Nyie jamaa ni hatari 🙌. Nilitaka kupata hizi taarifa nikasema sns lazima wanazo na kweli
@MoneyKey247-fk4oy2 ай бұрын
Kweli kabisa hawa jamaa wapo vizuri sana kaka
@optatusduqangw10712 ай бұрын
jamani sns Mungu awabariki Sana
@TherealJoe_212 ай бұрын
SKY I appreciate a lot your media, you the only media in Tanzania ambayo haipo under matrix control kama kina milard ayo. That's why information zako unazichambua in deep. Keep it up bro we understand how the system work. #FREEDUROV
@ZeProDJay2 ай бұрын
Swala la muda tu kaka, kwani Milard alianzaje? Au SNS yupo China, si tupo nae hapa hapa TZ.. naipenda sana hii channel ila sitamani kuona ikifikia huko kwakua mbogamboga wameshikiria mpini mzee utajitenga nao sana ila mwisho wa siku wanakuminya mahali
@GeorgeAkasha-zx2rj2 ай бұрын
Hawa ni ngumu kufikia huko sababu hawa mada zao nyingi ni za kimataifa na sio kitaifa tofauti na Millard ayo.
@chambalafrankdaniel3972 ай бұрын
Dj Sima nakukubali sana upo vzr unasema ukweli mtupu
@KUSINIFINEST2 ай бұрын
kazi mazuri sana Big up brother 🎉🎉⏫
@Markhomestz2 ай бұрын
Dj sma welcome back…🔥🔥
@imaniseba2 ай бұрын
Nice talk....
@GraceMashinga-be9wb2 ай бұрын
Hi ni kubwa sana bro sky
@brianbaltazar61982 ай бұрын
Big up GPS
@ReyzDon2 ай бұрын
telegram haina mfumo Wa kuhifadhi massage
@raydanfrenk2 ай бұрын
Kumbe nyote wageni telegram wanaingiza ela nzr kwa kulipia Priumiam unalipia mwezi au mwaka ni ww tu
@banajuliana7582 ай бұрын
Wa mkome kabisa 😮
@RayMakini2 ай бұрын
Uuuuuyuu jaamaa a joing kweny timuu na yey
@toyikudratullah14662 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Fgldesigns2 ай бұрын
Telegram na wao wana matangazo pia watumiaji unaweza kulipia kuwa premium yaani bila matangazo kuna kulipia kwa mwezi na mwaka pia telegram inatumika kutuma na kupokea pesa za kidijitali kama M-pesa na Tigopesa
@Mikede-j9b2 ай бұрын
GPS 4life
@Kisalaurenceramson2 ай бұрын
Kuhusu Durov anavyotengeneza faida I think ni kwa namna watu wanalipia premium services
@SuryaAneth2 ай бұрын
Wanazemgua hawajui kama sisi tunauza movie telegram
@DahleezCekiz2 ай бұрын
Tumia VPN inafanya kazi 100%
@raydanfrenk2 ай бұрын
Duh asant kumbe kdg nichanganyikiwe
@ZeProDJay2 ай бұрын
Tumia telegram plus huitaji VPN
@yassernoah89842 ай бұрын
Eti bhana weh mafala kweli hao
@RayMakini2 ай бұрын
akaaa ka nyimboo mbona siwezii KUKIDOWNLOD jamn
@hubman67802 ай бұрын
Inawezekana Urusi ishachukua control then akawaloby
@TomFelix-s9t2 ай бұрын
hiyo nyimbo ya outro/mwisho inaitwaje jamani
@brianbaltazar61982 ай бұрын
Henry mwinuka na ally masubi wako wapi?? Kuna gap kubwa linaonekana hapo
@GeorgeAkasha-zx2rj2 ай бұрын
Ila huo uchambuzi kuhusu Edward Snowden mje siku 1 mjadili humu GPS.
@RobertBitambaOfficial2 ай бұрын
Nafanyaje kuwapata live
@AyoubHajj2 ай бұрын
Sema nini sns mnachelewa kutuhabarisha ivyo tuh
@onesmolwambano93492 ай бұрын
Whatsapp kweli kuna ushenz sana
@Elizabeth-gq9kl2 ай бұрын
Huyu mgeni anajuwa kufafanuwasana nampenda, yeye halalimahalimoja.
@toyikudratullah14662 ай бұрын
Wote wapo saw kw ubora wao.
@MohamedRashid-py7ro2 ай бұрын
Telegram inatoa habari za kweli na utakuta kukamatwa mfadhiri wa Telegram Marekani anausika asilmia mmoja
@riddi676Ай бұрын
Arrest warrant ilikuwa trh July 8
@boniphace12 ай бұрын
Ukiwa hauna akili ni mzigo kwa nchi, ukiwa na akili nyingi ni tatizo kwa serikali. Telegram ndiyo kampuni kubwa pekee duniani ambayo kila kitu kinafanywa na mtu mmoja tu, Pavel Durov.
@gayanimwansasu23 күн бұрын
Major kati yenu hayupo hapo
@ConsciousBNB2 ай бұрын
Privacy sio uharifu 😢
@cryptoboy_52 ай бұрын
LEO NDIO NIMEGUNDUA RASMI KWANINI SATOSHI NAKAMOTO HAJULIKANI NA KUTUACHA TUPAMBANE NA HALI ZETU BAADA YA KUTUPA CRYPTO
@anisethzefrine67572 ай бұрын
Af telegram inasumbua kuanzia jana
@hekimaelisha27362 ай бұрын
Nitumie account ya telegram ya dj esma
@hamzafishten95602 ай бұрын
Vita yamatajiri
@ericklenjima4552 ай бұрын
R and L
@zuumlondwa95182 ай бұрын
Henry na masoud wako wapi jaman tunawamis😢
@FastpayMauzoАй бұрын
Kwanini Telegram huwa aikubali VPN?
@rejius11Ай бұрын
Inakubali sasa ivi bila vpn inaload sana
@kengodhilАй бұрын
Inatumia proxy
@mosesdavid-vm5hk2 ай бұрын
NAKUBALI VAN DIZOO
@KassimKhalaid2 ай бұрын
Wazungu bna wsko mbele sanaa mtoto mdogo ati billlionee kweli lkn sie sasa weusi roo mbaya tu ndo utajiri wetu
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
😂
@masilyaalain87982 ай бұрын
Hello brothers just wanted to comment about the new guy please brother sky jama huyo ajitahidi kuji correct with his pronunciation Ana pronouns English vibaya sana nafasi ya R anatiya L that’s not good thanks
@damsonwilson52022 ай бұрын
Wengine hata dollar 1 hawana 🤣🤣🤣
@Smart_FundamentalFx2 ай бұрын
2700😢
@Smart_FundamentalFx2 ай бұрын
2700/=😢
@hamisimwinzagu66242 ай бұрын
Unaongea Sana kiingereza Una hisi wote wanao angalia chaneli yenu wanajua icho kiingereza punguza mbwembwe
@alitomorrow1662 ай бұрын
VITA YA MATAJIRI. CRYPTO
@MaurusMpinga2 ай бұрын
Uyo jamaa alieva miwani ndio anakili namkubalisa sio kipara. kipara chenge kabisa
@salehkhalfan73452 ай бұрын
Chuki zko n Bure na hazikusaidii chchte ndgu
@aishaarusha8942 ай бұрын
Umkubali kwa sababu alimkaxa mama yako
@zuumlondwa95182 ай бұрын
We unamuongelea dj sma umekuja leo GPS embu tulia
@MaurusMpinga2 ай бұрын
@@aishaarusha894 unawaza kuliwa tu
@aishaarusha8942 ай бұрын
@@MaurusMpinga tena na baba yako mwana haramu
@MwanaHussein-s2n2 ай бұрын
Pumbavuuuu Hawa wameshimdwa kumpata Abuu ubaida na anatumia telegram
@MwatatuHamisi-lu4cn2 ай бұрын
Ata wafanyeje tutatumia vpn
@paulntalima69982 ай бұрын
😂😂😂😂vpn kufanyaje
@alexmalyango14052 ай бұрын
Ila utawala nimzuri na mubaya tena leo ufaransa anamvimbia mrusi ama kweli Putin kua makini
@JumaAyo-qp3fm2 ай бұрын
hemu ninaomba muijadili hile gari alopewa Ramadhani kadirovu na bilonia wa marekani nikweli itakua ina usalama kwataifa lao na tukiangalia yeye ninani kwenye mitandao
@bishweko2 ай бұрын
Kwa Urusi wanasema alikimbia hayo hayo na pia walimshutumu kuwa kibaraka wa CIA.
@kassimbayuu2 ай бұрын
Mlimiki wa telegram hapo kafeli kwa sababu hicho alichokuwa nacho hakuna nchi ambayo hakita kuhitaji,wamiliki wa fb, WhatsApp n.k wa West wanashirikina na cia na fbi, linapokuja suala la usalama wa taifa ni lazima serikali ihataji information kutoka kwako,
@lianasekro81212 ай бұрын
Huwezi kuzungumzia kukamatwa kwa Durov bila kuzungumzia influence ya Israel... The whole thing imeanza baada ya Hacker kuiba Thousand of Gigabyte of data kutoka Israel government na kuanza kuziachia kwenye channel ya Telegram. Also Telegram ndio the real time source of Raw updates of information kutoka Gaza.