Epl hakuna team ya kucheza na Simba...labda real Madrid ya spain😂😂😂
@protaspessa861510 күн бұрын
Na itatoa sare na man city Tunaomba wachezaj wetu wasilogwe
@CikeTanzania10 күн бұрын
Umeonaeee.😂😂😂
@RehemaJongo-p1x9 күн бұрын
Acheni kuroga wachezaji, mnawaumiza na kupunguza uwezo wa vipaji vyao kiukweli kwa usajili huu tuna matumaini makubwa kwa msimu huu, Simba nguvu moja❤
@IssaMussa-v2d10 күн бұрын
Big up
@HabasiMaganda-jx2zi10 күн бұрын
Duuuh atr Simba nguvu1❤
@nadilhassan641410 күн бұрын
Kweri tumezamilia
@GalaxyDamian-gx9ov10 күн бұрын
Simba ilichobakiza ni kusajiri marefa wa kuichezesha
@MboniNacha10 күн бұрын
Namkubali Pasco mwakyoma anafata nyao za Millard ayo
@edwardsimon931210 күн бұрын
Bado upande wa kulia kwa Kapombe
@damasmayanja293010 күн бұрын
Dakika 90 zitaongea
@bestman818210 күн бұрын
Ahmed Ally ktk hili la masiasa siasa ya vyama akubali tu amechemka, amezingua, na ni kwasababu tu alikosa mshauri. Au asubiri mwakani achukue fomu ya jimbo tujue moja lkn asituletee masiasa ya vyama kwenye soka especially ktk Simba ambayo mashabiki wake sio wa chama kimoja
@LameckZakaria-qg9vv9 күн бұрын
Yanga wanasajili wanaume na simba wanasajili wavulana baadae hatutaki lawama saba tena zinakuja
@pacomezouzoua917510 күн бұрын
Waleteni sisi kama dar es salaam young Africa tuko kamili kila idara izi mbwembwe waga hazitushtui, NAKUMBUKA Kuna kipindi walimleta mpaka kocha kutoka real Madrid😅 lakini bado tuliwafumua vibaya mno na vikombe tukabeba vyote na kocha akafukuzwa😅😅😅 Naomba mkimaliza hapo muanze kusajili na marefa sasa ili tuwe tunawabonda nyie na marefa wenu dadeki yanga mnaijua nyie au mnaisikia sikia😅😅 Daima mbele 💚💛🎉
@user-gy3wo2ez4d10 күн бұрын
Mshaanza kujamba jamba machura
@PozzTonny-in8vy10 күн бұрын
Mpaka mzeme
@lukiaanatory459810 күн бұрын
Haaaaaa simba lazima tulilete kimbe la shilikisho
@user-mm9wd2km4i10 күн бұрын
Eeh mwenyezi tunakuomba utulindie wachezaji wetu hawa dhidi ya watu wasio itakia mema clabu yetu ya 🦁🦁🙏🙏 ...sasa muwaroge tena na hawa🤨🤕🤕
@CantonaKunona10 күн бұрын
Amjasema yeye nimtoto wangap ktk familiya yao nani mkubwa kat yao vichwa vya habar viendane na yaliyomo kumaninazenuu😂