Hongera sana rais Hussein Mwinyi kwa kuwapongeza vijana wetu simba mungu akulinde akupe afya njema, na leo simba inashinda
@AminaMkumba-u3zАй бұрын
Ongera sana Mhe.Rais Kwa kuwapongeza watoto wetu wa Simba🎉🎉❤❤
@KassimMakame-dq6nqАй бұрын
Kwakwel nikheshima kubwa kwa clabu yetu 🙏🙌
@halidimgonza5945Ай бұрын
Hongera Rais Mwinyi ❤💯❤️ SIMBA NGUVU MOJA 💪💪💪 na ubaya ubwela 😂😂😂
@mussammanga7791Ай бұрын
Uko watu wameshatoka tokea enzi zileeee!
@charles-lc4ppАй бұрын
HONGERA SANA RAIS MWINYI TUKOPAMOJA
@MerryGaspaАй бұрын
Simba❤❤❤❤❤❤❤❤
@AlbinusRomanusАй бұрын
Simba nguvu moja..!❤❤❤❤❤ simbaaaa
@MuhammeduallyАй бұрын
Mh. Daima mbele nyuma mwiko...wananchii.....
@savashimdАй бұрын
Mumedhan zanzibar na nyinyi mtashinda au vpi
@hapsasharia1512Ай бұрын
waulize azam ndo walopeka mechi uko
@EnosElias-l7xАй бұрын
Simba nguvu moja
@GodfreyJames-zt6igАй бұрын
Simba nilidude likubwaaaa sana tena sana nauwanja utajaaa sio wale atamechi ya kimataifa walishndwa kujaza uwanja
@J4Said-bz5imАй бұрын
❤❤❤❤
@florah-u9zАй бұрын
Hiyo camera Sasa 😢😢
@charles-lc4ppАй бұрын
SIMBANGUVU MOJA
@MagrethCostantineАй бұрын
Unatuuliza sisi kuhusu utopwax kutinga ikulu kwa mwinyi waulize wenyewe hayatuhusu sisi
@aliissahaji33Ай бұрын
Naona mnafata nyayo za Yanga sasa, mtaiga tu mkitaka msitake
@TeddyElishaАй бұрын
Kama ni vizur kuiga vi2 vizur kuna shida nyi vingap mmeviiga
@boxdadАй бұрын
Vp yanga mbona haikutinga ikulu
@EUNICEASERIАй бұрын
HAO NDO WENYE NCHI SASA
@MsabahAli-d6uАй бұрын
Kama raisi hawazi namna ya kukuza mpira wetu analeta timu za tanganyika inakuwaje ?
@SamsonSimba-k4lАй бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️🦁👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪
@savashimdАй бұрын
Ikulu sio tunu sas
@bbclondonulimwenguwasoka6126Ай бұрын
Wivu huo
@boxdadАй бұрын
Ubaya ubwela
@asuwenihassanАй бұрын
Yaani hapa nashindwa kuelewa kitu .kwa nn ligi yetu ya zanzibar haina maana pesa 2 na kwa nn ligi kuu ya tanganyika ichezewe zanzibar
@ibrahimally8073Ай бұрын
Wacha ubaguzi wewe.. hii ni nchi mmoja.. na ukianza kuhoji hayo maswali yako eti Kwa Nini ligi ya Tanganyika ichezwe huko kwenu znz.. basi na sisi tutauliza Kwa nini wapemba wamejaa tele huku kwetu Tanganyika kama wakimbizi??