ROMA polen sana ila cha msingi kama umejiona umepata hatia jaribu kuacha pombe kabisa katika maisha yako ili kuweka agano na mungu wako katika maisha yako, pia chukua jukum la hao watoto INSHALAH
@samirnaty87744 жыл бұрын
Dah hii story imenifanya nitoe chozi😢 mungu aifanyie wepec familia yke
@dativagabriel6724 жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢poleee ila ilishapangwa hivoo,hupaswi kujiona mwenye hatia Mungu umchukua kila amtakae na kila mmoja uondoka kwa njia yake
@alijuma65024 жыл бұрын
Duh..kifo kipo jamani ee mungu tuasamehe zambi tuzitendazo!
@mudricmakame93093 жыл бұрын
Amiin
@edgarbiko65624 жыл бұрын
Dooh inauma sana unaweza ukajilaumu ukasema Mimi ndio chanzo ila nimipango ya mwenyez mungu pole sana bro na kwa familia nzima
@islamkarata96554 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@hasanimikeyo88934 жыл бұрын
Pole sana Roma ila ndo ilikuwa njia yake iyo sote niwapitaji hapa duniani akuna mwenyeji
@esterrashidi83053 жыл бұрын
Rama
@aoodalbadi84734 жыл бұрын
Pole xana brother roma yote ni mipango ya mungu roho yake ilikua inatapatapa toka asubuhi so kumtuma ilikua kma 7babu kazi ya mungu aina makosa
@anthonymakelemo64774 жыл бұрын
Pole sana bloo roma m nakukubal sana
@edinahmaganga27224 жыл бұрын
Pole sana kaka hiyo ni mipango ya Mungu siku zake zilikuwa zimekwisha hata kama usingemtuma kwa siku hiyo angeweza kufariki hata akiwa usingizini tu. Nimejifunza kitu 😭😭😭😭😭
@everinemichael74574 жыл бұрын
Siku yake ilifika ila kama binadam lazma ujione una hatia aisee tuombe sana MUNGU atupe mwisho mzuri.
@suzanambeleji42733 жыл бұрын
C 7)ll hffh, lllll
@latriciah01augustino674 жыл бұрын
So painful.....! Pole sana Roma, Ahadi yake ilikuwa imefika, Washike hao watoto Allah atakulipia
@hawamakusi8174 жыл бұрын
Allah Akbar...🙆♀️
@tumamapishi21844 жыл бұрын
Mwambie aache pombe
@latriciah01augustino674 жыл бұрын
@@tumamapishi2184 instead ya mimi kumwambia why wewe hii comment yako usingeitumia kwa kumwambia? Is it by force?
@meshakimgao98054 жыл бұрын
Poleni Sana ndugu. Lakini hiyo ilikuwa Ni njia ya Mungu kuwahubilia Mungu anawataka muokoke mmgeukie yeye mmtumikie yeye achaneni na Mambo ya kidunia Hakika Mungu atawabariki mkitii Neno Hili Okoka.!!
@susanruo80874 жыл бұрын
Duh ila dunia ina majaribu mengi sana. Hapa naona akina Roma hawajakosea ila kama binadamu, lazima wangejilaumu. Pole sana bro Roma na wenzako, may God help you guys to take it easy. Lakini ata ivo, mulifanya vyema na haki kwa kuchukua huo mzigo wa familia yake 🙏🙏💯
@mudyjumbe45444 жыл бұрын
Dah, polen sana Roma kuwa karbu sana na family ya huyo dogo
@shakilamasoud29833 жыл бұрын
Huyu jamaa ana stori za majozi sana, Mungu amrehemu huko alipo.
@mansourmuhammed19224 жыл бұрын
Pole sana hata usengempigia simu mungu akesha mtuma ziraili basi huna ujanja roho hutoka kwa sababu na kifo chake kilikuwa ni cha ajali yalobakia ni kusema inalilahii waiinailahiirajiun jitahidi kuwasaidia hao watoto kusoma unafungulako kwa mungu ishaallwa
@user-xi1pi4zr3b4 жыл бұрын
Inna lillahi wayna illahi rajiun..Poleni sana kwa mitihani familia
@bakariyasin31364 жыл бұрын
Pole Sana bwana Roma.Allah muombe Toba Allah ni mwingi
@aishasaid57024 жыл бұрын
Daaaah imenitoa machozi nimejikuta nalia tuu
@achottomazonge86393 жыл бұрын
Daaaah 😭😭😭😭😭 roma umeniliza sn leo M/mungu apuzishe salama🙏🏽
@paulinasemindu12924 жыл бұрын
dah😭mungu wetu ni waajabu sanq yani wamekufa kifo kibaya,sqna na ukiona roho nzito ujue kuna kitu kizito kipo mbele yako japo ni fumbo kubwa sana ee mwenyez mungu warehemu marehem zako👏👏
@edwinalexander11704 жыл бұрын
Sasa PF3 ni muhimu kuliko kutibiwa kwanza? Nafikiri ni vyema sheria ikaangaliwa tena. Mtu ameumia atibiwe kwanza. Pole sana kwa kufiwa na dereva wako wa boda boda.
@bakariyasin31364 жыл бұрын
Mungu ni mwingi wa kusanehe kama utatubia kwake
@anakissiya86754 жыл бұрын
Pole unapaswa kuomba to a coz ni mkristo saadia familia pale unapoweza Mungu mwema atasimama. Upande wao
@aisharamadhan52574 жыл бұрын
Innallilah wainnallilah rajiun imeniuma sanaaa dahhhh,,Roma hiyo familia ungewasadia hd wakakua japo sijui km alikuja kuwasadia au alaa,,, Subhnallah
@shadowmedia76444 жыл бұрын
Daaaaaah pole
@silverman69304 жыл бұрын
This is so painful to listen bro 🇬🇧😢😢😢🙏
@williaellymarawiti49374 жыл бұрын
Roma, death is inevitable Yes. No matter how long we live, we will die. Even if we eliminate every cause of death! Take heart and try to help the family he has left behind as much as you can. Forgive yourself and ask God to forgive you and your friends.
@maulidihussein30603 жыл бұрын
Unajua
@abeidathuman92184 жыл бұрын
Do ndomaana napenda sana kusikiliza interview za roma zipo na mafunzo mengi sana hadi hudhuni
@fedelinamahenge66494 жыл бұрын
mungu ameshasamehe kwa sababu mmejutia
@abdushakursalumu24283 жыл бұрын
Imenisisimua sana poleni sana mungu amlaze mahali pema
@enizemwayingatv51963 жыл бұрын
Pole sana somesha watoto hao
@amissahassan32514 жыл бұрын
Dhuuu roma. Pole sana pigo kubwa sana hilo pole Mbomo😭😭😭😭
@famitonawanda48314 жыл бұрын
Nimejifunza uwezo uliojáaliwa na mungu, ndugu wa yule dogo, hasa wale wanaosoma, wanahusika kwenye kipato chako wasadie, utakapo jisikia ni ombi sio lazima.
@slayer7k6293 жыл бұрын
Mungu aweke roho yamalehem mahali pema pepon
@Basagamp44 жыл бұрын
Daaaah😰 Haya Maisha hayaaaa Eeeeeh Mwenyezi MUNGU atujaalie Mwisho Mwema. Kifo Hakikosi Sababu.
@mbukwinikirishe7603 жыл бұрын
Daaah pole sana inauma broo
@magrethjohn85764 жыл бұрын
Ni mipango ya Mungu,lakini pia Mungu akusaidie kidogo utakachopata uikumbuke hiyo familia!
@yusuphmjanja1454 жыл бұрын
Nakubarii
@queenjayzqueenjayz28074 жыл бұрын
mbn imeniumiza😢😢 san hii MwenyeziMungu ampe kauli thabiti🙏🙏🙏
@barakafrancis75234 жыл бұрын
Daaaaah bhana eeeh yani kwa story iyo najikuta tu natoka machozi yani daaah tumuombee mungu ailaze roho yake sehemu salaam
@khdijaahmed84584 жыл бұрын
Daaah pole san kaka bor 😭😭😭😭
@rosejoseph93784 жыл бұрын
Pole sana apumzke kwa amani kijana wa watu
@lemathomas28624 жыл бұрын
Absolutely painful, pia kuna funzo kubwa mno, pole sana bro
@jomwenomkal3 жыл бұрын
Good mwamba dunia mapito
@krtgsmtechnology57324 жыл бұрын
Pole sana
@dayanabakuza63064 жыл бұрын
Jmn poleni Sana ndugu yangu
@rahillhamidu25444 жыл бұрын
Inna lilah wainnah ilaihi rajiun, Allah ampumzishe kwa amani
@surujajwie47683 жыл бұрын
Innalillh waina ilah rajiun Allah rehemk llah pole 😢😭 naoba uwe unaikubuka family yake japo kw mwisho wa mwez vipesa kindogo nakumuobe duwa Allah atakufungulia riziki
@winheleni92634 жыл бұрын
Pole sana bro
@neemayatosha16184 жыл бұрын
I cried, I cried ila kila jambo lina sababu ya kutokea. Kuna kitu ama ujumbe wewe na wenzio Mungu amewatumia(ninavyoamini mimi) sasa ni juu yenu kulifanyia kazi. It could be a warning sasa nyie shupazeni shingo........just saying!
@sophiasophia69454 жыл бұрын
Kabisa
@dancehottzdancehottz24654 жыл бұрын
congratulations for your history .vevo Roma long story
@mcjmcheshi4 жыл бұрын
Kwahiyo Roma nakuomba kwa hiyo story acha pombe
@emmanuelellymwakyusa29004 жыл бұрын
Tatizo sio Pombe ila AJIRA BORA DESCENT employment watu wanafanya kazi kuliko MAHITAHI yao bila kujali kuda na ukubwa wa kazi
@hamissjuma57054 жыл бұрын
Iyo ni ahadi ilikuwa imetimia na pia muda ulishaphika, hata Kama asingekuja kuja kununua pombe angefariki 2, zaidi Tumuombe kwa mungu amsamehe mkosa yake,🙏🙏
@hagaimunuo79574 жыл бұрын
Hahaha
@deuskashishi66484 жыл бұрын
MC J TV pole
@minzirominziro13204 жыл бұрын
Mmm
@augustinomgonde15054 жыл бұрын
Nami nimelia Sana hapa. Hii Story imehuzunisha Sana.
@hamisizetz89422 жыл бұрын
Mimi piah.. so sad
@faiongala61904 жыл бұрын
Duu mungu amlaze mahari pema peponi
@brightmpembela51774 жыл бұрын
Inauma sana aisee
@shabanmpambe38574 жыл бұрын
So Sad B, You made Me Cry Bro..Sunday I’ll pass by to see you on my way to NY..Be safe outchere
@amonidafa96654 жыл бұрын
Hii ngoma ikitoka itakuwa kali sana... It is so emotional
@IdarousPossy Жыл бұрын
We ni chizi wew
@rajabukulala66694 жыл бұрын
Kama ni story ya kweli inasikitisha sana na msimliaje uko vizuri sana
@mapenzisaylas2884 жыл бұрын
nakupendaga atari umekuja mwenyewe au umeoewa hoja🤝
@imamuhassan86373 жыл бұрын
Pole sana broo ila nakuomba uwache kunywa pombe broo
@agatasigara64834 жыл бұрын
Daaaaaah jamn mungu atuhafu pole Sana bro
@daimavlog4 жыл бұрын
Hizi takataka za PF3 Tanzania sijui upuuzi huu utaisha lini, wanapaswa kuanza huduma na Police waje hapo hospital. Inauma jamani😭😭
@ngwalesma36814 жыл бұрын
Sheria ya kifala sana hata kama mtu ni mualifu bado anahaki ya kuishi, kwa hii sheria watu wengi wamekufa
@daimavlog4 жыл бұрын
ngwalesma upuuzi mtupu, wenzetu wanajali afya kwanza, pf3 inatafutwa na wauguzi bila hata mgonjwa kujua. Ukifika hospital umepigwa risasi wakati unahudumiwa basi muuguzi anapiga police, police wanakuja wqkati wewe ukiendelea na matibabu. Ila hawa waTz sijui hii waliwazaga nini aisee, sheria imekaa kikatiri sana
@paulinamwenisongole88044 жыл бұрын
Yaa upuuz kabisaa
@mcheshcomedy58093 жыл бұрын
@@daimavlog KWELI KBS DUH!!!🏃
@regagud54144 жыл бұрын
Wamejua kukuliza noma sana kaka inatakiwa uwache bombe kwa kumuenzi dogo
@mcjmcheshi4 жыл бұрын
Naona sitasahau inarudi kidogokidogo
@leylahley35424 жыл бұрын
Daah..inahuzunisha sana.. Ukweli ni kwmba siku yake imewadia ila kifo lazima iwe na sababu..usihuzunike sana Roma muombe dua na umtake allah msamaha.
@estherrobert3454 жыл бұрын
emotional
@chelseadiva10724 жыл бұрын
Mungu ampumzishe mahali pema peponi,pole sana Roma inaumiza sana kwa kweli.Kifo tumeumbiwa wanadamu ila inaumiza sana unapohisi wewe ndio chanzo cha kifo chake japo ni mipango ya Mungu
@rukiasalim25124 жыл бұрын
Yaani kaka hi naidownload maana unaelezea mimi lia maisha haya yanasiri kubwa sana😭😭😭😓😢😢😢
@Manjalino4 жыл бұрын
Ila na haya mambo ya madokta kuhusu pf3 yaangaliwe wanakufa wengi sana ujue serikali iliangalie ili suala watu hali mbaya wanakata roho kwa mambo hayo ya pf3
@saleheinnocent76364 жыл бұрын
Sijawah kuelewa inampango gan kuhusu pf3 au kuweka dawati la police hospital ili kulahisisha huduma za majeruhi.
@lisauroble314 жыл бұрын
Polee sanaa onnlah waanlihi rajiuna mungu ampe mashukio mema kifo hipagwa sku zilifka ila stali hiyoo pombe yeye ulimtuma tuu wakati ulifka kuondolewa dunian muombe tuu imaani hakikasote niwake kwake tutarejea
@aminaabdallah91173 жыл бұрын
Dah pole Sana broo
@jackingewe49744 жыл бұрын
Pole sana mungu akusaidie kwa magum hayo Br,ila usiwaache hao watoto wasaidie pls
@dayanaleo75374 жыл бұрын
Maskini jamani pole sana roma jamani ni kazi ya mungu haina makosa jamani
@yasodishonest97924 жыл бұрын
Mmemponza nalana zenu mtubie na mumuombee msamaa😭😭😭😭
@MustafaAli-bl4sb4 жыл бұрын
Asalaam aleikum all of u. Dah ni stry ya kuskitisha sanaaaaa bt kwa kweli nawambie nyote hapa hili ni funzo kwetu sisi husnil khatima ni kitu muhimu sanaa. Yatafakari hayo yote esplc wewe mwenye kusimulia hii stry . SWALI KABLA HUJASWALIWA!! yatafakari haya.
@ricksonlyimo55943 жыл бұрын
Kayatafakar ndo maana katuletea kwenu nasi tujifunze kitu
@matridaluhala1553 жыл бұрын
Daaah imeniuma san
@kelvinefuronielisha40394 жыл бұрын
Atamimi imeniliza polesanaroma
@francejohn21753 жыл бұрын
Nakubali
@joycechaz28404 жыл бұрын
Aisee Pole sana
@kasulucosmas96434 жыл бұрын
Daaaa!! Pole sana
@blackamerican79833 жыл бұрын
Nakukubali Sana Roma....pole Kaka yanguuu!!!
@lilianjeremia10244 жыл бұрын
Dah😢😢😢😭😭 maskini pole sana roma maskin inasikitisha sanaa ndo ile laiti ningejua inakujaga mwishoni mwa tendo
@musayoung89163 жыл бұрын
Pole Sana mwanagu mungu apewe sifa kwan yeye ndiye anayewezakila Jambo
@dannyjonas6514 жыл бұрын
Dah Roma bro dah umenifanya nitoe machozi et
@khadijajuma71424 жыл бұрын
😢😢😢 Innalillah wainaillah rajiun ,Acheni pombe na mtubu, Mungu kawakumbusha kifo kipo karibu sana kupitia huyo kua,sio mda wote kunywa tuu hadi ucku wa manane bila kumkumbuka Muumba wenu nyie ni Tungi tu.
@kanezasheikha64264 жыл бұрын
Allah nimwemaa uhhh sin lakusem. Allah ndo anajuw usijal
@havolinkalambo68824 жыл бұрын
So painfull daa duniani kuna mengi
@jeranibanzi21274 жыл бұрын
Pole sana kaka Huo mkasa no wakujifunza
@saumumasudi84314 жыл бұрын
aisee mara ya kwanza kusikiliza lakin story zur sana
@janepherpatrick36153 жыл бұрын
pole sana roma hyo ilikua ni mipango ya mung
@hatibuathuman11784 жыл бұрын
Hiii hatari lakini muhimu kujutia pia kuwajibka pia siku yake ndio ilipangwa hivyo pole sana mtunze huyo mtto na kuwajali ndug na kutubu
@patricktegea14304 жыл бұрын
Dah inaskitsha sana
@panjatz14384 жыл бұрын
Pole sana dingii!! Yote mipango ya Mungu!!
@masoudseif35154 жыл бұрын
Pole broo njia yetu sote Ila hilo ni funzo acha pombe
@husseinabdallah53674 жыл бұрын
Mungu amrehemu dah! Hata mm nimeumia sn
@Smithdaob13 жыл бұрын
😥😥dah
@onesmokway57314 жыл бұрын
Pole broo,
@barick4 жыл бұрын
Pole sana!! harafu hama roman umpokee yesu nakuahidi pepo la pombe litakutoka.
@assilaa20074 жыл бұрын
Roma my brother kupitia ctor hii plz if hutojali pombeee achaaa kbc😭😭
@hawa-luumiwrty31444 жыл бұрын
Pole Sana
@saidishomari11944 жыл бұрын
Xo painfully..but all in all God's plan.. let as say R.I.P
@mohammedAbdallah-hi7qh4 жыл бұрын
kuna mengi sana yakujifunza,1 kutochukulia jambo kikawaida,kutolazimisha jambo,Thamani yakitu tuione kabla hatujaipoteza na kuheshimu mawazo nakila mtu
@rashidyussuf43754 жыл бұрын
Innalilah wainarajiun kazi yangu mungu haina makosa