Tunawakosea sana mama zetu lkn Wana upendo wa kwel na cc Allah awape afya njema mama zetu pia atupe rizki tuwatuze mama zetu
@judithtitomalyeta40005 күн бұрын
Joani mungu atamwadhibu ,ni jini tena jini kubwa ,wazazi wa joani chukueni kishetani chenu
@chuchudorice85314 күн бұрын
Kweli 😢😢😢
@MaulidWakitenge5 күн бұрын
Daaa,jaman Martha sikutegemea kama itakuwahivyo kwako kwanza nyimbo zako zilivyo na utukufu,duuu ninyakati za mwisho eemwenyezi mungu tusaidie
@ShukranMwakyambo4 күн бұрын
Hakika kabisa maana daha inasikitisha mno
@rehemayona22235 күн бұрын
Jamani hata mm sina pesa ila mama yangu hawezi kupauka ivi
@mrsinia30644 күн бұрын
😂😂😂
@lilianowti54775 күн бұрын
Ushoga huu ndiyo ya fanya kazi sasa,lakini tunalibomoa,kuharibilu,kuvunja na kung'oa nguvu za giza kwa jina la Yesu,radi ya moto la damu ya Yesu Kristo iyeyushe mipango ya Joan katika maisha ya Martha yasambaratishwe leo.
@aishaz15 күн бұрын
Pia mimi nilisema kama mama yupo yeye ndio sauti ya mwisho asante mama hadi wegine wanasema eti mama si mmoja mkowapi mliosema ivyo njooni uku sasa na mlikuwa mkisema saidia mama yako wacha kumuonea wivu marhar vikowapi sasa huu hapa ukweli usio pigika ❤mom
@MOREDI20245 күн бұрын
Hongereni wemu tv mme tobolea kwenye migogoro ya familia ya martha
@BethuelofficialTz4 күн бұрын
Eti wamesema TV changa ,,😄
@aidankakulu3984 күн бұрын
@@BethuelofficialTz😂😂😂kumbe na wewe umesikia
@saadarashid81744 күн бұрын
Mzazi haui siku zote m/mungu atustiri na atuhifadhi tuwapende wazazi wetu na atuzidishie iman sis na vizazi vyetu.
@Fatima-v9k6f5 күн бұрын
From 🇧🇮 ndoa ya junsia moja iyo mungu aniepushe 😢😢nauyo ushetani
@ahmedyissa47773 күн бұрын
Nikweli kabisa mwanamke akishakua na tabia ya usagaji Akili zake zinawehuka anakua mwehu kabisa kwa maneno ya mama yake ni dhahir huyo joan kuna kitu anafanya na martha
@VeronicaPeter-rm7ky21 сағат бұрын
@@ahmedyissa4777Et eeeh.... kumb n kwl naskia ukianza kuufanya huu ushetan wanza kurukwa akili
@LindaMbilinyi-n3n5 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢dah,,Martha Martha Martha Nakuita mala tatu hii Dunia hakuna km mama chini ya jua,endekeza Dunia hvyohvyo na hyo mume wako Joan,maana co Bure Wenda mnasagana
@ElizabethMakong-en3nq4 күн бұрын
Aki nimelia juu ya hili jambo hakuna kitu kibaya kama kutenganisha watu wa familia moja mama amelia hio machozi lazima itakua rewarded na joan imefika mwisho ya yeye kua pigo kwa hii familia latika jina la yesu Amen 🙏
@Mahene-w1l5 күн бұрын
Haya Sasa Abishe Tena Mama Kasema Ukweli Wote
@bakariomari24omar215 күн бұрын
Anaweza akabisha sababu kama nikweli wanasagana na huyo Joan basi KAZI ya ibilisi inanguvu na ataogopa Binti baadae asijeongea ukweli wakusagana
@Harryking0015 күн бұрын
Weee ni mbwa sana...
@NeemaSamson-ti8pc4 күн бұрын
Kwani alibisha au alikaa kimya?
@paulinewangila-cs6ys4 күн бұрын
@@NeemaSamson-ti8pcmwambie sababu ni kama hafatilizi kinachoendelea
@furahachuma90394 күн бұрын
@@NeemaSamson-ti8pcJoan si ndiye alikuwa anaongea kwa niaba ya Martha
@hallykanze66935 күн бұрын
God will expose everything 🙏
@DoreenTesha-kk2kw4 күн бұрын
Amina🙏
@hancylee57864 күн бұрын
Changamoto ni kufanya mapemz ya jinsia moja kiasi kwamba anashindwa kumuacha huyo binti coz ataweka mambo yao ya aibu adharan so sad
@VeronicaPeter-rm7ky21 сағат бұрын
@@hancylee5786sasa kwan mathha kwnn ameaanzz haya mambo y ushetanii jmn?? Kwan wanaume hawapo
@Manswabu5 күн бұрын
Jau sna hiiii like kwa mama mungu atamtia nguvu
@StrongbowArrow20044 күн бұрын
Duuh 😢😢😢😢😢😢 Nimejikuta tu nimelia , ila yule joan chini ya Jua litamfunza ,na kama kweli wanacheza hiyo michezo yao mbona balaa 😢😢😢😢😢
@ernestgumha31865 күн бұрын
Asa Kuna watu walienda juu sana kumtukana mdogo mtu bila kujua mumeona sasa
@chuchudorice85314 күн бұрын
Imagn mpaka niliona wolper 😢😢
@hanifa91535 күн бұрын
Hao ni mme na mke wake ndomana lazima mme ndo a control kila kitu kipi kiingie kipi kitoke je ni kingi na kama ni kingi kipunguzwe😂 lakini wamesahau kama kna mama mwenye amezaa😢😢😢
@Sidrasidra6365 күн бұрын
😢💔 masikini karogwa na huyo binti kamfunga 😢
@emmilemalewa42575 күн бұрын
Nina wasi wasi uenda kuna ndoa ya jinsia moja kati ya joan na Martha maana si kwa kuchanganyikiwa hivyo kiasi cha kupangiwa kila kitu na mtoto mdogo.
@Iam_meck5 күн бұрын
Unawaza kama mimi
@CharifaRachidi5 күн бұрын
Mbona kama Kweli
@aaa64sa135 күн бұрын
😂😂 kwa hali hino livyo....🤔
@Stella-l9m9p5 күн бұрын
Ni kweli Martha ni mke Joan mume
@salmaalimusa68095 күн бұрын
Mbna liko wazi
@InnohubGroup3 күн бұрын
SnS big up for recognizing Wemu TV
@FaridaShangala4 күн бұрын
Kunasili nzito ktk martha na joan mungu kawaumbua munguingilia kati nahuyu mama kateseka, joan aibika ktk jina layesu tuna mtamani mama sie ww unamchezea mama martha laana itakutafuna mrudi mama ktk toba aachilie nauchngu umtoeke ucje kupa mathara kwajili yahuyo pepo mtu joan alie kuteka kiuchawi co kila mtu wakumweka karibu yako wengine nimaajenti wakuzim pewa macho yarohoni martha ktk jina layesu upone uone kama batruu mayo kipofu aliona nenda miguuni kwamama mama mama martha mama nimama misina namtamani maangu pumzika kwaamani nakupenda sana na baba maana mlinipenda mungu awape raha yamilele amina.
@AnnaMelikion4 күн бұрын
Yes pengine Joan anasili kubwa san za Martha Ndio maana.anashindwa kuwa mkali juu ya huyo Joan 😢😢
@chuchudorice85314 күн бұрын
@@AnnaMelikionkweli
@AsiaShaban-zz4yr5 күн бұрын
Siku za kiama hizi kila Siri zilizojificha zitafichuka huyu mama apate justice y mtoto wake jmn uchungu aujuaye mzazi hii ni Dunia jaman
@benedictoralexander16115 күн бұрын
Inaonekana kashapigwa kitu huyo. Angalieni watu mnaowaleta kwenye maisha yenu. Watu wengi wanaoimba nyimbo za Mungu au kumtafuta Mungu huwa wanatafutwa na watu kupotezwa kwa nguvu za giza. Ni kazi ya shetani hii. Huyo hawezi okolewa kwa sasa kwa sababu kafungwa vibaya.
@youngchyna7444 күн бұрын
From mapenzi ya jinsia Moja hii kitu nilihisi afu Joan ni mwanaume
@marthakashimba21883 күн бұрын
Pole Sana mama angu muombe mungu atakusaidia joan nipepokubwa jaman atawauwa wote 😢😢😢😢 nokitu kinacho umiza Sana 😅 😅😅😅😅 😱😤🙏🙏🙏🙏
@SulePonda4 күн бұрын
Joan msagaji😊
@charlescosmas67304 күн бұрын
Siyo Joan peke yake na Martha mwenyewe WOTE ni "mbwa"(KUMBUKUMBU LA TORATI 23:18; UFUNUO 22:15). NB: Mbwa wanaotajwa kwenye hayo Maandiko hapo juu SIYO dogs; ni mbwa wenye miguu MIWILI
@صالحالصوافي-غ5و4 күн бұрын
😢😢😢😢kumbe nikweri jamani naishiwa nguvu
@festocharles18554 күн бұрын
Daaaaah katika vitu vinavyo niumaga nikuona chozi la mama
@user-xy8kl9wd2i5 күн бұрын
Ukute huyu mathar na anajiita mtoto wake wana pididy ana wanaishi kama mme na mke😢😢
@AshaJuma-s7l5 күн бұрын
Martha! Martha! Martha! Hakuna aliyekamilika! Sisi sote tumetenda dhambi, mrudie Mungu aliye hai.
@AbiaWilliam-s1s5 күн бұрын
Tuzid kumuombea
@SulePonda4 күн бұрын
Usagaji una balaa
@AverinaShirati4 күн бұрын
Huyo mume kwanini akukataa
@tulianyota70405 күн бұрын
Joan na Marta niwapezi wamefumaniwa Congo wakisagana
@asmahassan56614 күн бұрын
Mh walifumaniwa.na nni
@FatumaJuma-f6s4 күн бұрын
Weeeee tuambie vizur 😂
@MiriPeter4 күн бұрын
Duh
@philipomwazyunga45724 күн бұрын
Ndio walifumaniwa wakafukuzwa..matha akajitetea wapo wengi kwenye industry ya mziki..by yule muhubii aliekuepo
@KhadijaDija-ir2hq5 күн бұрын
Halafu alijidai mama zao ni tofauti kila mtu anamama yake kiukweli mpambe ndo mwenye nguvu
@godwinkileo77024 күн бұрын
Sns tumepata ukweli na uongo umejitenga, Mungu amsaidie Martha
@lilyjones35844 күн бұрын
Baadhi ya waimbaji wa injili na manabii wapo kibiashara zaidi. Wanatumia jina la Mungu kama mtaji. Watu hawana uoga wala hofu!!! Hii dunia tunaelekea wapi! 😢
@felistermsigala-ew5jy4 күн бұрын
Dadaangu Martha! Nakushauri kwa jina la Yesu shuka chini kamligie magoti mamaako umuombe msamaha ukae kwa amani,
@NayceMoshi4 күн бұрын
Jamani Nimejiskia kuumia sana. Mimi mama yangu nampenda sana
@kipongimathayo70275 күн бұрын
Inaumiza sanaa😢😢😢
@kekiplus1andonly4 күн бұрын
Mmmmmh makubwa,
@mr.yahzadochuno79145 күн бұрын
Uwiii 💔😭
@NelsonMaganya4 күн бұрын
Duuu jaman Mungu atusaidiye😭
@Hadzabe_Hometribe4 күн бұрын
Uyoo watakuwa wanasagana rooh….😢
@stephanosospeter17095 күн бұрын
Watu wanao mlaumu betris mfunge midomo, ndio mjue iyo kesi ya familia aijaanza leo wala jana, ni lamda mrefu, ndio maana Mungu akaruhusu dunia ijue, ( akuna lolote linalofanyika pasipo mapenzi ya Mungu)
@aaa64sa135 күн бұрын
Tena wengine ni mastar wa bongo movie na wakamrukia na kumtukana. Sasa wako wapi wamskie Mama. Bongo ni shida tu..
@RitbayRitbay4 күн бұрын
@@aaa64sa13wanachukulia umaaruf wao kuchapia mambo wasioyajua mtu mpk asema sio mama ake bdo mtu analaumu.
@bigirumanalululouise4540Күн бұрын
Mama 😢😢😢😢😢
@sophiakimaro51744 күн бұрын
Kwa mustakabadhi huu ni kama anguko la martha limefika.Mungu wa mbinguni ampe second chance
@maryamm77655 күн бұрын
Dah mtihan sana mtu unao uwezo unaachaje kumsaidia mama yako dah😢
@queenofireland8984 күн бұрын
😢😢😢😢 mthn itakua kafanyia kitu sio bure
@bigirumanalululouise4540Күн бұрын
Mungu wamg😢😢😢😢😢😢😢😢
@mwelaabedi90765 күн бұрын
Martha anasagana nahuyo mtoto😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@mwanaidimussa5 күн бұрын
100%
@bakariomari24omar215 күн бұрын
Hilo Haina shaka maana hiyo dhambi inanguvu hutojali lolote
@AgreyAckim-pt3wv3 күн бұрын
Joan na matha walifumwa Congo wakishiki mapenzi ya jinsia mojaa sema soo likazimwaa hii ni truee
@KhadijaMasoud-d2z3 күн бұрын
Beee tutasikia mengi
@CarolinaFranciMushi5 күн бұрын
Inaonekana huyó Joan ni mke wa Martha hapo kuna ndoa Za jinzia moja .
@user-gc8jc1sh4z5 күн бұрын
Na ni kweli maana namwona mama anafanana na Beatrice kabisaa
@estamichoromichoro56344 күн бұрын
Sauti ni ya Martha
@benjo_brighter4 күн бұрын
Kwa maneno aliyoandika Joan,inaonyesha kuwa huyu dada ni mfarakanishaji mkubwa 🙆🏾♂️
@RandB_Channel4 күн бұрын
Watoto wananga mama anapayuka. Mnayo kuwa nawamama muwasaidiye wa mama zenu my mom rest in peace 😭😭😭😭 mko mnaimba nini sasa? Mnasimama mnatuimbiya kumbe nyinyi mashetani Huruma sana
@RandB_Channel4 күн бұрын
Watoto wananga mama anapayuka. Mnayo kuwa nawamama bado muwasaidiye wa mama zenu my mom rest in peace 😭😭😭😭
@FatmasaidhamesaHamesa5 күн бұрын
Aaaah jamani jamani umenimaliza 😢😢😢😢
@yasminoluoch1695 күн бұрын
WEH HII NI AIBU JAMANI😢😢
@Naomiwilliamu5 күн бұрын
MUNGU WANGU MOYOO UMENIUMA 🙏
@AdelinajescaOswald4 күн бұрын
Kujiamini kwa katoto haka, ukiondoa uchawi, pia kuna matendo machafu wanayafanya! Joan anategeshea akimkana kwamba si mwanae aseme kwamba kanioa mimi ni mkewe! MUNGU WANGU JEHOVA!
@hopechidera4 күн бұрын
Martha na Joan jana walitoa nyimbo mpya eti KUSHINDA LAZIMA,hapa ni swala la maombi ya deliverance kwa Martha...
@SalmaAthuman-hp3en5 күн бұрын
Imagine mtu ametoka huko na shida zake kuja kukotro maisha ya family uchawi upo mungu tuondoshee huyo bint ni pepo lilokuja kwa maisha ya Martha kuiipatia pesa Imagine yeye awe ndo Ana shetia humo ndani aiseer
@CarolineThadei4 күн бұрын
Martha kuwa makini mama ni Kila kitu katika maisha yako hakuna mbadala was mama fedha majumba Mali vyote vinapita mheshimu mama yako Alie kuweka tumboni miezi tisa
@kibokutiwanatanyika15405 күн бұрын
Samahani Jamani,, naomba kuuliza kwani KUSAGANA NI KUFANYA JE? Please! Msinichambe jaman nauliza ili niweze kujua maana yake...
@Thatgurl-l8n5 күн бұрын
😂Mapenzi ya jinsia moja.
@halamascat28165 күн бұрын
Du niya. Inamambo mengi sana😢
@sophiachiumbaumba93224 күн бұрын
Ha nimekerekwa Sana kwa nanna ninavompenda akiimba alaf nackia habar iz
@mandelatv-e3b4 күн бұрын
Nilipo skiya ilesim ya Joanie nilijuwa kama haka kadada nikashetani mana alikuwa anajidayi sas kaulizake😢😢😢
@lisawilliam24915 күн бұрын
duh heeeh mungu tusaidie
@MPOYOLAFILMS4 күн бұрын
Wew Marth na huyo mwenzio mnashikana vis*mi mnakojoa mnajisikia rahaaaaaa wenyewe.... Dhambi kubwa sana hiyo Lahaulah tubuni na acheni mara moja...
@Solomonnize4 күн бұрын
Kama sio kumtishia kutoa siri basi kanshutama kanausika😂😂😂😂
@DM_154 күн бұрын
Ukiona mtu mzima analia kunamengi. Bitric alivyo ongea watu wali ona bitres analilia maliza nduguze. Jacklin wolper alimlopokea bitres kua aache kulilia mali za nduguze. But hakufikiriakua yule ameongea yanayo msibu dadayake ilituu kumrejesha kwenye himaya ya mama yao. Sitaki kuamini bitres ananjaa yakulilia mali ya dada yake
@veronicaromwald83114 күн бұрын
Mheshimiwa Waziri Gwajima naomba uisaidie hii familia.
@HappyShirima-k9t4 күн бұрын
Daaaaah Mungu huyuu jmn
@NeemaElisante-zd2dt4 күн бұрын
Ndoa za jinsia moja haya ndio madhara yake matha Yesu anarudi achana na ulimwengu huu raha zinapita ulimwengu unapita jehanamu ni ya milele matha martha martha!!!
@HannanSomaiyah-wp7ny5 күн бұрын
Samahani wasomaji, Mimi namlaumu MAMA kama walikuwa na Matatizo wangeyamaliza huko ndani,Kila family ina matatizo Tena makubwa kushinda hayo Mzazi anaelalamika chapati mafunzo,Hivi Watu wote tungetaka kuanika Mambo ya familia Dunia ingesimama,
@justussebastian47795 күн бұрын
afadhari umeandika chapati
@malkiarosemuhando33105 күн бұрын
Mama anasema amesema ameshindwa anaomba jamii na serikali vimsaidie kumshauri Martha ,mi naomba Tumuombee Mungu ataingilia kati
@JackMart-l9p5 күн бұрын
Hili jambo ni rahisi likiwa halijatokea kwako. Haswa likukute na uwe ungehangaika Kwa kila mtu na kila namna na umeshindwa. Ni Bora kujaribu na hii njia ya kushirikisha jamii.
@MkamburiMtakai4 күн бұрын
Mama amesema amejaribu lakini kulishindikana...@@malkiarosemuhando3310
@bcozhenry26984 күн бұрын
Mashetani tu ndio watamlaumu Beatrice na mama yake. Yaani mama ameeleza Kila kitu na inaonesha hamchukii Martha halafu mashetani hawaelewi?
@JemmyPeters-n1q5 күн бұрын
Dada martha, record wimbo wa vumilia, wanikubusha wimbo wako wa" nmesikia maneno lakini ya mungu tu"
@philipomwazyunga45724 күн бұрын
Matha awezi mkana joan..sabb joan ataweka mambo wazi wanavyosagana ..itaua utumishi wa matha😆😆😆
@KostantineSwai4 күн бұрын
Mungu saidia watu waishi kwaaman
@rithadonatus81104 күн бұрын
Sky wewe ni very professional make sure hii taharifa inaukweli uijeharibu brand yako
@NiwaeliMsanga5 күн бұрын
Ndoa ya jinsia moja
@JulianaMushi-nq3kc5 күн бұрын
Wote wanaomtetea martha ni wasagaji kama joan na martha
@aaa64sa135 күн бұрын
😂😂😂 Wolper.... amedandia vita sasa ashayaskia haya... au pia yeye ni msagaji😂
@lameckmadihani49995 күн бұрын
ndoa jinsia moja
@aishaz15 күн бұрын
Mathar anaogopa kumuacha Joan ju atatoa siri za Mathar
@RobsonLugomi5 күн бұрын
Kale Joani kakisikia hii sijui atajisikiaejeee shetan yule mtt anachamba kaaaa eti anabweka
@JeannetteManirambona-o6m5 күн бұрын
Joani njo shetani mkubwa
@wadantz1235 күн бұрын
Kwan uyu joan ana nini cha zaidi mpk mnamshindwa aaah weee kikipigwa vzr kitasema kimewaekea nn wenzie
@melanialeonard40314 күн бұрын
Anajua kum...... martha ndio maana kana jeuri
@JujuGurugu043 күн бұрын
Aende kwa sunbela game over 😂😂😂 yni kizizi kitafinguliwa
@neemaneychricious64934 күн бұрын
Jamniii nampendaaaa marthaaa snaaa ni my feverate jamn nampenda mno Mungu mteteeee mtumish wako
@HASSANBAKARI-q9c4 күн бұрын
sawa mama tumekuelewa,,,ila nyie wana habari ntutaftie na uyo anayesemekana ndo mama mzazi mpy na matha,,,tukishamsikia tu,,sisi akili tunazo majibu tutakuwa nayo tayari😊,,,(hapo kuna ukweli unafichwa)
@chany99505 күн бұрын
Duuuh inauma jmn😭
@MS.independent89345 күн бұрын
Joan ni mtu wa mbaya ao kwao ni mkowangani tunaze apo kwanza, maana mikowa mingine kazi sn wakisha ingia kwenye family za wengine 😢
@vincej92754 күн бұрын
Nilijua tangu mwanzo Joan ndio mwenye mambo haya yote. Kwa matusi aliyo yandika juzi. She is definitely the enemy of this family.
@solangesoso31004 күн бұрын
Jamani, Yawezekana ni mama ake maana hata sauti ni kama ya martha. Kama unaijua sauti ya martha utanielewa. Nihuzuni😢😢
@chuchudorice85314 күн бұрын
Si ety inawezekana ni mamake damu
@Johnny-ally5 күн бұрын
Ndio ukweli uliopo hiyo ni ndoa ya kijinsia moja hata muongee nini hawezi kuelewa yule
@khamisiali13345 күн бұрын
Wanasagana hao
@123456789381294 күн бұрын
Kila mtu hapa anapoongelea wazazi . Baba naye mbona aongelewi ijapokuwa amashafariki. ila wababa wanasahaulika sana
@FatmasaidhamesaHamesa5 күн бұрын
Mungu to samehe😢😢😢😢😢
@MiriPeter4 күн бұрын
Ndoa ya jinsia moja..mtu na mkewe
@AishaAisha-q7y5 күн бұрын
😢😢😢
@sarahgaula22204 күн бұрын
kama mama yake kweli mmmmh hapana kwa kweli.
@pacomezouzoua91755 күн бұрын
Shetani yuko kazini.... Kama unaroho mtakatifu huwezi kuwa na roho ya kushikilia kama martha Martha badilika uyo ni mama ako