SILAA ARUDISHA KIWANJA CHA BAKWATA KILICHOUZWA KWA MASAWE, AMFUTIA HATI YA UMILIKI

  Рет қаралды 34,646

Millard Ayo

Millard Ayo

9 ай бұрын

Пікірлер: 75
@soudjumah5529
@soudjumah5529 9 ай бұрын
Hongera sana Comrade Silaa, unasimamia haki mkuu
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 4 ай бұрын
Simple and clear Muheshimiwa Jerry Slaa umeongea Kweli kabisa, ila ninachokiona mimi, baadhi ya watu wenye pesa huamini pesa zao zinaweza kufanya lolote tena kwa njia za fupi , , sasa ni wakati wa wao kupata hasara ,
@hassankajembe4118
@hassankajembe4118 9 ай бұрын
Huyu wazur ni kichwa sana,,anajua kazi yake hongera sana
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 4 ай бұрын
Alafu ana heshima sana anamuiheshimu kila mtu
@hanifamziray277
@hanifamziray277 4 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi pole masawe kwa kununua eneo la bakwata dhambi kubwa sn
@dignakanje4508
@dignakanje4508 9 ай бұрын
Mungu akupiganie kaka mweshimiwa.Hyo mambo yanafanywa sana kupokonya hki zawatu.Viwanja vinabadilushwa mtu anapewa hti tena orgno,naukifatilia utapiga mguu mpka uchoke.
@BJMKANGALA1
@BJMKANGALA1 9 ай бұрын
Asante Mkuu. Umesimama katika ukweli na haki. Umerudisha mali ya Ndugu zetu Waislamu mikononi mwao. Mungu azidi kukuongoza katika utekelezaji wa majukumu yako!
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 5 ай бұрын
Waziri silaa wewe na makonda matajili wanachuki sana kwenu lakini mungu Atawalinda yupo na nyinyi ☝️☝️🤲🤲❤️❤️
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 4 ай бұрын
Kabisa kabisa waendelee mbele mungu atawatangulia
@safiaothman5175
@safiaothman5175 4 ай бұрын
Aamiin
@AbdulmalikFedrick-ct7nb
@AbdulmalikFedrick-ct7nb 7 ай бұрын
Alha akufanyie wepesi inshallah Kwenye uongozi wako ❤ Rais wangu Samia umepata wazili Safi kabisa
@respiciusndyanabo366
@respiciusndyanabo366 9 ай бұрын
I love you Wewe waziri makini sana
@rosehaule6765
@rosehaule6765 9 ай бұрын
Very good in deed❤
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 9 ай бұрын
SLAA HUKO BAKWATA KUMEJAA MATAPELI WATUPU!!
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 4 ай бұрын
Alafu huyu waziri mbali na kutenda haki kila siku ana heshima sana pia
@user-ur4rx1lr6l
@user-ur4rx1lr6l 9 ай бұрын
Huyo alijichanganya alinunua hewa
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 9 ай бұрын
Huyu ni moja ya mzalendo katika Taifa letu MUNGU amlinde kijana huyu na akipata madaraka makubwa huyu ujanja ujanya kwishaaa
@awadhally1052
@awadhally1052 4 ай бұрын
Kwel kabisaaa
@shabanponera2895
@shabanponera2895 5 ай бұрын
Waziri anza na wizarani kuna wafanyakazi sio waaminifu
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 5 ай бұрын
SIJAWAI ONA WAZIRI WA ARDHI MWENYE AKILI NYINGI KAMA UYU DAAAA MAMA UME PATA MTU WALAH UNA KUJA KWAPUPA UNAONDOKA KIWA MPOLE WALIJUA SLAA KAWEKWA LABDA AJUI CHOCHOTE OGOPA SANA MTU ANAE KWAMBIA ANYWI POMBE ATOK KWAKE MDA MWINGI ANAPATA MADIN YA KUWABANA KINA MZEEE MASAWE
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 3 ай бұрын
Anaelewa sana. Na wenye makosa wanaelewa makosa yao. Simple kabisa
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 5 ай бұрын
FIDA HUSSEIN HUKU DAR NI TAPELI MKUBWA WA NYUMBA ZA WANYONGE NA VIWANJA VYAO
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 7 ай бұрын
Yaani huwafuuata wale wenye njaa na kuwa danganya
@HamduniAbdulrazaki-wl5lg
@HamduniAbdulrazaki-wl5lg 4 ай бұрын
Nakuwelewa Sana Jeri slaha
@mpindafamily1496
@mpindafamily1496 4 ай бұрын
jamani wazili sio msemaji wa mwisho .mahakama ndio wenye uwamuzi wa mwisho
@awadhally1052
@awadhally1052 4 ай бұрын
We mjinga kwel mahaka Wakipewa rushwa hawatendi haki anavo fanya wazir ndo sawa
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 4 ай бұрын
​@@awadhally1052jinga hilo halijuwi kama mahakama ndio husababisha hii migogoro
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 7 ай бұрын
Duuu kwelii wewe ni kamanda
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 9 ай бұрын
Piga kazi
@BilalShingwa
@BilalShingwa 6 ай бұрын
Unatakiwa. Uwe waziri. Hadi kufa kwako. Usibadilishwe majukumu
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 4 ай бұрын
Na Urais agombee 2030 anastahili kuwa kiongozi mkubwa wa juu serikalini
@user-ps7kv7lp4m
@user-ps7kv7lp4m 7 ай бұрын
Mh huyu nikiongozi
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 5 ай бұрын
Tembea kama makonda usikilize wananchi
@user-fv4zw5ki3x
@user-fv4zw5ki3x 4 ай бұрын
Mungu amekutuma kwa wanyonge
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 5 ай бұрын
Aina yamakonda itatusaidia sana
@salummussa9871
@salummussa9871 7 ай бұрын
Slaaa kijana wewe ni mrema,, sokoine,, magufuli ,,
@zariadunia6328
@zariadunia6328 4 ай бұрын
Viongozi wetu wa dini mungu anawaona
@mussakiligaliga4348
@mussakiligaliga4348 4 ай бұрын
Mheshimiw kumbuka uwanja wa bakwata pale uwanja wa bakwata
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 9 ай бұрын
MANGI PAMOJA NA UJANJA WAKE KAINGIZWA MJINI!
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 7 ай бұрын
Shida huwafuata wale wenye njaa na kuwa danganya
@Skyboyofficial61
@Skyboyofficial61 4 ай бұрын
Wakili njaa huyo nayy apigwe ndan
@MohamedKinega-jt4vi
@MohamedKinega-jt4vi 7 ай бұрын
Mbona hvyo viwanja vya taasisi kimojawapo ni kile cha lango la jiji kilichopo barabara ya kigogo hapo mikumi kwani kina kesi ya taasisi kinataka kiwanja chao lakini majibu ya kesi hayaendi kwenye haki
@YaeLondon-xy7sh
@YaeLondon-xy7sh 9 ай бұрын
Karatu Bibi yangu tajiri kununua kiwanja Kwa kijani wa Bibi yangu tunaomba msaada wako maana Kamishina wako na viongozi wa wilaya ndo wanaoo zulumu
@NOORMOHAMED-sg9lo
@NOORMOHAMED-sg9lo 9 ай бұрын
Bakwata na juwakita vitu 2 tafauti. Halafu mbona mnaleta uwajibikaji wa viongozi kama ni habari? Mmekuwa hamna nidhamu kabisa. Nchi hii imekosa nidhamu
@furahamwaseba7910
@furahamwaseba7910 9 ай бұрын
Mkuu tembelea na mkoa wa manyara hapa babat watumishi niwajeur wanazulumu maeneo ya watu tunakuomba maeneo ya makatanini
@HamduniAbdulrazaki-wl5lg
@HamduniAbdulrazaki-wl5lg 4 ай бұрын
Inshu izo ziko kibao
@beatricemush
@beatricemush 9 ай бұрын
Mzee Abubakari Tunaomba utumie Hekima utu Umrudishie Bwana Fhilipi Massawe Gharama Zake.
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 7 ай бұрын
Waislm wa Bakwata wanajiita viongozi ni wezi hawataki kufanya kazi
@geraldemanuel3613
@geraldemanuel3613 9 ай бұрын
Mfanyakazi wetu uje na Arusha urudishe eneo la azimio arusha sakina ccm wamechukua
@hajjisanga789
@hajjisanga789 7 ай бұрын
Sio serekali ya dini fulani yeye ni kazi yake uwe mkiristo au muislam kama ni kiongizi unafata sheria hata kama ni baba au mama ndugu zako kwahiyo suala kuwa mkiristo au muislam halina nafas
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 6 ай бұрын
Slaa wewe ni JEMEDALI wa VITA
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 5 ай бұрын
Usghasema masawe mwizi tu huyo
@sciencesocietyoftanzania5957
@sciencesocietyoftanzania5957 4 ай бұрын
Inamaana hujasikia kauziwa na Abubakari?
@paulmushi2428
@paulmushi2428 9 ай бұрын
Waziri Mkristo kaokoa Mali ya Waislamu tena kutoka Kwa Mkristo mwenzake, wasivyo na shukrani kesho kutwa utakuta Waislamu hao hao wanamshutumu Waziri.
@fatumasukwaju226
@fatumasukwaju226 9 ай бұрын
Kazi unayo .uislam unakukeleketa haswa.karibu ktk dini ya haki ujachelewa.
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 9 ай бұрын
Acha uchochezi
@andrewkissavah8272
@andrewkissavah8272 9 ай бұрын
Hakuna dini ya haki bali ni dini ya hasara ,viongozi wa hasara kama hawa wa uza bandari ,mbuga za loliondo na kuwaondoa wa masai katika aridhi yao
@hassankajembe4118
@hassankajembe4118 9 ай бұрын
Wew paulmushi ni mpumbavu sana,,huyo Wazir hakufuata uduni hapo!!amefuata haki na sheria!!Rudi darasan hauna kitu kichwani mjinga wew
@hassankajembe4118
@hassankajembe4118 9 ай бұрын
Mnawaza udini udini!!hiyo Elimu ya dini yako unayo kichwani!!inakufundisha nn dini yako!!?nin hekima,busara, heshima,na unyenyekevu!?some vitabu vya dini Kisha muijue dini ni Ipi?!ndipo mtoe maoni yenu...ni aibu..sana.dini dini dini,unaelimu yakutosha kuhusu hiyo dini yako!??
@beatricemush
@beatricemush 9 ай бұрын
HAKIKA BWANA ABUBAKARI KWA ITAPELI HUO MTAFUTE BWANA MASSAWE ILI UMRUDISHIE GHARAMA ZAKE.
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 19 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 56 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Why Starbucks Is Struggling
12:06
CNBC
Рет қаралды 553 М.
HALI ILIVYO MSIBANI, MAZISHI YA SAULI ||  RATIBA YATAJWA
3:24
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4,3 М.
VIDEO YA MAKONDA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE ARUSHA
2:20
masta tz
Рет қаралды 30 М.
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 19 МЛН