Hongera sana kwa uchambuzi makini wa makalu za kimataifa nipp tayali kutoa support ili tuweze kupata madi ya nguvu kaka
@billskeez9210 ай бұрын
Aise bro unatupa darasa to Sha👏👏👏
@idrisirakoze22358 ай бұрын
Mwenyezi mungu akujaliye baba kwakuamsha wa africa
@user-mz9lb2em1y10 ай бұрын
Ahsante sana dj. Ss tunaelewa ishu nzima endelea kaka mm naitwa msuri kaita natoka mwanza wilaya nyamagana.
@khalifaalmugheiry923210 ай бұрын
All the from 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲 Siwezi nikapitwa na darasa lako naelewa vipi unavopata tabu kutuletea haya madini na kote huko hatuyapati hapa ndio nyumbani, big up dj.sma✊🏾😎
@KIMEA99510 ай бұрын
Ahsnte kwa uchambuzi mzuri bro karibu Arusha
@emanueljohn924010 ай бұрын
Brother I like your content najifunza vingi sanaaaaaaa brother MUNGU akuweke inshallah
@JohnMhagama-jr3hn10 ай бұрын
Dj sma naskiza madin haya nikiwa muheza tanga .namkubali Sana kazi zako
@issagervase958810 ай бұрын
nakukubali my brother tuwaombee sanaa naiger washinde hii vita Endapo naiger watashinda Africa tumeshinda
@Sifa_bendera_bilove10 ай бұрын
Nakusikiliza nikiwa America, mu africa damu, big up sana
@robertnkyalu324110 ай бұрын
Wewe ni mchambuzi Bora kutokea ktk kizazi hiki Big up bro !!
@morganyiskaka81510 ай бұрын
Mungu akupe afya unatupa mambo mazur sana From Rukwa
@ismailradjabu387110 ай бұрын
From south Africa, naomba hata kila siku huwe na tudondosheya kitu, duuh big up saana dj sma. Mimi ni mcongo
@davidcurtis17510 ай бұрын
Haina haja ya kusema wewe ni mkongo, mkongo mtanzania mkenya mganda mrwanda mburundi mmalawi na wengine wote siwezi maliza hapa wewe mimi dj sma wote ni watoto wa mama Afrika, tusijbague kwa kutaja mataifa, japo najua lengo lako ni Dj Smaa ajue ana watu wanaomsikilaza mpaka Congo si vibaya sana japo usipendelee sana kujitambulisha kama ni mkongo au mtanzania.
@matukiotvonline636610 ай бұрын
Asantee ustadh smaaaaa 🎉❤ from PEMBA upembani nawakilisha 🎉🎉
@didoniwa420610 ай бұрын
uko vizuri mkuu from south Afrika
@ahmuhally443010 ай бұрын
Tuko pamoja sana DJ Smaa kutokea Harare,Zimbabwe
@amadecassamo160610 ай бұрын
Dj sma nakufuatilia kutoka Mozambique❤
@subetizaid651510 ай бұрын
Allah bless you dj smaa
@emmanueljonas8410 ай бұрын
Dj smaa machozi yamenitoka.Asante sana 🙌🙌🙌👏👏
@maiyussuf932410 ай бұрын
Asante sana
@alhajjwaupe459310 ай бұрын
asante sana kaka nime kupata vizuri sana kutoka saudi arabia
@shafiibakar70410 ай бұрын
Nasikia from zanzbar dj sm
@eduardozacariasgabrieledua998110 ай бұрын
Big up brother nakupata kutoka Mozambique/Pemba
@zephaniamanembe692910 ай бұрын
Nakusikiliza kutoka Mza kisesa, nakupata vizuri
@MohammedMgao10 ай бұрын
Ongela sana mungu akulinde Mohammed mgao kutoka songea
@abdullysaid258410 ай бұрын
Nimeelewa vizuri sana
@kassimbayuu521710 ай бұрын
Ahsante
@rogerslwitiko391510 ай бұрын
Nchi zote za Kiafrika inatakiwa ziamke km wenzao wa nchi za Guinea,Mali, Burkina Faso na Niger kupinga Unyonyaji, Ukoloni Mamboleo,Ubeberu na Utumwa wa kifikra kutoka nchi za America na Ulaya pia kuja na njia mbadala za kujiinua Kiuchumi,Kisayansi na Teknolojia maana Afrika imebarikiwa kuwa na kila kitu kitakacho chagiza maendeleo la Bara la Afrika,Mm natokea Mbeya mjini ila kwa sasa nipo Chato, Mganza Mkoa wa Geita
@mikidadmhando25049 ай бұрын
Umetufungua macho na masikio, Waafrika hiarini kusuka ama kunyoa, kazi tunayo, Mungu atunusuru
@LaurentEmmanuel-zb3cd10 ай бұрын
Ninakueliwa br pamoja sana
@billskeez9210 ай бұрын
Dj Sma Mii nimshabiki wako kindaki ndaki👌👌👌
@hajinachembe431010 ай бұрын
Masasi Mtwara, big up dj smaa, yaani ukikaa zaidi ya siku tatu hujatupa up date nakua nimechokaaa maana habari zako ni naoumaa
Nakupenda sana elimu yako kakupa mungu tutetee mungu akulinde
@Supershopdubai-ck8td10 ай бұрын
DJ sma unaweza bro nakupenda from 🇧🇮👊🖤
@abubakaralamoody26679 ай бұрын
From Mombasa Kenya kusema kweli uchumi wa Western watoka Africa na sisi wa Africa hatujakuwa united hayo maoni yangu
@user-eg6uq2eo9u10 ай бұрын
Big up xana kakaa
@YohanaMboma-vz3sl10 ай бұрын
Iko vizuri sana,Asante kwa point mbili nzito.
@issamaulidi886010 ай бұрын
From USA 🇺🇸 state Rhode Island city 🏙️ providence 🧟♂️
@frankthobias-ux7lj10 ай бұрын
Dj smart upo vizuri unaongea facts. Nimfuasi wako kindakindaki. Kigoma
@ramamfunga-jl6tl9 ай бұрын
Well spoken brother
@khalfanmlala509310 ай бұрын
Daaa! Watupatie nchi zetu waizi sana from kigoma
@mcmetroboom53010 ай бұрын
Kaka tubaenjoy sana unajua mkuu dany from mbeya
@Majhidymhessa10 ай бұрын
DJ Sma Ninakupata na kukufuatilia toka "PADOVA"Italy I love you DJ Sma
@nuruaiwen953610 ай бұрын
Asante kwa kutufumbua macho, from mabella muscat oman
@mwalimudavidkizazihuru10 ай бұрын
Kwakweli unafanya kazi nzuri kaka, huu ni uchambuzi ilioenda shule na wakizalendo kabisa ❤❤
@mutetimusa469810 ай бұрын
Kenya apaa bro musa mteti nachek sana
@mustafamruma13079 ай бұрын
Daah! Siku ikipita sijakusikiliza dj sma siridhiki, nipo tayaei kuchangia kabisa, pia nalitamani Hilo group la WhatsApp sana
@damianandrew307410 ай бұрын
Respect sana bro
@HemediAhmedi10 ай бұрын
Shukrani sana kaka
@user-id7wx2wj1e10 ай бұрын
Unajua bro mnoo natamani ungekuwa hata kaka yangu wa damu 😥 jinsi navyopenda sana hizi analysis kutoka kwako,Much Love ❤️ endelea kutupa elimu achana wale wasiojielewa kazi kukoment pumba 😂😂
@AliAli-no3eq10 ай бұрын
Thank you DJ for your time
@hassangaddafi234710 ай бұрын
Asante sana mkuu tuko pamoja ❤❤❤❤❤❤
@prospersanga794210 ай бұрын
Unajua Sana 🙌
@hassanpashua10 ай бұрын
Nmechelewa kiasi from Kenya bigup
@user-km7rw2ov6w10 ай бұрын
From znz Please elezea kuhusu hiyo vita ya kagera
@asiri-romy-simba367110 ай бұрын
All the way from 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 lsk
@simonwambo834510 ай бұрын
Maoni yangu ni kwamba kwa hivi vita mrusi lazima ashinde ..naitwa simon dj sma nakuskiza kutoka kenya
@alibinali_10 ай бұрын
Thanks for this
@adammed603710 ай бұрын
Good job Frm dar es salaam
@mwenendoassani912710 ай бұрын
Yani ni Atari kbs awani djiya ya kum kwepa kbs Mrussi 😂😂😂😂😂 DJ SMA ❤❤❤❤❤
@ibnujumanne405410 ай бұрын
Dhahiri ni kwamba ukithubutu kuelezea ukweli wa Uganda utafungiwa hlafu haya madin tutayakosa tuachie wanafyuzi tufatilie wenyewe kimyakimya, shukrani bro.🤝 ibnu Jumanne nakufuatilia nikiwa S.A
@DafiMohamed-dz8xk10 ай бұрын
Upo sahihi kabisa Dj Sma
@jamesgasper676410 ай бұрын
Huna baya Dj sma tupo nawewe ktk kuchambua Africa na dunia yetu kwa ujumla.
@dominiquedavid8710 ай бұрын
big up
@joe_was_here.10 ай бұрын
Mungu akubaliki kaka 🙏
@amissibekere288010 ай бұрын
Safi sana
@Dadydadonmiki-dg3nl10 ай бұрын
Big up bro.
@robertokasike482410 ай бұрын
Hivi hawa AU wapo kweli kwanini wasiende kupambana na hawa ECOWAS
@brayanhamaro551410 ай бұрын
Wana fuse mm huwa naacha tangazo mwanzo mwisho liishe Hii naifanya kama sapoti na for love bless up kwa wote wana sns
@nayairon145010 ай бұрын
Africa tungeungana tukarumia jeshi moja na pesa tungetumia tungekuwa na umoja inaitwa ALPF yaan AFRICA LOVE PEACE AND FREEDOM vita isingekwepo africa wala tusingetawaliwa kiakili na viongozi wetu wangekuwa na umoja Africa tumelala tuamkeni tuwe na umoja
@asiri-romy-simba367110 ай бұрын
Big up
@J4UPro10 ай бұрын
Safi sana kiongozi
@sombochristian837310 ай бұрын
From Stockholm 🇸🇪
@manzimanzi445610 ай бұрын
Ahsnte sana..Nakusikiliza nakuelewa pia.
@hamzahuseni255510 ай бұрын
Ok mkuu❤
@davidwalalason763010 ай бұрын
Listening n watching from Bahrain.
@MohamediNdali-wm1rz9 ай бұрын
Unaelezea vizur sana .moyo unauma sana Kwa unyonyaj huu wa france
@wadudi274110 ай бұрын
Vizuri
@RamazaniMulongeca10 ай бұрын
Kutoka usa nakupata Vizuri sana..
@sakuranitillya608810 ай бұрын
Upo vizur sana kaka mungu akupe maisha marefu uendele kutupa madini nakufatilia sana
@nick1o7bang1710 ай бұрын
Bless up from 🇺🇸
@emmanuelmlowe-ew7gx10 ай бұрын
kwa nini Marekani wanaficha idadi ya wanajeshi wa nato,wingereza, ujerumani,marekani Ufaransa wanao kufa vitani nchini Ukraine ?. au ni magogo yanakuwa siyo watu? haki za binadamu hawaoni? haki za binadamu wanashirikiana na marekani kuficha ukweli kwasababu haki za binadamu ni mali ya marekani. ingekuwa ni Africa hawatangazi asikari wanaokufa marekani angeweza vikwazo.angetuma kikundi chake kinachojiita haki za binadamu waje kulazimishwa wanajeshi wanaokufa watangazwe lakini yeye anaficha kuogopa aibu na rawama kimataifa jinsi wanavyo kufa wanajeshi wengi.
@sadamslay238010 ай бұрын
Yaani unanifunguwa sana
@joggy9610 ай бұрын
Thanks sana brother for the knowledge ...love from saudi arabia
@Steve.317510 ай бұрын
Hapa ndio nimeelewza vzr
@habibumnibo400010 ай бұрын
Watatu. 😂
@eliamdeka927910 ай бұрын
Wakwanza like zangu
@djsma25510 ай бұрын
🎉
@sinziadinasi192010 ай бұрын
From ruangwa,tupe tz vs uganda war
@francomwacha226210 ай бұрын
Dj sma nakukubali mnoo naenjoy kila nikifungua KZbin nikakuta Habari hiz
@milliew157210 ай бұрын
Ninacho kijua ni kwamba Hakuna Nchi Hata Moja Ilipatauhuru wa Ukweli Hadi Sasa
@baloziubalozini507410 ай бұрын
Vita sio best option at all!But kama watu wanawavamia ktk nchi yenu Best OPTION hapo ni kukinukisha nothin else
@amadecassamo160610 ай бұрын
Nakwelewa sana ndugu
@venancembwaga-uw6kb10 ай бұрын
😂😂😂 marekan na ufaransa wamenaswa
@msangodiesel313210 ай бұрын
❤ djsma ufaransa Chali wametunyonya Sana zama zimebadilika Sana na kutuletea magonjwa zamu Yao nakulushia bando upunguze garama.
@djsma25510 ай бұрын
🙏
@ntwarimuhammad774210 ай бұрын
From 🇧🇮
@nashonmacokecha248110 ай бұрын
Nakubaliana na yote ulisema ndiyo ukweli na niishaipata sehemu. Mtanzania