungu Usiogope Mungu uliye nae ni mkuu sana atakupigania
@AminaKyungu3 күн бұрын
Songa mbele Mungu akusaidie tulikupenda san umetuacha huku tutakukumbuk huk
@ZABRONRUVUGO2 күн бұрын
Mungu akubaliki baba yangu fanya kazi ya Mungu bila kujali nani na nini anasema
@DoriceMwalukasa3 күн бұрын
Blessed the man of God, hakika una hekima itokayo kwa MUNGU.
@DEBORAHMASANJA-yz3go2 күн бұрын
Hongera ni Baba wa mbinguni ame kutoa Baba Magembe ni mteule
@WillfredyMollel14 сағат бұрын
Hayo yanayosemwa tuangalie maanna. Lazima yapo mfano wachungaji kwenda likizo wapi yesu amenda likizo
@JjophreyUtenga-o7j2 күн бұрын
Safi sana baba piga kazi baba Mungu akubariki
@adelalimwalongo6525Күн бұрын
Zidi kuinena kweli ya Mungu mtumishi wa Mungu aliye hai. Injili ya kweli wengi hawipendi. Endelea kunyooosha kweli ya Mungu. Anayetaka kufika m inguni atakuupenda. Zidi kunyenyekea baba.
@mosesmligo96142 күн бұрын
Asante kwakutuwakilisha wakina Moses.
@maystellakajuna54613 күн бұрын
Tunakuombea baba, Mungu akutunze.
@pillykinabo87223 күн бұрын
Mimi najua Yesu kristo anasema ktk marko yakua, aaminie na kubatizwa ataokoka. Sio ili uwe umeokoka basi uwe dhehebu fulani nooo. Tunapotoshana
@MathayoChizenga-vt4qd3 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi tuko pamoja
@safimkjohn13123 күн бұрын
MUNGU akulinde baba endelea kuubiri Kweli ya Mungu 🙏🏿
@estherkomba76853 күн бұрын
Songa mbele baba ukalitimize kusudi la Mungu aliloweka ndani yako. Petro akasema imetupasa kumsikiliza Mungu na si wanadamu.
@MabulaSamwel-t1j2 күн бұрын
uko sawa Bwana akutunze
@PreciousMunuo2 күн бұрын
Huyu mchungaji ni mtu ws Mungu kabisa Mungu akutangulie mtumishi wa Mungu
@akybanguliny625823 сағат бұрын
Barikiwa mtumishi sana
@jacklinejacob93673 күн бұрын
Mungu tusaidie katika kukutumikia siku zote
@DanKanyange4 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu. Endelea kuhubili kweli ya Mungu..!!
@valentinanduku87184 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu Magembe kanisa lako wanawake wanavaa wigi herini kichwa wazi makucha bandia na kadhalika
@shonejuma32653 күн бұрын
Wapi imeandikwa usivae hereni na mawigi kwahiyo wewe huvai saa 😂😂acheni ujinga wa kutafsiri maandiko mnavyotaka nyiee
@sarahmwasyoge18303 күн бұрын
Ni kwasababu alikuwa TAG asingeweza kuwaambia waache wakati TAG wamekubaliana wasiwakataze wanawake. Ndo maana kajitoa
@shonejuma32653 күн бұрын
@ wapi biblia imekataza kuvaa urembo au mnasoma biblia na kutafsiri mnavyotaka
@sarahmwasyoge18303 күн бұрын
@@shonejuma3265 kumkosoa Mungu sio vizuri. Kumbuka ili uvae hereni ni lazima utoboe maskio. Mungu angetaka tuvae tungezaliwa teyari tuna matundu maskioni. Mbona pua hatukujitoboa tulikuta tayari pia zina matundu ya kupumulia. Wanawake huwa tunajikuta tunaakili kuliko Mungu ndo maana tuna makorokoro mengi ya kijunga tu
@shonejuma32653 күн бұрын
@@sarahmwasyoge1830kwahiyo mwanadamu aliumbwa na mavazi?
@davidsamaytu27152 күн бұрын
Amina sana baba, Mungu akubariki sana.
@MaryNiima3 күн бұрын
Mungu akutie nguvu huko unakoenda kutumika hata neno la Mungu linasema kuwa ulimwenguni mnayo dhiki lakini Jipeni moyo
@PrinceMbwana-i5o3 күн бұрын
ameni ameni ameni
@AminimunguWilfried-fw2ehКүн бұрын
Asante Baba Magembe law uramuzi muzuli
@anjelinamwinga4 күн бұрын
Baba mimi ni mkatoliki ,ila nakupenda sana ,mafundisho yako yamenifungua sana yesu akutunze
@LucyKapinga-fg4dk4 күн бұрын
@@anjelinamwinga Haleluya Haleluya ubarikiwe Tumtaje Mfalme wa Utukufu Yesu kwa herufi kubwa mpendwa
@NuruAlly-pd3kc3 күн бұрын
@@LucyKapinga-fg4dkkikubwa Umeielewa haya ni maanishi tu tena tumefundishwa na wazungu Hata jina lake halikushushwa kwa kiswahil
@shadrackkassale29682 күн бұрын
@@LucyKapinga-fg4dkAsante Kwa kunisaidia kuelimisha watu kuhusu hili
@bennymayao45603 күн бұрын
Babu uposahii ,ata bwanayesu alikataliwa, shetani ameivamia TAJ wao hawajaona MUNGU wambinguni akulinde kwa jina la Yesu kristo amina
@ezekialalika8842 күн бұрын
sio TAJ ni TAG
@isayamwanjoka39582 күн бұрын
Wew upo kanisa lipi ambalo halivamiwi na shetan
@IsaacRutaha4 күн бұрын
Ukahaba na ukomedi umejaa kwa walokole na udunia mwingi nawale wasio na roho wa Yesu ukihubiri kweli tu wewe umekuwa adui kwahiyo magembe hata hivyo umechelewa sana kutoka hongera pia hujachelewa
@Reginajohnson-19884 күн бұрын
Saa nyingine Mungu anakuweka hapo mpaka mda anaotaka utoke ndio unatoka ukute alikuwa ajapata Ruhusa za Roho Mtakatifu
@MathayoWyonas3 күн бұрын
Baba hubiri Injir sio Dhehebu Mimi ni MT,A,G Wewe simamia Injiri kwa kuwa hatufiki mbinguni kwa madhehebu INJIRI IENDELEE MUNGU AKUBARIKI ZAID NILIKUFUATILIA NA NITAKUFUATILIA BABA
@michaelmhagama33432 күн бұрын
May the Grace of the Lord upon with you baba
@MUKAMAMAIRA3 күн бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako baba Mimi naspoti kaulu yako kuwa kanisan limekufa tulivuokuwa sivyo kabisa
@AyoubMatabala-zf6oiКүн бұрын
Aisee Mungu yu karibu saana
@WhiteMgeni3 күн бұрын
Chapa kazi ya MUNGU mchungaji wa kweli
@chrispinantabaye48663 күн бұрын
Ameongea kwa hekima kubwa,akili nyingi na maarifa👏👏🤝🤝🤝
@moffatmwakigitonga74569 сағат бұрын
Kuja Kenya babangu Mimi am pastor moffat from Kenya meru