Daaah kweli umeptia meng nimungu2 jaman ila simliz tam sana melina kanifurahisha sana kama mv vile kama nilikuep et ahasant ankojy kwasimliz tam❤❤ nimeenjoy sio sir
@CharlesMwakyanjala9 ай бұрын
Napenda sana simulizi zako congratulation
@SmAlbovi8 ай бұрын
1:58lmvk my vl ok k l vl m1 @@CharlesMwakyanjala
@soldd-xz5ue11 ай бұрын
Nakupenda Sana wewe Kaka kwa simulizi zako za mafunzo na uko na sauti mashaallah
@PhoebeWafula-d6c Жыл бұрын
Mmi nashukuru jamani ankojoy jamani simulizi nzuri sana yenye mafuzo mazuri sana ❤❤❤ jamani Lisa mwala simulizi nzuri sana 👏👏😍😍🥰
@RobartGervass-py9jt Жыл бұрын
Mpira umerudi kwa goli kipa mashalaaa!
@judyauko8134 Жыл бұрын
Baada ya dhiki faraja. Shukran dada Lisa na msimulizi Anko J.
@bettywayera8501 Жыл бұрын
Hhhhhh kuna vituko dunia,,,abuu sasa amelewa,,simuliz nzuri ankoj.
@elizabethlucky8200 Жыл бұрын
Ni kweli uliyapitia mengi sana Blanka ni MUNGU tu anayeweza yote mutumainie yeye pekee amen 🙏 asante sana Ankojay
@leah530711 ай бұрын
Thanks kwa simulizi Anko Jay From kenyan🇰🇪🇰🇪
@zaliafakilavire5689 Жыл бұрын
Aiseyiii da nimejifunza kitu ila akili za wanafunzi bana sijui kwann zinawazidii walimuu 😂😂 Asante anko je ubarikiwe sana smlz tamuuu na yenye mafunzo ndn yake ila kupenda raha zaidi ukipendwa ❤❤
@HabibaSaid-f8r Жыл бұрын
Binti una kilanga kah kukasirika kote kumbe una jambo lako😂😂😂
@nancynancy43628 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@bellabelle1593 Жыл бұрын
Asante kwa similizi nzuri🙏🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@SophiatembaTemba Жыл бұрын
Ubarikiwe anko j kwa burudani kwa wote
@IbrahimNyawaOmar Жыл бұрын
Nimependa sna dadako Melisa jamani Rebecca anajiamini san❤️
@jacklinebundi8213 Жыл бұрын
Shukrani AnkoJ kwa simulizi nzuri yenye mafunzo...napenda sana sauti yako.Barikwe sana na endelea kutuburudisha kwa simulizi zako.❤❤❤
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante sana
@epmarkchami2536 Жыл бұрын
Ndo ivo akitaka vya bure kubaliana na kila k2
@nahimanajo8993 Жыл бұрын
Asante kwa simulizi zuri Anko Jay ❤❤❤🇨🇵🇨🇵
@Eunice-e7p Жыл бұрын
Yani hapo pa anaroho ya paka Tena kaamuka na mimba yangu waah sinimecheka😂😂😂😂
@jenniferlicko4736 Жыл бұрын
aaaaaassssshhhhhhhhiiiiiiiiii haya Maisha bwanaaa 😂 😂😂😂😂😂 kwa tigooo tena 😁🤣🤣😂 mademu fanyeni kaziiiiiii 😂😂😂😂
@BeatriceKauky10 ай бұрын
Asante sana kwa simuliz zako huwa zinafurahisha hualisia. Wa maisha Mungu akulinde hupate zakutuletea tena tunakupenda sana anko j❤
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Asente Sana ANKO JAY utajiri hanau baba wa mbingu na inchi na si mwanadamu harembu maisha yako asente Dada kwa kusameh wazazi wako humbate. Hari huishe siku yeingi duniani mungu akubarike Sana kwa huo hujumbe kwa jamii
@ChristinesifaRuwa-ix9iy Жыл бұрын
Waooo story nzur yenye mafunzo hongera zenu mr and misiz rodrigo
@RehemaHamisi-j7i Жыл бұрын
Thanks ankojay kwa story nzuri
@mwanaally4972 Жыл бұрын
Hii simuliz ina mafunzo meng xaan asante Lissa mwala😘🙏anko j wetu hujawah kukuosea kabisaa✌️✌️❣️🙏
@shantellekwamboka7444 Жыл бұрын
Asante Anko mapesa kwa simulizi kali yenye mafunzo,pia n vyema kutenda wema n pia tujifunze kusamehe ❤
@roselinegendo7664 Жыл бұрын
Tunajifunza mengi Thank you mwandishi na msimuliaji..😂😂Aunty andika moja nisimulie na mm Anko J accoment😁😌
@Aishasaiddachi-gt9bw Жыл бұрын
Nakuku bali anko j simulizi zako zinatufunza mambo mengi
@LightnessBusumabu Жыл бұрын
Simulizi nzuri sana pole sana blanka
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Bado wewe anko Jay nikueke nyama ya siku saba 😂😂😂😅😊😊❤❤❤
@deborahkavira2415 Жыл бұрын
Jamani we kaka uta ni uwaka asante sana kwa simulizi tamu 🥰🥰🥰
@AnithaeliasyAnithacharlesy Жыл бұрын
Simulizi nzuri sana anko jay shukrani🙏🙏
@janetkazungu7795 Жыл бұрын
Waa haya maisha jamani kaa 😂😂😂😂 simulizi tamu aisee ❤
@esterIsabel-y4e10 ай бұрын
Ama Kweli mwisho wa ubaya ni ayibu na fedheha mungu atusaidiye
@ashaabdalla924 Жыл бұрын
Shukran anko J tunajifunza mengi kupitia simulizi zako Mungu akubariq❤❤❤
@binthassan9191 Жыл бұрын
😂😂😂😂 jamani haya maisha we acha tu,,life has no balance at all,,kutafuta utajiri kwa kutumia mwili wako 😢😢afadhali nitoke jasho kwa kutafuta riziki ya halali,,ewee mola tusaidie 🙏
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
Amiin
@evaevod67 Жыл бұрын
Amina
@ColethaMwenda-qd1ck Жыл бұрын
Maisha haya jamn
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Mungu atu fanyie wepesi
@jinaanhkareem36507 ай бұрын
Amiina
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Asante Anko J kwa simulizi nzuri yenye mafunzo
@zamalmauli3495 Жыл бұрын
Maisha ni ya wengi Sana lakini mwisho WA shida zote mtu hukaa sawa kama utanusurika na ukimwi bs utanyooka Tu maisha lazima yakunyooshe
@LyidiaSilayo Жыл бұрын
Asante anko jay penda sana wewe jmn tunainjoi❤❤❤❤
@beatriceonsongo9915 Жыл бұрын
Asante Ankojay twapenda sana kazi yako very interesting with deep moral lessons be blessed brother ❤❤❤🇰🇪
@asiangochele Жыл бұрын
😊😊
@asiangochele Жыл бұрын
😊😊
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Mwisho jamani ata party 2 sijaimaliza miee tunainjoi ankojay simulizi tamuu🥰🥰🥰🥰
@zuhuranadahhinda1366 Жыл бұрын
Asanteee saaana anko j pamoja na mwandishi Lisa mwala
@nindymuruga4798 Жыл бұрын
Dah japo imeisha vizuri ila hayo mabalaa aliyoutana blanca ni noma.asante kwa storr nziuri LISA MWALLA na anko jay shukrani🫶🙏
@medinahsamita3981 Жыл бұрын
Asante sana ankojey kwa simulizi safi
@FatmaHassankhamisi11 ай бұрын
Yani anko jey sisi wanawake tunapitiya mengi sana lakini mungu tu anasaidia 😂😂😂😂
@Pretty22750 Жыл бұрын
Finally we endup well anyway thanks Mr Jay n madam Lissa be blessed always tunaenjoy kila siku kwa kz yenu💗💗
@ankojay_ Жыл бұрын
You're welcome 😊
@sarahdenis6990 Жыл бұрын
Yaani Mimi nilikuwa sipendi simulizi ila kwa hizi simulizi Anko Jay ubarikiwe na ufike mbali kaka angu❤🎉
@CharlesMwakyanjala9 ай бұрын
Nimekupenda bure Rodrigo kutunza upendo wako kwa Branka
@FatmaHassankhamisi11 ай бұрын
Lakini anko jey ivi watu wanafahamu kweli mana hii simulizi kiboko 🎉🎉🎉😂😂😂
@brigdk Жыл бұрын
Shukurani sana Anko jay ❤❤❤❤
@mwanamgenimohammed7904 Жыл бұрын
Aki kunawatu wanamini uchawi lakin uwa hauna mwishomzuri mungu atustiri 😢😢😢
@حمدانالحويطي-م8ك Жыл бұрын
Ya leo imekuwa moto moto ila mbarikiwe anko jay na Lissa mwala kwa kutujali
@fatumakama8760 Жыл бұрын
😂😂😂 ety miguu mi3😂😂😂
@nismaali2982 Жыл бұрын
Melin nimekupenda bure😅😅😅
@sukainamusa4651 Жыл бұрын
duu yani ankojay hii simlizi ni yamafunzo sana asante sana tunashukuru
@ankojay_ Жыл бұрын
Amen 🙏
@salhatiddy Жыл бұрын
Amina😭🙏🙏🙏
@ShukuruErasto-j7h9 ай бұрын
Mhuuu da simulizi tamu na nzuri sana akojy jamani Asante kwa simulizi tamu sana🙏🙏nakwamini asilimia 💯💯💯
@ZilpahJaphet-nf1iz Жыл бұрын
Unasimulizi nzur Sana anko j
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante sana 🙏
@رحيمهزيزو Жыл бұрын
Mbona huyu mdada anapenda kupeanapeana kila mtu😂😂
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Anashangaza sana
@IreneMwenda-nl2hu10 ай бұрын
Anko jay unaupig mwing sana mungu akutie nguv
@deejuma5980 Жыл бұрын
Anko Jay nimependa❤ kazi yako and It's has lessons to learn from in life 🎉🎉🎉I really appreciate it and also from start till end 😊😊
@PurityOmari-s8k10 ай бұрын
Melina jaman nilicheka😀😀😀😀
@joycederesa6 ай бұрын
Hii simlizi imenifunza san asante Ankojay by
@rachelhozza7047 Жыл бұрын
Nazidi kushawishi watu waendelee kukusikiliza anko jay ❤
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante sana
@Halima-jf8rx Жыл бұрын
Tupo pamoja
@SamsonMzehe8 ай бұрын
Nimempenda sana Melina huyo ndo lafoki wakweli
@lulusenzia4807 Жыл бұрын
Simulizi tamuuuu
@shaklamwai7868 Жыл бұрын
Asante sana anko❤❤❤
@elizabethlucky8200 Жыл бұрын
Asante sana Ankojay
@issanuru9552 Жыл бұрын
Shukran anko jay nimewahi
@dalilaamiri Жыл бұрын
Shukuran ankojay ❤❤
@joyceabeli3787 Жыл бұрын
Yan anko jey sauti yako bwana kila sekta upo
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Ahsante anko Jay ❤❤❤❤❤
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Huyo niwakukata na hayo mashikolo mageni yake maana ndiyo yanayomtia kiburi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@reginarichard33498 ай бұрын
Pole sana dear ❤❤❤ Ancle na Lisa Asante kwa hii🥰🥰
@AsmaWkrtytyo9 ай бұрын
Anko j bhana sisi ni WANDAMBA😂😂nasifa za wandamba azitofautiani sana na wapogolo maana njia yetu moja,,,,mimi nimndamba upande mpogolo,,,niwakarimu mno,wataratibu,watu makini ,nauwa atuna maamuzi yaaraka nainapofikia tumesema basi inatosha ujue basi tunavizalau frani ivii vya kupuuza vitu tusivyovielewa ,tunajua kupenda Tunapenda sana kuvua samaki pia kulima mpungu maana mndamba umwambii kitu kwa wali nakitoweo cha samaki 😊😊😊😊naukila na mndamba kula nyama kichwa muachie😂😂😂 Ila mimi mndamba niliyekulia uzalamuni kichwa cpendi naona kinanipotezea muda tu Wandamba oyeee
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Ako Jay jamani anko Jay mimi ni mchaga hatujengi kwetu jamani hapo umetuonea sana wachaga, huwa twapenda pesa tu jamani lakini sio kunjenga kwetu jamani hapo umetuonea tu sana mungu akubariki
@Sidrasidra636 Жыл бұрын
Nimeoenda alipo rudiana Rodri❤
@TeddyCharles-rw8vk4 ай бұрын
anko jay upewe maua yako🎉
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Mhm,mashikolo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@HappinessCelestine-t2u Жыл бұрын
😂😂😂😂mageni hahahah hv ww ni msukuma
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
🤣🤣🤣ni jirani zangu wa karibu sana😂😂😂
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
😂😂😂😂😂mashkolo
@khadejarajab8007 Жыл бұрын
Moyo sukuma damu acha nifanye kazi ya jasho langu mie❤😢
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Pamoja sana
@Lutkass5 ай бұрын
Ankojay napenda unavotamka baby jaman😊 unatamka uzur sana
@shukranimbeleci4477 Жыл бұрын
Asante sana ankojay❤❤❤❤
@TinahAdhiambo Жыл бұрын
Finally Anko jay nakupenda ❤
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Me 2 ❤
@gressfalex7861 Жыл бұрын
Vp dada
@BahatiKaninka5 ай бұрын
Eee mwenyez MUNGU nipe dada au rafiki kama Melina na ntampenda milele 🙏
@imanwalid6549 Жыл бұрын
In this life we have some charanges 😢😢
@NeemaDzame3 ай бұрын
Melina nimekupenda bure 😂😂😂
@AsdAsd-d7f10 ай бұрын
❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@ayishaayi5205 Жыл бұрын
Mm jana nilikamatika sana sijamaliza hata ile ya pili ndio nimechelewa lakin mwenye najipunguza mawazo ya jana
@aminah9557 Жыл бұрын
Top ten sijakosekana leo ❤❤❤❤❤❤❤😂
@ZanuuJuma11 ай бұрын
Nimependa
@nellydoor4930 Жыл бұрын
Jamani utam hadi raha nimejifunza vitu vingi mno
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Duu🤣🤣🤣🤣🤣jamani,mtu ulikuwa unadate naye,akisha kusitisha mahusiano unamwita ni mbwa khaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mapenzi tumbafuuu😂😂😂😂😂😂😂😂
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Kuna vipengele vimegusa kunako aisee maisha haya yana mapito mengi ila ukitumai Allah hakuna zito shukraan anko Jay
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
Anko j shikamoo 😂😂😂 wacha niendelee
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Mmmh,dunia simama Blanka ashuke
@godsfavour56659 ай бұрын
Daaaaah blanka hana musimamo kila mwanaume anamfungulia tu rinda 😮mimi ata unanichosha roho sana
@khadija.kkhadija.k78856 ай бұрын
Tamu sana❤❤❤
@ayishaHabibu5 ай бұрын
Story nzuri sana
@GhaithaMussahaji7 ай бұрын
Model avunjwa meno🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@WegesaThomas-el9ub7 ай бұрын
dahhhh melina nmekupenda bule kwa ushauli uko poa sana