No video

SIMBA TV 12/06/2024 | Mo Dewji arejea kwa kishindo, Try Again atoa neno, Azim, Ahmed wazungumza

  Рет қаралды 9,079

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Tazama kipindi cha Simba TV kikiwa na mkusanyiko wa habari mbalimbali ikiwemo Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji (MO) atangaza kurejea katika nafasi ya uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu hiyo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti, Salim Abdallah kuomba kung'atuka.
Mo amrejesha Try Again kwenye ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi.
Ahmed Ally afanya ziara kuitangaza Simba.
Mfadhili wa zamani wa Simba, Azizm Dewji awatuliza mashabiki wa Simba.

Пікірлер: 36
@shaabanramadhan
@shaabanramadhan 2 ай бұрын
Hata kama kajirekodi chooni kwetu Haina shida,wewe bwege tu.Sisi tunamkubali sana Mo
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 2 ай бұрын
Hapa sawa big boss MO,sasa wana SIMBA roho zetu zitatulia😂😂😂💪💪💪#SIMBA nguvu moja
@PartimayoNyoroi-om9hq
@PartimayoNyoroi-om9hq 2 ай бұрын
Amen and amen mungu akusaidie rais wetu tuna kupenda sana
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 2 ай бұрын
Asante sana big boss MO💪💪💪#SIMBA nguvu moja
@nimrodmareges3131
@nimrodmareges3131 2 ай бұрын
Afadhali umerudi nna imani club itapendeza sana
@menaurukivuyo6796
@menaurukivuyo6796 2 ай бұрын
🙏🙏 Karibu Tena baba wewe Ndio tukiwepo pamoja , jua Kwamba hao madunduga wametuumisa sana bat tunaomba usajili wa nguvu ifanyike tupate kurudi kileleni kama vindi vya nyuma , barikiwa sana bwana Mo tajiri maarufu nchini
@protaspessa8615
@protaspessa8615 2 ай бұрын
Mdogo wangu Mo dewji hauna baya Turudishie furaha yetu Simba nguvu moja
@nelemimbasando.ibhesh.9105
@nelemimbasando.ibhesh.9105 2 ай бұрын
Nguvu moja❤❤❤❤❤
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 2 ай бұрын
Haya maneno yamenirudishia furaha sana,sasa🐸🐸🐸🐸🐸 watakoma😂😂😂#SIMBA nguvu moja
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 2 ай бұрын
Kutoka kutaka kufika nusu fainali ya CAF CHAMPIONS LEAGUE hadi kudondokea shirikisho,hapo TRY AGAIN na wenzio mlitukosea sana.ila kwa kuwa amerudi big boss MO naamini SIMBA itarejea kwa kishindo💪💪💪#SIMBA nguvu moja
@kimalinganomhelela8377
@kimalinganomhelela8377 2 ай бұрын
Muhimu ni kukamilisha transformation ili Simba iendeshwe kwa mfumo unaeleweka.
@user-cg7gz2bj4x
@user-cg7gz2bj4x 2 ай бұрын
Hongera bosss keep it on with Simba
@JulianaJaphethmwakililo
@JulianaJaphethmwakililo 2 ай бұрын
Bila wewe kusingekua na ushindani ivi ❤❤❤
@user-cg7gz2bj4x
@user-cg7gz2bj4x 2 ай бұрын
Tunakupenda ❤❤❤
@user-ti5tx8yd2r
@user-ti5tx8yd2r 2 ай бұрын
Kama ni maneno tumeshayasikia mengi mno wanasimba bila vitendo,hivyo viongozi wa Simba punguzeni maneno fanyeni vitendo,mashabiki tumeshachoka
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 2 ай бұрын
Semaji letu la CAF sasa litatembea kifua mbele😅😅😅#SIMBA nguvu moja
@salumomar-ph8ht
@salumomar-ph8ht 2 ай бұрын
tuachie timu yetu mo ww ni muhuni tu pamoja na try again
@ArimKizer
@ArimKizer 2 ай бұрын
kwenye usajili viongozi awaangalii mchezaji Bora wanaangalia masalihi yao wenyewe
@johnmajiulaya
@johnmajiulaya 2 ай бұрын
😂😂😂😂 Tajiriiiii
@user-gw5lb9ju5m
@user-gw5lb9ju5m 2 ай бұрын
Nguvu moja❤
@shaabanramadhan
@shaabanramadhan 2 ай бұрын
Ni lazima asome kile ambacho kakiandaa kutufikishia Wana Simba,Wala si dhambi kusoma
@songombingo108
@songombingo108 2 ай бұрын
Kwanza unawakosea heshima madunduka kujirekodi kwa simu tena chumbani
@user-uf6wv7nm3o
@user-uf6wv7nm3o 2 ай бұрын
😂😂😂we mbwa usibweke unapga kelele
@kamuogo
@kamuogo 2 ай бұрын
Tarifa ni maari popote sio kama unavyo taka wewe chula
@songombingo108
@songombingo108 2 ай бұрын
@@kamuogo Wewe kamuhogo huna akili. Hivi unadhani Mdosi ana akili kama za madunduka? Subirini apige pesa tu pale
@jomsafirikajinaki8820
@jomsafirikajinaki8820 2 ай бұрын
Número Um peço vosso like.
@kamuogo
@kamuogo 2 ай бұрын
Boss akuna kama wewe bhana kwa miaka hii kadhaa sio mbaya
@tshalis_R10
@tshalis_R10 2 ай бұрын
Nani kagundua kama ana soma kwa ubao😮
@Mmenga_junior
@Mmenga_junior 2 ай бұрын
Alafu mbona kama anasoma kutoka sehemu fulani??
@godfreymkelemi9663
@godfreymkelemi9663 2 ай бұрын
Inakuhusu?
@ArimKizer
@ArimKizer 2 ай бұрын
sajili wacheza hata6 tu wakigen wakueleweka kuliko kuleta12 ambao awafai
@PendoAmosi-oz9to
@PendoAmosi-oz9to 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@mwajumaseifu216
@mwajumaseifu216 2 ай бұрын
❤❤❤
@FestoandendilileAndendil-if9jo
@FestoandendilileAndendil-if9jo 2 ай бұрын
👍👍🇹🇿🇹🇿🆗🆗
@chambuatv2133
@chambuatv2133 2 ай бұрын
kaka mudi
@user-cg7gz2bj4x
@user-cg7gz2bj4x 2 ай бұрын
Hongera bosss keep it on with Simba
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 93 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 49 МЛН
MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 26/08/2024
53:22
Azam TV
Рет қаралды 8 М.
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН