Watanzania wenzangu, tuwe waungwana kwenye kukomenti kwa kutumia Lugha ya Kiswahili. Namaanisha tuandike maneno ya kueleweka na si eti kubuni kufupisha. Matokeo yake maneno yanasomeka kama mtu anatafuna meno usingizini! (Mfano nzr, nkj cji ngj na kadhalika). Huo ni udhalilishaji wa lugha! Tuwe wenye shukrani kuitunza lugha tuliyo achiwa na walio jaaliwa kuianzisha. Lugha ambayo imetokea kupendwa na nchi nyingi sana bila ya kivutio cha kuwa wamiliki wake ni "nchi iliyo enelea."
@al-bsaidykhalef68975 жыл бұрын
Safi sana wengine tu wanaandika 2 . Elfu wanaita buku.
@ashatasaidi64812 жыл бұрын
Hongera kwa Naswaha, ushauri na mapendekezo yako. Nakubaliana nawe mia fil mia.....Mimi ni mkenya mwenye asili ya ki Tanzania
@immtm49302 жыл бұрын
Asante mzee kifimbo cheza.. tutajitahidi :P
@saadanassor3882 Жыл бұрын
Kwakweli
@thequeenawifeofking85186 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@hassanmkwama99003 жыл бұрын
Nice song! Sada nasor kombo, hii ndio nyimbo pekee ambayo umeimba vzr sanaaaaaaa sanaaaaa
@rahmasimba76076 жыл бұрын
Mashallah kwa waliothibitiwa kama mm gongs like, mapenz matamu sana ukipata hakupendae.
@jumbejuma6546 жыл бұрын
kiukweli mimi hua napenda sana kusikiliza nyimbo za Saada Nassour, zinanivutia sana hasa sauti ya muimbaji
@abelijoshua3852 жыл бұрын
Naipenda na nitaendelea kuipenda sana taarabu... Much love lady voice...
Sauti ya ninga! Ujumbe mzito wa mahaba! Nani asiyehisi huba moyoni huyu bibie anapoimba mapenzi!
@aliah17325 жыл бұрын
You are one of the greatest singers who will be loved forever ........sweet or lovely of tender voice of yours. So powerful,🤑🤑
@JaphetGeorge-i1j Жыл бұрын
Sijawahi kujua hii nyimbo tangu zamani asee,,,, asante sana mega fm radio Arusha mtangazaji wake amefanya leo nafurahi 2023 june!
@fatumaomar72685 жыл бұрын
mashaalah,, wallah nyimbo nzuri kweli,, maneno matam, Mashaalah ..
@mcmamdobajumuzi10715 жыл бұрын
Fatuma Omar uko juu,ndo maana nakupendaga sana.
@greatiq82345 жыл бұрын
Ndo naana Allah amekataza music. Sauti yako ni mtihani dada!
@fbensony3 жыл бұрын
hiyo Quran enyewe ni ushairi
@fatmafaki6828 жыл бұрын
saada Nassour kiukweli nakupenda sana,na izo wimbo unazotowa mashaallah,,Allah akupe kheri zako
@ashraphezel87023 жыл бұрын
Astaafiru Allah
@ilhamrashid11255 жыл бұрын
Nimesoma nae madrassa swifat kilimani zanzibar mashallah sada una sauti nzur
@abdallaramadhan38504 жыл бұрын
Mwaka gani broo?
@aliabeid51226 жыл бұрын
Mitishamba wamalize halafu waweweseke,ahsante Saada nassor
@abdullahidakane63657 жыл бұрын
nyimbo mardadi kweli. hongera binti.
@mboreha24 жыл бұрын
Wimbo mina utsheza kula usiku Masha allah....
@mohdhassan36348 жыл бұрын
anaeimba wimbo huuu nampenda xana coz kafanana na mpz wng wa pekeee ilove forever
@greatiq82345 жыл бұрын
Wacha!😛
@salimalaquimane26403 жыл бұрын
😀😀😀😀 mashaaallah
@athumaniabasy48333 жыл бұрын
Yaan kumbe una mawazo yangu kabisaa
@zenaal-baalawy32623 жыл бұрын
Mohd Hassan@Haaa....haaaaa.....😄😄😄 Hongera yako.👌
@mboreha24 жыл бұрын
Kweli wimbo huu una utajiri wa mapenzi, ni dawa ya kuponya mioyo. Je! Unawezaje kutuletea hazina hizi zenye kung'aa zilizofichwa chini ya ua hili? Ni kubwa mno na ya mashairi.Ninasafiri kutoka Paris hadi Zanzibar kila siku nikisikiliza wimbo huu ndani ya gari langu.Asante sana Mungu akuweke kwa muda mrefu ili kuburudisha mioyo yetu, masha'Allah.
@abuucholoabuucholo64493 жыл бұрын
Nakumbukaga mbali sana maashaallah
@salmarubea33476 жыл бұрын
Unienzi laazizi tuishi tuishi tufurahike tudushe dumishe letu menz maadui tuwa cheke 😂😂😂😂
@greatiq82345 жыл бұрын
Rubeya, Tanga line au "Kichwa cha Basi" family? ☺
@leilasalim80602 жыл бұрын
Wow ,rahaa wallahi ni 2022 ma sha Allah
@erickazhar4925 жыл бұрын
Mashallahh Naipendaa Miaka yote hadi Nife
@lvlyharmydutty861212 жыл бұрын
uko juu bin seif, great collection
@latifahusein98786 жыл бұрын
hongera da saada sauti yako pambe sana
@anwaryshabani2102 жыл бұрын
2022 june listening this song i feel the love
@azizasaid53124 жыл бұрын
Mashaallah nakukubali vby mnooo😍😍😍😍
@HawaMdana6 ай бұрын
Mashallah Mashallah wallah hii nyimbo naipenda khatari ❤
@saleheali10045 жыл бұрын
Hizi ndio. nyimbo. za. kusikiliza. km. umechoka. machofu. yanaondoka ( bin. Sefu hongera )
What?! I mean, whoa! I mean, wow! I mean, what a sweet’n beautiful voice! ...and beautiful you, ofcourse!
@amoursalum576210 жыл бұрын
Please bin seif muhammed ilyas is my favourite tafadhali cpati kwenye collection yko
@SaidHamid-yc9ub5 ай бұрын
Namkumbuka yuleee❤❤❤
@abdallaha.84533 жыл бұрын
Beautiful, wonderful melody. Like it, love it too
@fatmasaloum18215 жыл бұрын
Washamaliza miti shamba na bado tupo gado Alhamdulillah
@jumazamani9826 жыл бұрын
Nice song jamniiii naipenda sana hata kwenye harusi yangu huu wimbo niliuweka kwenye CD yangu ya harusi Daima itakua yenyekupendwa duniani
@salehmussa92394 жыл бұрын
Sada nasor Kila sekta Yuko vizuri mashallah
@jramadhanmgonja61103 жыл бұрын
Wimbo Wangu Pendwa Haswaaa!!!
@danielmipango85509 жыл бұрын
Jaman mapenzi asikwambie mtu aswa maneno haya ukipewa ww chumbani... asantee sana kwawimbo mtamu
@swaleehschweinsteiger72158 жыл бұрын
kweli jamaa yangu
@wahidaali1858 жыл бұрын
haahahahaaha
@faridafarida32808 жыл бұрын
Wahida Ali mmn😁😀😕👍✌☝
@zenampangile5016 жыл бұрын
Daniel Mipango kanyimbo kametulia nasikiliza za mwambao nikiwa Muscat omani😘😘
@perrychicken58767 жыл бұрын
Mashallah nice voice
@bizzoforreal85024 ай бұрын
My favorite miaka yote ❤❤
@Allynho-k2q4 ай бұрын
❤❤❤❤ moyo baridiiiii
@rahimtowainda30682 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sanaa
@wahidawahida66755 жыл бұрын
Naipenda sn hi taraab yani nasikilizag siku nzima imetulia sana
@aliah17325 жыл бұрын
Uko usukumani ?? 💞
@hainatomary58134 жыл бұрын
Wimbo mzuri mashallah
@fatmahal_baruan51097 жыл бұрын
Naipenda sana hii taarab
@omaralsagaf278212 жыл бұрын
aaaaaaaaaaah wapi zamani hizo inayo bakiya ni kivuli na sauti nitabaki nashika waridi maisha yangu yote sioni npaye
@munaommyali20067 жыл бұрын
omar alsagaf big up
@fadhiralli22946 жыл бұрын
Nakumbuka mbali wimbo uniingia unajua mwiimbajj katulia sana
@husnaally49275 жыл бұрын
Imetulia
@aliah17325 жыл бұрын
Unaonyesha Mpemba......
@rashidmalikia50793 жыл бұрын
Nice saaaaana
@kambakali69656 жыл бұрын
sada nassor ~nidhibit iko poa sana
@SirHabb-qt3nt6 ай бұрын
Tena sana ❤❤❤❤
@moneraoman28178 жыл бұрын
Nyc song big up
@zulachama10675 жыл бұрын
Zilipendwa,mashallah wimbo mzuri sana old is gold.
@arafamohamed33869 жыл бұрын
Arafa Mohamed mashallah Mungu akuzidishie
@salumabdulqadir12119 жыл бұрын
arafa
@omarjuma18888 жыл бұрын
Arafa Mohamed araf Hujambo unayo nyimbo hiyo
@shalishalister83717 жыл бұрын
Nakupenda sada
@mahsenganzel34337 жыл бұрын
mashaallah unajua
@cutemenaah87509 жыл бұрын
Nzr sana mashaallah
@ZainabZai-n5f8 күн бұрын
Mashallah Mumy
@zuumus90736 жыл бұрын
Wallah old is gold
@jumamohamed13405 жыл бұрын
Mubasharaaa nyimbo
@AishaOmary-s8jАй бұрын
Sauti sasa utaipenda
@hafsakhairallah54757 жыл бұрын
saada upo juu
@tatutza64653 жыл бұрын
Hongela kwamaneno matam
@rehmamohamed14294 жыл бұрын
Iko powa kabisa
@ruwaylasalim3022 жыл бұрын
🥰🥰🥰 old is gold
@deniswesonga1565 Жыл бұрын
Mm na taarab hadi mwisho...
@nayfinmtham60927 жыл бұрын
mungu akupe afya saada uzidi kumdhibit
@esmahoney7727 жыл бұрын
😁😁😁
@bas28233 ай бұрын
I LOVE IT😘❤👍"
@HappyAnacondaSnake-xr4dx7 ай бұрын
Napenda sada akiimba
@ShariffMaftaha-yd3er7 ай бұрын
❤
@mashjumaa93092 жыл бұрын
Nasikiz marakumi kwa siku
@paulinacherement25344 жыл бұрын
Old is gold
@sudaissoud36704 жыл бұрын
Kipindi hicho dah wakati wakwenda madrasa umeshiba ndo unapigwa nyimbo za mwambao..
@zulekhaahmed47293 жыл бұрын
Mashallah💃👌♥️
@athumaniabasy48333 жыл бұрын
Saada wallah jinsi nikipendavyo we mwanamkee wallah wabillah allah shahd natamani sanaa ungelikuwa mke wangu wa ndoa ningejihisi tofauti sanaa kweny huu ulimwenguu +255 672 248289
@rahmasweet5869 Жыл бұрын
💯💯💯💯💯💯💯👌👌👌👌👌
@MohammedMohammed-fs6rl3 жыл бұрын
Nais song
@kashindyengamba09956 жыл бұрын
Haki ya mungu sitoki ndani
@wahidawahida66755 жыл бұрын
😁😁😁
@shuhaifasalum8407 жыл бұрын
MashaAllah nice song
@kgchippy7 жыл бұрын
MashaAllah
@sabahajuma537311 жыл бұрын
wow this new one
@magievuriva47757 жыл бұрын
Yaàn nyimbo mubasharaaa...nmeipenda sana. sauti imetuliaaaaaa tuliiiiiiiiiiiiiiiiiii jamaniiiiii