Mr. Max , nimekupenda ule ukweli hata mimi mume wangu ndio master chief mkubwa nyumbani .. wanaume wanaojua kupika, hata kitandani watamu.. Lillian you need to invite Mr Max to teach other men, what’s love means! I really love this guy.. love from Scandinavia.❤️❤️❤️❤️❤️🇩🇰
@afrarugakingira39834 жыл бұрын
Max anajielewa ..I like the way he explains things
@akhlamsiham57084 жыл бұрын
Kwa kweli Max asiwe a nakosa kwenye kipidi ca women matters, Lillian kipidi kizuri Sanaa alakini Max anakifurahisha zaidi
@mugyabusobeatrice36625 жыл бұрын
Jamani hapo ndani mambo ni mazuri,tunawaomba hao mapanelist tena.Hongereni sana kwa kipindi kizurii,nawapenda Women Matters.
@magreth79815 жыл бұрын
Lilian today hands up 🙌🙌😂😂😂🤦♀️ Love you mingi lili!
@islaahrasheed69395 жыл бұрын
Max na taji wawepo tena na tena kipindi kimekuwa kizuri xaidiii,big up lilian
@leylahley35425 жыл бұрын
Madam Lilian, baby sky nawapenda sana.. maoni yangu mie" mungu aendelee kuwajaalia nguvu na afya bora ili muendelee kutuletea vipindi mbalimbali kama hivi" vyenye kuelimisha, tangu mmeanza women matter nimekuwa nilielimika na kufurahi pia woote mnaokuwa nao katika kipindi cha women matter nawapenda coz kila mmoja huja na elimu yake so tunazidi kujifunza mambo mapya kila kitujiapo kipindi..ikiwa utawarejesha wale wa siku zote ni sawa na wakipatikana wengine wapya sawa pia.. Muhimu tunapata Elimu yenye kunufaisha.
@BarakaKitale5 жыл бұрын
wametisha sana #womenmatter #max hatar sana bonge la play boy ametishaa mmno warudi jomon
@tanzaniaoman64235 жыл бұрын
Nawapenda sana ❤❤❤mengi ninajifunza kupitia nyie mbarikiwe
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Asante sana tunajifunza mengi
@elizajuma56165 жыл бұрын
Warudishwe tena tuu hakuna namna yaN nmewapenda sana na studio kulikuwa na maskilizano sana tuu kias kwamba watazamaji tunafurahia yale mnayoyajadili.... Hongeren sana
@mariamyoyote81724 жыл бұрын
Uwiiiii Lilian kwamba unataka postiwa 😝😂😂😂😂 nawapenda nyote mbarikiwe Sana tuna elimika💪🔥🔥🔥
@jacklineswallo36435 жыл бұрын
Jaman max n mwanaume bora ....yaaan n xo romantic
@selfaakinyi5125 жыл бұрын
This guys they talk totally true nimejifunza sana from Qatar.
@enymoh5 жыл бұрын
Congratulations guys mko vizuri sana max Bado natamani nikuskie tena umenipa challenge sana Asante
@khadeejaabdullah70835 жыл бұрын
Binafs naomba warudi tena Shukran WOMEN MATTERS
@stephenbruno79935 жыл бұрын
WAENDELEE KUEPO COZ THEY TEACH A YOUNGEST BOYS HOW TO LIVE AND CHOOSE A WOMEN WHILE THEY DATIND BEFORE GETTING A MARRIAGE.... WAPO VZR VBY SANA YAAN BIGUP
@gillianpeterpeter81825 жыл бұрын
Jmn max yupo vzry ...the guy is very intelligent ....wish i had a man lky him ana point na anajielewaaa....🙏
@fatmajumapili89185 жыл бұрын
N a yuko very romantic, the guy is full package
@eileenmanda87755 жыл бұрын
Kwakweli his nice
@beast-kz4tw5 жыл бұрын
Please let them come back I really love the show max
@mr.yahzadochuno79145 жыл бұрын
Love you max I love a man who can cook for he woman I’ll forever love this kind of men huyu mwingine mwenye kitambi hapo mtoeni hana anacho kijua sijajifunza chochote kwake kwanza hayuko smart and hajui kupunguza ukali wa maeno I’m sorry kama nitakuwa nimemkwaza mtu
@saidakessy31755 жыл бұрын
👏👏Love women matters
@leeslees43864 жыл бұрын
Napenda
@angelcakimaro72285 жыл бұрын
Kipindi cha kipo poa sana nimekipendaaaa😍😍😍
@aliciadas50505 жыл бұрын
Yeah warudie kweli sanasana max
@marthaelias8305 жыл бұрын
Nimewapenda nyc topics kwakweli
@sheen27565 жыл бұрын
Max is an idea man....☝️
@jacklinezebedayo29235 жыл бұрын
Max 🔥🔥🔥naombwa arudishwee na haji
@zenagracemkangata18105 жыл бұрын
Think wapo vizuri..we hp to see them next time
@jacklineswallo36435 жыл бұрын
Best show.....
@samiraallykayitesi76425 жыл бұрын
I really like this show form Rwanda
@ججوي-س4ي5 жыл бұрын
warudi
@muhamedwardah51445 жыл бұрын
Nawapenda😍😍😘😘
@azizakwileka16865 жыл бұрын
I salute you Max😂😂 ila Taji nimecheka aliposema cheki wigi lake🤣🤣
@wemakim8215 жыл бұрын
Max umenena mkaka, tunasaidiana na I love when my man cooks for me. Nataman hiki kipindi kiendelee tena na hawa wakaka
@konsolatatutu4235 жыл бұрын
Da Lily nimependa wig lako
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
Iilian ahsante kwa swali dear
@shanawilliam10505 жыл бұрын
Ona wigi lakeee😂😂😂😂taji I salute u
@ameenaameena33245 жыл бұрын
Maasha Allah kweli kipindi kizuri sana
@lilianjeremia10245 жыл бұрын
Iv max ana mke nauliza jmn mmmh
@joviangeofrey72125 жыл бұрын
asilimia 80 ya wanaume wa kihaya tunajua kupika. ila sasa ni vigumu kuishi na mwanamke ambaye hajui kupika au kusimamia wapishi. binafsi mke wangu akipika nakuwa na amani na upendo mkubwa kwake maana naamini atapika vizur kama mimi au kunizid kidogo.
@khadeejaabdullah70835 жыл бұрын
Mwanamke kupositiwa sio kwamba unapendwa wengine mnatambulisha kwa wakeweza
@samiraallykayitesi76425 жыл бұрын
Nawapenda nomaaàa
@mohamedidd73855 жыл бұрын
Tunaomba waendelee kuwepo kwa kipindi kijacho nadhani kuna mengi zaidi ya kujifunza Kutoka kwao
@charlesjanny82325 жыл бұрын
Has Mr CEO
@Moneystarstories5 жыл бұрын
Waleo warudishwe tena, hasa Max, Max akili yake anaijua mwenyewe... 😂😂😂😂
@ciaelbernard55415 жыл бұрын
Kipindi bora kabsa cha online.max yupo vzr awepo tena
GEN X vs Millennials hadi mwisho Millennials nahisi tumechukua ushindi... Make another episode na hawa jamaa wawili asee..Imekuwa tamu sana
@atugonzamujuni36785 жыл бұрын
Oooh nimeandika notes
@leylahley35425 жыл бұрын
Kupostiwaaa😀😀😀
@giftlegan26755 жыл бұрын
Kupostiwa jaman
@aishaelias4205 жыл бұрын
Kiukwel Max kaongea kitu kizuri mno kuna wakati mwanaume Fanya kitu kitakachomfurahisha mke wako asiangalie pembeni swala LA mwanaume kumpikia mke ni chachu nzuri ya kustawisha mapenzi ndani ya nyumba...Mme wangu alishawahi kunipikia japo chakula hakikua kizuri lkn sikuwahi kusahau ktk maisha yangu wala watoto wangu hawajawahi kusahau furaha tuliokua nayo ile Siku...wanaume badilikeni love your wifes..Mpe kitu mke ambacho hatosahau sio lzm pesa au sex tu but vingine vidogovidgo.
@estermgaya58165 жыл бұрын
Kipindi changu namba 1
@vigiliagilbert81855 жыл бұрын
am ur funny dada Lili .me nilikuwa naomba siku uwatafute vijana wa millenium ambao hawajaoa walakuolewa waelezee jinsi wanavyoyachukulia mahusiano.
@zakirazakira74695 жыл бұрын
Binafsi nafurahiyag san iki kipindi lakin kizung kingi jaman wengin hatuelewi
@Zenaprays5 жыл бұрын
Waje tena na tena na tena
@helenacostantine61365 жыл бұрын
max anasema kweli
@julmag11754 жыл бұрын
Wanaume a mbao hawapost wanawake ndio kwanza wanacheat vizuri, wenye pete ndio kabisa wanakana ndoa
@lynusjacob67275 жыл бұрын
Sasa utaachaje kuwarudishaa Hao ni shule tosha
@mimahmussa13765 жыл бұрын
aisee da lily warudi tena mi nimejifunza vitu vipya leo wametusaidia kizazi ya millenia
@magarettambaji25095 жыл бұрын
Eeeh hawa mwisho wa mawazo waendelee
@nibiziblandina44105 жыл бұрын
Liliane anefrahisha kipindi saana
@glorymushi30255 жыл бұрын
Hapo hakuna mapenzi
@ri31275 жыл бұрын
Warudi jamani maana nimejifunza mengi kutoka kwao.
@upendomkude53905 жыл бұрын
Kindly warudishe awa watu tena Lily plzz
@gloriousnp5 жыл бұрын
Kupostiwa 🤣🤣🤣 Tena millennials wanapenda wanaume za watu, asikwambie mtu 🤣🤣🤣😆 Kupostiwa siyo issue mana hata dawa ya mbu Ina picha ya mbu....(alisikika mlevi mmoja akiropoka)🤣🤣🤣 If you know you know
@bahathtemu20795 жыл бұрын
Ila max jamaan😂😂 arud tena
@lucymlawa99275 жыл бұрын
Warudi tena kuna mengi ya kujifunza kutoka kwao
@patriciapaul46995 жыл бұрын
Taji is narrow minded on the cooking side if a man cant cook for me go back and cook for your ancestors 😂😂😂😂😂😂😂
@magreth79815 жыл бұрын
Max sound too western on how to treat a woman , for my observation, spread that spirit to now days generation!🙇♂️🙇♂️
@mr.yahzadochuno79145 жыл бұрын
Point
@magreth79815 жыл бұрын
👌👍 Si ndiyo Faith ?😂
@lightnessally73304 жыл бұрын
Hawa watu warudi tena aisee
@angelcakimaro72285 жыл бұрын
Jamani warudishe
@judithtibandebage32275 жыл бұрын
Huyu Max nimkuda Sana mapenzi hayataki usomi Sana Baba unasheria Sana wewe Max muhaya nini make unavoongea inaoneka ndivo ulivo pia dada rely unawivu Sana because unavoongea inaonekana ndivo ulivo punguza wivu lol lakini nakuelewa naninakupenda pia
@callmesubra54725 жыл бұрын
Mkurya huyo
@zakirazakira74695 жыл бұрын
Alafu kipind ca leo noma san tungeomb wa alikwa hawo warudiy tena
@Sanyah-le1od5 жыл бұрын
Bring back daktari.
@rehmashamte2815 жыл бұрын
Kipindi kizur binafc najifunza mengi mno
@christermsami78155 жыл бұрын
Jaman max
@sharonndowo69225 жыл бұрын
Yes Dr Ell
@belingtonminja70885 жыл бұрын
lilian kipindi chako ni kizuri sana ila kama mtu anaongea mpe nafsi tupate full message then ndio huhulize next question usimkateshe please we need to lean please all something
@delphinasenge33215 жыл бұрын
Warudi jamani
@hamadsaidy87525 жыл бұрын
bonge la kipindi nafurahi walundi tena
@esterobinju99615 жыл бұрын
Bek
@joycelaizer46005 жыл бұрын
Max umeoa???
@asinathasinath50905 жыл бұрын
😅😅😅😅🙏🙏🙏🙏🌹🌹🌹🌹🌹
@belingtonminja70885 жыл бұрын
warudi tena
@zainabukassim99245 жыл бұрын
Warudishe
@aishaelias4205 жыл бұрын
Warudiiiii
@siahlaurian55665 жыл бұрын
kupostiwaa ahhahahaha
@msoffegreece88745 жыл бұрын
Max nimekupenda bure mkeo anaraha sana
@leahwilliam16635 жыл бұрын
Max aridi
@fashiontrendstv32075 жыл бұрын
Ukimwomba mumeo akupikie very unrealistc na lazima umpoteze kwa mchepuko
@sarastephano34095 жыл бұрын
Warudie
@laylasuliman58055 жыл бұрын
warudishe
@azizakwileka16865 жыл бұрын
I salute you Max😂😂 ila Taji nimecheka aliposema cheki wigi lake🤣🤣