I just believe that mwanaume hatosheki...because wewe kama mwanamuke hauwezi eneza mazuri ao uzuri wote,bali wanawake tunajitaidi natuendeleye kujitaidi.💪🏽
@uwimanacitegetse99265 жыл бұрын
hahahaha Leo ninyinyitu nifulaha nimewapenda sana🤣🤣🤣😂🤣🤣❣❣💖💟🖤😘
"MWANAMKE HATULIZWI HUTULIA MWENYEWE AKIAMUA.UKIWA NA MKE AMBAE HACHEPUKI SIO KWA SABABU UNAMPA KILA ANACHOTAKA ITS BECAUSE SHE DOESN'T WANT TO...BUT A MAN CAN CHANGE TABIA MBAYA DEPENDING ANA MWANAMKE GANI...NO MAN IS IGNORANT TO A HUMBLE AND LOVING WIFE"
@durgatagur58985 жыл бұрын
Mia fil Mia
@nemangowi14185 жыл бұрын
Real
@NoName-mm6gh5 жыл бұрын
Stop lying.
@mariamkaaya86395 жыл бұрын
Mama wa kitamba umenifurahisha sana.mume aibiwie anajipeleka
@naomicharles74265 жыл бұрын
super women nmejifunza mengi kutoka kwenu Asanteni
@mgallason...56865 жыл бұрын
mnatoa points ila siwezi kuwa muongo yaani hapo MaMa mwenye kilemba namuelewa zaidi tena sana.
@gaspermanuel42135 жыл бұрын
Mko sawa sawa kabisa,halafu mmesomae hongereni nimependa hiyo.
katika vipindi vyote vya #SNS# hii ndo namba one kwangu nimekipenda sana hongera/#baby sky# kwa hili
@roselynenyanda17575 жыл бұрын
difference between logic and blah blah, big up sana aunt Sadaka
@samsonjoshua31405 жыл бұрын
Safi nzuri mno tena mm napendekeza hiki kipindi kiwe cha kila wiki au mwezi dah kikopao sana🕧🙏🙏
@aishahusein25415 жыл бұрын
Asanteni
@azzamahamdu70394 жыл бұрын
Wanaume wameumbiwa TAMAA. ILA MWANAMME HAIBIII...akiamua kwenda ataenda,asipoamua haendi...lkn kumbuken wengne wanavutwa kimadawa....lkn madawa nayo yana mwsho...
@donorfundsopportunities59995 жыл бұрын
hapo dkk ya 10:45, umekosea mama angu.. vichaa wanaozalishwaga barabarani unadhani wanatembea na vichaa wenzie? its a choice a man makes..either mke kazidiwa or hajazidiwa na mwanamke mwingine..period!!!!!!!!!!!
@khadeejaabdullah70835 жыл бұрын
Hongera sana kwa kipindi kzr naomba angalau kwa mwez mara moja Nimejifunza mengi
@jacksonmathayo65105 жыл бұрын
Kweli kabsa Mama wa kilemba Mme haibiwa bhana Kama nimependa tako je hapo ata niibaje sasa ni maamuzi tu Mamy
@suzanpeterjacob92645 жыл бұрын
Nawapenda Sana mama Debora nakupenda
@sabrinaali97505 жыл бұрын
Hawafundishiki dasa yangu. Wengine wakali husubutu hata kukaa nae kumfahamisha kitu
@jamesjulius50575 жыл бұрын
Sikio lini likazidi kichwa,,subirini sanaaa
@mercypedha55195 жыл бұрын
Asante Mungu kwa kuni leta humu 💕💕❤️
@nazmaabdul9495 жыл бұрын
Mwanaume kwel haibiwi 🔥👌
@aishaamohamed4535 жыл бұрын
Sns hongera sana
@bahishaalexander36415 жыл бұрын
HUYU MWANAMKE MWENYE KILEMBA ANAMKALIBIA MKE WANGU, AISEE YUKO VIZURI KUSEMA ULE UKWELI.KAMA ANACHOSEMA NDICHO ANACHOKIFANYA BASI HAKIKA NI MKE MWEMA NA MUNGU AWE PAMOJA NA FAMILIA YAKE.NINAMUHESHIMU.
@danielvuli23915 жыл бұрын
Mungu awabariki
@leilainnocent65325 жыл бұрын
Wanawake mtabakia nyuma daima, fanyeni kazi mnapoteza mda kwa mambo yaliyopita na wakati.
@fabiyolatylus70255 жыл бұрын
YANI KIPINDIII NI KIZURIIII NMNOOOOO .I REALLY ENJOY
@winifridazumkellers63625 жыл бұрын
Jamani hongereni sns, yani hiki kipindi nimekipenda sana yani hayo mafundisho ni mazuri na ya hekima mno, i am addicted na hiki kipindi.
@herrypeter31935 жыл бұрын
Nice topic
@husnauthman76095 жыл бұрын
Asanteniii
@aishaamohamed4535 жыл бұрын
Hongerani jamni imeweza hii muzindi kutuletea vingi
@agnesmwangombe69995 жыл бұрын
Wow this program is good
@candybenardy31105 жыл бұрын
Nimeshiba vya kutosha Women matters ❤❤❤❤❤
@mnzavachris54235 жыл бұрын
mm naibiwa kila kukicha
@agnesmwangombe69995 жыл бұрын
Dada Deborah yuko sawa
@فجرالروشدي5 жыл бұрын
Nmependa maneno yenu
@joshuakaminyoge49545 жыл бұрын
Mama Debora natamani nikuone ukihubiri Kanisani muinjilist mzuriiiiiii Tena mwalim mzuriiii
@andrewmwampulo21465 жыл бұрын
good dialogue
@sarahmackenga11915 жыл бұрын
Mmenikosha sana mada nzuri sana
@RamazaniMulongeca5 жыл бұрын
Kwa Kweli content zenye maudhuhi azihangaliwi, nakuwaj wakwanza ku like na wapili ku comment kwenye hii topic?? Topic konki hii...
@SimuliziNaSauti5 жыл бұрын
Inasikitisha Ramsey!
@azizacleny86775 жыл бұрын
Hakika mwanaume haibiwa am in love in this topic
@mnzavachris54235 жыл бұрын
hmm
@florandayishimiye49935 жыл бұрын
Seriously if a man has a self defense no one ☝️ can take him away for his love ❤️☝️💯%.
@mnzavachris54235 жыл бұрын
until his love does nothing or rather work hard not to not be taken
@efathakitali51865 жыл бұрын
kama hawaibiwi why this scriptures? Hata lini utatanga-tanga, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume. YER. 31:22 SUV utaambiwa ulinde kitu kisichoibiwa?
@ashuraussein75825 жыл бұрын
Mungu awazidishie afya njema nime enjoy wallah nanimejifunza❤️❤️
@sirangoclassic95555 жыл бұрын
Mama debora big up🔥🔥🔥🔥
@lilianleonard81065 жыл бұрын
Mama kaisi yuko very realistic
@rose_Winchester865 жыл бұрын
Mwanaume haibiwi hata siku moja. Hata uwe mzuri kiasi gani, hata uwe na kazi yako na pesa na kila kitu akiamua kutoka anatoka.
@najmagudeh2035 жыл бұрын
Mwanamke ni kweli anajiandaa kwamba niile mpaka niwe na mume wafulani
@zakirazakira74695 жыл бұрын
Mambo moto san
@evelynekaneza14705 жыл бұрын
Nimewapeda sana🇸🇪
@nickalreadyknows5 жыл бұрын
Evelyne Kaneza Sweden 🇸🇪
@fortnataangelo48055 жыл бұрын
Mweee namfahamu mwanamke mmoja anamfanyia yote mume lakin mwanaume bonge la mbinafsi , loooh siwezi,
@marthajeremiah5 жыл бұрын
Kuna wanaume sugu,Fanya yote utachemkaaa.ndío maana mie najipenda na kujijali mwenyewe na wanangu
@betridantunaguzi91425 жыл бұрын
Hatari saana
@saumuhassan63655 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana, dah! Nimewapenda mno
@zeinabmbarakkhalid39963 жыл бұрын
Mahusiano ni kama boya na bahari....mke lazima kutozama ndani ya bahari(mume) ni lazima alishikilie boya hadi ashinde licha ya wanyama hatari ndani yake mawimbi na baridi iliopo mwisho wa kwisha hataicha bahari imzamishe.....
@catherinejullu66155 жыл бұрын
Nimeiskiya hiyo naipenda kunamada nimeisikiya kuwa! Mwanaume unatakiwa umtege hatoki nje ya ndoa, hapana mwanaume hata mfanyie nini hatosheki,wameubwa kutamani ivi ukatoka na mumeo mkaa mahili ghafura akapita mwanamkee anamwangaliya hadi unamstuwa inapidi mulize vp anajibu hakuna kitu nawanaume wengine mbwa ni nbwa koko
@Cyper2555 жыл бұрын
Wanawake wa Nguvu wamekutana. Nasisi wanaume tunawasikiliza.
@fatumamukete68395 жыл бұрын
Hata uwe na mnaso wa aina gani mwanamke, ujue mwanaume lazima aibiwe angalau kidogo. Kwa sababu mwanaume hupenda kuonja nje kuna fananaje. Unaweza kuwa mrembo bado atakwenda jaribu asie mrembo. Sema tu halafu atarudi kwa mkewe.
@lilianlimbe51095 жыл бұрын
LILIAN LIMBE wanaume awalizikagi
@samtelah75785 жыл бұрын
Kwel kifupi ni kwamba sisi wanaume hatulizik hata tupewe nn
@husnauthman76095 жыл бұрын
@@samtelah7578 kazi tunayo
@samtelah75785 жыл бұрын
Unakuta ndan mwanamke anajisahau ila nje unapewa vyote had kule kwingne so lazma tuchanganyikiwe jmn
@amenahimbwaga46965 жыл бұрын
Nyie mwanimbamba kweli,am single najifunza kitu hapa
@pendohumphrey75885 жыл бұрын
Eti huo ni unyama🤣🤣🤣🤣
@msafiri855 жыл бұрын
Mama zetu tunawapa heshima zote zote kabisa ila kumbukeni mwanaume umeumbwa kwa ajili ya kuzalisha, na kwamba mwanaume hatumii hisia (feelings) katika mambo yake (hata ya mapenzi) bali hutumia akili na misuli.
@piustombili99215 жыл бұрын
heheh hii ndio rocket science
@nemangowi14185 жыл бұрын
Mmh zalisha dunia nzima kama ndo kaz yenu
@mwanajumaomahundumla65045 жыл бұрын
❤❤
@KiT.KaT.Cute.5 жыл бұрын
Mwanaumwe,anaibwa
@lightnesselia7655 жыл бұрын
mmemifanya nijifunze kitu kukubwa sanaaaaaaa
@kinghman83534 жыл бұрын
Mwanamke amshindi akili mwanaume sababu mwanaume kaumbwa mwanzo
@mesalimrashid63125 жыл бұрын
Huku kwetu mombasa aibiwa na mpaka akasahau watoto .Na wazazi akishafilisishwa arudi yy na kengele zake .Nisamehe mkewangu fuuuu pita uko.
@smartinnova25425 жыл бұрын
Je mwanamke ni haki kumueleza mamake mzazi mambo ya yeye na mumewe? Please help me with this
@sophiamagabe83655 жыл бұрын
Mama debora umenikoshaa
@mohamedghasia955 жыл бұрын
Nahisi ni vigumu sana kupata suluhu kama kila mmoja ataongea kutoka kwenye upande wake. Endapo wanaume nao watakaa kikao chao wataongea list ya mambo kama haya pia. Ni mpaka tutakapoamua kuwa na mjadala wa pamoja ambao naimani hautakuwa na tija kwani mara nyingi watu huwa wanafiki kujadili.
@happymahega20005 жыл бұрын
Uyo mama Wa blue a Anaonekana ana Mshape balaa, nimependa saut Lake la Zege🤗