Women Matters (2): Mwanamke kufanya hivi unaweza kumkera mpenzi wako hata kama unaonesha kumjali

  Рет қаралды 20,376

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 70
@jessymalembeka6181
@jessymalembeka6181 5 жыл бұрын
YAAANI TAJI LIHUNDI UMEONGEA POINT SANA,WANAUME HAWAFUNDISHWI CHOCHOTE NA HAWAJUI CHOCHOTE HAPO NDO KAZIIIIII
@meedaafarai9677
@meedaafarai9677 5 жыл бұрын
Kila mahusiano yana aina zake. Kila binadam na khulka yake. Kila mtu na majaliwa yake.Vidole havilingani. 👍
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 5 жыл бұрын
MEEDAA FARAI Yes
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 5 жыл бұрын
Kabisa na mahusiano hayana fundi kabisa
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 5 жыл бұрын
Pamoja Sana #women'smatters, waume ukiwajali wanakereka ukiwapuuza wanasema una dharau, ahsante kwa mafunzo yenu muko vizuri
@mohamedghasia95
@mohamedghasia95 5 жыл бұрын
Usideal na wanaume, deal na mwanaume wako. Kila mmoja anatabia yake na mambo tofauti yanayomvutia.
@wemakim821
@wemakim821 5 жыл бұрын
Thank you Taji for explaining about hisia tegemezi , you're awesome Nimeipenda sana , hii mada
@sharonndowo6922
@sharonndowo6922 5 жыл бұрын
Uwiii jamani Max mke wake asiachane naye coz kupata mwingine ni kazi mnooo
@niyonzimapapy5875
@niyonzimapapy5875 4 жыл бұрын
Max U have a point,kweli mawasiliano muhimu ila yakizidi yanakuwa kero. Wakati mungine m'pe mtu nafasi yakukufikiriya na kutafuta umuhimu wako. Kweli sote hatwendi officini ila hata kazi za home zatosha kuwa office. Ukiwa busy nazo,mawasiliyano yatakua mafinyu na yenye umuhimu.Max am soo proud of U.
@gillianpeterpeter8182
@gillianpeterpeter8182 5 жыл бұрын
Bro max yupo vzry sana namwelewaaa 🙌🙌
@xkingx8041
@xkingx8041 5 жыл бұрын
Good point max!!!!! Kabisa. Messages za mda wote zinakera jamani.
@lulumwainunu3299
@lulumwainunu3299 5 жыл бұрын
Max uko vizuri sana.Una uelewa mpana sana.
@Moneystarstories
@Moneystarstories 5 жыл бұрын
Max nimempenda sijui kwasababu I have the same mindset kama yake, kabla hajaongea Mimi nilishawaza kama yeye.. alafu huyu Max HAJAWAHI kuishi UPANGA kweli?! mbona kama namfahamu 🏃🏃🏃🏃
@manyamarobert6887
@manyamarobert6887 4 жыл бұрын
Yeah ameishi upanga
@azizakwileka1686
@azizakwileka1686 5 жыл бұрын
Max anazungumza vizuri sanaa na hoja zake zinafanana na kaka mmoja anaitwa Iddi Makengo👏
@mwajumakassim6632
@mwajumakassim6632 5 жыл бұрын
Kaka max ni aina ya mwanaume anehitaj mwanamke mwelewa,mwanaume ambaye hapeni kelele akikwambia kitu anataka uelewe....!
@ashamsimbazi563
@ashamsimbazi563 5 жыл бұрын
Bwana eeehh hiyo mada angekuwepo dkt Henry bhana na Chris mauk angeichambua mpk raha
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 5 жыл бұрын
Yote semeni lakini mapenzi yanadumishwa na mawasiliano ya karibu kw kweli, lakini kama mtu hakupendi kw dhati ndio mawasiliano atayaona kero
@sarahwawuda7638
@sarahwawuda7638 5 жыл бұрын
Ni kweli huezi kerwa na mtu unayempenda
@jawsonline6770
@jawsonline6770 5 жыл бұрын
Apo hakuna mapenz na watu wny pesa ndo walivo hawanaga mapenz ya kweli they are very complicated
@angelcakimaro7228
@angelcakimaro7228 5 жыл бұрын
Nimewelewa sana kaka max muda ni muhimu
@aminaabdiabdi7112
@aminaabdiabdi7112 5 жыл бұрын
Woow Leo nmejifunza kitu walah thanks guys
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 жыл бұрын
Max umetisha yaan sijui mke wa max uko alipo😁😁😁😁😁😁mmh leo nimechek sana
@delphinasenge3321
@delphinasenge3321 5 жыл бұрын
Max Rioba ,nimekuelewa sana
@devothapeter7600
@devothapeter7600 5 жыл бұрын
nimemuelewa sana kaka max
@mwanatz5980
@mwanatz5980 5 жыл бұрын
Kupeana nafasi muhimu hongereni sana.
@zakiakhalid212
@zakiakhalid212 5 жыл бұрын
Ummm Max umenikosh sanaaa uko on points..!
@nadiakabamba7373
@nadiakabamba7373 5 жыл бұрын
Kwakwe kaka max karibu tena mara ingine dada lilli nashukuru sana kwa kipindi
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 5 жыл бұрын
Apo bongo wanaume 85% wanamind set ya max kazi ipo
@evamahamba7989
@evamahamba7989 5 жыл бұрын
Watching at the right time
@najmagudeh203
@najmagudeh203 5 жыл бұрын
Nawaelewa sana
@hellenfidelis9695
@hellenfidelis9695 5 жыл бұрын
Max ur the best
@islaahrasheed6939
@islaahrasheed6939 5 жыл бұрын
Max nakuelewa
@annieshija5758
@annieshija5758 5 жыл бұрын
Mume mwenye mind kama ya max namtafuta saaana eeeeeh i know who am so kichwa kama hicho tutafaana sana.
@mumyhendry3126
@mumyhendry3126 5 жыл бұрын
I miss you Baby Sky😘😘😘😘
@happynessswai3922
@happynessswai3922 5 жыл бұрын
Vp wale jamaa wanajal had anauliza Vp umekumbuka kuvaa pad🤔🙈🙊
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 5 жыл бұрын
Mnatema madini balaa,baby sky miss you
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 5 жыл бұрын
Huyo max hawezi oa bongo never
@islaahrasheed6939
@islaahrasheed6939 5 жыл бұрын
Umeona eeee
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 жыл бұрын
Asante 👏👏👏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤❤
@Niceness_Juliaa
@Niceness_Juliaa 5 жыл бұрын
much love
@samuelkilonzo6538
@samuelkilonzo6538 5 жыл бұрын
Mengi wa jinsi hiyo wanaume sio kuwa hakupendi wengi inachangiwa sana na mambo ya background ya mtu, inaweza kuwa ya childhood au mengine. Ni ipo kisakologia sana
@delightnkya6086
@delightnkya6086 5 жыл бұрын
Daah max ana mitazamo mizuri ila sio kwa sisister wa kibongo yaani wanataka saa zote simu iwe kiganjani lunch wote dinner wote uuuwh ila pana kara kake but kikubwa ni kujua upo na mtu wa namna gani anapenda nn hivyo
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Lakin kweli wapo wanawake pia vinganganizi
@herikaniugu
@herikaniugu 5 жыл бұрын
Nataka mapenzi, na sio business partner hahah
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 4 жыл бұрын
Huyu kaka ni play boy hivi mapenzi ya dhat yanachoshaga au nihizo pesa
@jessymalembeka6181
@jessymalembeka6181 5 жыл бұрын
MAX ANAONEKANA NI COMPLICETA HATARIIIIII
@glorymahenge138
@glorymahenge138 5 жыл бұрын
Very
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 5 жыл бұрын
Kingeleza hakikisha munalegeza kidogo mm nimeishia laa 4
@batoolawadh
@batoolawadh 5 жыл бұрын
🤣🤣
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 5 жыл бұрын
😀😀😀😀
@lindacharles3645
@lindacharles3645 5 жыл бұрын
MJ. TV 😂😂
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 5 жыл бұрын
Max you’re the man🙏🏽
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 5 жыл бұрын
Nimkumbushe mtu mzima kuoga au kupiga mswaki kwani hajafundishwa hizi basic skills kwao? Kama haogi ni mchafu tu na ni tabia yake
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 5 жыл бұрын
Sasa mwanamke akiwa mchapakazi na mwanaume awe mchapa nini?
@jenipherkavusha506
@jenipherkavusha506 4 жыл бұрын
Hahaha Max umenichekesha
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 5 жыл бұрын
kutrack ipo mimi nawatrack watoto wangu na baba Yao yupo wapi? Hata wakiwa London , Paris
@aminakibangu9174
@aminakibangu9174 5 жыл бұрын
Kikubwa Ni kupeana nafasi
@lucyjohn7904
@lucyjohn7904 5 жыл бұрын
actually ni kweli kikubwa kupeana nafas ila pia mawasiliano still ni muhim ktk mahusiano
@seifabdallahamad3029
@seifabdallahamad3029 4 жыл бұрын
Mimi ushauri wangu wewe uwenahekima na busra ukiongea na kushauryyy
@happymboma3567
@happymboma3567 5 жыл бұрын
Kama mnataka kusaidia watanzania wote ongeeni kiswahili
@tunuk4060
@tunuk4060 5 жыл бұрын
😂
@zainabukassim9924
@zainabukassim9924 5 жыл бұрын
Max babaabaaaaaaaàa
@adelmarcymallya772
@adelmarcymallya772 5 жыл бұрын
Taji punguza huo mwili
@muhamedwardah5144
@muhamedwardah5144 5 жыл бұрын
😍😍😘
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 5 жыл бұрын
❤❤❤
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 5 жыл бұрын
Huyu Max sio mtanzania, watanzania wana kero.
@nestorymashaka3194
@nestorymashaka3194 4 жыл бұрын
max kuna mambo unaongea vyema sana wanawake wengi wanafake kabisaa
@mwanatz5980
@mwanatz5980 5 жыл бұрын
😂🤣
@zainabukassim9924
@zainabukassim9924 5 жыл бұрын
Haatreeeee
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
SELF CONTROL Dhirigalin | Sheikh Mustafe Hajji Ismail
18:45
abdull عبدول
Рет қаралды 211 М.
MY DOUGHTER | finally |
29:18
CLAM VEVO
Рет қаралды 26 М.