SIKU MPYA NA MWAKA MPYA UNABADILIKA ASUBUHI NA SIO SAA SITA USIKU, NI NENO LA MUNGU LINATUONGOZA.

  Рет қаралды 483

KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI

KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI

Күн бұрын

Пікірлер: 39
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Yohana 11:9 9 Yesu akajibu, Je! Saa za mchana si kumi na mbili? Mtu akienda mchana hajikwai; kwa sababu aiona nuru ya ulimwengu huu.
@barakaleonard9507
@barakaleonard9507 Жыл бұрын
Nimebarikiwa Mchungaji wangu! Asante kwa kusimamia Neno la Mungu kikamilifu.
@faithwangara1642
@faithwangara1642 Жыл бұрын
Amen amen amen .nashukuru Mungu kwa kuniwezesha kusikia haya
@yerusalemutv81
@yerusalemutv81 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu aliye juu barikiwa sana ktk ufunuo huu uliyopewa hakika wokovu halisi ni sasa kuliko tulipokuwa tumeanza kuamini
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Amina Shujaa wa Bwana Wetu Yesu Kristo
@julianawanjala6495
@julianawanjala6495 Жыл бұрын
Amina Bwana Yesu Kristo atusamehee sanaa ...ubarikiwe sana Pastor kwa kutufungua macho
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Amina
@sarahmdindile4301
@sarahmdindile4301 11 ай бұрын
Ee Yesu turehemu,
@quintavitalis926
@quintavitalis926 Жыл бұрын
Amen , Bwana atusamehe , tulimkosea Mungu kwa hizi sikukuuu
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
BWANA ATUREHEMU
@ErnestTomas
@ErnestTomas Жыл бұрын
Kweli kristo ni mwema kwa kutufungua macho, pastor Bwana akubariki sana
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Amina
@shiass2905
@shiass2905 Жыл бұрын
Amen amen amen MTUMISHI WA MUNGU
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@JENNIFERKAJUNI
@JENNIFERKAJUNI Жыл бұрын
Amina sana mtumishi maana yaulimengu ndiyo yanayofuatwa kwa asilimia kubwa nasio kufuata neno la Mungu
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Ni kweli, Bwana Yesu atusaidie sana
@MariaMwasyila-mq6yc
@MariaMwasyila-mq6yc Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi kwa kutungua macho maana
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Amina
@BerylSeer1
@BerylSeer1 Жыл бұрын
Amen Mungu Atusamehe
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Bwana Yesu ni mwingi wa rehema
@sifakarulange
@sifakarulange Жыл бұрын
Amen Mungu atusamee
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana na Bwana Yesu
@SiyaanGaspar
@SiyaanGaspar Жыл бұрын
Ameni amen
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@ErnestTomas
@ErnestTomas Жыл бұрын
Amen
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Amina
@ErnestTomas
@ErnestTomas Жыл бұрын
Ni kweli kabisa,
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Barikiwa sana Shujaa wa Bwana Yesu
@Neemakilimba
@Neemakilimba Жыл бұрын
Eee Mungu nisamehe Mimi nirehemu Baba wambinguni Hii Dunia hii kweli bila Neno la Mungu kulielewa tunaangamia
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Bwana Yesu azidi kukubariki sana
@peterpanyika6810
@peterpanyika6810 Жыл бұрын
MUNGU AKUINUE SANA MNO STAY BLESSED!
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Amina
@revojomo
@revojomo Жыл бұрын
Mimi binafsi nakuerewa sana, kwakweli barikiwa Mchungaji kwa kunyoosha maelezo, wengi wetu tumeiga sana kawaida ya ulumwengu
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@ErnestTomas
@ErnestTomas Жыл бұрын
Mafunuo haya ,ni Roho mtakatifu tu,anayetoa ili kututoa gizani, kweli YESU ni mwema sana
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa Bwana Yesu ni Mwema
@AlfaeliahAlfaeliah
@AlfaeliahAlfaeliah Ай бұрын
Siku inaishia jioni sio asubuhi jua likizama ndo inaanza siku nyingine
@NyangaYohana
@NyangaYohana Жыл бұрын
Amen
@PastorPeter00
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
SOMO:KUVUNJA MADHABAHU ZA MIZIMU KWENYE  UKOO NA FAMILIA :(MFUNGO DAY 19) //20 JAN 2025
1:33:48
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 127
PART 1. ALIUNGWA KWENYE KUNDI LA KICHAWI LA VAMPIRES (MAZOMBI) MSANII BEYONCE KIONGOZI NO 4.
25:10
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 689
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
Ozoda - Alamlar (Official Video 2023)
6:22
Ozoda Official
Рет қаралды 10 МЛН
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.
1 - Kuondoa Mazuio ya Kiroho ya Kimfumo kwenye Mafanikio yako || Mwl Christopher Mwakasege.
3:04:52
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 64 М.
JINSI YA KUTAMBUA SAUTI YA MUNGU NA KUIFATA.
1:05:48
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 240 М.
PART 4. ALIUNGWA KWENYE CHAMA CHA KICHAWI CHA VAMPIRE( MAZOMB)SHARE ILI MAJINA YA WATOTO YATAMBULIWE
28:56
KAMBA ZA UONEVU II Mwl. Aaron Ulaya
2:02:53
INJILI YA WOKOVU TV
Рет қаралды 177
JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
12:39
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 528 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: WAKATI WOWOTE UNAPOHITAJI MSAADA MRUHUSU ROHO MTAKATIFU AKUSAIDIE.
13:05
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 253 М.
PART 3. ALIUNGWA KWENYE CHAMA CHA KICHAWI CHA VAMPIRE ( MAZOMBI ) MSANII BEYONCE KIONGOZI WA 4
30:01
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 398
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН