Mungu akuepushie hayo mawazo mabaya aisee na wote waliokosa majibu na utatuzi wa matatizo yao😢
@kulwankuba27857 ай бұрын
Makonda na huyu mkuu silaa mungu awasimamie katika maisha yenu.
@joycekisamo48967 ай бұрын
Hongera sana Mheshimiwa kwa kufanya kazi zako kwa moyo wako wote, kutumia taalama, na kwa kufuata haki. Umejaliwa usikivu, na hiyo inakusaidia sana. Kila la kheri 🙏🏽
@johasaeed3917 ай бұрын
Aisee kwakweli nimelia
@hildajoel57 ай бұрын
Kuna nyakati unaweza kupita kama huna mtu sahihi wa kuongea nae haki unaweza kufanya maamuzi ya ajabu. Huyu kaka alifika mwisho wa akili yake ya kawaida ni nadra sana kumuona mwanaume analia hivyo mbele za watu.Uchungu aliobeba ni mzito.Mwenyez Mungu tujalie kila mwenye changamoto iliyomzidi uwezo amuonyeshe neema na njia ya kupita iliyo sahihi.Haya maisha yana mambo mengi sana😢Nyumba amejenga zaidi ya miaka 19 inavunjwa kimakosa na watu hawana habar aiseee😢😢😢
@absm80847 ай бұрын
Duuuh huyu waziri mbona naona huruma😢😢😢😢😢 Mungu Baba wa Mbinguni Akutunze MHESHIMIWA❤❤❤❤
@augustinesombi62857 ай бұрын
Utendaji kazi wa Mh. Jerry na Rc Makonda, naomba watumishi muige,, tuache kujijali wenyewe kwa mamlaka tuliyopewa, kuna kifo na hukumu, tusisahau.
@susanwambui63617 ай бұрын
Kazi nzurii mhesimiwa👏👏
@GiftSisso6 ай бұрын
Yaani mama Sania Rais wetu mpendwa hakika Mungu akubariki, akusamehe mapungufu yote kama mwanadamu akulinde uendelee.kutuongoza mama. Kama kuna faraja umetupatia ni outuletea kijana mh. Waziri Silaa waziri wa Ardhi na makazi. Kijana msomi, mnyenyekevu, muungwana mwenye hofu ya Mungu.na nchi pia. Barikiwa mama tunakupenda, Barikiwa Silaa tunawaombea. Endele3ni iuwatetea watanzania.
@neemanziku54037 ай бұрын
Hongera Sana jerr silaa tunakupenda mno Mungu akutunze
@rehemaadam41027 ай бұрын
Mdogo wangu Silaa Mungu akubariki kwa upendo wako mimi nilizurumiwa eneo langu la biashara Mikumi na mama mmoja wa kichaga na nilimshinda kesi Mahakama ya Rufaa Kilosa kwa pesa yake nikanyinwa haki yangu😭
@christainc.52177 ай бұрын
Mutafute makonda kaka atakusaidiy
@vickyshayo78807 ай бұрын
Jerry kaletwa Na Mungu tuendelee kumuomba jamani pole Sana mwanangu kwa kweli umeumia
@jumapiliissa48357 ай бұрын
Muheshimiwa M/MUNGU akulinde sana na aendelee kukupa hekima uliyonayo kazi njema
@AmAl-x9j7 ай бұрын
Waziri hongera na mungu akubariki,,, Naomba uje na kwetu kibaha,,,kata ya kidimu, Tumezuiwa kujenga ili kupisha ujenzi wa bara bara nane,,miaka Sasa imepita,,Hadi tuna zeeka,Kila siku tunapigwa tarehe tuu ya kulipwa pesa zetu za fidia,, Baba tunaomba uje kibaha jamani,,
@mr.yahzadochuno79147 ай бұрын
I love this man
@fatmamati52467 ай бұрын
Allah akubarik muheshimiwa na akulinde na kila hatua unayo piga amiin
@StellaWaillu7 ай бұрын
Mungu akulinde mh Jerry
@janetchinga6957 ай бұрын
Nakombea waziri Stra mungu akulinde baba uishi myaka mingi usizeke akaraka ufanyekazi apaduniani ❤❤❤❤ from Capetown South Africa
@muniraahmed6247 ай бұрын
Asee imeniumaaaa Sanaa nimeliaaa ma mm 😢😢😢 huyu jamaa namfaham anauza cheni pale stendi
@SaidinaSaidi-v5q2 ай бұрын
Hii imeniumiza.broo pole sana
@ireneimbuhira77597 ай бұрын
Feel his pain 💔 😢👏 pole sana kaka
@mwanakombopopo51177 ай бұрын
Duh paka machozi yanitoka 😭😭😭 ya Allah tuhurumie waja wako hasa ss wanyonge na atujalie kupata tutakacho weza kunitumia kwa njia ya haki sio chakudhumu watu wasio na atia
@malietamaliet7 ай бұрын
Nyie nimejikuta nalia jmn 😢bduuh hii Dunia mwenyezi Mungu atusaidie aki pole kaka etu baba etu alifariki 2003 akatuacha na mama pekee ndugu zake wakachukua Kila kitu mashamba alikua na maboti wakachukua ila adi sai Mwenyezi Mungu kamsaidia mama angu adi kutufikisha apa azid kumpa maisha marefu mama angu mzazi 🤲🙏 amen 🙏
@RehemaMlowe-k6tАй бұрын
Pole sana ,waziritatua hayo
@mwantumuhassani50867 ай бұрын
❤ mwenyezi mungu akulinde silaha
@fifo2627 ай бұрын
Mungu tusaidie na ugumu huu wa maisha tunaopitia
@THOMASMAYOGU-vu5ny7 ай бұрын
Hongera sillaa❤❤❤❤❤
@ruthleonard29587 ай бұрын
Nimelia jaman.. Dah katika yote Mungu yupo
@safiaothman51757 ай бұрын
Pole kaka Mwenyezi Mungu yupo nawe.
@JescaMuyabi-ix8ly7 ай бұрын
Pole Sana
@MonicaDamsoniMonikaDamsoni7 ай бұрын
Mungu akubari sana kaka
@neemaneychricious64937 ай бұрын
daaah mwanaume mpka alie ameumiaa kwel mwenyew mpka nimelia daaah pole sana broo na mweshimiw hii ndio talantaa umepew na Mungj na Mungu akutetee piah
@SaadiyaMohammad-og5bg7 ай бұрын
Goog wazire hakee huyo bro amitowa machozia apatea hakee yake naww wazire mungu takulipa
@naigeorge77657 ай бұрын
MUNGU akutunze Mh.waziri.Tunakuombea
@mahmoudhamisi6737 ай бұрын
Dah jamaa kanifanya mpaka na mm nalia
@boniventurehussein72767 ай бұрын
Makonda kuja Arusha tunashukuru jer slaa pia Mungu akulinde tunanyanyasika
@OllerDesononline63337 ай бұрын
Kaka Allah akulinde n wakuache ktk kitengo hicho hicho. Naimba serikali kwahlo. Insha'Allah
@PASCHAL-kh8qp7 ай бұрын
Kazi nzurii mheshimiwa wazir
@Josephineexsuper7 ай бұрын
Pole sana kaka...Arusha Kuna maumivu sana...mh.waziri Rudi umalizie kiporo Cha clinic. KUMBUKA ulituahidi...tuna maumivu makubwa sana
@suleymanimixkatafighter26697 ай бұрын
Mh silaa nafanya kazi nje,ma sanaa ameokoa uhai wa kijana
@FrankMunisi-c8v3 ай бұрын
Ogera sana mkuuu akika wewe nikiogozi mtetez wanyoge mungu akubalik sana
@eddietaxidriverzanzibar43957 ай бұрын
Hii Safyy MuheshmiW 🔥🔥🔥👏👏
@thomastemu33327 ай бұрын
Inauma 😢jamani mungu akutie nguvu waziri wangu
@RamadhanKichele7 ай бұрын
MAMA etu SAMIA Hawa ndo mawaziri wakuwakumbatia na watakao kuvusha. Achana na mawaziri wale wenye swager nyiingi mdomoni lkn hawana uchungu na mateso wanayo pitia wa TZ
@ashuramuhammed32577 ай бұрын
Huku Zanzibar hakuna viongozi kama Hawa why kwel zenji si nchi zuluma tupu huku #
@Natashawaziri-bv2xl7 ай бұрын
Wallah tunaumizwa sana ktk hili
@eddytheophil76267 ай бұрын
Pole sana brother..
@LeonardChacha-it2pb7 ай бұрын
Jaman viongozi mjitathimin dhambi mbaya sana hiz,
@MonicaJulius-l1m7 ай бұрын
Ooh lord, it's so painful, but God is good
@johasaeed3917 ай бұрын
Jamani 😢😢😢😢😢😢😢 uwiiiii nakufa kwa uchungu nilivyo hapa nataabika kutfuta pesa nimalize nyumba yangu alafu nizulumiwe jamani inauma sana
@chany99507 ай бұрын
Nimejikuta naria 😭😭 pore baba🙏🏾
@RASHIDEDDIE7 ай бұрын
Mwenye kujua njia ya kumpata muheshimiwa naomba connection yake please sababu hata sisi na familia yetu tumezurumiwa vya kutosha na tunatamani tupate haki zetu
@ismailchibonda50057 ай бұрын
Aise dah! Inauma sana
@rewardyesse73147 ай бұрын
Hata ningekuwa mm slaa ningelia,,ni machozi flani hivi yanakutoka baada kugundua ulifanya jambo lililobadilisha maisha ya mtu bila ww kujua,,,hotuba imeleta tumaini
@njuka35157 ай бұрын
Huo ndio uongozi sio ule wa kukaa kwenye viti ofisini
@MadinaIssa-x5g7 ай бұрын
Yaani inauma sn uje na dar es salaam mkoa wa pwani kibaha uku niatari mh
@babazungu31807 ай бұрын
Tatizo letu sis watanzania hatupendan kabisa roho mbaya ndiyo inatumiuumiza sn
@ajaykilawah26227 ай бұрын
Imargin slaaa waziri mkuu na makonda raisi wanchi😅😅
@LudovickTibakyenda-gs2wh7 ай бұрын
Makonda waziri Mkuu, Jerry Rais
@MariaChiwaligo7 ай бұрын
Hata cc shamba letu limeuzwa kitapeli .. cijui nampataje
@reginamtitu55927 ай бұрын
Ayo TV nawapenda sana naomba na mimi mnisaidie mimi na mme wangu tunateseka tunaishi kwashida naomba mnisaidie
@ahmesaofficial96117 ай бұрын
Mitaaa ya kibaha (kidimu) piaa wananchi wanateseka na masuala ya Ardhi
@jareengeorge54787 ай бұрын
Hao watu Mungu awalaani.wanaoumiza watu.
@zabibubashiri30347 ай бұрын
Daah nnamwelewa huyu kaka tunatafuta kwa shida sana mtu kujakukupora ulichokipambania mhm
@fifo2627 ай бұрын
Da ! Mambo magumu
@abedysteven49307 ай бұрын
Aisee ila haya maisha bana Kama Huna pesa 2tateseka xana dah😭😭😭
@christaoman88907 ай бұрын
Kwa kweli muheshimiwa Silaa kwapamoja muendelee kuungana na Makonda ili muwanyooshe mabepari na makabaila yanayodhulumu mali za watu
@ashahassan21205 ай бұрын
kwakweli huyu waziri namakonda mungu akuweke na awalinde na madui zaidi yayo 😂
@ElihurumaThomas-kz8nq7 ай бұрын
JERRY SLAA NI KIONGOZI MZURI MUNGU AMPE NAFASI KUBWA ZAIDI KATIKA NCHI YETU
@kamrudinelias39227 ай бұрын
2025 nje nje au!!!!!
@EsterMbise-pj4vd7 ай бұрын
Jamani huu ni wakati wa mungu kuwasaidia watu mungu aendelee kuwalinda jamanimsaidie watu
@MagdalenaMatiko7 ай бұрын
Mungu hajaruhusu kifo chako
@denisrukangula22277 ай бұрын
Ukiona mwanamume analia ujue kaumia sana
@MrishoHussein-oz9nr7 ай бұрын
Mh mmungu akulinde maana kupambana na manyangau kazi ngumu sana lakini kwa uwezo wa mmungu utashinda vita hivi
@paulinakiria79187 ай бұрын
Huyu kaka ameongea Kwa uchungu
@ChescoTembe7 ай бұрын
Najiuliza maswali mengi sana Ivo chain ile inafanana nini hawajui wajibu wapi au
@frankazalia59857 ай бұрын
Polèe sanaaa aseeee
@GervasLyimo-f7p7 ай бұрын
Nchi ya mateso tupu, Jumatatu hadi Jumapili. January mpaka December.
@ramadhanisalum38987 ай бұрын
Hapa paul makonda pale jerry silaa wee spana watakula wale wezi na wapenda rushwa
@honoratusmodest2857 ай бұрын
Mimi nimezulumiwa eneo langu lindi jelii njoo lindi
@LovelyOmbreSky-pu4jt7 ай бұрын
Hii ndiyoo tanzania ya sasa mwenye pesa anakuwa na mamlaka ya kufanya lolote lakini Kuna baaziya viongozi wachache wanajaribu lakini mmmm itakuwa ngumu sana coz wapo wachache kuokoawanyonge
@giftyjohn38527 ай бұрын
Haya mambo ya kisenge kisenge tutakuja kuuana siku moja😭
@mswadikinamambo22767 ай бұрын
Mkuu, habari tunachangamoto ya mgogoro wa ardhi nyumba zetu zinavunjwa bila utaratibu elekezi tunamuomba mheshimiwa silaa namba zake nasisi tutoe kero zetu, matatizo ni mengi sana yanatuandama wananchi
@youngtomuller-vh2pu7 ай бұрын
Sinto muito mas Allah vai ti perdoar insha-Allah 😢😢😢
@ArafaJafari7 ай бұрын
Dah 😢😮
@barakadaprince37427 ай бұрын
So painful 💔 😢
@Natashawaziri-bv2xl7 ай бұрын
Daaah
@dr.phormenykishaija65087 ай бұрын
Da😪
@teddyndungurusabnu47927 ай бұрын
hapa Paul makonda,, pale jerry siraha we huogopii😅
@imanimussa62567 ай бұрын
Watu km huyu wazir hawakushuka tu bali ni malezi mazur na utu wa wazee wake Mungu atuekee kizazi hichi chema
@frankdablacknation20577 ай бұрын
Mungu ndio tumaini la mioyo yetu na si kitu aina chochote
@FaridaKaduguda6 ай бұрын
Duuu sasa sisi huko kigoma tumedhulumiwa. Na hatujui tuanzie wapi?
@SayiMadaha-fq7tu7 ай бұрын
Mm napongeza wote mulio mupongozi wazir huyu
@KassianChengo7 ай бұрын
Mheshimiwa kuna Eneo la Kimele kule Bagamoyo karibu na Shule ya BAOBAB kuna ukatili watu wanadhurumiwa viwanja na pesa na watu wanaojiita Kamati ya Ugawaji wanauza viwanja mara tatu,nne mpaka hata mara saba msaada wako Mheshiwiwa.
@Zainab-sq1tc7 ай бұрын
Yaaan nch yetu jomon dhuruma kila kona
@NixonJohnson-zn8nk7 ай бұрын
Mimi sijiui nitaua... Weeee mtu asiniletee umwamba nitampotesa ili na Mimi nipotee sio nipotee ni la wao
@mohamedkitemwe35697 ай бұрын
Inaumiza sana
@bensonwissa57777 ай бұрын
Kuna wananchi wanateseka Sana so sad😢
@karolikisaka89917 ай бұрын
Ccm hutengeneza tatizo halafu waje walitatue kupata kick. Hili eneo kesi imechukua miaka zaidi ya 30 je serikali ilishindwa kutumia busara. Kwa tulioona hili eneo kiukweli inauma sana
@joycekisamo48967 ай бұрын
Masuala ya Ardhi kuchukua miaka si ajabu. Lakini usisema tatizo limetengenezwa litatuliwe! Mheshimiwa Waziri anafanya kazi zake kwa moyo na haki. Acha kumtuhumu kwani hujui ufanyaji wake wa kazi. Jiongeze zaidi.
@nassercurtis95797 ай бұрын
Huna akili wewe mpumbavu, kila kitu ccm, huyu jamaa ni kijana na muadilifu hana njaa na hatokei kwenye njaa na kwao yeye peke yake ndio mwanasiasa, malezi na maadili mema na hofu ya Mungu ndio humpelekea kuwa hivi, ila hata makonda nae si kijana? Na kazi yake si inaonekana? Tuliwaamini wazee ndio walitufikisha hapo na wala si maswala ya chama.
@KS-iw7qv7 ай бұрын
Akili za kufikiri ujinga 😢😢
@TumbaBolengeinnocent7 ай бұрын
Uyu ndo magufuli wapili nazani watu sahi Bado wapo
@ReginaManyangu7 ай бұрын
Kbs
@judyngowi3917 ай бұрын
Tuwaombee sasa hawachelewi kuwaondoa
@stevenemwakasimba-pt8er7 ай бұрын
Msihamishe huyu kijana yupo serious sana kwenye hii wizara ya ardhi