WAZIRI SILAA AINGILIA KATI SAKATA MGOGORO WA GREENHOOD BAGAMOYO | AWATAKA WANANCHI WASIZUE TAHARUKI

  Рет қаралды 2,852

RAI TV

RAI TV

23 күн бұрын

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa muda mrefu kati ya wananchi na mwekezaji toka mwaka 2004 wa shamba Na.2126 & 2127 linalomilikiwa na kampuni ya GREENWOOD FARM LTD lililopo katika kijiji cha Makurunge wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani ambapo kampuni hiyo ilimilikishwa mashamba hayo toka mwaka 2004.
Waziri Silaa baada ya kupitia nyaraka pamoja na kuwasikiliza wananchi hao amewataka wasizue taharuki katika eneo hilo wasubirie maelekezo ya serikali kwani wao ni wavamizi na eneo hilo ni milki halali ya kampuni ya GreenWood.
Aidha Waziri Silaa amesema mashamba hayo yalimilikishwa kwa Kampuni hiyo kulitokea baadhi ya wananchi waliopinga umilikishaji huo kwa madai kuwa hawakilipwa fidia lakini sehemu nyingine za mashamba hayo haya kuwa na madai yoyote.
Pamoja nahilo wananchi wengine waliendelea kuvamia nakujimegea ardhi ndani ya mashamba hayo. Inakadiriwa kuwa ndani ya mashamba kuna wavamizi zaidi ya 800.
Halmashauri ilianzisha utaratibu wa kufuta umiliki wa Mashamba hayo ambapo mwaka 2022 mapendekezo ya ufutaji wa milki ya mashamba hayo uliwasilishwa Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Pwani kwaajili ya hatua zake muhimu.

Пікірлер: 2
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 22 күн бұрын
Mimi ndio kwanza najitafuta Sasa naona ni muhimu kuwa na mwanasheria wangu sasa
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 22 күн бұрын
Hii tabia ya kuvamia maeneo ya watu imeshamiri mno Tz,na sio eti kuna matatizo ya ardhi kwani wengi wao wametoka mikoani wameacha maeneo yao makubwa tu na kuja kubanana mijini na kusingizia hakuna maeneo. Na pia wa Tz tunapenda mno vya bure,na kutokujali sheria.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 83 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 474 М.
WAZIRI AKUTANA USO KWA USO NA MBABE WA ARDHI, HAKI YATENDEKA
10:36
NTV Tanzania
Рет қаралды 77 М.
我说我不是故意的,你们信吗
0:25
侠客红尘
Рет қаралды 26 МЛН
Вся страна в очередях, а ты без очереди...
0:52
МиRRные Чувства
Рет қаралды 2,3 МЛН