Рет қаралды 3,936
#SinaMwengine ni Wimbo wa #NaravBand ulioandikwa na PASTOR Ir V.MICHEL kwa lengo la kujulisha Jamii Sifa na Fida vya kusifu na kuabudu Mungu ili Jina lake lisambazwe myoyoni mwa watu kupitia njia ya kusifu na kuabudu jina hilo;kwani hakuna Mungu mwengine ni Yeye baba wa yatima,hakuna jina lingine la kuinuliwa bila jina la Yesu Kristu.
Fulahia wimbo huu na usiogope kuachia lafiki yako link hii bila kusahau kumukumbusha ku subscribe kwenye chanel hii ili muweze kuwa wa kwanza kila siku kupokea nyimbo za kusifu na kuabudu Mungu za #naravBand,Mungu awabaliki.
Wimbo huu ni moja kati ya nyimbo za #UinuliweAlbum na umetolewa inje ukiwa umesimamiwa na vipengele mbalimbali kama:
*Production: Davy
*Studio:RPS
*Director | DOP | Colorist : EgideNiyo
*Editor : Jesse Bradley
*Muandishi:Pastor Ir VYUNAME Michel
*Sound:RPS
*Backing:Narav Band
*Leader:Dative
*Lighter:Cedric
*Phographer:Human
Tunawapenda sana!!
@AkezaBurundi @burundigospeltv2661 @VinceyTeluguGospel @MountainTVOfficial @capitalsoundtv2660 @intahe @magazinejimbere7732 @yagaburundi6966 @indundiCom @umukubito257 @buja_fm @lavoixdelafrique