Itakuliza: Roma asimulia alivyosafiri na abiria aliyefia njiani, safari ilivyokuwa na misukosuko

  Рет қаралды 240,328

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

3 жыл бұрын

Rapper Roma Mkatoliki anasimulia mkasa mwingine uliowahi kutokea katika harakati zake za muziki. Huu unahusu jinsi alivyosafiri kwa basi kwenda Mbeya kwenye show lakini katika safari hiyo abiria aliyekuwa naye alifariki wakiwa njiani na kuifanya safari yao iwe na misukosuko mingi

Пікірлер: 602
@tunkuh661
@tunkuh661 2 жыл бұрын
Iseee inahuzunisha sana, nakumbuka siku moja nilipanda daladala toka mnazimmoja kwenda gongolamboto tulipofika Amana alipanda dada kabeba mtoto mgongoni akakaa seat karibu nami but alikuwa na huzuni kuu nikataka kujua nini shida ndipo aliponiambia kwa kunong'ona kuwa mtoto wake huyo aliyembeba ni maiti na kutokana na matatizo aliyonayo ya kifamilia ameshindwa kupata msaada wa haraka na hana namna ndio akaamua kufanya hivyo anatokea hospital anaenda anakoishi na babu yake.. Isee baada ya kusikia hivyo nikamuomba tu ajikaze kwa wakati huo na akifika nyumbani atalia kadiri awezavyo nakumbuka sikuwa na fedha za kutosha ila nilimpa kiasi kidogo sana na nikamlipia nauli. nilishukia njiani kwakuwa sikuwa na jinsi nikamuacha humo akiendelea na safari..... Hii dunia ina mitihani yake lakini ashukuriwe Mungu yupo pamoja nasi nyakati zote.
@mamanajat1026
@mamanajat1026 3 жыл бұрын
Konda na driver (suka) mna thawabu yenu kubwa kwa Mungu. Roma . Mungu akubariki sana.
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 3 жыл бұрын
Hii habar ime niliza kwa uchungu sana jaman hakuna kitu kama kupatwa na mtihani alafu hauna kitu chochote yaan unalia mpaka machozi yana kauka Allah tusitir fil dunia fil Ahera Inshaallah
@godfreyjoseph9120
@godfreyjoseph9120 3 жыл бұрын
Daar iyo stor ata mm imenigusa saan
@jonathanjackson6338
@jonathanjackson6338 3 жыл бұрын
Simanzinkubwa
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 3 жыл бұрын
Roma bwana, unajuaga kuhadidhia kiasi kwamba hata kama mtu hataki kukusikiliza atakusikiliza tu,😄 story zako hazichoshi. 😘😘
@yulitamaige7992
@yulitamaige7992 3 жыл бұрын
Roma ni teacher by professional my dear! Hivyo anajua ku- take attention ya mtu yeyote mpaka akaacha anachokifanya na kumaikiliza yeye😁
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 3 жыл бұрын
@@yulitamaige7992 kumbe 😀
@yulitamaige7992
@yulitamaige7992 3 жыл бұрын
BossLily G kabisa my 😊
@nancychissamo379
@nancychissamo379 3 жыл бұрын
Kwa kwel,,yn utackiliza tu😂😂😂
@deusdedithulirk4524
@deusdedithulirk4524 3 жыл бұрын
@yulita maige ,sio mwalimu,alisomea computer engineering ila kufundisha tu kwa muda kipindi alivyotoka kutekwa na alikuwa anafundisha Maths na ni kichwa sana cha hesabu
@williambundala8750
@williambundala8750 3 жыл бұрын
Roma' kweli ww n rhymes of magic attraction yani una attraction katika mistari na nyimbo zako , kipaji chako sio kuimba tu Hata kusimulia piah!
@angelseleman7996
@angelseleman7996 3 жыл бұрын
rom good
@joshuakiimay4194
@joshuakiimay4194 3 жыл бұрын
Yupo vizur ....#romaaaa
@naimamwambe8083
@naimamwambe8083 3 жыл бұрын
Roma nimelia mdogo wangu M'mungu atujalie mwisho mwema na tufe tukiwa sehemu Salama na awajalie wote waliojitoa kwa moyo mmoja na ampe nguvu huyo mdogo wetu nimewahi kufiwa na mdogo wangu najua jinsi unavyo Uma msima usikie kwa mwenzio.
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Daaah 😭 inauma Sanaa Mw/MUNGU 🙏 tujalie mwsho mwema wa maisha yetu
@susanruo8087
@susanruo8087 3 жыл бұрын
Kusema kweli ata mimi hizo viatu vya ndogo ni singevaa 😭😭..Ila Roma umeshuhudia mengi mzee baba
@tobiasichuwa8784
@tobiasichuwa8784 3 жыл бұрын
Roma upo vizur Bratha unazungumzia uhalisia wa maisha ya mwanadamu kusaidiana ni jambo muhimu
@mariaamosy2701
@mariaamosy2701 3 жыл бұрын
Story ya pili hii na msikia Roma akisimulia kuna ya dereva bodaboda na huyu kaka Jmn kaka Roma mwenyez mungu anakupenda sn
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 3 жыл бұрын
Damn kama Movie Vile Alafu Na.. Mwenye Kueleza So Touching Wallai..💜🙏
@masongaofficial
@masongaofficial 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKazq6VrjL16a6M
@yusrahemed21
@yusrahemed21 3 жыл бұрын
Napenda sana Roma ukihadithiaga kitu,, ingawa hizo lugha zingine ni ngumu kuelewa ila hivyo hivyo unasomeka,,,
@bukheribukheri798
@bukheribukheri798 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣lugha ngumu zipi tena?
@emanuelmwanyonga3289
@emanuelmwanyonga3289 3 жыл бұрын
Daaaah, romazimbabwee, mungu aendelee kuupumzishaa mwili wa marehem duuuh.hongera sanaa roma kwa moyo wako wa kujitoaa
@bensondaud5762
@bensondaud5762 3 жыл бұрын
Dah so pain , but kuna somo kubwa , mola azidi kutujalia tumalize mwendo salama, bless roma.
@bravo0026
@bravo0026 3 жыл бұрын
Mzeee inauma sanaa
@innomchaga
@innomchaga 3 жыл бұрын
Roma we noma, upo vizur kusimulia
@janejoseph9009
@janejoseph9009 3 жыл бұрын
ilinitokea mm wakat nipo ninamiaka 17 dada yangu alifarik ktk ya safariii 😭😭😭 ndugu yasikie kwa jirani inauma sana
@christinamsuya8857
@christinamsuya8857 3 жыл бұрын
Pole jaman
@tumeerewamiki7490
@tumeerewamiki7490 3 жыл бұрын
Pole j
@janejoseph9009
@janejoseph9009 3 жыл бұрын
@@tumeerewamiki7490 asantee
@ashaghali8714
@ashaghali8714 3 жыл бұрын
Pole dear😭🙏
@janejoseph9009
@janejoseph9009 3 жыл бұрын
@@ashaghali8714 asante
@theopistermganwa4378
@theopistermganwa4378 3 жыл бұрын
Roma Umetupatia fundisho la maisha. Ahsante sana kaka Mungu akupe na Ufalme mwingi wa rehema Amina
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Dah! Pole sana Roma, inasikitisha sana kwakweli, I la umetuchekesha pia kwenye hii story.
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 жыл бұрын
Saumu wewe kila sehemu nakukuta nambie FB unatumia jina ganiEeeh
@teacherchundu4062
@teacherchundu4062 3 жыл бұрын
The narration has made me shed tears, my heart is broken. 😢😢😢
@sophialaurent2876
@sophialaurent2876 3 жыл бұрын
Hii story imenitoa machozi, utafikiri ni muvi aisee😭😭😭😭
@africandarling6925
@africandarling6925 3 жыл бұрын
Daaaa Ubalikiwe sana roma kwa kumchangia dogo Alhamndulillah mungu hakuzidishie zaidi insha llwaaa 😭😭😭😭
@husseinmuya6369
@husseinmuya6369 3 жыл бұрын
God good /good roma
@dainagano3656
@dainagano3656 3 жыл бұрын
Dogo ana ujasiri sana jaman, mimi nisingeweza kwanza navoogopa yesuuu
@thisboyisgreat
@thisboyisgreat 2 жыл бұрын
Likikutokea Jambo gumu mungu anakutia nguvu mpaka unajiamini kupitiliza bro
@Adeen.1
@Adeen.1 3 жыл бұрын
Hivi kumbe bro tulikuwa wote pale mie pia naikumbuka hii siku daaaahhhh acha tu bro...
@husseinabdallah5367
@husseinabdallah5367 3 жыл бұрын
Dah! Mungu amfanyie wepes dogo kwa ujasir alio nao na mgumu aliyopitia 🙏
@kondokibugula6551
@kondokibugula6551 3 жыл бұрын
Haya maisha tu, kuna leo na kesho. Big up sana Roma
@stay_onit360
@stay_onit360 3 жыл бұрын
Daah kifo nyinyi kisikiye kwa mwenzio kisikukute😭😭😭😭😭😭😭maana daah wallah dunia hiii jmn nayajuwa mm machungu yakufisha
@berthergeorge6579
@berthergeorge6579 3 жыл бұрын
Imeniuma mno Mwenyez Mungu amlaze pema pepon asante Mungu kwaajili ya mdogo wake
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 жыл бұрын
Ila roma una vtuko🤣🤣🤣🥰mungu akutunze na family yko.unasimulia vzuri na vichekesho juu.eti wanawake waongo kama wajumbe. Mtihan huo.mungu amlaze pema.afu dogo yuko makin maskn....dah
@wanzakleruu8648
@wanzakleruu8648 3 жыл бұрын
Roma huwaga unaniacha hoi sana arifuu. Unajua kupanga maneno hatarii
@saidmj9213
@saidmj9213 3 жыл бұрын
Jaribu kumtafuta yule Dogo story inanigusa sanaaa bro Roma
@hilalmahrazi2287
@hilalmahrazi2287 3 жыл бұрын
Roma ushauri wangu tunga vitabu. Kama vile James Hadley Chase
@rahelgrayson6927
@rahelgrayson6927 3 жыл бұрын
Mungu awabaliki Sana konda na deleva kwa moyo wa kuwasaidia pia Roma mungu akuzidishie ulipotoa na abilia wote walioshiliki kwa Hali na Mali kumsaidia mungu awabaliki Sana
@lmanimapunda4208
@lmanimapunda4208 3 жыл бұрын
Daaaaaaaaaa yan inauma sana yan iyo stor imenigusa sana tena sana. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 tumwachie mungu haya ya dunia jaman yan sijui ata niseme nn jinsi nilivo umia.
@zennakailo8106
@zennakailo8106 3 жыл бұрын
Roma bahnaa etiiii kala ubuyu😊Ila dah wajumbe syo watu poa ,huyo dogo Mungu amkuze pia ampe kauli thabiti marehem
@omanimujsa9756
@omanimujsa9756 3 жыл бұрын
Roma wee noma sana nlikua stak kuslikilza
@zaitunsalum7605
@zaitunsalum7605 3 жыл бұрын
Yaani ulivo ni tofauti unaonekana mkatili kbe siyo
@lisamassala9412
@lisamassala9412 3 жыл бұрын
Hii story inagusa sana hisia.. Mungu awafanyie wepesi ktk kila jambo lao, kondakta na dereva wa hilo bus..
@BidayoTV
@BidayoTV 3 жыл бұрын
Daaa! Roma we kiboko, inagusa sana na inafundisha pia!!
@reginamjema1739
@reginamjema1739 3 жыл бұрын
Pole kaka angu naona unapitia mengi nakumbuka ile story ya yule kaka uliyemwita akanunue bia lkn akapata ajali ya bodaboda na kufariki hapohapo
@maigathomas2353
@maigathomas2353 3 жыл бұрын
Hiyo story ya dereva toyo na mm nilifatiria story zote za roma zinatisha pole roma
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Basi anafuatwa na pepo la mauti huyu, tobaaa😳😳😳
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 lishindwe hilo pepo katika jina la Yesu mnazaleth.
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
khulood al harthy Ameen
@chanuakihara5186
@chanuakihara5186 3 жыл бұрын
Kama roho ndogo huwezi pata matukio hayo, ukiona hivyo mwamba Mungu anapenda hivyo anapata ukumbusho wa kila wakati.
@joycemakungwa1307
@joycemakungwa1307 2 жыл бұрын
Daaaa umeniudhunisha Sana mkatoliki app muñgu alikuwa anakupima Imani he Kama inaweza kupokea na kutoa je unaweza
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 3 жыл бұрын
Mungu akupe mwisho mwema inshallah sad sorry indeed 😢
@masongaofficial
@masongaofficial 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKazq6VrjL16a6M
@ayuburamazani5715
@ayuburamazani5715 3 жыл бұрын
Jama Yuko vizuri Sana Anajuwa kuadisiya
@majaliwajohn481
@majaliwajohn481 2 жыл бұрын
Aiseeee so sad😭😭😭 mzee hujafa hujaumbika p1 sana Roma huo ndo uanaume na uhanarakati.
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 жыл бұрын
Inasikitisha sana inasikitisha mno jaman huyo dogo mungu amsaidie leo mpk kesho jaman daaahh huyo chali katunza machungu ya toka moro mpk mbeyaa jaman daah maisha yana misukosuko sana aiseee daahh pole roma kwa kwa misukosuko ya kimaisha kua uyaone ndo hayo roma mshkaj angu jaman
@mkapaliberatus2774
@mkapaliberatus2774 3 жыл бұрын
Roma mwenyez Mungu akupe maisha malef nakuombea
@yasintamafuru2008
@yasintamafuru2008 3 жыл бұрын
So Sad Eeh Mola walaze mahala pema marehemu wote. Amen
@salmarajabu1959
@salmarajabu1959 3 жыл бұрын
Amiina yarabi alamiin🙏
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 жыл бұрын
Amiin
@baingaibashigwa4882
@baingaibashigwa4882 3 жыл бұрын
Yaan mungu akuzdishie ktk maisha yako ameen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@elijahm.muthini
@elijahm.muthini 3 жыл бұрын
Mmmh! Kiswahili hicho buda 👌🇰🇪
@yusrahemed21
@yusrahemed21 3 жыл бұрын
🤣🤣
@tierrahtanya4396
@tierrahtanya4396 3 жыл бұрын
Kimeweza mbaya sana
@emmanuelzao
@emmanuelzao 3 жыл бұрын
Huwezi shikanisha? Mimi nampata poa sana 😁
@queenwinnie256
@queenwinnie256 3 жыл бұрын
Poleni jirani hapa mnapitishwa kushoto,
@alexfestoni5152
@alexfestoni5152 3 жыл бұрын
Hakika Roma unafaa kua kioo cha jamii mwenyezi mungu akubariki sana
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
Inauma sana daa, mwenyezi Mungu ampokee
@fatmaabdulla9518
@fatmaabdulla9518 3 жыл бұрын
Mungu amrehemu
@samwelmangi843
@samwelmangi843 3 жыл бұрын
Hongera xna kaka Roma kwa vile umejitoa kwa ajili ya familia hiyo iliyopatwa na mcba, story yako inasikitisha japo unaweka vibwagizo kdg tunataman udndelee kusimuliaaa jaman Eti wanawake waongo Kama wajumbe, 4x4-16=0
@isunga1964
@isunga1964 3 жыл бұрын
Ndio ukisafili na maiti kaiwada lazima gari isumbue ndoo maana lazima ziombewe au zinawekwa mahari pekee yake mpaka nijikuta nalia jamni 😭😭😭😭😭
@hyasintndimbo2998
@hyasintndimbo2998 3 жыл бұрын
Daaaaah,, Kuna Mambo mengi sana ulimwenguni
@nyendochamwela3031
@nyendochamwela3031 3 жыл бұрын
Mkatori unajua kusimulia 😍🙌
@awidhijohn8580
@awidhijohn8580 3 жыл бұрын
Ndinga...toboa...inaitwa sheng ,kiswahili cha Kenya hicho....pole sana ndugu ,maisha ndio hivyo
@benedictndelele7248
@benedictndelele7248 3 жыл бұрын
Daah! Maelezo ya Roma yanaendana na tukio nililokutana nalo April 2017 kama sikosei maeneo aliyoyataja ni Yale Yale niliyopitia siku ya safari yangu ya kwenda mbeya nahisi ni yenyewe kabisa ila Mimi nilishukia Igawa sikujua kilichoendelea lakn hawk watu nilipanda nao gari na walikuwa wanaenda Tukuyu Mimi mwenyewe nilijua baada ya kushuka ila kuna mama nilishuka nae ndio alinisimulia na alimsaidia kumpa kanga na konda alimsaidia MTO ili aegemee
@irenesisamo2184
@irenesisamo2184 2 жыл бұрын
Hiyo itakuwa ingine 2017 sio zamani anayosemea Roma naukumbuke Roma alipata matatizo Kati ya 2017
@hamadyhashimu9784
@hamadyhashimu9784 2 жыл бұрын
Dah yaan sjui hata nisemeje natokwa machozi tuu Dah pole sana sana Roma na wote walioguswa na msiba huo Dah inauma sana.
@swazi-bmzwabusarawysd8083
@swazi-bmzwabusarawysd8083 Жыл бұрын
2023 nani mwenzangu ajamaliza hamu ya iyi stori
@kadulathumani7517
@kadulathumani7517 3 жыл бұрын
Subhanallah. Kabisa ma driver na conductor wana uzowefu fulani hivi. Lesson kubwa hiyo. Pole
@amiribishiru8206
@amiribishiru8206 3 жыл бұрын
Sasa namm si napenda mastori👊
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Huyu Chawa wako anaechati kutoka Dar adi Mby alikuwa na powerbank nini? Manake si kwa kuchati uko duuh😳😳😳
@shikikitabunda1177
@shikikitabunda1177 3 жыл бұрын
😁😁 acha zako wewe
@janembawala6009
@janembawala6009 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/d6mokqhqdpmBgqM
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
@Shiki Kitabunda sasa tokea basi linatoka ubungo adi linafika Mby yeye yu achati tuu khaaa😳
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 3 жыл бұрын
Huwa chawa Alikuwaa Hana Muda Na Maiti yeye Alikuwaa anachati tuu Hahahahahahaha to 😂😂😂
@fadheelaobaid6079
@fadheelaobaid6079 3 жыл бұрын
@@bahatijoseph8763 siku hiz magari yana chaji mi mwenyewe nikiwa safarini ni mwendo wa kuchat kila pande naingi insta, youtu.be, WhatsApp yaan na hakikisha nikitaka kusafir nawek bando lang la maana xo ni kawaida 😄😄😄😄😄
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 3 жыл бұрын
Safi sana mwanaharakati wema wako hautopotea bure.
@lighnessmrisho1525
@lighnessmrisho1525 3 жыл бұрын
Nimeumia sana. MwenzìMungu tujalie mwisho mwema.
@deograsiassteven9262
@deograsiassteven9262 3 жыл бұрын
Yalinikuta kipindi nasoma niko form 5...wakati tunatoka shule kuna mgonjwa alipanda sehem fulani panaitwa Namtumbo...kipindi hicho njia mbovu sana alifariki kati kati ya Mchomoro na Kilimasela...tulikuja kugundua eneo la daraja mbili baada ya gari kuharibika sana....maana sisi ndo tuliwapisha wakae siti ile ya nyuma kabisa ya kosta then tukakaa siti zinazofata baada ya ile ya nyuma...mgonjwa alipoanza kukata roho alikua anakoroma mnoo mwisho tukasikia kimyaaa...nikamstua best yangu kwamba huyo mgonjwa hapo nyuma sijui kama ni mzima... Baada ya muda kuna wazee wawili waligundua wakaanza kuongea maneno machafu mnoo...kibaya zaidi boss wa gari nae alikua anasafiri pia...so konda dereva na boss wakaitana faragha.. hapo abiria wote tumeshuka chini tunasubiri...wale wazee 3 wanaongea vibaya tu haiwezekani mtupakilie gari moja na maiti...daah watu tukawauliza ina maana mkeo akikufia kitandani nyumbani kwako utaacha kitanda na nyumba kisa maiti?? Mara ikapita defender ya askari magereza ya Tunduru inatoka Songea kupeleka wafungwa gereza la mkoa..wale wazee wakalisimamisha wakaomba lifti wakatuacha pale ilikua mida kama ya saa tisa alasiri hivi... Jibu alikuja nalo dereva ni kwamba turudi kwenye gari tuendeelee na safari maana pale ni porini na hutuwezi kuwaacha wale watu.. Tukaingia kwenye gari..kumbuka yule marehem alikua na ndugu yake wa kiume pamoja na mke wa marehem lakini wapo kimyaa hamna kilio wala nini.. Boss wa gari akauliza mnashuka wapi??kuna kijiji kipo karibu na sehem moja inaitwa KIUMA kinaitwa NAMWINYU..basi tumefika hapo mida ya saa kumi kama ma nusu hivi tukaenda na gari moja kwa moja nyumbani kwa marehem kwa ajili ya kwenda kuushusha ule mwili maana haikua mbali sana na bara bara... Tukaingia garini tukaendelea na safari ila siti ya nyuma watu wakaogopa kukaa Tumefika sehem flani panaitwa matemanga kwa mbele hivi kuna mteremko mkaliiiiii....tunakuta watu weeengi njiani kuja kuangalia pembeni yake kuna gari imejipiga kwenye ukuta wa barabara na imepinduka imeua watu 5 pale pale kanusurika dereva tu nae kavunjika miguu yote..kuangalia vizuri ni ile Defender ya askari magereza aisee nilisisimka mwili nikaishiwa nguvu kwa pembeni kuna watu wamechomolewa kwenye ile gari na wamefunikwa kanga kuashiria ni maiti...daaah bila shaka baadhi yao ni wale wazee waliokejeli kule mwanzo wakatuacha kule porini kisa tumepanda na mtu aliyefia kwenye gari....gari zima likajaa simanzi... Ndugu zangu lipo jambo la kujifunza matukio kama haya yanapotokea ukiwa safarini...usitoe maneno ya hovyo kifo kinapomkuta mwenzako maana kifo tunatembea nacho na kwamba kipo kila mahali.. Nawasifu sana konda na dereva kwa kuonesha ukomavu wa kibinadam kwenye hili...
@zaijack4719
@zaijack4719 3 жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@hamisizetz8942
@hamisizetz8942 2 жыл бұрын
Mungu atujahalie roho nzuri
@manasengobei9968
@manasengobei9968 3 жыл бұрын
Roma upo vizuri kusimulia.
@samiaselemani5094
@samiaselemani5094 3 жыл бұрын
Ila hao madereva sana moyoo,wengi huwa wanapeleka gari polisi ,mwili unashushwa ,abiria ndo wanaendelea wenyewe
@csato9415
@csato9415 3 жыл бұрын
SimuliziNaSauti imepata msimuliaji @roma Mkatoliki. Inaumiza na kusikitisha.
@noahkapingo816
@noahkapingo816 3 жыл бұрын
Nakubali muuni
@issakisalu9237
@issakisalu9237 3 жыл бұрын
Kwa uwezo wa Mungu kama yuko hai (huyo dogo) kwa uwezo wa Mungu atakutafuta Inshaallah
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 3 жыл бұрын
Pole sana roma Bonge la stor
@isacknyaga104
@isacknyaga104 2 жыл бұрын
Mungu tujaarie mwisho mwema najua tunakukosea sana ila tusamehe baba nimeumia sana
@mikapmwalimu4555
@mikapmwalimu4555 3 жыл бұрын
Dah mi nakumbuka juzi kati hapa tulimsafilisha kaka yangu kumtoa mloganzila kumpeleka bagamoyo unaambiwa yani kabla gari haijaondoka niliona watu wanachukua jiwe na mkaa wakaweka ndo safari hikaanza nilivyo uliza nikaambiwa bila kufanya vile safari yenu amtoboi hata wapi utasikia gari linazingua
@petermelaupeter6610
@petermelaupeter6610 3 жыл бұрын
Da roma unauruma sana mwangu barikiwa
@maigathomas2353
@maigathomas2353 3 жыл бұрын
Pole xana, et kama wajumbe tu!!
@alamhmbuja5335
@alamhmbuja5335 3 жыл бұрын
Umetisha sana kwa simulizi yako 💪🏿
@mamuteclaris5867
@mamuteclaris5867 3 жыл бұрын
Roma you always inspire me Good bless you uwe na moyo huohuo
@josephchala4483
@josephchala4483 3 жыл бұрын
Pole Sana brother Roma ila wewe no mtu was watu nakukubali ninja
@salumbadalu3456
@salumbadalu3456 3 жыл бұрын
Wangap 2melickia neno mkato like zenu
@harounali9057
@harounali9057 3 жыл бұрын
Roma ume tisha story ya kijana huyo, ume tumia kipaji chako kizuri kuielezea, kama movie yani ulivyo itowa naona kama na mimi nimo ndani ya basi tuna safari pamoja. Hongera mpambanaji na kuna ele ya mwanao wa bodaboda pia big up Roma.
@nasrahajji31
@nasrahajji31 3 жыл бұрын
dub...😭😭😭
@nathanpaschal907
@nathanpaschal907 3 жыл бұрын
Bro kweli una roho ya kikatoliki haswa, sio jina tu ...big up sana ila huyo dogo amefanya kitu ambacho kime tu inspire kwa ujasili wake kwa namna noma ama nyingine
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
hiyo yote kunakitu Mwenyezi mungu anatakukuonyesha, endelea kuwa na moyo wa kujitoa ktk tatzo litakalo kukabili ujui kesho yako bro., Mwenyezi mungu akutangulie
@jumadadi8642
@jumadadi8642 3 жыл бұрын
Mungu akuongezee ufahamu zaidi
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 2 жыл бұрын
Kwa tunaomjua Roma vizuri tunaelewa kwamba katunga ii story
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
we mpumbavu wewe unamjua vizur zaidi ya anavijijua mwenyewe? 🙄🙄
@mohamedhamadi1056
@mohamedhamadi1056 3 жыл бұрын
Broo uko vzr sn kwenye simulizi.
@masongaofficial
@masongaofficial 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKazq6VrjL16a6M
@masongaofficial
@masongaofficial 3 жыл бұрын
Do kzbin.info/www/bejne/sKazq6VrjL16a6M
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 3 жыл бұрын
Maskini hiyo ilikua siri ya Allah sisi binadamu hua hatujui kinachondelea mola tupe mwisho
@mpamilamihayo7266
@mpamilamihayo7266 3 жыл бұрын
Allahumma Amiiin kwa sote
@kadijajggf9367
@kadijajggf9367 3 жыл бұрын
Allahuma amiin
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 3 жыл бұрын
ROMA MKATORIKI HUJAWAHI NIANGUSHAA MAN
@martinfrancis9808
@martinfrancis9808 3 жыл бұрын
ROMA UNA STORY NYINGI SANA YANI UKIFIKA MPAKA UZEE SIJUI ITAKUWAJE...NA UNAJUA KUSIMULIA
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 3 жыл бұрын
Mambo 3. 1. Roma kaanza kula Kiulaya, kipande cha embe na pafu 1 ya maji. 2. Roma ni mwalimu, anajua kusimulia. 3. Dogo hakulizwa na msiba. Alilizwa na hali!!!!!. Unapokuwa na watu hata kama hamjaliani ni nafuu sana kuliko kuwa mwenyewe. Picha ya kuachwa mwenyewe ilimjia dogo na akalia sana. Ni shujaa sana!....
@ramadhaniamour4834
@ramadhaniamour4834 3 жыл бұрын
Duu bonge lá story😭😭
@countyboy7393
@countyboy7393 3 жыл бұрын
Mwana big up Sana unajua kujielezea
@phineruge3480
@phineruge3480 3 жыл бұрын
Daaaaaaah nimelia mpk basi na Dogo pia Roho Mtakatifu alimtia Ujasiri kwani kwa hali ya kawaida Viatu alivyovishwa havikuwa Saizi yake pia Shukrani Mkatoliki wa kuadithia kwa Hisia
@mansourmuhammed1922
@mansourmuhammed1922 3 жыл бұрын
Mungu akuzidishie imani
@atupelemlangwa1583
@atupelemlangwa1583 3 жыл бұрын
Roma hii hadithi yako nimekuelewa inatia huzuni sanaaaaaa...............!Ila huyu dogo aliyekumbwa na maswahibu haya kwa jinsi unavyosimulia namfahamu na tumetokea kijiji kimoja.Dogo alisimulia yote kama ulivyosimulia na jinsi alivyotunza siri mpka alipofika Mbeya.Sina mawasiliano yake na mimi pia sipo nchini kwa sasa.Ila kwa mazingira ya hadithi yako ni yeye kabisa dogo.
@allynura6084
@allynura6084 3 жыл бұрын
Salute brow pole sana
@giftmlange3327
@giftmlange3327 3 жыл бұрын
Mwee maskini 😪😭 inaelekea hata ya chakula hakuwa nacho
@leonardcharles3169
@leonardcharles3169 3 жыл бұрын
Nadhani @skytanzania anatakiwa kuanzisha segment ya simulizi za @romamkatoliki,
@annapeter5570
@annapeter5570 3 жыл бұрын
Ya watu tofauti wenye story zenyemashiko
@leonardcharles3169
@leonardcharles3169 3 жыл бұрын
@@annapeter5570 yaap.
@silviapumzikenikwaamanidam8436
@silviapumzikenikwaamanidam8436 3 жыл бұрын
Jamani story inaumiza kwa kweli
@momadeatibo6729
@momadeatibo6729 3 жыл бұрын
duuuu noma aise
@swalehejeilani8112
@swalehejeilani8112 3 жыл бұрын
Kwa history hii mm naomba roma atengeneze bonge langoma
@juliusmaiko9557
@juliusmaiko9557 3 жыл бұрын
Wazo zuri. Lakini ngoma kama hiyo amewahi kutoa Marlaw.{RITA}
@prosperarobogasty1291
@prosperarobogasty1291 3 жыл бұрын
Dah we jamaa duuuuh cio kw kucmulia huko aisee mpk mwil unapat barid
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 3 жыл бұрын
Good SnS I nilikuwa na fuatilia kwenye IG yake so touching. Naona niirudie tuu hapa maana kule vipande vipande 🙏🙏🙏
@frankbeatus9194
@frankbeatus9194 3 жыл бұрын
Duuuuuuuh
@milkaauma6312
@milkaauma6312 3 жыл бұрын
Love your story ♥️
@jumangagani8903
@jumangagani8903 3 жыл бұрын
Dogo alikuwa na roho ya ujasiri sana.. January this ime happen kwangu nikiwa na drive 235km yataka moyo sana jamani😥😥
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 25 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 112 МЛН
BREAKING NEWS: Roma Mkatoliki asimulia walivyotekwa
50:28
Millard Ayo
Рет қаралды 200 М.
Lulu Diva amburuza Lava Lava Mahakamani, adai fidia ya shilingi Milioni 200
6:47
ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu (official Audio)
7:00
VIVAROMA
Рет қаралды 2,1 МЛН
STAMINA:Sijamtaja mtu/Sina matatizo/Maisha yanaendelea/Itunze PETE
6:24
ROMA ft. Story - 2030 (Official Music Video)
7:05
NISHER ENTERTAINMENT
Рет қаралды 1,7 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42