SIKU 73 FUNDI TV HAJULIKANI ALIPO, AKABWA ATUPWA KWENYE CARINA, NDUGU WATAKA MATANGA, BODA ASHUHUDIA

  Рет қаралды 39,482

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 257
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 ай бұрын
Mungu atupe mwisho mwema mimi nawew unaesom coment 🙌
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 2 ай бұрын
🤲🤲🤲🙏🙏🙏
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@roseaidan-yo3rr
@roseaidan-yo3rr 2 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 2 ай бұрын
Dada pole mungu akupe uvumilivu
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r 2 ай бұрын
Hawa watekaji wamekuwa wa aina tofauti.wengine ni wahuni tu wa mitaani
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 2 ай бұрын
Polisi wanashindwa Nini hadi namba ya gari umejitahidi kuichukua namba yake ya Cm pi ushahidi alikua akiwasilana na nani au ndo ile kulindana Raia hatuna Imani kwa Sasa Bora tumalizane mitaani tujue Moja😭😭😭😭😭
@davidmarik4633
@davidmarik4633 2 ай бұрын
Wanao humia ni family inayo mzunguka na ukiangalia ana mke na watoto tunaomba Serikali ifatilie kwa undani tunajuwa serikali ni Mkono mrefu 😢
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Ай бұрын
Ifuatilie nini wakati ndio inafanya haya??
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 2 ай бұрын
Wallah hili janga mbona ni msiba mzito kwetu jamani serikali tunaomba mpaze sauti kwa hili Hawa watu imekuwaje kuwateka watu jamani 😢😢😢Mungu tusaidie
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 2 ай бұрын
Hii sasa itakuja kufanya asikari nao waanze kupigwa wakiwa wanakamata Mwalifu maana hatuelewi nani asikari nani mtekaji
@dayanamsuya6516
@dayanamsuya6516 Ай бұрын
Kweli kabisa
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER Ай бұрын
Kweli kabisa!
@JosephAgustino-f9z
@JosephAgustino-f9z 2 ай бұрын
Daaaaaah inaumiza sana poleni sana mungu awapiganie mpate mwanao pia mke kumpata mme wake watoto wadogo kulea mwenyew pacpo bab inaumiza sana na co amefariki ni kutekwa
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba Ай бұрын
Duuuh! Jamani mbona haya utekaji ysmekua ya kawaida sana jamani, mmmmh! Hii laana ya kutawaliwa na mwanamke sijui itatutafuna mpaka lini😭😭😭😭😭
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 ай бұрын
Jamani serikali mpo wapi? Mbona leo kesho kila ck watu wanatekwa nakupotea polisi mpo wapi? Mbona hii nchi ni ya amani mbona sasa amani inapotea? Nchi yetu inatiwa dowa? Mama Samia tuokowe.
@FatumaAli-y3y
@FatumaAli-y3y Ай бұрын
😭 pole sana dada tumliliye MUNGU hakuna zaidi yake yeye nimjuzi wa yale tusiyoyajua inshaallah ALLAH amlinde popote alipo🤲🤲🤲
@augustinomajebele
@augustinomajebele 2 ай бұрын
Pole sana, nafikiri ni muhimu sana serikali yetu iseme kitu, kwa kuwa nimaumivu makubwa sana kwa familia na taifa pia na angalia ndoto za familia yake, tunaomba sana serikali itusaidie.
@BakariMugabo
@BakariMugabo Ай бұрын
Watu wanatekwa halafu wengine wanadai mambo ya utekaji hayajafika mezani kwao , inaumiza sana kwa Sasa tunaishi kama kuku muda wowote tunachinjwa du! Inaumiza sana kwakweli
@alfanmohamed2750
@alfanmohamed2750 2 ай бұрын
Daaaah inaumiza sana mtu kupotea kama kuku tanzania nchi yangu nakupenda sana
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 2 ай бұрын
Bora kenya wanaopigana inajulikans ni vita unajua ni mapigano kuliko tz watu hawshulikani wanapelekwa wapi
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Kotesawa tu biashala hiyo ya viungo vya binaadam
@ireneshao7950
@ireneshao7950 2 ай бұрын
Kwel kbsa japo hatuombei hayo ila hii Tz yetu mambo yamezidi mno
@wallesdavidprimarymasinga3382
@wallesdavidprimarymasinga3382 2 ай бұрын
Maumivu anayopitia mama huyu, hakuna anayeweza kujua. Hii hali uisikie tu. Mungu tenda miujiza Janga hili la utekaji watu hovyo atuepushie
@Janemuthoni289
@Janemuthoni289 2 ай бұрын
Pole sana may God protect him wherever he is😢😢😢😢lkn walipomchukua kwa nguvu hakuna watu waliona wamsaidie jamani, uchungu sana kwa family
@FekiHappy
@FekiHappy 2 ай бұрын
Swali gani kuna mtu hategemewi jmn waandishi muwe na uelewa wa maswali,,,
@chikujuma18
@chikujuma18 2 ай бұрын
😢😢😢 pole dada Tanzania Sijui tunaelekea wapi jaman Tumrudie Allah tunajisahau Kama Kuna mwenyezi mungu jaman tusali japo Kila mmoja na dhehebu lake
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 ай бұрын
MKIONA WATU WANAKUJA KUMKAMATA MTU KIDUWANZI NI KUWAUA TU KUWAPIGA MISHALE NA MAPANGA MAANA NDO WANAENDA KUUA WATU
@njuka3515
@njuka3515 2 ай бұрын
Wanabunduki
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 ай бұрын
@@njuka3515 mshale tu tununue zana za jadi tena mshale mmoja wa shingo
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 ай бұрын
@@mussakimaro5588 kabisa
@8pistons194
@8pistons194 2 ай бұрын
​@@njuka3515huu uduwanzi wakuogopa bunduki ndo unatuponza wabongo
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 2 ай бұрын
Wew unaogopa kufa?​@@njuka3515
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 2 ай бұрын
Pole sana dada mtegemee Mungu
@VeronicaAnael
@VeronicaAnael Ай бұрын
Tanzania🇹🇿 Tupo wapii? Poleni Sana wanafamilia Na Majirani Mungu Atatenda Tumuombe Mungu Amponyeshe
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 2 ай бұрын
Hii ndo tanzania yasamia
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 2 ай бұрын
Huyu kaka wangemziba uso maana watekaji wanamnoti sura
@abdulisike
@abdulisike Ай бұрын
Hawa watekaji waendelee tuu ila watakuja kulipuliwa soon sir good is gritter
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Ай бұрын
Amini kaibukia kwetu Mungu tunusura Amina
@GraceChacha-bx3bq
@GraceChacha-bx3bq Ай бұрын
oOoOO Yesu duniya inatutowa wapi na tunaenda wapi oooo Yesu watu wanatekwa na haijulikan wanaenda wapi jaman Yesu njooo imetosha
@Jggdesigner
@Jggdesigner 2 ай бұрын
pole sana mama vanessa...TUOMBE MUNGU TU APATIKANE AKIWA HI JAMAN DAA...
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu 2 ай бұрын
Huyu niwausagara sehemu gani?
@LilianMisiperesi
@LilianMisiperesi 2 ай бұрын
Pole mdogo wangu mungu akutanguliyeee
@ommyshopangi9543
@ommyshopangi9543 2 ай бұрын
This is too much....hili Taifa kuna mahali pana shida!!!
@ronaldgaudensi
@ronaldgaudensi 2 ай бұрын
Hivi hili taifa linaenda wapi watu wanatekwa hakuna hatua zinazochukuliwa kuwapata hawa watekaji jamani serekali waangalie hili kwakina
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Wanajua na selikali hao sibule ww chunguzatu. Kunakituhapa. Kama hawajuani imeanza muda utekaji ushasikia wanasemakitu
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 2 ай бұрын
Nikweli ndugu yangu awasemi serikali imenyamaza tu kipo kitu apa
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 2 ай бұрын
💔
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 2 ай бұрын
Nchi imekuwa ya wauwaji 😢😢RIP MAGU utasikia machawa mama anaupiga mwingi
@maswamills3161
@maswamills3161 2 ай бұрын
Hivi jamani hawa watu wasiyojulikana ni wanyama Gani au ni mapepo!!!!!!!!????????????😣hata serikali haiwajui!!!!! Hata vyombo vya usalama havijui!!!!!!!!.
@tulihamwe24hrs32
@tulihamwe24hrs32 2 ай бұрын
Uchaguzi ndugu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 ай бұрын
@@maswamills3161 Au tumpe kazi Mange kimambi
@rizikimohamed2449
@rizikimohamed2449 2 ай бұрын
Tz duuuuh Kuna mitihani sana walai Allah amjalie kijana apatikane Allahumaa Ameen
@OnesimoJapheti
@OnesimoJapheti Ай бұрын
Jaman hiii inauma mpk mzaz anaogea kwa uchungu family aina ama kwn lkn watu wanafanyia hvy binadamu wenzio jaman
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Ай бұрын
Eee m/mungu tuepushe na Hili janga jamn Tanzania yangu why saivi imebadilika ivyo mbaka naogopa kulud bongo
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 2 ай бұрын
Weka namba yake tumchangie mana hii inatesa sana watu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Watanganyika tunamatatizo kwa sababu tunaendelea kulilia vijana usiku. Lakini Inchi hii kweli damu za hao watu zinalia katika serikali hii. Mnaweza kuchekelea lakini Mungu anajua kila kitu mnacho fanya.
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 2 ай бұрын
Duh poleni sana
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b 2 ай бұрын
Eee Mungu fungua hili anga hao watu wanaotekwa waonekane🙏
@abedysteven4930
@abedysteven4930 2 ай бұрын
Kwa kweli mm jaman kama mtanzania nmeishachoka na hao wa2 wanaoteka wa2 na hawajulikan xaxa upelelez wa police una kaz gan jaman kwa kweli mpaka me mwenyewe natembea nkiogopa!!
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 Ай бұрын
Hivi mpk anaondoka eneo hilo kwann pikipik wasimfate nyama?mnangalia tu mpk anaishilia tuu
@TatoTato-t7s
@TatoTato-t7s 2 ай бұрын
Serikali itakua inajua kabisa maana wqpo kimyaa
@mchinatz9335
@mchinatz9335 2 ай бұрын
Kila mtu ajilinde mwenyewe
@FatumaSalim-rj3bv
@FatumaSalim-rj3bv Ай бұрын
Kk wasije wakakudhuru
@liberatharichard4556
@liberatharichard4556 2 ай бұрын
Dah, so sad, Mungu amsaidie huko aliko kama yupo hai.Huyu kijana mtaratibu sana alikuwa kondakta magari ya Kigoma mjini to airport.
@mariammariam5723
@mariammariam5723 2 ай бұрын
Pole sana family
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 2 ай бұрын
Aisee watekaji ni watu wabaya sana
@remiomar7154
@remiomar7154 2 ай бұрын
Basi huyo aliyempigia cm ndio anajuwa kila kitu akipatikana hy atasema walipompeleka
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba Ай бұрын
Watamjuaje aliyempigia simu, bora hata angeacha simu yake ingesanizitiwa wakaujua mtu wa mwisho kuwasiliana naye, au wamuulize huyo mdogoake aliyemuita boda amchukue kakake pengine atamjua aliyekua anaongea naye dah😢😢 yani hata sielewi
@remiomar7154
@remiomar7154 Ай бұрын
@@TreasureMagumba wewe bado upo nyuma Sana kwani shirika la mawasiliano ya line za simu kazi Yao nini
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba Ай бұрын
@@remiomar7154 🥱🥱🥱
@nindymuruga4798
@nindymuruga4798 2 ай бұрын
Tnz imekwisha😢😢😢😢shida ni nini? Tunakwenda wapi? Nchi yetu imekwisha amani km huwezi uongozi achia ngazi tu kila siku majanga
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 2 ай бұрын
Hv mtu mpaka anakamatwa kinguvu mda huo panakua hakuna watu wa kutaka kujua nn ttz,, watanzia tuwe na ushilikiano Dunia imehalibika
@likimaro6
@likimaro6 2 ай бұрын
Aiseee, mambo yanazidi kuwa moto. Watu wanazidi kupotea
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 2 ай бұрын
Mbuzi,ngombe, Kuku ,hatusikii wakipotea lakini kila siku watu na utashi wao wanapotea hii ikoje jamani?
@ZuhuraSaidi-f5d
@ZuhuraSaidi-f5d 2 ай бұрын
Poleni sana family
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 Ай бұрын
Mimi naona kwa hali navyoendelea,hata kama ni mwalifu ije gari ya wazi ambayo tumezoea kuita difenda lkn ikija nyingine hata kama wana pingu tuwe makini,pingu wala slaa siyo tija,sasa hivi kila mtu ana slaa na pingu
@IbrahimKuhunguru
@IbrahimKuhunguru 2 ай бұрын
Uuuh.Mungu aingilie kati naama😂
@theoriginals3240
@theoriginals3240 2 ай бұрын
Vitu vya uwizi sio vizuri.
@ShaurMbena
@ShaurMbena 2 ай бұрын
Mama hv unazani nani wa kutoa kauli ju ya hii hali
@abdallahashajuma1281
@abdallahashajuma1281 Ай бұрын
Hiyo Amani tuliyokuwa tunajivunia ipo wapi
@daviddouglas9565
@daviddouglas9565 2 ай бұрын
Haya mambo bado yapo tu?, dah sasa Polisi wanafanya nini?. Hawa watu wasiojulikana lazima wanajulikana.
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 2 ай бұрын
Haya matukio sasa yamekua mengi harafu kila anaetekwa harudi harafu hao watu hawajulikani serikali yetu inapotupeleka ipo siku mungu atajibu🙏😭
@LloydsTech
@LloydsTech 2 ай бұрын
Yaani sasa ni muda wa kushughulikia kiraia zaidi watekaji
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 2 ай бұрын
Jambo Zito kama hili lakini jana nimeona kiongozi wa mhimili makubwa kabisa nchi hii akileta mzaha bungeni na akicheka kichoko tu unadhani wanaopotea ni mbwa yaani inaumiza sana harafu polisi nao kimya
@SimonMelon-k9p
@SimonMelon-k9p Ай бұрын
Watanzania tuache upole Teena,wakija watu kukukamata,Kama huna kosa lolote, lianzishe hapohapo,hujagombana na mtu why ukamatwe
@DicksonJaphet-fq7ov
@DicksonJaphet-fq7ov Ай бұрын
MUNGU atusaidie 😢😢
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 Ай бұрын
Emungu mrejeshe aonane na family's yake
@Amina124-gm9nx
@Amina124-gm9nx 2 ай бұрын
Poleni sana
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 ай бұрын
Kutoka wasiojulikana hadi wasiofahamika nadhani tunaelekea Kwa wasiosomeka ss
@MarthaGeogre
@MarthaGeogre Ай бұрын
Bado inaitwa nnchi ya Amani duh
@abdulbonomali6548
@abdulbonomali6548 Ай бұрын
Du nazani sote tuko kwenye foleni ya kutekwa bilakujua tuwemakini na hizi smati labda zinaweza kua chanzo
@MarthaGeogre
@MarthaGeogre Ай бұрын
Na ràis amekaa kimy tu yani inaumiz
@usindemdamo5299
@usindemdamo5299 2 ай бұрын
Dah huko nyumbani kuna nini jamani😢😢😢😢
@JonathanMatembo
@JonathanMatembo 2 ай бұрын
Serikali imejaa damu za watu
@SmilingApron-zw6ne
@SmilingApron-zw6ne 2 ай бұрын
MAANA MI NAJUA WATU WANAORUHUSIWA KUMCHUKUA MTU BILA RIDHAA YAKE PEKEE NI ASKAR NA SIO VINGINEVO, WENGINE WOTE WAKIFANYA IVO NI WAHARIFU, NA KAMA NI POLICE MSIWAITE WATEKAJ NI KOSA
@JonathanMatembo
@JonathanMatembo 2 ай бұрын
Tanzania sio nchi salama tena mpaka CCM itakapotoka madalakani
@fatimahants1526
@fatimahants1526 2 ай бұрын
Allah ampe nusra yaarab huko alipo
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 2 ай бұрын
Kila kukicha matukio tumechoka alafu hakuna hatua zinazo chukuliwa
@ireneshao7950
@ireneshao7950 2 ай бұрын
Mungu wa mbinguni tusaidie mno Tanzania yetu 😢😢😢😢😢matukio yamezid na yanayo umiza
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 2 ай бұрын
Pole dada
@Rahabu-i1d
@Rahabu-i1d 2 ай бұрын
Kiukweli inaumiza sana jaman
@CikeTanzania
@CikeTanzania 2 ай бұрын
Haya matukio cjui yataisha lini mungu Wang.😢😢😢😢
@sirilaswai6206
@sirilaswai6206 2 ай бұрын
Dada umeniliza pole sana
@SudyTupa1
@SudyTupa1 Ай бұрын
inauma sana
@Kulwakisansa-zk5yg
@Kulwakisansa-zk5yg 2 ай бұрын
Mama yupo kizimkazi anakula bata
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 ай бұрын
Yaan mpk namba ya gari inajulikana alafu hakjna taarifa yoyote mmmh hii nchi viongozi wenye dhamana MUNGU anawaona hakuna kitachodumu milele lakin inaleta machungu kwa familia
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b 2 ай бұрын
My kama no ya gari mnayo tumshukuru Mungu kama hawajaweka no za bandia Mungu awake mkono wake
@celinamosha9420
@celinamosha9420 2 ай бұрын
Mimi shem wangu Sasa huu ni mwezi wa 8 toka wa kwanza kachukuliwa ki hivyo hivyo siasa msemwa ukonga Mombasa serikali hii mungu AENDELEE kutupa usikivu wa kiroho na akili
@abdallahashajuma1281
@abdallahashajuma1281 Ай бұрын
Tanzania tunaenda wapi sasa mbona inatisha hii si Tanzania tuliyokuwa nayo zamani
@GraceChacha-bx3bq
@GraceChacha-bx3bq Ай бұрын
Jaman watu hatuna aman serikari hizi taalifa haizipati ? Jamani dahaa
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 2 ай бұрын
Jamani mbona binadamu wamekuwa wanyama
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 2 ай бұрын
Serikali inatuteka alafu inataka tuwapigie kura tanzania 🇹🇿 tunahitaji msaada 💔
@tabithalimo2399
@tabithalimo2399 Ай бұрын
Dah😢😢😢
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 2 ай бұрын
Hawa watu wasiojulikana inabidi wakija kumchukua mtu yeyote msishangae na tusiogope iwe police au wasiojulikana wavamiwe na wao
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Hii nchi tukubari wameferi sana viongozi wetu sana tu
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 ай бұрын
Muswali rakaanteni usiku muombe mungu ataewanyia wepesi atarud
@AishaOman-k6f
@AishaOman-k6f 2 ай бұрын
Maaskari.nimajambazi.wakubwa.sasa.aliwafanya.nn
@dayanamsuya6516
@dayanamsuya6516 Ай бұрын
Kuna haja ya kutembea na silaha bora ufe au afe mtu au kama kuumia aumie mtu sio kwenda kizembe unaweza kwenda na usionekane tena
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Ila Mungu yupo nawao watakufatu. Bihidhinillah. Hakuna kitakacho baki katikahi. Dunia. Wanajidanganya tu kuuwa.watu.wenzao.ili kuwauza mafigi.wanawahuwa kwaugumu wakutpka roho kwavisu na mapabga bilaya sababu. 😭😭 Mungu atatujibutu. Nanyi sikuikifika yakufa. Mkatae msife basi msunilie kuuwa watu.
@JastinKessy
@JastinKessy 2 ай бұрын
Jamn Tanzania tumwombe Mungu kwani yeye ndiye mlinzi wetu tusichoke
@richarddavidmk
@richarddavidmk 2 ай бұрын
Hivi haka kamchezo na awamuhii kapo😢
@martinisadru9899
@martinisadru9899 2 ай бұрын
Kwa sasa serikali iruhusu watu watengeneze siraha za moto, na zisajiliwe, ili raia wengi wa tanzania wapate kumiliki, kupunguza wimbi la watekaji.
@Said13Mashakaog
@Said13Mashakaog 2 ай бұрын
😭😭😭😭😭 Tanzania tunaenda wapi nini mwisho wa taifa letu maana kila siku ni majonzi na vilio
@gaspermsunga8686
@gaspermsunga8686 Ай бұрын
Haya mchozi wayalipa CCM.
Человек паук уже не тот
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,4 МЛН
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
MasomkaMagic
Рет қаралды 17 МЛН
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 56 МЛН
Stories About Lawyers | 60 Minutes Full Episodes
54:22
60 Minutes
Рет қаралды 155 М.
Are attitudes towards India’s caste system changing? - BBC World Service
15:09
Человек паук уже не тот
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,4 МЛН