Nimekuelewa Sana sana, Nimejifunza ni vp nimuandae vizuri mwanangu awe really KING OF MATHEMATICS.
@YusufAli-ib6xu3 жыл бұрын
Brother congratulations we salute you Tanzania 🇹🇿 is best in maths
@LA-ml1xr3 жыл бұрын
Says who
@hamoudcreator63433 жыл бұрын
Kweli Kichwa Cha Habari Kimestahili 😂😂 Hongera Brother Hongera Sanaaaa
@Donald22ist3 жыл бұрын
Shout out to ALL who LOVE Mathematics! Welcome to the WORLD Peter! 👏
@hassankambwili9573 жыл бұрын
Mwamba anajua nimependa confindence yake Mungu amjaalie
@lungusii3 жыл бұрын
NI kweli dogo ...mimi sijajua nini kilitokea kwenye necta ...ila nilivyo enda nchi za nje nikawa mkali wa MATHS mpaka wazungu waka ni kubali na ikinijea ngea confidence ya kwenda Engineer mpaka sasa mimi Engineer.. 😊😊😊 CHANDY MPANGO MZIMA WANA PHYSICS IMEELEZEWA NI BALAAA..👍
@allyfatma73593 жыл бұрын
"Paper 2,necta mtanisamehe" Yaani hakuacha kitu. Thx SnS
@mkuluwaukae22213 жыл бұрын
Hizi ndo mambo ya kusikiliza, habari za shishi na fala wake pita hivi
@yhasintakalenyula9703 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki vijana wote wa kike na wakiume waliozawadiwa kwa ufaulu wa masomo yao wakimalize vyuo,wakiingia mtaani waendelee kung'ara katika shughuli zao.
@EK-kp2np2 жыл бұрын
Division 1 ya point 4😮, hongera sana, huwezekani🙆🏻♀️
@mosesmahinya96543 жыл бұрын
Hongera broo hisabat ni mazoez tuu mengi mengi
@rogatiusscarion7263 жыл бұрын
Respect brother ✊
@musonobari2560 Жыл бұрын
Usiishie apo bro. Nataman sku moja nione Tanzania ikiwa represented katika International Mathematical Olympiad. Serikali inatakiwa kushugulikia hili swala. Vipaji tunavo lakin haviipaishi nchi yetu.
@silvabrown91163 жыл бұрын
Hesabu siyo ngumu tatizo wanaotufundisha wengi wao siyo professional
@alexanderhaule76673 жыл бұрын
Yaani 70 ndo umezingua 😹😹 wengine hata kupata hyo ni mtiti
@saumuhassan63653 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana Bro, dah 🙏
@wanderaothumani49193 жыл бұрын
👏🏾 bravo!
@daktarij3813 жыл бұрын
big up bro,,,hongera yako ni kubwa
@vivy25493 жыл бұрын
Sns crew am still camping here waiting for you to talk about the chozi track by Tundaman, please do so coz i can't wait to here your views
@naseebalbaran73133 жыл бұрын
Hongera ngosha
@esthermoraa66483 жыл бұрын
Congratulations brother
@kelvinnjawike18086 ай бұрын
Dah peter rubinza ex pugu boys namkumbuka huyu dogo alikuwa moto balaaa
@emiliamulaki36003 жыл бұрын
Hongera sana.
@georgechilipweli20563 жыл бұрын
Chands ziko nyingi bro... Volume 1,volume2, Engineering mathematics all are chands... All in all form six mliyoko shule someni kwa bidii mathematics haina mwenyewe kwa kizazi hiki... Unaweza kuitwa bingwa ukapewa paper then ukala zero... Kibongo bongo mathematics bado tuko nyuma sana there no true mathematicians except Sir Saggaf and Sir Mwagen these are true mathematicians in our country .
@savian10723 жыл бұрын
Suggaf wa aliyemaliza udom ama?
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Kama hakuna bingwa mbona wewe haukuingia hata mia bora!!!!! Wakali wa hesabu wapo buana tusidanganyane sema wabongo huwa hatupendi kusifia - mainjinia mahiri wapo - madocta mahiri wapo - walimu mahiri wapo - wanahisabati mahiri wapo
@khadeejaabdullah70833 жыл бұрын
Hongera sana
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Mashallah, nice 💕
@nandymalegesi76403 жыл бұрын
Hongera kaka
@matendoa.online8033 жыл бұрын
Congrats
@hamisidaud99123 жыл бұрын
safi sana,
@elizaruhumbika96613 жыл бұрын
Bro congratulation
@mikestuner92068 ай бұрын
Mamamaeee 😂😂😂😂 paper 2 watanisamehe necta
@mussachichajr3 жыл бұрын
Hesabu kwa mm hapana
@christophermsekena6163 жыл бұрын
Kweli Mathe imejuta
@fallymetoo1913 жыл бұрын
Gefeliciteerd jonger 👏👏👏
@cadhimberec12863 жыл бұрын
🤣🤣🤣sikuwahi kupata zaidi ya 10 mm nlishakariri ngumu kuanzia msingi hadi sekondari
@sarahmsangi72433 жыл бұрын
Hahahaha@
@zolongOne2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@OmanOman-hr6cb3 жыл бұрын
Mie hisabati mh
@saladaniel92742 жыл бұрын
Mm nilikuwa napata 5 ya Mia Nikifauluu Sana nimepata kumi😂😂
@hidayakisensi2747 Жыл бұрын
😄😃
@gitanokambarage8789 Жыл бұрын
💪💪
@EK-kp2np2 жыл бұрын
Hisabati 😿
@tatuathuman1043 жыл бұрын
hisabu nilikuwa napiga sana kibind niko shule ya msingi hasa maumbo hata ukileta lenyekichwa chin ila sekondar sijui nilikiwama wap 🤦♀️😄😄
@zuleikhakhamis33033 жыл бұрын
ulichanganya mambo 2 kwa wakati 1 secondary jokes ama kweli😂😂😂😂😂😂ndo mn ikakuwacha Maths inataka udeal nayo peke yake
@anahna67883 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@isamaboe34953 жыл бұрын
Shikamoo
@pesangwasalim52583 жыл бұрын
Hisabati sio ngumu ila hakuna walimu walio professional kwenye hesabu
@KhadijaKhadija-cv9db3 жыл бұрын
Hisabati jmaniii nyie acheni😏😏
@bakarininga41003 жыл бұрын
Hahah
@kdf12463 жыл бұрын
Khadija khadija ntakupa tuit ya hesabu bure😂😂
@ayoapael76153 жыл бұрын
Huyunininoma
@chiefkaitaba.m.94663 жыл бұрын
Alichelewa wapi kusoma huyu mbona ni mbaba kabisaa
@josephwilliam43523 жыл бұрын
Elimu haina mwisho hata ukiwa mzee unaweza kusoma ni maamuzi yako
@zuleikhakhamis33033 жыл бұрын
kama unajua elimu bahari mana haina mwisho wala usingecoment hivi tembea uone wa2 wanasoma mpk wanazeeka
@josephwilliam43523 жыл бұрын
@@zuleikhakhamis3303 bora umenisaidia kumjibu asee