Simba 3-1 Singida Big Stars | Highlights | NBC Premier League 03/02/2023

  Рет қаралды 884,702

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 238
@ktwentynine4985
@ktwentynine4985 Жыл бұрын
Chama moyo wa Simba 💥💥💥💥💥
@teacherd
@teacherd Жыл бұрын
Toka lingi imaeanza hii nimechi yangu Bora ya msimu🔥🔥🔥🔥🔥
@joycemihila4988
@joycemihila4988 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️💪💪
@jacobnduya798
@jacobnduya798 Жыл бұрын
What a perfomance for Simba players, hii ndio tafsiri ya timu kubwa africa 👋👋 mwaka huu simba watanya makubwa amen
@luqman4030
@luqman4030 Жыл бұрын
Wakidroo tu mech moja mnawaita ma bomonda😂
@baumbachogero9410
@baumbachogero9410 Жыл бұрын
Kama wachezaji wetu wa SSC wangecheza as a team na kwa ushirikiano wa hali ya juu na kupunguza UMIMI NA UBINAFSI, at least magoili matano yangewahusu hawa SBS.
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Жыл бұрын
Kwa sababu ya simba leo hii Ligi yetu ipo no. 5
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
Chama simba hiii bongo batimbaya🔥🔥🔥🙏🙏🙏🤣🤣🤣👇
@mwaijalaizer1613
@mwaijalaizer1613 Жыл бұрын
Video namba 3 on trending😅🎉
@ghasukajoseph6595
@ghasukajoseph6595 Жыл бұрын
Thank God 🙏 this is Simba
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Жыл бұрын
Namna alivofunga Baleke inadhihirisha uwezo wake♥️
@nabiibrahim6120
@nabiibrahim6120 Жыл бұрын
kabsaaaaaaaaaa
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Жыл бұрын
The MVP chama 🐐❤️
@josephmugala1970
@josephmugala1970 Жыл бұрын
Baleke forward ⏩⏩⏩ ya kweri
@deleejn5128
@deleejn5128 Жыл бұрын
Kumbe wale sio wabrazili ni wambulu bhana...this is SIMBA🔥🔥🔥
@saudangalawa7357
@saudangalawa7357 13 күн бұрын
Simba on fire 🔥🔥🔥
@alikokayange1089
@alikokayange1089 Жыл бұрын
Huu ndio mpila wa Simba,ninaoujua, hongera wachezaji,na benchi la ufundi na mashabiki kwa ujumla.
@faridamuniss6465
@faridamuniss6465 Жыл бұрын
Wamefanya kazi nzur sana hakika
@eastafricabrokerkiller8028
@eastafricabrokerkiller8028 Жыл бұрын
Huyu kocha wa simba yuko vizuri sana anajichanganya na wachezaji vizuri sana naamini hii timu itakua na deeper energy connection sana zaidi ya hii siku zijazo.. wakiendelea hivi.
@shabanmfangavo4973
@shabanmfangavo4973 Жыл бұрын
Azam mnafel sana kwenye baadhi ya mambo, maana ya highlights ninkuonyesha matukio yote muhimu yaliyotokea kweny game, lkn naona kuna matukio mengi tu mmeyaacha kama Open chance alokosa baleke, pamoja na goli lililofungwa likaambiwa offside, that's was very important events kwenye highlights ya dakika 20
@adilhabib8988
@adilhabib8988 Жыл бұрын
Tengeneza tv yako mtandao wako halafu utoe hizo kasoro
@dominickmahela1581
@dominickmahela1581 Жыл бұрын
Fact
@hujjatulasrsocietyoftanzan8420
@hujjatulasrsocietyoftanzan8420 Жыл бұрын
Mbona ipo mzee sema mwishoni
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu Жыл бұрын
We chizi kuna live na marudio
@abdulmwangu1298
@abdulmwangu1298 Жыл бұрын
Yanawekwaga matukio ya muhimu sababu yakiwekwa yote ni dakika 90 saaa hio
@ridhwanrashid6473
@ridhwanrashid6473 Жыл бұрын
Ila tuache mzaha ,baraka mpenja anajua kutangaza jamani.
@mamalamama7010
@mamalamama7010 Жыл бұрын
Sakho ni fundi ❤❤❤❤❤
@nasmahkhalfa1337
@nasmahkhalfa1337 Жыл бұрын
Ata haturingiii🦁🦁🦁🦁
@petroerinest6962
@petroerinest6962 Жыл бұрын
What a goal for sakho!🙆‍♂️
@peterchidakwa9436
@peterchidakwa9436 Жыл бұрын
Saido the best from Burundi
@gnasnassary9475
@gnasnassary9475 Жыл бұрын
Unyama unyamani 🦁🦁🦁🦁🦁✔️✔️
@iddmtimi7920
@iddmtimi7920 Жыл бұрын
Asante sana makocha wangu kwa kuwafundisha mpira mzur
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Жыл бұрын
Huyu chama itapita miaka mingi mnoo kumpata kwenye hii ligi
@idaiaseverino3769
@idaiaseverino3769 Жыл бұрын
Simba ni baba lao🦁
@AbuubakarJuma-se9cp
@AbuubakarJuma-se9cp Жыл бұрын
Baraka mpenja anajuw sana apew mauwa yak 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
Team nilie tokea kuipenda kama mke wangu
@edouardniyongabo9436
@edouardniyongabo9436 Жыл бұрын
Simba is simba coz there is a lion n39 Saido Ntibazonkiza 🇧🇮
@zabronmbalwa9225
@zabronmbalwa9225 Жыл бұрын
Bilian is back
@azizamihungo9659
@azizamihungo9659 Жыл бұрын
Kiukweli Baleke apewe Rushyna
@samuelmlapwa7858
@samuelmlapwa7858 Жыл бұрын
Nimejikuta nacheka tu
@narymwamba7723
@narymwamba7723 Жыл бұрын
😆😆😆😆
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Жыл бұрын
Dah 😂🤣🤣🤣
@kingcole60
@kingcole60 Жыл бұрын
Daaah 😂
@tumaintarra9960
@tumaintarra9960 Жыл бұрын
Hongeren watani
@tunsumemwakinyuke661
@tunsumemwakinyuke661 Жыл бұрын
Asante
@babdulla3779
@babdulla3779 Жыл бұрын
Sante
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
Timu kubwa ni timu kubwa tu, Simba nguvu moja.
@annastaziaandrea9789
@annastaziaandrea9789 Жыл бұрын
Ee mungu wajaalie wachezaji wetu waweze kuwa na maelewano zaidi ktk kazi yao kimaongezi ,kiuchezaji,na zaidi upendo udumu ck zote
@jumamenge2
@jumamenge2 Жыл бұрын
Simba to the world
@fredysosiya345
@fredysosiya345 Жыл бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@kingcole60
@kingcole60 Жыл бұрын
Wanalunyasi 🦁🦁🦁
@timadex1019
@timadex1019 Жыл бұрын
That volley goal is superb and it kills the game!
@slimmtani8236
@slimmtani8236 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥Simba
@murisaliyahaya8584
@murisaliyahaya8584 Жыл бұрын
Alafu anatokea popoma mmoja anakwambia chama hajui mpira
@mwanajumaraso4637
@mwanajumaraso4637 Жыл бұрын
Alhmdhulillah
@jacksonmenas6026
@jacksonmenas6026 Жыл бұрын
Azam mmechelewesha Sana hii kitu
@kisitotatiya5347
@kisitotatiya5347 Жыл бұрын
Imagine
@mosenrecords5562
@mosenrecords5562 Жыл бұрын
Trending hatariii
@thomasfrankie1739
@thomasfrankie1739 Жыл бұрын
Mashabiki wote wanaoshabikia manyokanyoka aka utopolo mkae kwa kutuliaa mwenye Mpira wake anakula
@kaburaakbar4838
@kaburaakbar4838 Жыл бұрын
simba baba lao
@sandravisram461
@sandravisram461 Жыл бұрын
Simba nguvu moja
@bedabenson6576
@bedabenson6576 Жыл бұрын
Huu ndo mfumo ambao Simba iko comfortable
@nguombagalarang3jfashioncl524
@nguombagalarang3jfashioncl524 Жыл бұрын
Ira Chama 🤣🙏 Bac tu Murungu ankare pamozi na Imwe 🙏🙏🙏
@moreenmichaelmichael1079
@moreenmichaelmichael1079 Жыл бұрын
Walimtemwa chama
@joelmsella7975
@joelmsella7975 Жыл бұрын
This is simbaa,,japo beki bado haijakaaa sawa,makosa mengi wamefanya
@ayoubsemundi6038
@ayoubsemundi6038 Жыл бұрын
Credit to commentator 1 #Baraka Mpenja na commentator 2 #Ayoub hinjo
@rahmahassan6534
@rahmahassan6534 Жыл бұрын
simba damu
@michaeltungu1600
@michaeltungu1600 Жыл бұрын
Hatareee
@radhiakabyero3223
@radhiakabyero3223 Жыл бұрын
Singida wamechezeshwa kama watoto
@dryna9512
@dryna9512 Жыл бұрын
Azam ni mbwa hawa 2naonyesha support afu mnafanya kaz chin yaviwango au mnavisa na simba
@salomelucas7218
@salomelucas7218 Жыл бұрын
Niceeeeeee
@kiutamambi8514
@kiutamambi8514 Жыл бұрын
SIMBA mnatIsha
@GodfreyMushy-nq9sv
@GodfreyMushy-nq9sv Жыл бұрын
❤❤❤
@rhodamboje7156
@rhodamboje7156 Жыл бұрын
Wa kwanza
@gaudencehaule7398
@gaudencehaule7398 Жыл бұрын
LEO AZAM MEDIA WAMETUKOSEA WANA SIMBA WOTE NCHI NZIMA🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️😖😖😖😖
@johngerald4677
@johngerald4677 Жыл бұрын
Kagere bado yuko simba
@cityhuntermkali2468
@cityhuntermkali2468 Жыл бұрын
Chama
@StarDugs
@StarDugs Жыл бұрын
05:38 kagere nyieeee nyieee😁😁
@angelasenga5800
@angelasenga5800 Жыл бұрын
Duuuh trending 2
@mkohoexperience7322
@mkohoexperience7322 Жыл бұрын
Singida sijui kuna shida gani, wanaleta competition mwanzoni mwa mechi wanaonana fresh ila baadae wanalowa, imetokea kwa Yanga walivyoshinda nne na hata hii, we need competition ya hatari watu wengi wapende timu za kwao ligi izidi kupanda, namba tano naweza sema si kiwango chetu sisi ligi hii ni ya moto zaidi upande wa media hata utayari wa wachezaji wa kigeni kuitamani ligi hii VIVA TANZANIA
@midahdivver
@midahdivver Жыл бұрын
AZAM ACHENI ROHO ZA CHOYO ZILE PASS ZA MAUDHI MMEZITOA MNATAKA MKAJIKANDIE KWA MAUDHI SIMBA WALIYOWAPA TUONESHE KUANZIA DAKIKA YA 88 MPK YA 93 TUNASHIDA NAZO ACHENI ROHO MBAYA
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Жыл бұрын
Wachezaji wa simba wanawaka waka kudadeeki kule utopolo sikuiz hata goli halingii wavuni bila fei toto
@teresiamgimba5498
@teresiamgimba5498 Жыл бұрын
Hii ndo simba tuliyoizoea hongereni simba ila mabao mengi tumeyakosa
@katoivan8212
@katoivan8212 Жыл бұрын
Simba in Simba tu
@monicachacha455
@monicachacha455 Жыл бұрын
Waaaaaooooo
@abeidkarume1644
@abeidkarume1644 Жыл бұрын
Kikosi cha singida
@massangamaulidi3383
@massangamaulidi3383 Жыл бұрын
Jamani tushakubaliana wana simba chama apewe rushyna mchana kweupeee, bila hatar mahali
@benjaminidanielduday5543
@benjaminidanielduday5543 Жыл бұрын
Kimsingi azam tv mnafeli Sana kwa stail hii ya leo
@gloriakalisa
@gloriakalisa Жыл бұрын
Dst wachukuwe haki tu..atujafaidi kitu leo
@bnttv8955
@bnttv8955 Жыл бұрын
Mlitaka waweke mechi yote
@peterchidakwa9436
@peterchidakwa9436 Жыл бұрын
Saido
@honeem
@honeem Жыл бұрын
Hatutaki tena kusikia habari za Kibu hapa!Kikosi hiki kikilindwa kinaweza kufanya makubwa kuishangaza Afrika kwa misimu miwili ijayo..viongozi tafadhali tusiweke mbele tamaa ya pesa, mchezaji asiuzwe bila kupata mbadala yasijirudie ya msimu ule wa kuwauza miquison na chama kwa pupa
@mwajumaabdallah3254
@mwajumaabdallah3254 Жыл бұрын
Hatari sana
@amossbubu
@amossbubu Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@kwilasajunior5367
@kwilasajunior5367 Жыл бұрын
Dah Simba ispo cheza Raha hakunà nchin
@ukweli255
@ukweli255 Жыл бұрын
Azam Media fanyeni usafi kwenye timu yenu ya Production
@gloriakalisa
@gloriakalisa Жыл бұрын
Kwakeli watu wamechoka
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
🦁🦁🦁
@giftsiwakwi4079
@giftsiwakwi4079 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🇹🇿
@saidijuma1656
@saidijuma1656 Жыл бұрын
Azam mnazingua sana miaka 10 mmelekebisha nn! Leo mpila hatujaangalia mpila kwa laha
@queeneliza8283
@queeneliza8283 Жыл бұрын
Jifunze kiswahili fasaha
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Hahaaa, kagere tumekushtukia...!
@faridamuniss6465
@faridamuniss6465 Жыл бұрын
Uwiiiiiiii nakufa mie Kwa raha hizi
@ramadhanichilumba3610
@ramadhanichilumba3610 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂huyu chama aiseeeeee
@stephenking3602
@stephenking3602 Жыл бұрын
Mnafel pakubwa! Maana mtu kalipia alafu mitambo inakatika na hakuna fidia,,, na hakuna sanduku la maoni hamtaki kushauriwa,,, pesa mko makini lkn mitambo yenu hovyo lazima tuwaseme....
@evefesto7454
@evefesto7454 Жыл бұрын
Hiyo michezo Huwa mnaiga wapi mbona haeleweki kama vichaa vile, kama hamuwezi Bora muache
@rashidimkongewa3927
@rashidimkongewa3927 Жыл бұрын
Yanga bingwa 2022-2023
@cadsonesmo
@cadsonesmo Жыл бұрын
Simb my team tyupe rahaaa cads@
@moricemorice75
@moricemorice75 Жыл бұрын
Mbona mnayumba sana kwenye mitambo saiz huyo fundi wa mitambo anazingua
@angelasenga5800
@angelasenga5800 Жыл бұрын
Waoooh
@dweenyoyo2836
@dweenyoyo2836 Жыл бұрын
Bruno gommez ni hatari kubwa
@janethmbaga3515
@janethmbaga3515 Жыл бұрын
Ila Manula unamanuliwa magol ya free Kiki sana
@allyflavour8005
@allyflavour8005 Жыл бұрын
Hizi team Zina hitaji pongezi...ndio zinafanya ..ligi...kuwa Bora nasiyo wenzetu...eti team yao ndiyo iliyo fanya ligi ..kuwa 5 bora
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Washamba sana Utopolo 🐸!
@JayLastkingof
@JayLastkingof Жыл бұрын
Hahaha
@mbwetetv
@mbwetetv Жыл бұрын
HII NDIO SIMBA SASAAAA SIO ILEEEE YA AWALI TUMERUDI TENA KAMA ZAANIIIIIII
@bekakitemi7132
@bekakitemi7132 Жыл бұрын
Huyu chama kumamae zke aisee 😂😂😂
@sadicksally8139
@sadicksally8139 Жыл бұрын
Azam angalieni ni wapi mnakwama
@florianrweyongeza7458
@florianrweyongeza7458 Жыл бұрын
refs ameshindwa kutoa red card kwa Inonga kumshika last man anayeenda kufunga. hakutoa card kabisa alafu the same Inonga kafanya foul kwa MK14 KIPINDI CHA PILI na hakupewa kadi yoyote. Refa kaamua mchezo imagine dakika za mwisho mchezaji wa simba kanawa mpira kwenye box na Azam hawarudia tukio. Kama refa angekuwa fair hii game ingekuwa na different outcomes. Azam please mnapoappload highlight make sure mnapoint out sehemu zenye controversy sio chega tu. wachambuzi hawapoint out haya mapungufu. Otherwise simba hawakuwa na namna n kutumia udhaifu huo. what a goal by Sakho! What an acrobatic Assist by Kapombe! Chama what a player! WOW! Jean Bareke what a fantastic forward. Saido!!! haha yanga walipoteza dhahabu kisa miruzi.
@hassanshunda5226
@hassanshunda5226 Жыл бұрын
unateseka ukiwa wapi manyokanyoka fc....kesho tutakupa kipyenga wewe ukachezeshe.....muendelee kubembelezana vzr
@emmadora7848
@emmadora7848 Жыл бұрын
Huna hata aibu kusema refa kaamua mchezo ,hivi Kwa Nini huwa hamtaki kukubali mkizidiwa? Refa huyo huyo kafanya makosa mangapi upande qa Simba?
@florianrweyongeza7458
@florianrweyongeza7458 Жыл бұрын
Nakuuliza siumeona hoja zangu? Kama Inonga angepata red card unahisi tungekuwa na same outcomes?
@florianrweyongeza7458
@florianrweyongeza7458 Жыл бұрын
@@hassanshunda5226 Taja tena kwa adabu kwa sababu unajua n club ya daraja gan unapoizungumzia Yanga. Hapa sipo kishabiki naongelea hoja nimeweka si ujibu hoja? Au nikupe clip fupi za hayo matukio niliyohighlight?
@emmadora7848
@emmadora7848 Жыл бұрын
@@florianrweyongeza7458 jiulize pia kama refa angeacha offside sisizokweli otcome ingekuwa hivyo hivyo? Kuna makosa yanafanyika kweli ,lakini hayampi mtu kusema refa kaamua mechi ,wakati tunaona kabisa watu walizidiwa
@AbdulrahmanJuma-l5o
@AbdulrahmanJuma-l5o Жыл бұрын
This is simba bwana
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 Жыл бұрын
Forward line ya Simba moto sana. Beki nzuri ila inahitaji kuwa makini zaidi kwenye marking. Manula na magoli ya free kick
@xaverisunday699
@xaverisunday699 Жыл бұрын
#aboi_4rm_makambako huyu manula mtakuja mua
@josephmwaqsir-yr5ti
@josephmwaqsir-yr5ti Жыл бұрын
Hahahahahahahaha 🤣🤣 🤣 hawataki hata kusikia au kuiona simba
@maliatabuerenesti6681
@maliatabuerenesti6681 Жыл бұрын
Et azama anasherekea miaka 10 ya utandaji kazi hivi ndio nn imeonyesha vinini
@muhibuadinani5245
@muhibuadinani5245 Жыл бұрын
Azam ndivyo walivyo kwa simba
@aminarashidi1621
@aminarashidi1621 Жыл бұрын
Jaman mbona Wawa Makonda sana
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 Жыл бұрын
Huyu kipa hafaii mamae ,anapewa mshahara wa bure tu
@adamufundikira7878
@adamufundikira7878 Жыл бұрын
Elizabeth ismile imeuma ee puliza iingie vizuri
@melalygeugeu6426
@melalygeugeu6426 Жыл бұрын
Kagere amewanyima magori singida big 🌟 star ...kagere bado anaipenda saana simba. mchezaj striker hawez kukosa nafas za Waz vileee...kagere mpumbavu saana ..mbwa kagere
@simontamba2189
@simontamba2189 Жыл бұрын
Pole
@hujjatulasrsocietyoftanzan8420
@hujjatulasrsocietyoftanzan8420 Жыл бұрын
No kaka ni mbovu tu, kama unafatilia mech zake utakubaliana na mimi, kwan amekua akikisa Mara kwa mara nafas za wazi
@oscarsheha4602
@oscarsheha4602 Жыл бұрын
Unaumia sio utopolo 🐸🐸
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Жыл бұрын
Melaly Geugeu hauko sawa unamatatizo makubwa hivi hujiulizi kwanin simba iliamua kusitisha mkataba na kagere ? je mechi zake za mwisho pale simba alikuwaje huyo kagere ushabiki ukikuzid na akili zinapungua unabaki na zakuvalia nguo tu.hivi wawa kama angechomesha ungesema kwavile anaipenda simba au mbovu ? Kagere na wawa hayo ni magalasa kua mzima jamaa acha ushabiki wa uchizi.
MCHEPUKO
8:46
kicheche
Рет қаралды 2 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
GB 64 APAGAWA NA KIWANGO CHA KIBU DENIS M-NORWAY THIS IS SIMBA
22:24
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 52 М.
PENZI LA JINI LATIFA (Part 01)
16:59
kicheche
Рет қаралды 3,9 МЛН
JEAN CHARLES AHOUA (JINI) ANAYAWATESA WENZAKE.
4:00
kefa sika
Рет қаралды 7 М.
Ihefu 0-2 Simba |  Highlights | NBC Premier League 10/04/2023
19:15
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН