Ginimbi alifungwa jela mara 3, alisingiziwa kumtoa kafara nduguye, rafiki wa karibu afunguka MAZITO

  Рет қаралды 108,516

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

3 жыл бұрын

#Ginimbi #Pokello

Пікірлер: 235
@abuunyalioto1752
@abuunyalioto1752 3 жыл бұрын
Nimesubilia sana hii kutoka sns wengine wanazingua sns ndo wanajua kuelezea poa, gonga like kwa sns hapa
@shakilakhamis2109
@shakilakhamis2109 3 жыл бұрын
haswaaaaa
@abuunyalioto1752
@abuunyalioto1752 3 жыл бұрын
@@shakilakhamis2109 umeona eheeee
@severnymlowe6376
@severnymlowe6376 3 жыл бұрын
Sky uwezo Unao Sana brother
@zclassicfashionz
@zclassicfashionz 3 жыл бұрын
Kama umeangalia tangazo adi mwisho gonga like kumsapot SKY
@denisdboy_king1115
@denisdboy_king1115 3 жыл бұрын
Na bado tutasikiaa mengi yajayooooo duuuh acha nibakii na umaskini wangu ipo siku Mungu ataniinuwaa😊🙏
@junioroloo5752
@junioroloo5752 3 жыл бұрын
Walai 🙏🙏
@denisdboy_king1115
@denisdboy_king1115 3 жыл бұрын
@@junioroloo5752 😊🙏
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 3 жыл бұрын
Hyo siku utakapoinuliwa na watu ndipo wanaamka na ww!!hapo ndipo utaamini hiki kinachosemwa!!hakuna tajiri akatamkwa vyema!!!utasikia alikua Jambazi mara N tapeli mkubwa duniani!!Lakin hayo yote n maneno ya Mtu masikini asie na kitu!!
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJiweK2rbJ2Mbpo
@samirnaty8774
@samirnaty8774 3 жыл бұрын
Mungu tupe maisha mema na mwisho mwema
@sein.208
@sein.208 3 жыл бұрын
Amiin yaa Rabb 🤲🏻
@shakilakhamis2109
@shakilakhamis2109 3 жыл бұрын
amiiiin amiiin
@maatumkhatib4927
@maatumkhatib4927 3 жыл бұрын
Amiin
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 3 жыл бұрын
Ameen....
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 3 жыл бұрын
Hata niki sikiliza media zingine kabla SNS na milla hawaja sema huwa sitosheki, kaka yangu SALUTE Baba nicole 🤝💘 the way from us.
@martsmart1666
@martsmart1666 3 жыл бұрын
Usipofanya kazi siku zote ukimwona mtu amefanikiwa utajua ni nguvu za Giza ama ukahaba kumbe ni jitihada binafsi.Mungu akupumzishe kwa amani Ginimbi.
@zamdamasondole8272
@zamdamasondole8272 3 жыл бұрын
Story inavutia, inasisimua, inafunza..thanks SNS.
@zabiyafahmikhamis4873
@zabiyafahmikhamis4873 3 жыл бұрын
Tuwe tutakavo kuwa lakini kifo ni lazima haitajalisha ww ni nani 😢 muhimu tuombe Mungu atupe mwisho mwema na tujitahidi kufanya yanayo mridhisha Mungu ili tusalimike na adhabu kali
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 3 жыл бұрын
Kabisa mpenzi Khusunul khatma ya Rabbi?
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJiweK2rbJ2Mbpo
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 3 жыл бұрын
Emeen
@zamzamabdi5279
@zamzamabdi5279 3 жыл бұрын
@@binthassancollection.6308 amiin amiin ya rabul allamin.
@lulually6722
@lulually6722 3 жыл бұрын
Allahumma ameen 🙏🙏🙏
@emmamueljerryeasther3833
@emmamueljerryeasther3833 3 жыл бұрын
Kaka F naipenda sana huduma sns Mungu akubariki
@zainbomary3970
@zainbomary3970 3 жыл бұрын
Me nimeona media nyngne ila nkasema nasbria SNS asnt sana Kaka Sky
@shakilakhamis2109
@shakilakhamis2109 3 жыл бұрын
umeona eeeh wasema ukweli
@fatmass6125
@fatmass6125 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 3 жыл бұрын
Ulaya watoto 24 tayari matajiri atari ila africa ukiwa mdogo tajiri ni Freemason tuache izo fikra wengine Mungu kawaumba ivyo mazilo shule lakin kwenye biashara wako vizuri na wanamafanikio tu Mungu kawaumba bila shule na ukichunguza matajili wengi shule imewapita kushoto
@marymayeye7947
@marymayeye7947 3 жыл бұрын
Ulaya wapi watoto nimatajiri nami nipeleke wangu manake mimi nahishihuku nasijaona vijana matajiri ?😂
@rashidhamis6779
@rashidhamis6779 3 жыл бұрын
Inategemea na biashara kazi familia yako ila huyu kuna namna hapa kwake
@happynelson1136
@happynelson1136 3 жыл бұрын
Mimi naishi Ulaya na kweli hapa napoishi kuna vijana miaka 22 matajiri na wanachapa sana kazibili waje kuwa matajiri zaidi ni hizi nchi za scandenevia
@Pedeshee01
@Pedeshee01 3 жыл бұрын
@@marymayeye7947 upo wapi mary
@gsmtzinfogsm8601
@gsmtzinfogsm8601 3 жыл бұрын
Acheni fikra mgando alijitahidi kutafuta kadri ya nguvu zake na Mungu alimpa kutokana na upendo hata Mimi nilitoka umasikinini na sikuupenda nilipambambana kadri ya uwezo wangu na mengi yalisema na so hivyo midomo yetu itaungua siku ya mwisho huwezi toka umasikinini na bado ukaukumbatia wewe utakuwa zwazwa lazima ufight kadiri uwezavyo, Ginimbi hakuwa na mtu wa kumremote hilo ni tatizo pia na ule ushamba aliubeba na kujiona hero
@josephmoses2469
@josephmoses2469 3 жыл бұрын
Sns saluteeeeee yani huwa nakukubaliii unajuwa sanaaaa professional
@songaathumani1316
@songaathumani1316 3 жыл бұрын
Uko vzr broo na Kazi yako, Utakapo Enda mm nipo Bro Sky
@Nambenjere
@Nambenjere 3 жыл бұрын
What a gifted narrator you are. You're voice, the flow of tge story one can hardly stop the video. Well done for great translation. Swahili sanifu siyo lugha yetu Wakenya but my my God we can learn a lot from you. Well done, thumbs up
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 3 жыл бұрын
Thank you so much
@sadiyakb8498
@sadiyakb8498 3 жыл бұрын
Sio wakenya wote wamombasa wanaongea kiswahili sanifu
@Nambenjere
@Nambenjere 3 жыл бұрын
@@sadiyakb8498 No no the Mombasa Swahili can't match up the Tz Swahili. That's just the truth. And with bongo we don't have to get lost in the West
@hatibhatib5760
@hatibhatib5760 3 жыл бұрын
huyu ndo presenter bora kwa sasa, ukitaka habar nzur ni sns
@felixboimanda1724
@felixboimanda1724 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i3XPqaGbgtadj7c
@abuunyalioto1752
@abuunyalioto1752 3 жыл бұрын
Sky nakubali sana simuluz zako kwa sasa sns ndo kila kitu hapa bongo nawapenda sana sns
@zaidathuman6067
@zaidathuman6067 3 жыл бұрын
Amuwezi Ananias edgar
@hatibhatib5760
@hatibhatib5760 3 жыл бұрын
ananias hajitambui
@papafikiri
@papafikiri 3 жыл бұрын
Sikumjua kabla...apumzike kwa amani sote tunaondoka
@saumumresh1198
@saumumresh1198 3 жыл бұрын
Yote mungu ndo anajua mm napambana na hali yangu paka pale mungu atakapo nibariki ila utajiri wa haraka unagharama yake
@leeldavid3712
@leeldavid3712 3 жыл бұрын
👌🏾👌🏾👌🏾🙌🙌🙌
@fedrickagustino991
@fedrickagustino991 3 жыл бұрын
Habari ya uhakika
@husseinissa1179
@husseinissa1179 3 жыл бұрын
Wa kwanza leo!! Gonga like twende sawa
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 Жыл бұрын
Jamaa alipatia Sana hii makala
@safiaabubakar1120
@safiaabubakar1120 3 жыл бұрын
You the best sky 👏👏👏
@stephennjama6828
@stephennjama6828 3 жыл бұрын
Sky uko vizuri sana, always uko positive.
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 3 жыл бұрын
Short and clear #SNS thanks Santi kwa ujumbe maana dah! Hatulali hatuli naizo habari zao wanazotupea wasizonazo uakika...thanks from Mombasa 🇰🇪
@shakila3982
@shakila3982 3 жыл бұрын
Ni illuminate hata amtetee, mavazi yake ni ya kishetani, utajinunuliaje jeneza mnda kidongo unakufa? Pesa alikuwa nazo lakini hakukuwa akimsaindia babake kama diamond illuminate mwezake, ni illuminate huyo
@faithaction2505
@faithaction2505 3 жыл бұрын
@@shakila3982 usihukumu n maisha aloyachagua
@jasmineally1493
@jasmineally1493 3 жыл бұрын
@@shakila3982 pole kwa maumivu
@happynelson1136
@happynelson1136 3 жыл бұрын
Ni illimunate gani? Tatizo waafrika ni wabishi mno na hiyo yote inatokana na kukusa elimu watu wasiokuwa na elimu ni wabishi mno mtu ukisoma sana kuhusu illiminate hata haihusiani na uchawi
@kindepi_tz8949
@kindepi_tz8949 3 жыл бұрын
Wa kwanza kucomment
@Kal-Mary
@Kal-Mary 3 жыл бұрын
Sns mnatupaga raha mashabiki 🙌🙌
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 3 жыл бұрын
Tunashukuru Sana Mkuu, Tumeelewa Sana 🙏🙏🙏🙏
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 3 жыл бұрын
Allah ampe kauli thabit na amsamehe makosa yake ya siri na dhahiri
@jumaramadhani1486
@jumaramadhani1486 3 жыл бұрын
Amiin yarabbi
@rachelbahahazo6362
@rachelbahahazo6362 3 жыл бұрын
Haahahha jidanganye
@saumusalimu5118
@saumusalimu5118 3 жыл бұрын
Mungu najaaliye mwisho mwema🤲🤲🤲🤲
@sinatatizonamtu
@sinatatizonamtu 3 жыл бұрын
Nakuja hapa Kwasababu Ya Ginimbi Tu Ya Zari NinYenu😁😁
@jeyshillyjack4470
@jeyshillyjack4470 3 жыл бұрын
Thanks sns nikiwaskiza nyinyi basi natulia,Na huyu Ginimbi mbona hakua na mtoto hata mmoja dar, achen Diamond azae
@davieed1427
@davieed1427 3 жыл бұрын
Ebhna SNS Mko vizuri bhna Sky nakubali
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 3 жыл бұрын
Binadamu ndio tulivyo, mtu ukiwa maskini hawahoji umaskini wako, Ila ukiwa tajiri wataanza kuhoji kila kitu ulipataje utajiri wako, Africa ni tatizo kubwa
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Ni tatizo kubwa.hata kijana wetu mpendwa diamomd platinumz kuna watu husema mi freemason😂
@chidiomari.65
@chidiomari.65 3 жыл бұрын
Much love sns👊👊🇫🇮🇫🇮
@hammyg5714
@hammyg5714 3 жыл бұрын
Sns you are the best
@bahatikassongo1229
@bahatikassongo1229 3 жыл бұрын
Pia mithali hii isisahaulike👇🏾 Luka 12:16-19,21 [16]Akawaambia mithali, akisema, Shamba la mtu mmoja tajiri lilikuwa limezaa sana; [17]akaanza kuwaza moyoni mwake, akisema, Nifanyeje? Maana sina pa kuyaweka akiba mavuno yangu. [18]Akasema, Nitafanya hivi; nitazivunja ghala zangu, nijenge nyingine kubwa zaidi, na humo nitaweka nafaka yangu yote na vitu vyangu. [19]Kisha, nitajiambia, Ee nafsi yangu, una vitu vyema vingi ulivyojiwekea akiba kwa miaka mingi; pumzika basi, ule, unywe, ufurahi. [21]Ndivyo alivyo mtu ajiwekeaye nafsi yake akiba, asijitajirishe kwa Mungu.
@rutimarlon
@rutimarlon 3 жыл бұрын
Baada ya mtu kufa ndo mmepata Habari zake hongereni sana Tanzania 🇹🇿
@georgewmk7601
@georgewmk7601 3 жыл бұрын
😌
@fatmasalima3847
@fatmasalima3847 3 жыл бұрын
Mash Allah God bless you ameen 🤲🙏
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 3 жыл бұрын
Nakubali kaka sky 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@munadlebobo5234
@munadlebobo5234 3 жыл бұрын
Ila tuseme ukweli sns unajua kunarret story hadi mtu aelewe big up bro👏👏🇰🇪
@ridgeglorialukusa3597
@ridgeglorialukusa3597 3 жыл бұрын
Yesuuu njo chief
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 жыл бұрын
Pumzika salama kipnz cawatu sote ndonjia 🙏😢
@wocamsafi4701
@wocamsafi4701 3 жыл бұрын
Sky ur the best
@irakozegracia183
@irakozegracia183 3 жыл бұрын
R I P Ginimbi Mungu na moyo wako ndiyo wajuwa yote Sisi tusiwe wajaji kwa maisha ya wenzetu
@ahlansawia4882
@ahlansawia4882 3 жыл бұрын
Really dear
@ridgeglorialukusa3597
@ridgeglorialukusa3597 3 жыл бұрын
Watu wame kufa kwa kupata utajiriii! Tuko wageni iyii duniyani.
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 3 жыл бұрын
Inauma sana aiseeh mhm kifo iki Aya inshallah kz yake mola anamakosa
@fatumfatum2379
@fatumfatum2379 3 жыл бұрын
kama kawa wakwanzaa🤗
@klystry1234
@klystry1234 3 жыл бұрын
Safi kabisa t-shirt nzuri
@paulmalebo64
@paulmalebo64 3 жыл бұрын
Bro we unajua sana
@fadhilimwackipesile8126
@fadhilimwackipesile8126 3 жыл бұрын
Ginimbi nimeanza kumfuatilia toka 2015 daaah maisha haya.ndo kujua kuna watu weusi wanapesa,sio wakina hushpap mataperi tu
@bahatikinyaga4413
@bahatikinyaga4413 3 жыл бұрын
Olin I lug yuki Milo loop police look you kill to one is you UK up I'll
@user-un3df1sl2h
@user-un3df1sl2h 3 жыл бұрын
Sns nawakubali sana
@saicharles8007
@saicharles8007 3 жыл бұрын
Mungu nde unae jua maisha yake alio ishi hapa dunian sisi tutaishia nalabda222222
@firdausiabdulkarim2424
@firdausiabdulkarim2424 3 жыл бұрын
Hii story angeisoma bbysky ingeua noumaa
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 3 жыл бұрын
Bora dada umeamua kumvisha nguo kaka ako kila nafsi itaonja umaut
@jesusmyeverything9179
@jesusmyeverything9179 3 жыл бұрын
Haki Mimi namhurumia huyu kaka kama namjua jamani dah!ameenda bado mdogo sana😭😭😭😭.
@user-eo7ug2tg9r
@user-eo7ug2tg9r 3 жыл бұрын
Duuh..sikuwahi kumfahamu .Jamanialikiwa handsome
@khaijajumanne1317
@khaijajumanne1317 3 жыл бұрын
Daaaa mtihan
@ashaali7154
@ashaali7154 3 жыл бұрын
Mola ndie anaejua yote yaliyotokea na alipanga yeye kutuonyesha sisi binaadam kuwa hakuna maarufu wala tajiri mbele ya uwezo wake usiokuwa na upendeleo, Wote tajiri na masikini njia ni hiyo hakuna short cut.
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 3 жыл бұрын
Mungu atuweka mahali pema Ameen
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
Eeh Yarab tujaalie mwisho mwema 🙏
@seciliakilala7921
@seciliakilala7921 3 жыл бұрын
Thank you SnS
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 3 жыл бұрын
Jamaaaaa alisahau kujenga kanisa
@petrorajabrajabu7093
@petrorajabrajabu7093 Жыл бұрын
Huyu jamaa alikua poa Sana maisha kama haya nisawa sana kwa kijana
@Gody360
@Gody360 3 жыл бұрын
Ata naivyo kwani watu tunaamini sana mambo ya kishirikina yan mpaka wengine tunaogopa mafanikio🙄
@rahmanamani3422
@rahmanamani3422 3 жыл бұрын
Jamani watu wajifunze na hawa watu wanamkasirikisha mungu
@courtoiskimweli2506
@courtoiskimweli2506 3 жыл бұрын
Tutazid kuyasikia mengi 😃😃
@matridabatista7989
@matridabatista7989 3 жыл бұрын
Ee mungu ilaze pema peponi roho ya marehemu Ginimbi
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 3 жыл бұрын
Dah asante sky kwa uafanunuzi huu Rest in peace ginimbo🙏🏽
@najmagudeh203
@najmagudeh203 3 жыл бұрын
ALLAH Amrehemu
@GADITV
@GADITV 3 жыл бұрын
R.I.P
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 3 жыл бұрын
Awww maneno mazuri sana Rest In Peace our brother
@happynelson1136
@happynelson1136 3 жыл бұрын
Sijawahi kuona watu wagumu kuelewa kama wabongo huyo dada kasema amemfahamu kwa muda wa miaka 15 sio kuwa ana miaka 15
@tatuta6529
@tatuta6529 3 жыл бұрын
Uko vizur kaka unajua kuelezea vizur ongera yako
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Dahhh dunia mapito😢
@ninaclaudia1990
@ninaclaudia1990 3 жыл бұрын
Ndo wa Africa hao ukiwa na pesa ooo hela zamashetani
@jumaramadhani1486
@jumaramadhani1486 3 жыл бұрын
Inakera sana na kusababisha kukatisha tamaa vijana kwamba usimuone yule ana hela ni za kishetani inasababisha mtu aone hawez kutoboa bila ushirikina
@ninaclaudia1990
@ninaclaudia1990 3 жыл бұрын
@@jumaramadhani1486 kabisa inabidi tubadilike kwa kweli mtu ameanza kusota toka anamyaka 17 leo apate hela na kuinjoy huslo zake eti ni Mali za shetani kwni hawaamini kuwa M/Mungu yeye ndie mgawa rizki
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 3 жыл бұрын
Ujui unachoongea tulia.
@allyfatma7359
@allyfatma7359 3 жыл бұрын
Thx SnS
@officialssimba2181
@officialssimba2181 3 жыл бұрын
Aksante kwakutuambiyA ukweli namimi natafuta zangu USA watasema ni ulozi
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 жыл бұрын
Hapa sasa ndio nimeelewa maana watu bwana kumbe hata mimi nikiwa tajiri nitaambiwa freemason daah Pumnzika kwa amani Ginimbi
@maryamdunga3896
@maryamdunga3896 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣yani binadam ndo walivo yani mtu unahaso ukitajirika wanasema nali zauchawi
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 жыл бұрын
@@maryamdunga3896 ndio maana tunaambiwa tusihukumu bila kujua ukweli
@aminajuma2981
@aminajuma2981 3 жыл бұрын
Apumzike kwa amabi🙏🏾
@an6808
@an6808 3 жыл бұрын
Ginimbi we jifie tu, na sisi tutakufa, ujue tu hata Shetani ana akili katika kuuficha ukweli, hata tukihoji mpaka mwaka ujao juu ya utajiri na kifo chako hatutapata jibu, siri ya utajiri wako unayo wewe, Kikubwa tu tujue Mungu ni mkubwa sana. Utukufu na nguvu ni kwake mwenyezi Mungu Muumba wa vyote, habagui tajiri wala masikini. Mungu ni wa haki
@saedissah2197
@saedissah2197 3 жыл бұрын
R.I.P Ginimbi
@videozaaj1069
@videozaaj1069 3 жыл бұрын
Mafanikio ya mwanaume maskini siku zote huhojiwa😥😥😥😥
@musaalphan8254
@musaalphan8254 2 жыл бұрын
Umeona ee
@musaalphan8254
@musaalphan8254 2 жыл бұрын
Ukiwa masikini hawahoji ila ukifanikiwa tu wanahoji umepataje utajili Daaaaaah
@saidahj2543
@saidahj2543 3 жыл бұрын
Oooh poor pokello...take heart en be strong....rip G
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
Yauma sana walai 😢
@abdibilali4186
@abdibilali4186 2 жыл бұрын
Story Ina fundisha sana
@princess-uf5ux
@princess-uf5ux 3 жыл бұрын
Hv binadhamu kwanini munapenda kuhukumu watu???
@mbembelatv
@mbembelatv 3 жыл бұрын
Mengne hayavumiliki mzee
@allymdoka8634
@allymdoka8634 3 жыл бұрын
Duuuuuuuuuuuh am so sad
@amanimusa4313
@amanimusa4313 3 жыл бұрын
Asee maneno mazuri Sana huyo mtu kayasema. Yanafundisha kitu japo amejaribu kukuelezea tu rafiki yake
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Duh🤔
@verowilly5822
@verowilly5822 3 жыл бұрын
Mafanikio ya mtu mweusi katik umri mdogo watu wana judge... Wazungu kijana mweny miak 22 unakuta billionare.. Why sisi waafrika tuna fikra potofu.??
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Rest In peace GINIMBI
@zaitunifamao7777
@zaitunifamao7777 3 жыл бұрын
😭😭
@12322879
@12322879 3 жыл бұрын
Habari zenu hazijawahi kunidisapoint
@IANA2030
@IANA2030 3 жыл бұрын
God knows the truth
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 3 жыл бұрын
Ukifanikiwa tuu ,tayari unamiliki minyoka ,naukifanikiwa basi ndugu yako akifa umemtoa kafara duuu wa Bantu tunashida mwisho wasiku Fanya yako tuuu
@amnaalshabani2777
@amnaalshabani2777 3 жыл бұрын
😭😭😭RIP
@gagedamoursarusaru8079
@gagedamoursarusaru8079 3 жыл бұрын
RIP
@najmanidengo4466
@najmanidengo4466 3 жыл бұрын
😥😥🙏
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 3 жыл бұрын
Hiv yupo na watoto wangapi huyu jamaa
@jacklinemwanga1691
@jacklinemwanga1691 3 жыл бұрын
Habar za kwel huwa zipo kwa sns wengine mtuonyeshe tangazo tuje kuview kwa sky
@florencembithe2244
@florencembithe2244 3 жыл бұрын
Kabsa
@calvinmsechu4813
@calvinmsechu4813 3 жыл бұрын
😭😭😭
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 81 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 53 МЛН
Lulu Diva amburuza Lava Lava Mahakamani, adai fidia ya shilingi Milioni 200
6:47
MUTHAMAKI URIA UGWATHANA -PART A | Apostle Ndura Waruinge | Bethel Clouds TV
58:47
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 81 МЛН