Hongera sana ,wewe ni intelligent, wewe ni Professor to be 🎉 Mungu azidi kukuinua.
@ImeldaIsdory3 ай бұрын
You really deserve the best. Congrats sana.
@MO12-b1q4 ай бұрын
Mungu atueinue sisi WaAfrika tufike Mbali nasi
@TM-zs3rm3 ай бұрын
Very impressed of your ambitiousness, drive, commitment and dedications. Nakuunga mkono sana. Ndo inaanzia hivi. Pongezi kubwa kwako na Taifa zima.
@andrewshustle13314 ай бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri Kwenye mifumo yetu ya majeshi na nyanja zingine za inchi yetu tunahitaji watu kama hawa sana! ili tuweze kuendana na kasi ya dunia.
@ramadhanimtozeni80304 ай бұрын
Wewe ni genius, Mungu akupe maisha marefu na ufanye makubwa zaidi.
@MauFundiElectronics4 ай бұрын
Huyo ndo ilibidi awe WAZIRI WA MAWASILIANO NA HABARI TANZANIA.
@Benestify3 ай бұрын
100%
@ernestjophreymalaba33744 ай бұрын
Hongera sana Shayo ,tunajivunia wewe Kama watanzania, na tuko nyuma yako kukuombea ufanikiwe MBE
@mkulimatanzania4 ай бұрын
The man is thinking of his country, and the government is just quite. Please mama Samia look this guy and help him 🙏
@kidsontemba16414 ай бұрын
Daaah ndugu yangu umeiva vizuri sanaa nakukumbuka sana mkuu. HONGERA
@fredlema52833 ай бұрын
God bless you shayo
@NixonJohnson-r4m3 ай бұрын
Shayo ...Akili kubwa hii.. ni hatari sana ...Mungu simamia hii kichwa...
@AhmedHamed-r5i3 ай бұрын
Hatari sana!!
@bobjulieoneheartband4 ай бұрын
Mimi Namshukuru MUNGU Kwa Zawadi Hii Kubwa kilichopo SERIKALI na Wadau ztumsapoti Kijana wetu Tutafaidi Mno Kupitie Yeye...Big Up Leonard Utafika Tuu❤❤❤
@ikonikoh3944 ай бұрын
CONGRATS BRO,HAPPY TO HEAR KENYA IKO KWA PROCESS
@Del_busi54 ай бұрын
Serikali wanatakiwa waangalie hii Interview, Bro sky hakikisha moja wao huko bungeni hio Interview imfikie
@JosephSekulu4 ай бұрын
Mimi nipo tayari kabisa kukuunga mkono kwa sababu naifahamu vizuri sayansi ya Elektroniki ilivyonisaidia kwenye computer networks.
@generosennko83434 ай бұрын
Wizara ya technology and science; hivi mnamuona huyu scientist wetu? Taifa limpe support 100% kama ni vifaa au ajengewe maabara. Kuna vijana wengi smart ila hawana support. Huyu ana kitu kikubwa sana ndani yake. Wazungu hawatamsaidia sana. Ila watafurahi kumchukua wakamwajiri kwao. So; no more brain drain. Tuwaendeleze vijana kama huyu ili nchi ikainuke. Asante sana mtangazaji kwa programmes kama hizi.
@AhmedHamed-r5i3 ай бұрын
Nchi za Afrika hazinaga hizi habari za kuwapa mkono wa heri watu kama hawa.
@lirastanley3903 ай бұрын
Umechelewa wapi wewe??njoo udsm na wizarani huku uone ma genius hahaha
@JosephSekulu4 ай бұрын
Hongera sana kwa hatua hiyo! Usikate tamaa na kumbuka yaliyompata Galilleo Galillei miaka ya zamani .Mtaalamu wa elimu ya nyota hiyo huwa ananipa moyo wa uvumilivu.
@isacktesha66593 ай бұрын
USA hawajamgundua huyu jamaa
@eugenejr.88444 ай бұрын
Tunasubili Nchi za Magharibi zimchukue na ibaki "muazilishi ni Mtanzania"😢. Tunahitaji Viongozi wataalamu zaidi kana JPM sio wana SIASA ambao wanakata mahindi na wanapokea chakula cha misaada.
@hamsikrasheedi17964 ай бұрын
hongera sna kaka mungu atimize kile ulicho kusudia kufanya ❤🎖✊🏼
@yassirabduli14044 ай бұрын
All the best eng Shayo, keep push
@98technologies124 ай бұрын
Hongera sana Shayo, nakutakia mafanikio katika mission yako
@DafiMohamed-dz8xk4 ай бұрын
Hongera sana mwana Serikali inamtumia vp huyu sasa ili nchi Inufaike na mzalendo maana ataisaidia nchi
@Leo-kg2lt3 ай бұрын
Historia na maarifa yote dunia hii ni mtu mweusi kwahiyo tuendelee kuwa katika njia hizi sahihi tuanachane na kila aina ya dini maana hizo ndizo zinatufanya tulale tusifanye mambo makubwa
@lirastanley3903 ай бұрын
Watu tunao huyu ni mmoja kati ya ma genius
@isacktesha66593 ай бұрын
Huyu jamaa kwa maelezo yake atachukuliwa chap ,
@IshipalemyPasko4 ай бұрын
Waafrika au viongozi wake ni mbwa kabisa. Hawa watu wanatakiwa kulindwa na kuendelezwa kimasomo ili waje watumikie nchi zao. Ila huangaliwa tu bila mssada wwte ule bila hata kudhaminiwa
@danielpatrickrobert1253 ай бұрын
Tunawahitaji hawa 100 tufike mbali kwenye technologia
@Mjomba_Side4 ай бұрын
Wanafysikia gonga like keep it up Leonard Physicists like us have the biggest contribution to the current global economy but go very underrated
@FastpayMauzo4 ай бұрын
Hii physics unayoongelea ni ya wap?
@Mjomba_Side4 ай бұрын
@@FastpayMauzo ni hii ya kila siku hamna technolojia yoyote sasa hivi ambayo haitumi elements za fysikia mfano semi conductors have transistors ambazo zinatumia quantum mechanics. Semi conductors zinatumia kukujibu wewe sasa hivi nakuona message hii
@lameckmatonya3 ай бұрын
Mtu wa maana kabisa
@ProsistaTarimo4 ай бұрын
Huyu jamaa akisaidiwa na serikali nchi yetu ingemfaid huyu jamaa na akapanua campuni yake na kufundisha wengine . Akatoa ajira na taifa likanufaika.
@abdulsaid45794 ай бұрын
hongera kaka kw bidii unayoifanya. mimi niliondoka bongo mwisho w miaka y tisini kw sababu mwalimu wangu aliniambia science haina future TZ n afrika labda nenda nje ukasome. ss niko nje y nchi miaka kibao. lkn tutasaidiana. ss naona science itakuwa n future TZ. wananchi ndio wakaoipeleka mbele Science sio serikali. 😅
@francisruambothetechnician4 ай бұрын
Very talented 😎😎😎
@USWAZITVONLINE4 ай бұрын
Hongera Sana kwake
@nick1o7bang174 ай бұрын
🙏🏾 mambo kama aya ndo tunayataka
@ExpeliusHussein-z4t2 ай бұрын
Upo tayari kusaidia WA Tanzania na je taifa linakupa sapoti yoyote juu ya kufundisha watu wengine wanataka hii elimu
@alphoncejohn63084 ай бұрын
Daaa aisee
@KAIHULAKATUNZI-th9gt4 ай бұрын
Hongera sanaa bro
@MuhsiniAmrani3 ай бұрын
Kwanza napenda kukupa hongera kwa vision ulkokuwa nayo juu ya nchi yetu, tunahitaji vijana wanaojitambua ili taifa liendelee na wewe ni mmojawapo hivyo nina ninaiomba serikali na mashirika binafsi kuitumia vizuri hii fursa ya huyu kijana kumwwzesha ili ndoto yake itimie kwani ataleta mabadiloko makubwa ktk sekta ya sayansi na maendeleo katika nchi yetu.
@MeshackSamweli-t7j4 ай бұрын
ongera sana bro
@weahfeint34064 ай бұрын
Sky ni genius interviewer 👏🏾
@samsonhenry38714 ай бұрын
Very humble brother...Elon wetu.
@SaraphinaKidoti-qe7gi4 ай бұрын
Sky apo yanaingilia kulia kushoto yanatoka 😂😂😂
@touches4lifeonlinetv464 ай бұрын
Great mental
@samuelshunashu77053 ай бұрын
Maviongozi ya hii inchi hayawezi kimtumia maana yanaona Kama atayaharibia madili yao ya kupiga pesa za wanainvhi ndiyo maana hatuendelei muda tu inchi za wenzetu wakimjua tu wanamchikia akanufaishe inchi zao watu wa hivi wako wengi tunataifa lahovyo Sana
@Brunoh90Tv4 ай бұрын
Jamaa ni hazina kubwa kwa taifa ingawa nchi yetu haiwapi support watu kama hawa
@abuubilal26464 ай бұрын
Ndio msiba tulionao nchi hii
@MsAggie54 ай бұрын
Kuliko kuwapeleka hao wacheza movie si Bora huyu kijana apelekwe hata China akae na wataalamu ili arudishe huo utaalamu hapa. Lakini nchi hii kama sio CHAWA huonekani
@Brunoh90Tv4 ай бұрын
@@MsAggie5 Yaan hapo ndo tatizo
@bonemwaminifu39354 ай бұрын
Sns mnajua sana
@ROZITHOMAS-y4q4 ай бұрын
Yani mimi mwanangu nampeleka DIT akasome computer maana anapenda tangu mtoto mpaka sasa akifunga shule yupo busy na computer. Nimemwambia form four hata ukipata divion one utaenda chuo ukasome jambo unalopenda
@kevinmary71294 ай бұрын
Serikali zetu za wajinga huyu alitakiwa awe kwenye National AI& Space Technology centre talented and genius Tanzanian for development
@MsAggie54 ай бұрын
Mama amesema anataka kurusha chombo mwezini labda atamchukua huyu kijana atapoanza hiyo mission 😂
@KasindiPapi4 ай бұрын
Watanzania mnabarikiwa sana kuwa na vichwa kweli kweli....😂
@kingvikey46824 ай бұрын
kiukwel lazima tuungane kwaajil ya maendeleo ya taifa letu
@amandomwamanda90004 ай бұрын
Kwa kuwa unafanya Azam,kwa nini usimpe hiyo Proposal Bakhresa mkapiga jointly ikawa Azam Satellite?
@MsAggie54 ай бұрын
Umesema kweli vile Bakhresa ana hela angemsaidia huyu kijana wangefanya kitu kikubwa Sana na yeye angepata hela nyingi na nchi yetu ingefika mbali.
@JELSONMAUKI4 ай бұрын
@@MsAggie5.labda kwsab sio mzanzibar 😅😅😅 natania tu
@gigwaswai65274 ай бұрын
Focus focus. Anaelezea vizuri hata mtoto anaelewa. Nakuombea ndoto zako ziwe halisi. Wahusika watakuona na watakutumia
@MursalLusinde4 ай бұрын
Umetisha sna mwanetuuu hongera sna
@dvjmiloow29553 ай бұрын
Hii interview nme itazama zaaidi ya mara 10.
@AhmedHamed-r5i3 ай бұрын
Me mwenyewe haichoshi kuirudia tena na tena! Kuna mengi ya kujifunza.
@saidsalum34754 ай бұрын
Nakumbuka niliwahi kutengeneza radio ya kibao na transistor 4 misumari 10 na spica genge na coil niliwahi kuskia mpaka BBC swahili London 😂😂
@greyuhagile50514 ай бұрын
Wa kwanza nipeni like zangu
@FreeGod3684 ай бұрын
Kichwa hasaa na serikali badala imu endorse imekaaa tu kushangilia matundu ya choo yamejengwa uko makete
@wisealiy4 ай бұрын
Acha kuwa omba omba wewe tengeneza content watu wata like sio kuparamia kwenye content za watu halafu uombe like boya wewe.
@rashidmsuya57214 ай бұрын
Yani mm ningekua raisi mwaka huu huu ingekua ushaipeleka iyo sat kwenye orbit bila kupoteza mda
@MsAggie54 ай бұрын
Mama kasema atahakikisha atarusha chombo ngoja tuone labda atamuhusisha
@nkeshimanayuda11154 ай бұрын
Genius
@akbarkisamo83924 ай бұрын
Akili nying🎉
@KikwaleRashid4 ай бұрын
Kwa akili za Africa watamua au wata mchomesha kwa wazugu ili kupoteza ujuzi wake
@Del_busi54 ай бұрын
Unawaza Kama mimi mkuu
@MsAggie54 ай бұрын
Wenzetu wachaga wako vizuri ingekuwa Sisi wazaramo hahahaha angeshakuwa history
@JELSONMAUKI4 ай бұрын
@@MsAggie5. Hapana kka hata wazaramo mbona wako fresh tu kka😅😅😅
@paschaljuma33124 ай бұрын
Hivi nchi yetu inasubiri nini kubadili mtaala wa elimu, yani nachukia sana kusoma vitu ambavyo huji kuvifanyia kazi
@msukumamnywamaziwa27854 ай бұрын
MIE NAOMBA SIKU UTULETEE MTU AMBAE AMESOMA KATIKA INCH ZA KISOVIETI, maaana elimu za kimagharibi ni za upotoshaji zaidi.maana hanzina faida kwetu zaidi ya wao. wenyew hao wa magharibi
@fredyjunior69614 ай бұрын
HONGERA SANA KWAKE MWAMBA
@RonnieBertin4 ай бұрын
Kumbe bongo Kuna maginius
@rawalidrajabu53604 ай бұрын
Kwan serikal huyu mtu haimuon kwel mpk anahangaik kuomb mixaad Nje ya nchi
@Vj_hAnss4 ай бұрын
shida ya serikali zetu za africa zinasuport sana ujinga kuliko mambo ya maana, na siku zote nabii hakubaliki kwao
@ExpeliusHussein-z4t2 ай бұрын
Tafadhari rejea hapa kutueleza NAMNA unavyopata sapoti ya serikali na uwapreshalaizi serikali wawekeze hela kwako na usiweke ule umimi!
@FrankKashamakula-xb1pc4 ай бұрын
Lakini apo Unapata picha tofauti Ya Elimu Bora ya wenzetu na hiii ya kinjekitile Tunayo itoa sisi Hapa Bongo
@Mtumishi7554 ай бұрын
Brother una madini balaaa
@vt-kn6qf4 ай бұрын
Pictures 📸 linaanza waziri wa science and technology kasomea( journalism) mwana Habari Brother angekuwepo Mzee mangufuli kesho upo ikulu
@MsAggie54 ай бұрын
Mno! Na angehakukisha anasaidiwa hata kuendeleza hiyo sittelite yake
@JELSONMAUKI4 ай бұрын
@@MsAggie5. Wangemloga 😅😅😲
@JELSONMAUKI4 ай бұрын
Angelogwa 😅😅😅
@kavishejrkavishe96434 ай бұрын
Huyu kijana alindwe mnoo kama mboni ya jichoo, manake hawa watu wanataka tuwategemee kila kitu
@JELSONMAUKI4 ай бұрын
Hawalioni hili 😅😅😅
@dvjmiloow29554 ай бұрын
Sky please mlete Tena huyu jamaa.
@rashidbusanya58434 ай бұрын
Jamaa angekua na billion kama mia 9 nahisi angeibadili Tanzania kua ktk sura mpya
@GodfreyOsward4 ай бұрын
Kwani taifa letu hatukusanyi pesa ya umma?. Kule ulaya na marekani serikali zao zinatoa grant kwa bunifu hizi kwa sababu ni utajiri kwa taifa.
@hamisiprinsi52404 ай бұрын
Ongera Sana bro, Allah yupo nawe ktk Kila hatua.
@DpN-rk8xz4 ай бұрын
Hongera sana Ubarikiwe
@SuleimaniKimweri-t2m4 ай бұрын
Kwa Mimi Sina kitu lakini nakuombea mipango yako ifanikiwe Brother we unaongea kizalendo sisi sote ni binadamu natuko sayari Moja inawezekana pambana
@sharifahabsi50044 ай бұрын
Mashaallah 🎉
@Weslauss4 ай бұрын
Hongera sana mtaaramu
@SaluEddy4 ай бұрын
Broo sky njoo utembee pemba zanxibar tuna kupenda
@mwana38874 ай бұрын
Kuna watu wanaexposure ama hizi na hawapewi nafasi it's very sad
@ramadhanimtozeni80304 ай бұрын
Serikali na matajiri wenginre msaidieni huyu kijana akamilishe mpango wake kwani utaisaidia sana nchi yetu. Huyu kijana ni hazina kubwa sana kwa nchi yetu.
@FahadAbubakari4 ай бұрын
Serikali yetu Iko busy kuomba omba nakukopa vitu vya msingi wanapuuza kwa waziri kama nape anawezaje kumuelewa mtu ka huyu
@MsAggie54 ай бұрын
@@FahadAbubakarihata huko kukopa sio tatizo, kuwapeleka wabongo movie Kolea si Bora huyu kijana wangempeleka hata China ambao ni rafiki zetu. Nape ni mtoto wao hahaha alileta robot Eunice bungeni si mliona oooh sio waziri tena
@GodenBMDaniel4 ай бұрын
Siyokwamba sisi weusi hatuwezi,tunaweza,hata mabomu ya nyuklia tunaweza,serikali tunazokuwa nazo ndoshida
@macksonimwandemele424 ай бұрын
du kumbe mrusi katoka mbali aise
@jonaskilomba40944 ай бұрын
Hiki nikichwa sana
@allymkumba704 ай бұрын
Mm nimependa ila wengi wetu atujui mbona aiko ivyo kaunda satellite nikweli au katengeza kitu kinafanana tu na satellite
@JosephSekulu4 ай бұрын
Endelea tu ila namba ya simu yako.
@allymkumba704 ай бұрын
Unajua iyo kitu au munapenda langi tu satellite zipo aina mbili into inatoa habari juu kuleta chini ipo inatoa chini kupeleka juu yake inatoa wapi upeleka wapi
@gideonstephen68794 ай бұрын
Yaani huyu jamaa nimemfuatilia n8meipenda kazi yake mimi sasa nina miaka hamsini na tatu ujujuzi wangu ni kama wake huyu jamaa japo yeye amekwenda mbali zaidi ujuzi wa ugunduzi hasa katika vifaa hivi vya kielectronics ujuzi huu ungefaidisha tanzania kama tungepàta sapoti kwa serikali
@nicenice38814 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿
@silverman69304 ай бұрын
Where are we failing Tanzania ? We don’t have a centre where by we keep people like this dude together and utilised them … instead it’s all about corruption.. its sad . What a very intellectual dude … Sky you know how to host ..
@DodomaTanzania-r5z4 ай бұрын
Mtangazaji sky umezingua sana unamuacha mtaalamu kuelezea historia zaidi kuliko kuuchambua taaruma yake Nilitegemea mtangazaji umuulize maswali magumu ya kitaalamu ili watu waijue kwa undani sayansi. Sasa maelezo yote hata hatuelewi satelaiti ni kitu gani Yaani mnaongelea vitu utadhan watanzania wote wanaelewa kitu gani mnazungumza Bila shaka watu wote tumewahi kusikia satellite lkn bado hatujui kwa undani ni kitu gani na utendaji kazi wake unakuwaje
@MsAggie54 ай бұрын
Amesema atamuita tena aeleze Kwa undani hii ilikuwa intro tu na historia yake.
@mohammadabdallahmzee38254 ай бұрын
Kwanini mtu km huyu hamufanyi mpango wa makusudi kumkutanisha na viongoz wa serikal wanao husika na fani yake ili wamsaidie na pengine serikal itaweza kupata kitu
@abuubilal26464 ай бұрын
Wapi ndugu yangu nchi hii tumelogwa na nani sijui
@MosesNyirenda-k8o4 ай бұрын
Kiongozi mwenyewe nani?Nape?
@thobymsule60454 ай бұрын
Wako bize kula kadiri ya urefu wa kamba zao nani ajali
@MsAggie54 ай бұрын
Angekuwa mtoto wao hapo kweli lakini hawahusu mbaya sana
@ramamabinda50634 ай бұрын
Safi sana
@NyumbaniHabariMedia4 ай бұрын
🎉
@rashidyunus18354 ай бұрын
Brother Sky inabidi uweke kipindi tuweze kujua tofauti ya Am na Fm kwa urefu zaidi
@moriscollins44944 ай бұрын
Shida sky anajua kuwahoji wambea akina mwijaku
@FreeGod3684 ай бұрын
So AM na FM aweke kipind ata mara moja kwa wiki kuhusu teknolojia..
@Del_busi54 ай бұрын
Allah akulinde maanake wajinga wanaweza kumuuwa huyu genius maana wa Africa hatunaga maroho mazuri