Raya: Mimi na Barnaba hakuna ndoa tena, nimeamua kurudi kwetu nimeshindwa na sitaki, amenikosea sana

  Рет қаралды 50,068

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

23 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 381
@lilyanmongi1075
@lilyanmongi1075 21 күн бұрын
Unaweza kupenda mitandao lkn sio maisha yako ya ndoa kuyaweka mtandaoni na unachofanya unampa sababu yakuwa na wanawake wengine.
@user-qh8kl9mu5w
@user-qh8kl9mu5w 20 күн бұрын
Hana akili, ukiolewa na msanii lzm ujiandae kisaikolojia
@winniesimon850
@winniesimon850 17 күн бұрын
Weeee dada ni mshamba to the maximum. Eti tukapeana space. Akishika kiuno ndo kula yako tulia bandika makope yako. Kwanza Huna uzuri wowote. Upo kama jini
@winniesimon850
@winniesimon850 17 күн бұрын
Tumbo limekuvunjia ndoa hahahaha
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 20 күн бұрын
Toto la mama kimbo hiloooo pendeza sanaaaaa like mother like daughter ❤️❤️❤️
@user-zq2be4xr1o
@user-zq2be4xr1o 21 күн бұрын
Wewe mwanamke haujaolewa ju yakudum kwenye ndowa labda ulikuwa na Malengo yako fulani umeyatimiza unajisepa , ninafurahi kuona umeamuwa mwenyewe kumuacha barnaba kimtizamo wangu mimi mungu anampenda barnaba, sababu ungekuwa kikwazo maishani mwanamke
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 21 күн бұрын
Barnaba Kushukuru Mungu wako kwa yote. Endelea na kazi na maisha yako . Amen.
@BIENVENUMUHINDOLULIVIRO
@BIENVENUMUHINDOLULIVIRO 21 күн бұрын
Mnapo owa muwe munaangaliya ni mwanamke gani anafaa kwenye ndoa siyo mwanamke anaye jihisi kama nimzuri zaidi ,natena awe mtu ambaye anauvumilivu napia mama mkwe kama hawa hawafai
@ScolaMussa-il4fs
@ScolaMussa-il4fs 21 күн бұрын
Achakutaja wasanii wengine pambana na ndoa Yako Raya itakugharim
@user-st1zs1ng2x
@user-st1zs1ng2x 21 күн бұрын
Makiki ya kipuuzi.. Kwani hukujua unaendakuolewa na msanii?? Na wasanii wa bongo kama tujuavyo uchi ndo unawatambulisha
@user-ye7hg5pn7x
@user-ye7hg5pn7x 21 күн бұрын
Barnaba kazi unayo duh kuacha Tena usanii, mbona mwanamke huyo akirudi Tena timbwili,kisa usanii,,,🤣🤣Sasa alivyo kuoa hukujua kama msanii,mh mh
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 21 күн бұрын
Utani utani utajikuta huna ndoa kabisaa
@issazalala4907
@issazalala4907 21 күн бұрын
Pcha lina anza raya mwenyewe yupo uchi matiti nnje lakini analia mumewe kashika kiuno ngoja ni 😂🤣🤣 tusome dini ili tupate muongozo
@svt3
@svt3 21 күн бұрын
Halafu alipo olewa alifahamu vizuri kazi ya mme ni usanii na kuwashika shika wanawake iko ndanii ya usanii
@caesar7745
@caesar7745 21 күн бұрын
Hawa wanawake bure kabisa. Wanaume tutengeze hela
@zakiangumbe6739
@zakiangumbe6739 21 күн бұрын
Aaah raya mwenyewe by hat na Barnabas hawaendani. Ila pale kwenye kiuno kamependeza .shikamoo 🍠
@BintiHamisi-lh3xx
@BintiHamisi-lh3xx 21 күн бұрын
Nlitaka nseme lkn asante umetangulia 😂😂
@MwamvuaKing
@MwamvuaKing 21 күн бұрын
Umeonaeeee.
@SUNDAYMRGAMINGTZ
@SUNDAYMRGAMINGTZ 21 күн бұрын
Kumbe kwenye maisha unaweza kuowa mwanamke mkubwa kabisa.... Lakn akili ndogo...
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 21 күн бұрын
kwani we ulikuwa hujui wanawake akili zao ni ndogo sana yaani ni fupi
@ConfusedAlien-xk3sh
@ConfusedAlien-xk3sh 21 күн бұрын
​@@Hussein-gx4qu😂😂😂siyo wote mimi King,ang,anizi
@user-gj2mm3ko8m
@user-gj2mm3ko8m 21 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Kweli
@BintiHamisi-lh3xx
@BintiHamisi-lh3xx 21 күн бұрын
Aaaweeeee😂😂 izi za mtandaoni noma sana
@ZenaMsumagilo
@ZenaMsumagilo 21 күн бұрын
Malaya huyu kwani hakujua anayemuoa ni msanii na hii ni ni sehemu ya kazi yake. Bas na aende ataoa mke mwengine mwenye kujitambua.
@mwanaibrahim2444
@mwanaibrahim2444 21 күн бұрын
hunahaya wewe dada mbonawewe upo uchi na hajawai kukataza kuvaa ivo
@rehematawalani733
@rehematawalani733 12 күн бұрын
Mwenyewe kajiona kavaa😂😂😂😂😂
@user-bc3lh5ss6c
@user-bc3lh5ss6c 21 күн бұрын
Raya hakuna wa peke yako dunia nzima shaurilo😂😂😂
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 20 күн бұрын
Mi naona huyu Dada hana hekima maana huwezi mwanika mme wako hivyo duh kazi kweli
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 21 күн бұрын
Pumbavu hujui kazi ya mume wako
@elizabethdamas-zp9xl
@elizabethdamas-zp9xl 21 күн бұрын
Jmn Raya rudi kwa mumeo wew ndo tunakujua ni mke halali icho kitu sidhan kama ni cha muhimu sn had umuache mumeo kazi yako ni kumuombea ndo mana Mungu amesema mke amuombee mumewe sas muombee mumewe na sala zako ndo zitamuepusha na hayo mambo yte dia na pia iyo ni kaz yke kma unavyojua wasanii msameeh thn muombee sana usimruhusu shetan aiseh afu ukimuacha mumeo unampa artym uyo manzi mwngn jiamin ww ndo mama lao rudi kwa mumeo
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu 21 күн бұрын
Tatizo hapo Mama amekuwa mtu wa katikati ndoa ikishakuwa na mtu Kati kwisha habari
@KissaMwaifwani
@KissaMwaifwani 21 күн бұрын
Kazi anayo Barnaba pole aliyekutuma kubadili dini Kwa ajili ya familia hiyo ukitaka ndoa Uache mziki
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 21 күн бұрын
Nilitaka kuuliza hizi music video na photo shoot si zinakuwa controlled na ma producers wanavyo plan na nguo kuna stylist au vipi
@sabihasalim942
@sabihasalim942 21 күн бұрын
Niliona Interview ya Barnaba ya wasafi ameulizwa similar question akasema Yammi ndio amechaguwa hilo vazi😮
@sabihasalim942
@sabihasalim942 21 күн бұрын
Hata kama ni kazi but kuna limit... Amem Disrespect his wife wake .🥺
@mhabimina4023
@mhabimina4023 21 күн бұрын
Raya she knows how she is ,don’t let anyone disrespect u 👌
@suzanfabian9099
@suzanfabian9099 20 күн бұрын
Mh!! ungecomment kwa kiswahili tu😅😢
@godlistenobed9299
@godlistenobed9299 21 күн бұрын
Nimekupenda da raya ❤❤
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 20 күн бұрын
Mmmmh we umepambana na barnaba wapi jamani barnaba alifanikiwa miaka ya nyuma Sana
@salamamamashenge5493
@salamamamashenge5493 20 күн бұрын
@Chris Favors Kaka unajua kazi lako kikukweli unajua Kukuliza you deserves the Flowers 💐
@SHAZIRINGOMA
@SHAZIRINGOMA 21 күн бұрын
Balinaba huyo mke hakufai maana hata mwenyewe yupo uchi
@matanohassan9667
@matanohassan9667 21 күн бұрын
BARNABA MTU SAFI UTAJUA FAIDA YAKE UKIONDOKA MWENGINE AKIINGIA NDIO BC
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 21 күн бұрын
Sio mume wa mtu huyo bado ananafasi 3 bado
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 21 күн бұрын
Mashaallah umependeza…
@faustinaurio3703
@faustinaurio3703 21 күн бұрын
Mama mtu analalama chupi, Raya kiuno 😂kazi kweli kweli 😂
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 21 күн бұрын
😂😂😂😂mshenga oa mwanamke mwingine ni balaaa
@MwamvuaKing
@MwamvuaKing 21 күн бұрын
Hahahahaha
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 21 күн бұрын
Wazungu wanasema don’t make permanent decisions on a temporary situation. Hiyo ni kazi na imeshakwisha Barnaba hajasema kama anamahusiano lakini ukuzidi kumsema sema utafukuza akatafute mapenzi na Amani kwengine.
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 21 күн бұрын
Haswaa wajina umeongea we muache aendelee kuvimba kichwa kujikuta ana mmudu sana barnaba
@azirajuma553
@azirajuma553 19 күн бұрын
Ushauri mzuri sana dada,anatakiwa atulie kwa sababu mumewe alikuwa kazini.
@user-gb5pe1qj2h
@user-gb5pe1qj2h 6 күн бұрын
Mke mwenye kuijua din awez kuanika ndoa yake kwenye jamii alafu unatak stala wakati mwenyew unastar mke wamtu ayo nimavaz yakujianika mitandaon muongopen mungu
@salama1113
@salama1113 21 күн бұрын
Kwahiyo unataka ummiliki😂😂😂😂
@user-vj1ek5us4r
@user-vj1ek5us4r 20 күн бұрын
Huy muislam kweli kuowa sharia
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 21 күн бұрын
Nasubiri mrejesho' " Hatimae Barnaba aomba msamaha" 😂😂😂
@mkemiabenzn7811
@mkemiabenzn7811 20 күн бұрын
Ha haha., Barnaba hapa alijichanganya sana. Hawaendani hata kdogo na huyu sura nzito🤣🤣
@Mileyb.
@Mileyb. 16 күн бұрын
She's vry honest coz she love tht guy indeed
@PendoPeter-rr4jk
@PendoPeter-rr4jk 21 күн бұрын
Sasa ache Kila kitu mtakula hiyo ndoa,ww mdada kitu huji mwanaume anaweza kuwa smart kwenye macho Yako lkn ni msaliti balaa, njia pekee ya kulinda ndoa yk ni maombi, cyo mtandao shetani haogopi maneno yk bali unampa nguvu ,jifunze kubadilika unaongea sana hd unakosa radha
@user-gj2mm3ko8m
@user-gj2mm3ko8m 21 күн бұрын
😁😁😁😁😁
@ZenaMsumagilo
@ZenaMsumagilo 21 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅 kweli anakosa radha
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 21 күн бұрын
Mbona hupendi kujistir Raya maungo wazi kichwa wazi si swa dini hairuhusu na Tatoo kwa juu🤔
@binkomhesi9019
@binkomhesi9019 20 күн бұрын
Mmmmh barnaba hapa aliyumba,,ndombaka kubadili dini,,kweli ukipenda huoni
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 20 күн бұрын
Upo sahihi sanaaa da rayya penda sanaaaaaa and u looks so beautiful ma dear .....unahaki ya kuongea unavyoweza mama (mtu chake)cha halali kinauma mamaaa
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 21 күн бұрын
Sema yammy mzuri sana ,huyu dada ana sura personal sana😅😅 cjui barnaba anateseka na nn
@MwamvuaKing
@MwamvuaKing 21 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@user-dq1lm2be2u
@user-dq1lm2be2u 20 күн бұрын
Tena wanaendana sana na yammy😂😂
@MohamedMkota
@MohamedMkota 18 күн бұрын
hawa ndowalimwengu wanakugeuka dakika😅😅
@AsiaAbasi-fg9gu
@AsiaAbasi-fg9gu 16 күн бұрын
Sasa umeambiwa kinachoishi ni sura
@omarzinga7046
@omarzinga7046 21 күн бұрын
Huyu heri angeolewa na baba levo kila siku angeombwa samahani😂😂😂
@user-wp2dc3dr3w
@user-wp2dc3dr3w 21 күн бұрын
Ama mwijaku😂😂😂😂😂
@omarzinga7046
@omarzinga7046 21 күн бұрын
@@user-wp2dc3dr3w hapo umepatia
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 21 күн бұрын
😅😅😅​@@user-wp2dc3dr3w
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 21 күн бұрын
Omary tafadhali mbavu xangu.
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 17 күн бұрын
Mmmh kweli haya a😂😂😂😂😂😂
@fetychina3969
@fetychina3969 20 күн бұрын
Ume mbadirisha dini barnaba alafu unamuacha Mungu anakuona na umekosea sana kaa utafakari
@user-mo3wn6cc7h
@user-mo3wn6cc7h 21 күн бұрын
Ni kweli Barnaba hakua wa design hiyo jamani hata mm nmeshangaa😊
@MsAggie5
@MsAggie5 21 күн бұрын
Ame ji update 😂😂😂😂😂 Wanaume shikamooni 😂😂 Hao ndo wanaume, matukio lazima. Akae Kwa kutulia
@merinankullua5874
@merinankullua5874 20 күн бұрын
Mmmmh ,umembadili dini inayoruhusu ndoa za wake wengi
@mrabdulhamid4269
@mrabdulhamid4269 21 күн бұрын
Huyu mwanamke ni muislamu jina tu. Dawa yake ni kuoa mke wa pili tu.
@rehematawalani733
@rehematawalani733 12 күн бұрын
Huyu haiwezi ndoa alifikiri ndo a lele mama haaaaa😂
@joycelaura4611
@joycelaura4611 21 күн бұрын
upuuzi huo kufuta picha ndo ukweli wa maisha ya ndoa mtu anaweza futa na akaendelea na tabia yake
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 21 күн бұрын
Ni kweli Joy! Kufuta sio 7babu.2meona wengi mno.
@winniesimon850
@winniesimon850 17 күн бұрын
Barnaba hoyeeeeeee, njoo huku sina tumbo.
@CafeJohn-jz8ri
@CafeJohn-jz8ri 18 күн бұрын
Kazi kazi
@cantonamaster9001
@cantonamaster9001 21 күн бұрын
❤❤
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 20 күн бұрын
Toa cheche mama usiogope rayya beiby a..k.a boss lady toto la kitangaa hilooo❤❤❤
@hanifaally4694
@hanifaally4694 21 күн бұрын
Toa ndoa mtandaoni dada Lol
@chainbre275
@chainbre275 21 күн бұрын
Ila pete hajavua hiyo inamaana bado yupo kwa ndoa😂😂
@rehematawalani733
@rehematawalani733 12 күн бұрын
Nenda salama mama tunakutakia maisha mema
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 20 күн бұрын
Kama kale kajamaa kamechomoa hii betri, Mungu anakapenda.
@AshaMohamedi-re4yy
@AshaMohamedi-re4yy 19 күн бұрын
Ujafunzwa Dada rudi tena kwasomo
@user-dq1lm2be2u
@user-dq1lm2be2u 20 күн бұрын
Barnaba mboni mzuri na bado kijana tafuta anaye hitaji ndoa na siyo mtandao
@martinclassic7595
@martinclassic7595 21 күн бұрын
My blood chris 🔥🔥🔥
@user-ix5uo6ks7j
@user-ix5uo6ks7j 18 күн бұрын
Huyu dada amekasirika kweli 😂😂aliyekua
@user-is2pj2vq3r
@user-is2pj2vq3r 21 күн бұрын
Ndoa za kuombana Msamaha instagram 😂😂
@MaiKasimu-xf4fz
@MaiKasimu-xf4fz 21 күн бұрын
😂😂😂😂mtihani
@taseleli9181
@taseleli9181 20 күн бұрын
Yaaani shida tupu mpaka Instagram ndo nini
@MCHINA99
@MCHINA99 21 күн бұрын
Yani watu mnafunga ndoa halafu mnahachana kisa picha ?
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 21 күн бұрын
Afu hela wanazochangiwa ndo hua zinaniuma😢 bora wakasaidie wagonjwa ma hospitilan
@gasparmpoma3860
@gasparmpoma3860 21 күн бұрын
Kweli kuna matatizo ya wagonjwa wa akili ndugu yangu amini
@MaiKasimu-xf4fz
@MaiKasimu-xf4fz 21 күн бұрын
😂😂😂😂😂 yaaan mpka wanatutisha masingle
@BintiHamisi-lh3xx
@BintiHamisi-lh3xx 21 күн бұрын
​@@MaiKasimu-xf4fz😂😂😂usiogope izi nza mastaa
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 21 күн бұрын
Brother wako yupo right ndoa sio mitandaoni. Anajisifu kumsema mume akiingia na kutoka ndani ya nyumba mume atachoka atafuta amani nje
@KhadijaMohammed-gw2xo
@KhadijaMohammed-gw2xo 21 күн бұрын
Mekaup iyo ana uzur wowote
@JumaNyoni-ob2wz
@JumaNyoni-ob2wz 11 күн бұрын
Ila raya😅😅😅😅😅
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 20 күн бұрын
I love you rahya you're a good women
@MaryamMoshi
@MaryamMoshi 12 күн бұрын
Mmmmhhh yetu macho
@fatumapilyimo8784
@fatumapilyimo8784 21 күн бұрын
Umependeza sana mamii
@shamlimah5682
@shamlimah5682 19 күн бұрын
Tell her to show u her really face not makeup
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 17 күн бұрын
Mm iyo Lipstick 💄 hataree😂😂❤❤❤
@hawababy120
@hawababy120 21 күн бұрын
Tukia ile nikazi kwahio humuamini mme wako!!!unaitaji canceling wee dada.
@neemambotola1139
@neemambotola1139 21 күн бұрын
Anaongea vizuri ...hana papara
@YasintaMpanduji
@YasintaMpanduji 21 күн бұрын
Watanzania mlio wengi mko mbelembele kushadadia mabaya na maumivu ya watu, Mungu awaadhibu
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 21 күн бұрын
Achika uwone mziki wa nje uko,uraiani wakopaji kibao hadi utaikumbuka ndoa
@BintiHamisi-lh3xx
@BintiHamisi-lh3xx 21 күн бұрын
Amuache adakwe chapuuuu
@MwamvuaKing
@MwamvuaKing 21 күн бұрын
Yaaani huyu hana lolote.km yy mwanamke haswaaa anajiamini aseme hataki ndoa sio oooooh niombwe msamaha
@taseleli9181
@taseleli9181 20 күн бұрын
​@@MwamvuaKinghalafu aombewe msamaha insta inahusu nini ??
@rehematawalani733
@rehematawalani733 12 күн бұрын
Alienda kuangalia mkato wa chumba😂😂
@mamawamireille4872
@mamawamireille4872 21 күн бұрын
Barnaba pole mkewako na mama mkwewako wote niwamoto nihatari
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 21 күн бұрын
Karembo kweli mmpaka sauti jmn
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 21 күн бұрын
Ushaanza umalaya
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 21 күн бұрын
@@rogerabdallah439 sasa kama ni mrembo nisiseme kweli
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 21 күн бұрын
@@user-nk4oq4ek9y aya 4 u
@aminakipande5645
@aminakipande5645 18 күн бұрын
@@rogerabdallah439😂😂😂 kumekucha
@winniesimon850
@winniesimon850 17 күн бұрын
Sio mzuri ni makeup
@jtheophil5499
@jtheophil5499 20 күн бұрын
Kiki ya wimbo nimekaaa pale.
@user-gj2mm3ko8m
@user-gj2mm3ko8m 21 күн бұрын
Sasa Raya unaganda Mic NDIO imekua mboro ama?I love Barnaba so much,I cried when he married, Mwache nimuchukue Mimi ❤❤❤❤🇰🇪 hao rafiki za mumeo sasa Diamond kamwaribu Barnaba😂😂😂tulia Mjinga wewe Na Wivu WA teenager, Wewe WA kwanza kurudi kwenu?😂😂😂Utarudi kwa mumeo au waache wenye uvumilivu.
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 21 күн бұрын
Mnaita watumichi wa mungu kufunga ndoa kumbe mna mitangazo yenu ya biashala
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 21 күн бұрын
huyu si ndiyo alisema haachwi? au nilisikia vibaya
@taseleli9181
@taseleli9181 20 күн бұрын
Ndo huyo huyo
@jut1161
@jut1161 21 күн бұрын
Sasa unaolewa na mwanamuziki alafu akimshika mtu kiuno unaomba talaka. Kama alikua anataka mtu safi ambaye hana mambo mengi si angetafuta ustadhi
@florakimaro-vw7qj
@florakimaro-vw7qj 21 күн бұрын
Ni kweli kabisa kwani alikuwa ajui ni msani kumshika tu kiuno je angelala naye mjinga huyu ajielewi
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 21 күн бұрын
Tanzania Mko nyuma sana kwenye biashara. Ikiwa kuna maduka mengi ya nguo ndio huwezi kufungua??? Fungua Duka la nguo na ulete nguo nzuri tuu utapata wateja.
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 16 күн бұрын
Kama Barnabas kaomba msamaha halafu huyu hataki, aachane naye. Halafu, kumbe ilikuwa kazini!!!
@justinendizeye714
@justinendizeye714 21 күн бұрын
Kijana wawatu mumemutharau sana,
@Maria-dg6ik
@Maria-dg6ik 21 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mamuumamuu1871
@mamuumamuu1871 14 күн бұрын
Hakusoma uyu mwanamke😂😂
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 21 күн бұрын
Mpeni mtu nasaha msimtukane ili arudi kwenye ndoa yake
@halimambaga61
@halimambaga61 16 күн бұрын
Kwan huyo Barnaba alikukuta Bikrame 😢😢
@justinendizeye714
@justinendizeye714 21 күн бұрын
Sasa unajichanganya kwa maneno, naskitika kwa kaka Yeti barnaba
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn 16 күн бұрын
Ila Raya lazima amsamehe Barnaba na pia vaeni Variety stile fupi sawa lkn acheni kuvaa matako wazi hatupendi, tunaomba zipite chini ya makalio mstalii wa makalio hatutaki kuona.
@sisifaty9183
@sisifaty9183 21 күн бұрын
Alikuwa anataka kutoka mjinga utajuta .kwani nyumba .maduka nini huoni mafuriko yanavyo kuja uliza Dubai matajiri wako huko mtoto kama kunasababu zingine hapo sawa
@rehematawalani733
@rehematawalani733 12 күн бұрын
Alienda kutingisha liberties atiiii kakuta kimeunguaaa
@MohamedOmari-wb4oy
@MohamedOmari-wb4oy 18 күн бұрын
Apo kwenye kiuno napo nishida Ata mm nisingekubali lakini sio kuondoka kwako sio Sheria iyo mamaa
@RandB_Channel
@RandB_Channel 20 күн бұрын
Ivi huyu Raya anajielewa kweli? Kwani kuna sababu kubwa apo inaweza sababisha kuacha ndoa yako? Barnaba amutizame vizuri iko saha alikuwa amesha kuwa nakengine kabwana toka pale umesha tuchosha pumbavu we . Barnaba huyu dada atakusumbuwa sana ukiangaliya jinsi anavyo ongeya ataona hapa unahasara
@JudithKigalu-ue3in
@JudithKigalu-ue3in 15 күн бұрын
Wewe dada unajivuna, ule ni mwanaume auwezi kumupangia mambo. Auwezi dumu kwenye ndoa kwa ayo maneno umezungumuza atari
@farijala0893
@farijala0893 21 күн бұрын
Siku hizi hadi app zinaombwa misamaha 😅
@paulino2725
@paulino2725 16 күн бұрын
Mpuuzi kwel huyu dada
@user-sp2hu8lb1c
@user-sp2hu8lb1c 21 күн бұрын
❤❤❤wakwanza kuona
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 21 күн бұрын
Sns na crown 👑 fm wana kamera kali sana
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 20 күн бұрын
Ww mwenyewe sio mwana mke wa manaa sasa izoo nguo gani ivi mwana mke akiwa anajitambua alaf kaolewa ana wezaa kuvaa nguo kama izoo uyoo chulaa amna mwana mkee appoo
@user-xo4xq6rr3f
@user-xo4xq6rr3f 21 күн бұрын
Aende na asiangalie nyuma tufyakwa 🙆
@roseb8052
@roseb8052 15 күн бұрын
We Mama ninani I mean what if I love you
@mansuramustapha6698
@mansuramustapha6698 19 күн бұрын
😂 hakuna muolewaji hapa, umeolewa na insta au mwanaume uliyemchagua
@OpopOpoo-ho6jw
@OpopOpoo-ho6jw 20 күн бұрын
Mama Kimbo mkaliii😂😂😂😂
Чай будешь? #чайбудешь
00:14
ПАРОДИИ НА ИЗВЕСТНЫЕ ТРЕКИ
Рет қаралды 2,1 МЛН
Do you have a friend like this? 🤣#shorts
00:12
dednahype
Рет қаралды 56 МЛН
The Worlds Most Powerfull Batteries !
00:48
Woody & Kleiny
Рет қаралды 25 МЛН
Ziona Chana: Mwanaume mwenye wake 39 na watoto 94!
8:07
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 14 М.
MLENDA WA BAMIA NA KARANGA MTAMU SANA  / KOMBATASTYFOOD
2:58
Kombatastyfood
Рет қаралды 2,8 М.
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1
29:56
YahStoneTown
Рет қаралды 322 М.
BOSS LADY - SIMULIZI MPYA
3:00:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 47 М.
Китайка и Пчелка 4 серия😂😆
0:19
KITAYKA
Рет қаралды 2,3 МЛН
Make me the happiest man on earth... 🎁🥹
0:34
A4
Рет қаралды 7 МЛН