EX wa GINIMBI, Zodwa, afunguka MAZITO kuhusu tetesi za tajiri huyo kufuga JOKA linalotema HELA

  Рет қаралды 83,255

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

3 жыл бұрын

Kwa mara ya kwanza, Zodwa Mkandla, aliyekuwa mke wa mfanyabiashara wa Zimbabwe, Genius 'Ginimbi' Kandungure aliyefariki kwa ajali ya gari November 8, 2020, amefunguka kuhusiana na kifo chake pamoja na chanzo cha utajiri.
Zodwa amezungumzia tetesi kuwa Ginimbi alikuwa anafuga joka nyumbani kwake ambalo lililikuwa likitema hela na kumpa utajiri wake

Пікірлер: 210
@eliamkamba6899
@eliamkamba6899 3 жыл бұрын
Amesema mzungu angekufa na tajiri hivyo watu wasingeongelea habari za joka kutema pesa. Hii inaonesha cc waafricans tunapenda Sana kuamini mambo ya uchawi kuliko kujituma kufanya kazi kwa bidii na kupata maendeleo
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 3 жыл бұрын
Yan ameongea vizur sana Big up sana dada zodwa
@goddessisa5561
@goddessisa5561 3 жыл бұрын
"He was not perfect but he was a hardworker"...
@kenbaroofficial2422
@kenbaroofficial2422 3 жыл бұрын
The lady is smart. These ladies understand themselves. I need one like that one chei!
@abuusufian6506
@abuusufian6506 3 жыл бұрын
Nimependa majibu ya dada huyo 💕✍🏾
@rebeccaasiyo4223
@rebeccaasiyo4223 3 жыл бұрын
Zodwa ni kama zari Boss lady,wanawake wenye hela zao
@abednego3876
@abednego3876 3 жыл бұрын
Mcheza uchi huyo ww
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 жыл бұрын
@@abednego3876 sio yule majina yanafanana tu....
@richardjohn9141
@richardjohn9141 3 жыл бұрын
wewe ndio mwandishi wa habari mahili unitumia taaruma yako vizuri hongera nimekukubali xn brother!
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 3 жыл бұрын
Taaruma???🤔
@maryanomar119
@maryanomar119 3 жыл бұрын
Umetowa habari kiukamilifu asante
@Nelly_Kifano..2014
@Nelly_Kifano..2014 3 жыл бұрын
godmother ❤❤❤❤❤hata tiffa karibu kufanana na zodwa
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 3 жыл бұрын
I love you sky unatupa tunacho sitajili shabiki zako really appreciate
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 3 жыл бұрын
Thanx at list umeongea ukweli...tufanye kazi kwa bidii tuache kusingizia watu ukiona wametajirika mwasema ni nyoka...
@amnaalshabani2777
@amnaalshabani2777 3 жыл бұрын
Wanawake na pesa zao hawana shida ya mirathi na uaminifu mzuri tu
@cmsa1r
@cmsa1r 3 жыл бұрын
Ginimbi dead, Ivan dead-both very rich. The women get to live and enjoy the fruits... vudu money is real
@hopechidera
@hopechidera 3 жыл бұрын
Agree with you👌🏽
@MercyMazmida
@MercyMazmida 3 жыл бұрын
I agree something fishy..Anyways those around zara have been dying n she has been growing. Wonder what business she does exactly.
@happynelson1136
@happynelson1136 3 жыл бұрын
No voodoo ivan and ginimbi both party to much becouse of money and thats why they died to young
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 3 жыл бұрын
It's true
@ezekieljolam3961
@ezekieljolam3961 3 жыл бұрын
Daaah sns big up
@AanAan-oc9zu
@AanAan-oc9zu 3 жыл бұрын
Wow this lady is so good oh wow
@davidmurey3059
@davidmurey3059 3 жыл бұрын
These southern countries English yao nikama wa giriama tu kenya talking with capital latters😂😂😂
@saidahj2543
@saidahj2543 3 жыл бұрын
Pronunciation 😂😂😂😂
@davidmurey3059
@davidmurey3059 3 жыл бұрын
@@saidahj2543 kabisaaa mama😂😂
@officialjaygravity1915
@officialjaygravity1915 3 жыл бұрын
Hahah vidzeeee😅😅..
@fatmaamran1335
@fatmaamran1335 3 жыл бұрын
Haki😂😂😂😂
@missfaith5688
@missfaith5688 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@sponsor7882
@sponsor7882 3 жыл бұрын
She knows every thing
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 3 жыл бұрын
Mtu akifa maskini mnasema hataki kazi,,mtu akifa tajiri Mambo na shetani,,guys stop his bullshit,,,Nani hataki maisha mazuri nkt
@navokisembo
@navokisembo 3 жыл бұрын
Exactly watu hawana Wema jamani. Wamuache Genius wa watu
@asrymohd6690
@asrymohd6690 3 жыл бұрын
Sns tunajambo letu tumuombe Mungu atupe uwezo na nguvu na kutusimamia na kuiwezesha sns kuwa miongo mwa media itayotikisha Africa kwa vipindibora
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Na nje ya Africa
@nassorahmadahmednassor9204
@nassorahmadahmednassor9204 3 жыл бұрын
Nipo.Dubai nawapat vzr sns
@maryamm7765
@maryamm7765 3 жыл бұрын
Hatari sana binadamu
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 3 жыл бұрын
Hawa wadada wanajielewa sana ....👏👏👏
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 жыл бұрын
Kweli kabisa’ Na wanaelewa wanaume zao walikufakufa Kwa mazingira gani....!
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 3 жыл бұрын
Safi sana SnS kwa ubora wenu
@tatiya6883
@tatiya6883 3 жыл бұрын
Yetu macho anayejua ni Mungu
@allymtaki8411
@allymtaki8411 3 жыл бұрын
Dah safi sana huyu dada kwanza hanatamaa na anajitambua kaongea vizuri xanaa
@rahmakishiwa1528
@rahmakishiwa1528 3 жыл бұрын
swala la kutokumjali mzazi mbona hata diamond analo mfano leo kamwaga pesa zaid ya milioni100 kahama huko nahali babayake hata milioni2 hana ndan😀😀 Allah mjuzi
@rashidyrashidy3923
@rashidyrashidy3923 3 жыл бұрын
Keep moving SNs for life
@hemedisalim5522
@hemedisalim5522 3 жыл бұрын
SNS mpo vizuri sn kwenye kutuhabarisha keep hard working
@sharifmadebe4630
@sharifmadebe4630 3 жыл бұрын
"Zodwa in harareee" imeskikaa katika ngoma mpya ya diamond ft koffiii waaah ni yeyee 😁😁😁
@ashantiasha6798
@ashantiasha6798 3 жыл бұрын
For real
@ashnaom2270
@ashnaom2270 3 жыл бұрын
Angekua m bongo weeh amgepaka mavi tu, homgera dada
@rashidjuma1969
@rashidjuma1969 3 жыл бұрын
find your snak to take money like hime
@hammytototundu9292
@hammytototundu9292 3 жыл бұрын
Duh
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
Huyu mwandishi wa habari anatangaza na. Kuandaa taarifa vizuri sanaa
@sadiyakb8498
@sadiyakb8498 3 жыл бұрын
Sns family
@barakampera8946
@barakampera8946 3 жыл бұрын
Damn true Gal
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJiweK2rbJ2Mbpo
@lameckchristianpetro8646
@lameckchristianpetro8646 3 жыл бұрын
Mko vizur
@LadouceurTony
@LadouceurTony 3 жыл бұрын
Love sns
@lucywolf4626
@lucywolf4626 3 жыл бұрын
Lakini anasema kweli angekuwa mzungu hamnge sema ivo njomana sisi waafrika atufikagi kukitu Mungu asaidiye next generation wasiwe na akili yakipumbavu
@yvannibigira1253
@yvannibigira1253 2 жыл бұрын
Tokeya Burundi...bro napenda saaana sauti Yako ukirusha Tarifa toka sns
@leilaley3407
@leilaley3407 3 жыл бұрын
about him not being perfect but a hard-working man, seams she's wise like zari and diamond is there friend he never posted about ginimbi only king bae posted..just saying
@Ndiminijunior
@Ndiminijunior 3 жыл бұрын
Braza Sky unajua wengne wamekaa kutuletea umbea tu humu
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 жыл бұрын
Jmn hebu mzungumzien na mazur hamjui anawakat Gan huko aliko hebu mwachen atajuana yy na mola wake
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Balaaaa😃
@oliversimpliskimariokimari3510
@oliversimpliskimariokimari3510 3 жыл бұрын
R.i.p
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 3 жыл бұрын
Kweli kabisa sisi wa Africa tukiwa rich basi nipesa zama Shetani🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila white akuna tatizo😃😃😃😃🤣🤣
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 жыл бұрын
Kuna dunia tuko nayo my dear yapo Sana Tena pesa ya hivyo unatakiwa utanulie vilivyo Tena stile yao Ni ile ile utajiri anaokupa Mungu hauna mbwembwe
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 3 жыл бұрын
This is bullshit mehn,,African mind,,,Nani hataki maisha mazuri
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJiweK2rbJ2Mbpo
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
Mmmh
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 жыл бұрын
Tutafute tu vinginevyo tutaishi kuita watu wachawi kwa mafanikio yao
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 3 жыл бұрын
Yeah this stories za snake are bullshit nkt
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 3 жыл бұрын
Uyu dada nimempenda anaonekna hanatamaa
@joshuaeliya8559
@joshuaeliya8559 3 жыл бұрын
They are on the same boat
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 3 жыл бұрын
WA kwanza
@acreyclemence8558
@acreyclemence8558 3 жыл бұрын
Imekaa poa sana
@happynelson1136
@happynelson1136 3 жыл бұрын
Mimi naishi Ulaya huku kuna matajiri kuliko Afrika lakini hawaitwi wachawi sababu wazungu ni wasomi sana ndiyo maana wanajua mambo ya uchawi hakuna lakini africa elimu ni duni ndiyo maana watu wanaamini vitu ambavyo havipo
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 3 жыл бұрын
Kweli kabisa,angekuwa mzungu wasingesema utajiri wake ni wajuju
@fedrickagustino991
@fedrickagustino991 3 жыл бұрын
Namupenda huyu dada
@bensonkaile9606
@bensonkaile9606 3 жыл бұрын
Ginimbi was a nephew to a vice president's div. wife Marry Mubaiwa. Maybe hardworking kwa kula bata ila maisha yake yalikuwa ganda la ndizi..
@susanruo8087
@susanruo8087 3 жыл бұрын
Nimewahi kama dawa Leo
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 3 жыл бұрын
Sa kwann hakuwa intarapting na nduguzake utajiri gan huo jmn hdi babako mamako anaumwa huwez kumyibu huyo ni mwanga tu
@KendiKiremi
@KendiKiremi 3 жыл бұрын
Angekuwa mzungu hamngesema juju mngesema biashara bra bra.... Africans seriously your your own enemies
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 3 жыл бұрын
People say no smoke without fire this girl she tried to advocate him however don't know this man in deep so let god do its work
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
Binaadamu jaman htr 😂😂😂😂
@saumumresh1198
@saumumresh1198 3 жыл бұрын
Hakuna anaye sema ukweli na utajiri ni siri ya mtu pesa Haram ni haramu tu ukutaka kujua utajiri wake haukua wa kawaida nenda kwa page yake ya fb kama ww ni mtu wa kuelewa utaelewa
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
Zari yupo hapo karibu,sauti yake imesikika hapo alipoulizwa kuhusu uhusiano wa Zari na Diamond 😉 alitaka tia neno Zodwa akamkatisha anyway 🤐😷 huku kwetu corona imeshamiri mtuombee ❤🇹🇿🇨🇭
@shakila3982
@shakila3982 3 жыл бұрын
And then there was the issue saying that Ginimbi was having a snake that was vomiting money money 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 for sure you kill me
@wanjirukarago9308
@wanjirukarago9308 3 жыл бұрын
Africans 😂😂😂😂😂😂 obsessed with JuJu 🤣🤣🤣🤣🤣
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 жыл бұрын
Ia kiukweli AFRICA UKITAJIRIKA BASI UTAHUSISHWA NA UCHAWI ,INGAWAJE WAPO WANAOFANYA IVO
@dianaferdinand7546
@dianaferdinand7546 3 жыл бұрын
You are very reliable sky. Nikiona news yako lzima niiangalie
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 3 жыл бұрын
Thank you Diana
@reemiiomar9386
@reemiiomar9386 3 жыл бұрын
Sisi niwasikilzaji ukweli munaujuwa nyinyi
@binthawa2973
@binthawa2973 3 жыл бұрын
ili lidada lina akili sana
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 жыл бұрын
M2 akiwa na Pesa unaambiwa frimason riziki mtoaj ni mwenyez mungu anampa amtakae na anamnyima amtakae kwann mnapenda kufatilia maixha ya mtu
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Each to their own..,I care less
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 жыл бұрын
Diamond lazima atajwe ata nje ya nchi.
@praxedadominic5193
@praxedadominic5193 3 жыл бұрын
Nimempenda sn huyu dada anaakili na busara nyingi mnoooo
@aisha-ro5fr
@aisha-ro5fr 3 жыл бұрын
Kwa sababu ni msomi na anahela zake pia n mtafutaji
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJiweK2rbJ2Mbpo
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 жыл бұрын
mbona mjumbe kuulizwa suali hili amepanic km kote makubwa na nusu haya siri za wa2 ziko wazi nani achume pesa kwa jasho lake mvua jua kisha aseme akifa vichomo moto na wasipewe wa2 wenye uhitaji hakuna mtoto social media wasitudanganye wa2 wazima😂😂😂😂😂😂😂😂
@pendomariki6562
@pendomariki6562 3 жыл бұрын
The lady speak true in heart no 1 is perfect
@emanuelmwihambi7994
@emanuelmwihambi7994 3 жыл бұрын
Wanaupindisha ukweli utajili wahivyo upo sana 2 asikatae huyo x wake
@ndegejr4218
@ndegejr4218 3 жыл бұрын
Utafute na wewe
@rachelfigure8351
@rachelfigure8351 3 жыл бұрын
She will not tell the truth anyway but who cares about the snake 🐍🐍 only him who can tell the truth ..what I know the devil will always come for his money in a painful way simple let the guy rest in peace
@hkmkuu8698
@hkmkuu8698 3 жыл бұрын
joka lilikuepo ndio maana kagoma hata kitu kule mjengoni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@RandB_Channel
@RandB_Channel 3 жыл бұрын
Mwna umme anaweza kuwa nakitu kibaya ndani hata kwambiya kwamba anafuga kitu flani nikizani ilikuwa siri yake mwenyewe
@chimbaonline1418
@chimbaonline1418 3 жыл бұрын
Mbona sauti Kama ya milard ayo
@juxjemc5768
@juxjemc5768 3 жыл бұрын
Jaman ginimbi kiufupi ana hela mpak atia uchungu ukiwa na pesa kwenye ukoo watu wanakujua mpaka mwinyiwo washangaa vikao havifanyiki vya familia kama haupo
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 3 жыл бұрын
Kaka sky leo umejua kunikomesha 😂😂😂😂😂😂nilivyo mvivu kusoma basi apo mengine yamenipita 😂😂😂😂😂😂ila kusoma comment napenda😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Thank You #sns
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Wewe kila kitu kama mimi
@fredykomba8606
@fredykomba8606 3 жыл бұрын
G
@rukiamohammed5494
@rukiamohammed5494 3 жыл бұрын
tumepitwa wengi mie mvivu kabisaa hahahaaa
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 3 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 😂😂😂😂😂😂
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 3 жыл бұрын
@@rukiamohammed5494 😂😂😂😂😂😂
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 niupuzi Sana kuwa tjiri afu nduguzko unawabwaga wanataptapa
@mbembelatv
@mbembelatv 3 жыл бұрын
🙄🙄
@abdallahabubakari8680
@abdallahabubakari8680 3 жыл бұрын
Wakowatuwaliosotanabiashara miakamingi kuliko huyo ginimbi hawajafikakiwangohicho kwaniwalehawanamungu?
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 3 жыл бұрын
Sasa kama kulikuwa na joka atasema kuna mchawi anayejisemaga yani hapa nikukubaliana na hali kuwa alikuwa tajiri basi hakuna kingine
@rachelfigure8351
@rachelfigure8351 3 жыл бұрын
Evil money 💰💰💰💰
@fernandojunior9280
@fernandojunior9280 10 ай бұрын
my dream, who can help I need a good healer 🤞
@florabaruti8032
@florabaruti8032 3 жыл бұрын
Sijamaliza maana siekew kimombo
@kiki16805
@kiki16805 3 жыл бұрын
Snake vomiting money 😂😂😂 that's the stupiest thing I have ever heard this year 😂😂😂
@bigirindavyiemmanuel6885
@bigirindavyiemmanuel6885 3 жыл бұрын
Nilitaka uliza ivi je ameasha wa toto
@mussaligaya6606
@mussaligaya6606 3 жыл бұрын
Hawa nao maraya tu mbona tulikua hatuyasikii toka yupo hai
@abdallahabubakari8680
@abdallahabubakari8680 3 жыл бұрын
Huyomwanamke anafahamu hiyosiri mwanzomwisho wala asituzuge sisi niwakubwa sio watoto
@magigejoseph255
@magigejoseph255 3 жыл бұрын
Joka ?
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 3 жыл бұрын
Punzika kwa Amani kaka
@AishaAhmedSofia2020
@AishaAhmedSofia2020 3 жыл бұрын
Naomba fungua hii link hapo chini baada ya kufungua like subscribe and comment Thank you so much. kzbin.info/www/bejne/rXTVZGCFmsacmpI
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 жыл бұрын
Tena mumkome marehemu mumuace apumzike salama 🤔😏😏😏😏😏😏marehemu hua asemwi vibaya jamani natu comments twenu twakuoza mmxiiuu 😏
@peterokalo9632
@peterokalo9632 3 жыл бұрын
Congratulations 👏🏽 my sister all you talk is true wake up all Africa’s country’s people’s stop be primitive work hard 🪐🌍☝🏽👂🏾👂🏾💪🏾💪🏾
@victorchampion1513
@victorchampion1513 3 жыл бұрын
huyu shemu anajielewa sana
@givenessemmanuel3463
@givenessemmanuel3463 3 жыл бұрын
Go and get your own snake to vomit money for you😂😂
@fedrickagustino991
@fedrickagustino991 3 жыл бұрын
Kumbe
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 3 жыл бұрын
Siku zote akuna ambaye ua anakubali mambo ya freemason au nini ila sikuzote vifo vyao na mambo tuu mengi ukiwa na akili utaelewa lazima afe bado ananguvu ili aende kuzitumikia
@jumahalifamkindi2175
@jumahalifamkindi2175 3 жыл бұрын
mkuu sio domboshava ni domboshawa
@abdallahabubakari8680
@abdallahabubakari8680 3 жыл бұрын
Akuna mtu atakubali aibu ya namnahiyo
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
HUSHPUPPI Birthday Celebration in Cyprus (Arrival).
4:36
iLiteTV
Рет қаралды 730 М.
HII NDIO SABABU YA SHILOLE KUMUACHA ROMY
5:03
MASI MEDIA
Рет қаралды 1,4 М.
Ginimbi's Last Interview: What He Said Before His Tragic Death
20:42
Lumumba's Version of Zimbabwe
Рет қаралды 10 М.
Meli ya mizigo iliyokuwa na bendera ya Tanzania yazama Taiwan
4:34
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 11 М.
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН