Ukiwa na doto baya ama uoga kila wakati. Usisahau maombi kimbilia kwa Mungu ndiye muweza wa vyote. And to rebuke all evil dreams
@johnmwadime45903 жыл бұрын
Thankx kwa ujumbe wako
@michaellpeter36613 жыл бұрын
You for me👉👉👉👉👉 Bado wewe ishi kwa ndoto njema 🙏🙏🙏👍👍
@husseinchea55243 жыл бұрын
Hatujui siku wala saa ila tusiishi kijingajinga yani maisha ya starehe km vile kubugia mipombe, kuvuta mibangi, kufanya ngono km wanyama...tuishi km anavyotaka MUNGU si tuishi km tunavyotaka wenyewe...Maisha bila Yesu Kristo si maisha
@lapozzydone52033 жыл бұрын
Sns ninachowapendea munatujali Sana mashabiki wenu Yani munabidii Sana ya kutupasha habari tusozijua ama ambao inakua ngumu kuzipa..Asanteni kwakweli
@ruthmusau51903 жыл бұрын
Our Gavana.. 001
@jamilaingu79223 жыл бұрын
My governor 🔥🔥🔥
@jamilaingu79223 жыл бұрын
254
@JulienKambaleN3 жыл бұрын
001
@AishaAli-lk7gh3 жыл бұрын
#001
@SandraSalomeAngolorctr3 жыл бұрын
Eh..Mimi Namuelewa huyu marehem. Ni sha wahi kuota mara mengi eti nimekufa kwenye ajali ya gari lakini namuomba Mwenyezi Mungu isiwe hivo! Unaweza ku badili kifo chako kama Mfalme Hezekiah kwenye biblia. RIP to them all.
@nancyfamilysharesmoments76343 жыл бұрын
Muda mwingine Mungu anataka utubu
@nancyfamilysharesmoments76343 жыл бұрын
Mimi nlikuwa noata ndoto mbaya za kufa kunajitu nilikuwa nikilala linanikabaa sana hasa nikilala peke yangu chumbani ila watu wakitokea linaniachia nikilala tu lazima lije linasemaleo lazima ufe kwahiyo mimi kifo changu kingekuwa usingizini aisee nilisali sana siku moja nikaskia sauti inaniambia jitu linalokutesa kila siku ni hili sikuamini niliona kwa macho yangu linatishaa limevaa nguo nyeupe tokea siku ile 2012 hadi leo sijawahi kukabwa tena, jaman mkiota mandoto mabaya mkumbuke kusali ni siraha tosha
@nevisdaniel52763 жыл бұрын
Sahihi ukiota ndoto mbaya amka swali omba mungu kemea kisha ludi lala na ukiota ndoto nzuri muombe mungu ndoto iyo itimie
@fainajaffary40703 жыл бұрын
Pole my
@oscanyakunga96743 жыл бұрын
Sawa sawa
@danyanthony35823 жыл бұрын
Nikwel kabisa
@zclassicfashionz3 жыл бұрын
Shukrani sana kaka SKY... Ni vizuri kuomba mwisho mwema hakika mwenyezi MUNGU uyapokea haraka maombi yetu tumuombayo uku tukibubujikwa machozi...
@hopechidera3 жыл бұрын
Jaman kifo😭Mungu Baba tujalie mwisho mwema🙏🏽
@maryamjilo73183 жыл бұрын
Ameeen
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
Amin
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin
@aminaramadan1843 жыл бұрын
Amiiin
@salehalbasam413 жыл бұрын
Amina
@nonofelix39033 жыл бұрын
Ulimi ni kiungo chenye nguvu sana, she was supposed to pray hard na kukataa hiyo hali, sometimes ukijiongelea kitu shetani hukisimamia na kuhakikisha kinakua hivyo. R.I.P guys.😢😢
@maimunaabdalla71463 жыл бұрын
Pesa ya shetwani inawamiliki,kiasi cha ata huwa hawajui kama kuna m/mungu angeomba nini Kwa MUNGU ?wakati shetwani ashawapa pesa????🇰🇪
@gockoomzawa33893 жыл бұрын
Hata ulimi uspozungumza swala la kufa lipo palepale
@tanzaniaoman64233 жыл бұрын
Kifo kinasiri kubwa sana MwenynziMungu awarehemu😭
@zennakailo81063 жыл бұрын
😭😭😭kifo hujui lini kinatoa hakika siri ya Mungu ni Mungu mwenyewe
@fatmaamran13353 жыл бұрын
Wapo ambao hujuwa siku zikiwa kàribu lakin kumwambia mtu uwa Hana hiyo kauli
@ramsikhamis70833 жыл бұрын
Sahihii kabisaa ma dear....
@nellyflo97363 жыл бұрын
Kikweli kifo hakina huruma 😭😭😭😭😭😭😭Mungu ndie Anaye jua saa...siku na muda wako katika dunia ss n wapita njia Mungu awalaze pema
@kweka14l353 жыл бұрын
Hii ni sawa na Movie ya Final Destination. R. I . P Dears 💔
@KA-yz2ld3 жыл бұрын
May her soul RIP. Still so young, kwa M/Mungu tumetoka na kwake tutarudi; tuishi bila yakujisahau kwamba hapa tunapita tuu 🌹🙏🏽.
@baranmohamedmbashir52993 жыл бұрын
Mungu awaweke pema penye wema peponi inshallah
@lilianjeremia10243 жыл бұрын
Yaan kuna mda Mungu anakuonyesha siku yko itakuwaje ila sie bila kujua maskin rest in paradise wote waliofariki kwenye ajali hii🙏🏽🙏🏽🙏🏽😥
@ivonaevarista46543 жыл бұрын
Yesu anaokoa,kimbilieni kwake kuna usalama,at uwe tajir ama maskin tutakufa tu,waebrania9:27
@ramadhanimohamed22723 жыл бұрын
Kwani Yesu ndiye muumba?? Muogope MOLA WETU MLEZI MTUKUFU aliyejuu. Muumba ndiye mjuzi na ndiye muokozi
@ivonaevarista46543 жыл бұрын
@@ramadhanimohamed2272 Mungu wangu na Bwana wangu n Yesu Kristo Mwamba aliekufa msalabani kwaajili yakila mtu hivo wee kama humtambui mm ndo namtambua vyema ndo maana sion aibu kumtangaza,
@lydiawafula34843 жыл бұрын
@@ivonaevarista4654 HALLELUJAH hatuna haya kumtangaza bwana na mwokoxi wetu kristo , ,, kwa hakika bwana yesu yuarudi tutubuni
@ivonaevarista46543 жыл бұрын
@@lydiawafula3484 ameeeeeeeeeen Bwana Yesu epewee sifaaaaaaa yani hakuna kuogopa Yesu ni lazima tumtangaze mpaka kieleweke yani kama hujamjua Mungu huwez kumjua shetani ila ukshamjua Mungu ndo utajua kuwa shetan anawaliza wengi sana jaman,asante sana barikiwaaaa
@lydiawafula34843 жыл бұрын
@@ivonaevarista4654 HALLELUJAH,, tutamtangaza maana yu hai ktk maisha yetu🔥🔥🔥🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️💃💃💃💃💃💃
@Aminamodhir3 жыл бұрын
You guys should run back to God he is the only hope and way to heaven
@maimunaabdalla71463 жыл бұрын
Yes Liz.only God can give u clean money with no conditions.🇰🇪
@rhodahj71213 жыл бұрын
God is the answer
@lucyolindo57323 жыл бұрын
God is the only answer repent and follow jesus you will never lack or cry...
@stanleymathias78773 жыл бұрын
Hiyo ilikuwa ni vita kwenye ulimwengu wa roho akashindwa kuitambua inahitajika uwe na roho mtakatifu ili kuitambua na kama angejua kumtafuta mtumishi wa Mungu ilikuwa inazuilika;
@deboraisuja53753 жыл бұрын
Nimejifunza jambo nashkyru Sana ntazid kuomba kwa bidii
@wepoorman89443 жыл бұрын
Sure
@rachelshebesh27523 жыл бұрын
Ooh so sad, Nothing BT prayers Every body must believe in God and trust in him.
@swalehemusa45463 жыл бұрын
Subutu kifo hakina roho mtakatifu wala mtakabifu
@stephanieeunice85723 жыл бұрын
Things like this you dont share but you provoke and pray pray, tongue is a powerful organ.
@claudiangowi95853 жыл бұрын
Very correct
@puritysidi10663 жыл бұрын
The power of the toungue
@damariszuckschwert94893 жыл бұрын
Praying now won't change a thing. Is too late, lesson learned the hard way.
@allthingdranabeauty3 жыл бұрын
So true
@damariszuckschwert94893 жыл бұрын
@RICH HOMIE So you pray then you go wild drinking and driving the fastest car? God won't answer that kind of prayer.
@aminanamoyo833 жыл бұрын
Mungu azilaze roho za marehem mahala pema peponi Ameen 🤲🙏
@josephkomba643 жыл бұрын
Urembo wao haupo tena jaman tufanyen ibada xana kuliko kujipamba
@chunaamina87193 жыл бұрын
Kbsa urembo hauna faida mbele ya alotuumba zaidi ya ibada
@baranmohamedmbashir52993 жыл бұрын
Pia sisi atupe mwisho mwema inshaallah
@sakinaabdallah77133 жыл бұрын
Lala peponi young girl . Mungu atakupokea kwa uwezo wake ichaallah
@Mbeyaconscious3 жыл бұрын
😭😭😭😭 Mungu Awalaze Mahali Pema Peponi, Site Njia Yetu Ni Moja 🙏🙏🙏🙏🙏
@maimunaabdalla71463 жыл бұрын
Seriously?? Uishi Kwa utawala WA shetwani na hapo hapo utarajie M/mungu akueke maali pema peponi???mbona tunamkejeli MUNGU?????
@gracerevocatus46863 жыл бұрын
Amen
@dinasinyangwe93403 жыл бұрын
Maimuna abdallah huwezi muhukumu binadamu mwenzio, maana wewe so Mungu, na ukumbuke kuwa Mungu husamehe na anaweza kukupa sekunde tu yakutubu na akakusamehe, nahicho ndiyo tegemeo letu sote katika safari yetu yamwisho hapa duniani, maana Mungu si binaadamu Mungu nimkuuu sn
@lulually67223 жыл бұрын
Sio mahala pema peponi mahala panapostahili
@Mbeyaconscious3 жыл бұрын
@@lulually6722 Sawa Mkuu 🙏🙏🙏🙏
@nataemsuya3 жыл бұрын
Kwa hakika kifo ni fumbo na hakikwepeki. Imagine he had enough money to hire a driver who could drive him when got drunk. Again,he could sleep at his caffee&bar where the party was taken (it is a huge place with a lot of rooms to relax on,but he opted to drive back home . It's just a lesson to us!
@Mbeyaconscious3 жыл бұрын
Kwa Mungu Kila MTU Anathamani So Sio Fukara, Mwendawazimu, Au Watenda Zambi. Mungu Huwa Anatuhitaji Sisi Kondoo Wapotevu 🙏🙏🙏
@maryamkhatau94453 жыл бұрын
Nikiwaza kifo mwenyewe nasalim Amri kwa Allah naishi km alivyonitaka maana Duniani sisi ni wegeni na ubaya hatujui lini mtu atakndoka Allah atujaalie mwisho mwema na atujaalie kauli thabiti kabla ya mauti inshaAllah mauti yatukute Hali ya kuwa ameturidhia amiin 🤲🏻
@fadhilarajabu9033 жыл бұрын
Amiin🙏
@HassanAli-vy3kb3 жыл бұрын
Amin
@abdulikikuge58243 жыл бұрын
🙏
@salmaalimusa5473 жыл бұрын
Amiin yaa Rabbi
@zaitunijuma78313 жыл бұрын
🙏🙏
@sarahogama95403 жыл бұрын
Huyu alikua tayari ashatolewa kafara na ilikua apate mtu wa maombi amsaidie kufafanua hio hali but anyway God above all
@annamoka66053 жыл бұрын
Kabisa ilikua roho ya mauti
@wepoorman89443 жыл бұрын
Sure u say it all
@evaemil8563 жыл бұрын
Mungu alaze roho za marehani mahali pema peponi!
@user-un3df1sl2h3 жыл бұрын
Iyo hali sio nzuri,ata mimi ilinikuta maombi yamenisaidia sana
@roi25533 жыл бұрын
SnS nawakubali sana Munafanya Kazi nzuri sana hongereni
@stephanierona65923 жыл бұрын
R.I.P mungu awape kauli zabiti😭😭😭😭
@aminihaminih78463 жыл бұрын
😭😭😭😭mungu tupe mwisho mwema,kila nikiwaza naic😭😭😭 kifo ni siri kubwa jamani
@zaitunijuma78313 жыл бұрын
hakika mauti yanauma sn jaman Ya Allah tujalie mwisho mwema 😭
@lehhassan58533 жыл бұрын
Ooooh my GOD It is very sad story Bro SKY hichi nnachokuelezea sasa hivi ni really story nilikuwa kazini just day before yesterday sasa nikawa nakuwaza jinsi gani unavyokuwa na mpangilio au mvutio pale unapotowa au kuelezea tukio fulani hakika inakuwa na UTAMU Wake wa kipekee siwezi hata kuuwelezea ...sasa ktk kumbukumbu zangu nikawa najiambia mwenyewe kwa mwenyewe niliikumbuka siku ulivyoiyelezea BIRTHDAY YA DIAMOND PLUTINUMZ Then nikawa nasema yule SKY Hata Aje siku Asimulie Story ya MAJONZI Basi kwa utaalamu wake ontop ya kwamba ni huzuni basi kwa jinsi atakavyoiyelezea still utaenjoy Na kupatwa na msisimko wa ile story ....Its exactly nimemaliza kuisikiliza hii story ya Accident iliyochukuwa roho nne za wapendwa ndugu na marafiki lkn point yng ni ule umahiri wako wa kukielezea kile kilichotokea na kwenye TONE AMBAYO NI AMAZING DUUUH HONGERA BRO MM NI FAN WAKO 💯/💯 nnakufuatilizia into every story na pia ni mpenzi wa SNS Again thank you bro ........all the way from CANADA🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🙏🙏R.I..P TO THOSE WHO LOST THEIR LIFE
@fredrickbundala37593 жыл бұрын
Wow! Asante Sana! 🙏🙏
@jackiephyll12503 жыл бұрын
😭😭😭 let them shine on their way
@saumukaisi70033 жыл бұрын
Kifo nisiri kubwa Sana daah pole family yote💘😭😭
@vumbakingvumbaking95713 жыл бұрын
Innah lilah wainnah illah rajiun hili SoMo tuji funze wote ibada ni nguzo ya kesho🙏
Shetani hana shukrani hata umfanyie Nini bora kumkimbilia Mungu kabla ya siku mbaya
@Mazoea3 жыл бұрын
Yani shetani awezi kukupa utajiti bure utavilipia tu ..no free lunch
@luckyvenance45763 жыл бұрын
Ee mungu baba unakufa unajiangalia tu,jamani
@rhodahj71213 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 inasikitisha saaana mungu ailaze roho zao mahali pema condolence to the family
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
Kusema kweli stare za duniya zimetubeba sahi mungu atupe mwisho mwema amin RIp
@saniajuma61233 жыл бұрын
Mungu awalaze mahala pema peponi amina 🙏🙏🙏🙏so sad daa inauma 😭😭😭😭😭😭😭
@RandB_Channel3 жыл бұрын
Daaaaa hatujuwi siku wala sahaa kweli yoooo huruma sana ina umma pole sana kwa family
@hamoudcreator63433 жыл бұрын
Duuuhhhh!!😣😣 Kiukweli haya mambo hayazungumziwi Sanaa kwenye jamii yetu sanaaaaaaa.. Ila ni Tatizo kubwa Sanaaaa hili, WaTanzania wengi tunapitia sana hiki kitu.. MSONGO WA MAWAZO.. Natamani Watangazaji wetu mungekuwa munajua hiki kitu deeply ili muweze kuzungumzia kiunaga ubaga.. Sio hivi juu juu Tu. Kwakweli vijana wengi sanaaaaaaa wanapitia hali ngumu Sanaaa... Na hizi social media's na matv ya siku hizi yalioanzishwa. Kwakweli watu wanaumia Sanaaa.. Ukimuona Aaliyah au Lilommy wanavopiga pamba kali na kila siku ni design mpya kabisa.. Then wewe ukijiangalia huna kazi, kazi yako ni kuscroll down tu kwa mitandao yote.. Kumuangalia Mondi na familia yake, Kumuangalia Wolper, Uwoya.. Mwisho unatukana kwenye mitandao bila sababu za msingi. Na pia Hata ukipata iyo kazi, basi Umekuwa unafanya Tu, ili upate mshahara ila sio kitu unachokipenda kutoka Moyoni kukifanya. Kiukweli kuna watu wanapata misongo ya mawazo kama hiyo mifano.. Tatizo lililopo ni kwamba vijana wanaona ni vitu rahisi na hawakuwahi kujua ni njia gani wafanye ili wafanikiwe. Mwisho wa siku tunapata vidumenyoronyoro mjini kibao.. Then hakuna kitu wanachopitia zaidi ya msongo wa mawazo. Kwa baadae wanapokuwa peke ao.. Kwakweli Inaumiza vijana wengi sanaaaaaaa..
@user-ij5ig4uu1y3 жыл бұрын
Hicho ndicho kilifanya tanasha akaondoka bongo kwenye interview yaka alisema alipitia wakati mgumu Sana na alikua na mimba
@Ketee253 жыл бұрын
Social media is toxic na hakuna kitu kigumu kama huijui na depression one day upo poa next day hari mbaya kinoma unapata mental breakdown
@user-ij5ig4uu1y3 жыл бұрын
@@Ketee25 you're right and you die anytime
@pesmobilegamemonster27493 жыл бұрын
Hiyo ni kweli ni acha kutumia social media kama facebook,insta,twitter kwa sababu ya deprssion yn zinadestruct sana hila ndo hvy watu awawezi kukusikiliza hata kidogo
@hamoudcreator63433 жыл бұрын
@@Ketee25 Kabisa.. Kama vijana wa siku hiz wengi hatujitambui.. Hapo ndipo tunapoelekea shimoni..
@chiefkaitaba.m.94663 жыл бұрын
Hila yule dreva alikuwa amezidisha Champagne na ukijumlisha na uchovu wa ucku kucha kwenye club walipokesha,nimeona video alizo post huyo Ginimbi (Genius) yaani alikuwa amechachuka hatari sana,but R.I.P
@zainbomary39703 жыл бұрын
Asnt sana Kaka Sky kwa trfa hiz isngekuwa SNS ningejulia wapi haya kama alijitbria kifo
@damariszuckschwert94893 жыл бұрын
Lesson learned...,don't drink and drive. Sorry to say some will learn it the hard way.
@bahatijoseph87633 жыл бұрын
Sure
@safiamani70053 жыл бұрын
Facts
@ecamshorts4713 жыл бұрын
Siku yako ikifka haina jinsii
@bahatisunga16423 жыл бұрын
Rlp Marehemu wote 4 hakika kifo Kinatisha 😭😭😭 Pole Zari kwa kuondokewa na Shemeji yako
@charlesboniface283 жыл бұрын
Aisee kifo acheni mimi nili tumbukia kwenye shimo la choo nlivo jiskia mungu ndio ana jua nkasema leo ndio nakufa lakin ikaja nguvu ya ajabu sijui ata ime toka wapi nilitoka kutoka chini kule chini kabisa bila kupumua nkapanda kwa speed adi nime toka ndio watu wana fika
@khadijafaudhi893 жыл бұрын
Da pole sn inabid ufnye sn ibada. Maan umepon kweny tundu l sindano. Muwek mungu mbel sn kil dakik
@jasmineshechambo34013 жыл бұрын
Pole sana mpenz
@Ray-vk7bp3 жыл бұрын
Pole sana
@elizabethkassoga4933 жыл бұрын
Pole
@charlesboniface283 жыл бұрын
ASANTENI sana ni unforgettable day ni 17/7/2020
@dicksonishayo90253 жыл бұрын
Boss kaacha ela mingi sana
@marymwita98063 жыл бұрын
Duuu Mungu tupe mwisho mwema pumzikeni kwa amani amina
@mariamibrahim31623 жыл бұрын
Mungu. Ajali nibaya niulizeni mm wallah
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Vipi iliwahi kukuta nn
@mwanajumaomahundumla65043 жыл бұрын
Kifo hakikimbiliki Inalillah waiina irayhi rajioun
@kwizerasamia53973 жыл бұрын
Mwenyez mung awarehem 😔🤲
@giftkondo89363 жыл бұрын
Tunatembea na kifo😭😭 mwenyezi mungu tupe mwisho mwema 🙏🙏
@williamray77513 жыл бұрын
Alisema ni ndoto Aliota, alikuwa sehemu hapati pumping na kulikwa na Giza, akijaribu kupumua akashindwa,Alikua anaelezea hiyo ndoto iluyomtisha sana
@cendrillonnam45493 жыл бұрын
Inalillahi wa inailayhi rajiun 😭😭😭
@ibrahimaziz71583 жыл бұрын
Sky nakukubali sana broo huaga ubahatishi yani nakusoma sana unaitendea kaz tasnia ya utangazaji na huna stori za kufoji broo big up sana
@joiceqtr42153 жыл бұрын
RIP ALL GOD IS THE WILL OF GOD WE JUST SAY THANKS GOD 😭😭😭🙏
@maryokwatch89353 жыл бұрын
May their souls rest in perfect peace.
@nurually84663 жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema Amin inshaallh
@ashashabani42103 жыл бұрын
inalillah wainaillah rajiuun Allah awape kauli thabit
@teacherchundu40623 жыл бұрын
Mystic visionary.
@magrethjohn49293 жыл бұрын
Mungu amrehemu mbele yake nyuma yetu
@maryamm77653 жыл бұрын
Inalilah wainailah rajiun Mungu atupe mwisho mwema
@natariaboniphace71273 жыл бұрын
Nikatika jina layekristu wanazareti alie hai mungu wasamehe waja wako naukawaweke mahala pema peponi amina.
@alysena46493 жыл бұрын
Pole sana my sister yote yanayotokea tuyapokee kwasababu mipanga ya hatuwezi kuyapangua
@hanifaally46943 жыл бұрын
M/mng awalaze mahari pema awasamehe makosa yao km anavyotusamehe cc wengine wote na atupe mwisho mwema Yarab 🙏😭
@minabuelysee83 жыл бұрын
tatizo tunapata kujua kama muda wowote twaeza kufa ila kutubu tunashindwa
@anahna67883 жыл бұрын
HAO NI MASONIC OG MWAMINI YESU KWA KUWA NDIYO MUNGU MKUU WA DUNIA NZIMA
@aishamuhammad77853 жыл бұрын
ALLAAH ndie Mungu mkuu sio yesu
@princegerard47043 жыл бұрын
Ukimuamini yesu hautakufa?
@princegerard47043 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 Ukimuamini Allah hutokufa?
@josephinejoseph5423 жыл бұрын
Yesu niyule Jana Leo na atamilele Yesu ndo kimbilio la milele
@ramadhanimohamed22723 жыл бұрын
MUNGU MTUKUFU aliyejuu ndiye MUNGU mkuu wa ulimwengu mzima. Yesu ni mjumbe tu kwetu
@lavindiva94063 жыл бұрын
May her Saul rest in peace 😭😭😥 so sad
@mabyserolouchcraig24313 жыл бұрын
Innalilah Rajiun Mola awasamehe makosa yao na awapunguzie adhabu ya kaburi Amin
@zainbomary39703 жыл бұрын
Hkika Mungu angekuwa antuonyesha kbla wasnge ondka ile sehem daaah
Mwisho mwema tuanze kuutafuta wenyewe ndio allah atufanyie wepesi tuishi tukijua kuna siku dunia tutaiwacha tujifunze kupitia kifo
@emmyyahya83583 жыл бұрын
Daa this so sad 😒 mungu atupe mwisho mwema inauma sana
@bumeplatnumz84453 жыл бұрын
Dah,Duniani kuna vitu😎
@salomewandya72573 жыл бұрын
Mungu tujalie mwisho mwema
@hassanmkuta77843 жыл бұрын
Amiin in shaa Allah
@wepoorman89443 жыл бұрын
Come out of darkness It doesn't matter whether ur have sold ur soul to satan or possess Jesus is ready to save rescue redeem and cleanse u from sins .
@zainbomary39703 жыл бұрын
Mungu tujaliemwsho mwema Mungu awarehem R I P
@mwaminindayishimiye44343 жыл бұрын
SnS asante saaana kwa kutupa hbr
@vanderjoe25513 жыл бұрын
Mjh
@zuleikhakhamis33033 жыл бұрын
Sky Mw.Mungu akuponeshe mn flu zimekushika kwa unavyoongea unajikaza tuu ili fans wk tuenjoy all in all pole sana
@fredrickbundala37593 жыл бұрын
Asante sana
@ashwramashallah72423 жыл бұрын
Dah innalillah wainna ilayh rajiuun😢😢😢
@jasmine.mayala75973 жыл бұрын
😣😣😣😣😣😣Mwenyez Mungu awarehem awape pumziko l milele kifo nifumbo kubwa
@bafaello26193 жыл бұрын
Pole
@Razkenya0013 жыл бұрын
Sad sana ..may they r.i.p
@anahna67883 жыл бұрын
Kuzimu kutawatana sana wote wenye MIZAHA na Mungu wetu
@zuwena1zuwena1143 жыл бұрын
Oh mungu tupe mwisho mwema
@shaadenshaduni77553 жыл бұрын
Allah awasameh makosa yao
@rosemarysulle92883 жыл бұрын
R.I.P fundisho kwa tuliobaki,pombe na kuendesha vyombo vya moto,havikuwahi kumwacha mtu salama.starehe za kupitiliza,Mungu naye anachoka kuvumilia
@shaniabdallah69103 жыл бұрын
Innalillah wainnallilah rajiun
@sakinaabdallah77133 жыл бұрын
Mungu awarehemu awalaze pema peponi
@judithkatabaro32943 жыл бұрын
Hakuna cha kujitabilia walikuwa wanajua kinacho fata mwana kuyatafuta mwana kuyapata tatizo vijana wana pupa ya maisha yani awataki kupata shida ya kutafuta pesa kiualali
@Mazoea3 жыл бұрын
Inaoneka yule kaka alikua anajua kinachoendelea...utajiri wa haraka haraka ina cost maisha sheltani akupi utajiri for free utavilipia tuu
@joharijj21643 жыл бұрын
Vijana jamani tuacheni tamaa na kuacheni kutaka maisha mazuri ambayo niya rahisi... Ebu tutoshekeni na kidogo chetu, tuishi maisha tuliopangiwa na tufe vifo halizo tupangia mwenyezi mungu....... Yaani hii story bana inasikitisha ebu tujikazeni kuongea na vijana wetu,,, Leo kampuni imelipuka moto, so sad