SIMBA WACHARUKA GHAFLA WAIFANYIA UMAFIA AZAM FC YAONDOKA NA FEISAL KIMYA KIMYA/ZAKA ACHARUKA NA HAYA

  Рет қаралды 29,595

Sports Star HD

Sports Star HD

Күн бұрын

• SIMBA WACHARUKA GHAFLA...

Пікірлер: 22
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 3 ай бұрын
Wewe mjinga Dola 5m unazijua. Kwa mpira gani wa Fei. Simzarau Fei ni mchezaji mzuri sana lakini dola 5m ni nyingi sana.
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh 3 ай бұрын
Sabiti sio Simba ambao wamevurugwa wanaotangaza ni waandishi.sio Simba rekebisha kauliyako
@IbrahimLwitakubi
@IbrahimLwitakubi 3 ай бұрын
Nikweli ameuzwa
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 3 ай бұрын
Ni kweli sababu kwenye kipengele Cha mkataba wa Feisal akiuzwa Tz Yanga anachukua bilioni 1 je Azam atachukua shilingi ngapi
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 3 ай бұрын
Kiukweli yanga humuogop fei kuanzia juu adi mashabik ndio maana chuki yao haiishi
@EvjibusonKashunju
@EvjibusonKashunju 3 ай бұрын
Kwani alisemaj
@DeodathChinyamba
@DeodathChinyamba 3 ай бұрын
Huyo ni chizi kweli
@EvjibusonKashunju
@EvjibusonKashunju 3 ай бұрын
Acha simba tulale naye musimu huu
@drallan6879
@drallan6879 3 ай бұрын
Zaka kwani kuna nini cha ziada Kwa fei?
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 ай бұрын
Wewe ndy umevurugwa cy hao unaowasema wamevurugwa.
@jally1865
@jally1865 3 ай бұрын
5m USD? That’s a lot.
@KasalamaAlly
@KasalamaAlly 3 ай бұрын
Zaka mbona una mchecheto
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu 3 ай бұрын
kama wa DUBE ulivunjwa itashindikana kwa FEI? Nyiembona mlivunjiwa kwa UBWABWA!
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 ай бұрын
KIPPER MO ANAWEZA KUMNUNUA. NYIE MNAWATOA WACHEZAJI WAENDE TIMU ZA NJE MATOKEO YAKE WANAENDA KUWEKWA BENCHI HADI KUSHUKA VIWANGO
@antonyndinga8890
@antonyndinga8890 3 ай бұрын
Manara alishawahi kuongea km wewe kuhusu fei huyohuyo
@teddysanga1840
@teddysanga1840 3 ай бұрын
kama huna ml 5 ujuwe ww ni tariji taperii huna hela unaomba msaada fei simba hawaweziii kumpata hawana pesa walijua azam ni lipuli simba wasenge tu...
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu 3 ай бұрын
Nyie muwekeni sokoni ndo muone.
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 3 ай бұрын
Acha ujinga ww mo ashindwe kununua fei ujinga mtupu ..unaulizwa thaman ya mkataba sh..ngap? Unasema kubwa taja value fala ww wasemaji wa ovyo sana
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 ай бұрын
Zakazakazi unadharau timu za Tanzania kwani Mo hawezi kumnunua?acha dharau zako.
@hassanjuma3703
@hassanjuma3703 2 ай бұрын
Punguani huyo kwani hao waliopo unaingia mifukoni kwao utakuwa mchawi
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 ай бұрын
MO ETI HUWEZI KUMNUNUA FEI TOTO?
@KasalamaAlly
@KasalamaAlly 3 ай бұрын
Zaka mbona una mchecheto
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 24 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 5 МЛН
ZAKA ZAKAZI AFUNGUKA HAKUNA OFFA, KIPRE JR BADO YUPO SANA AZAM FC.
6:20
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН