Hizi Ni Aya 7 ktk Quran Zenye Faraja Kutokana na Matatizo Ya Binaadamu. #masjidmtoro #masjidmtoro #masjidmtoro
Пікірлер: 45
@hammadntungwabona37174 жыл бұрын
Huruma na Utukufu wa Mwenyezi Mungu ni mkubwa. Tunakushukuru Sheikh kwa darasa na juhudi zako. Sura zilizo husishwa pamoja na MAREKEBISHO KIDOGO ni kama ifuatavyo: 1. Surat Tawba (9:51) 2. Surat Al-An'am (6:17) 3. Surat Hud (11:6) 4: Surat Hud (11:56) 5. Surat Al-Ankabut (29:60) 6. Surat Fatir (35:2) 7. Surat Al-Ankabut (29:61) Ahsante sana Sheikh wetu, Allah atupe sote Faraja njema. w Allah Ma'ak!
@ashuashu38434 жыл бұрын
Waalaikum salam warahmatullah wabarakatuh,hii mada nimeipenda sana maana daima nilikuwa natafuta ufumbuzi wa matatizo mengi,Allah akuzidishie Elmu na barak Sheikh na mwisho mwema peponi ameen.
@saidishekalaghe34964 жыл бұрын
MaashaAllah! Allah akupe umri mrefu na wenye Amani.
@bayaanhumud43284 жыл бұрын
Shekh iyo surat hud aya 1 umeisoma sehem zote 2 wakati hiyo ya mwanzo ilikua ni wamaa min daabbatin fil ardhi illaa 3la llahi rizkuhaa waya3lamu mustakarrahaa wamustauda3haa " kulkun fii kitaabim mubiin
Shukrani sheikh yusuf diwani Tupo pamoja kila hatua, Uku tukiwa tuna subiri Mwendelezo wa ayatul qursiyu
@muhammadahmedaliyyu38544 жыл бұрын
Ninakupenda Sana kwa ajali YA Allah Azza wajalla 💖
@salmaalkyumi22704 жыл бұрын
Jazaka llahu L kheir
@princebabu69774 жыл бұрын
Jazakallah Kheiri Maalim wangu hakika tumepata faida kubwa sana
@muhammadahmedaliyyu38544 жыл бұрын
WA alaykum salam warahmaturah wabarakatuh ❤ jazak Allah khayran kwa faida BAARAKA LLAHU LAKA FII AHLIKA WA MAALIKA ❣️ ❣️
@bayaanhumud43284 жыл бұрын
Inshaallah tupo pamoja ktk kumskiliza shekh na kupata Faida shukran
@hadijangina70254 жыл бұрын
masha Allah alhamdulilla
@rajabungatanda37494 жыл бұрын
Shekhe sura ya 11 Aya ya 6 Aisemi أني توكلت علاالله ربي وربكم Bali inasema ومامن دآبةفي الارض الا علا الله رزقها Alafu pia Surat fatwir pia umekosea aya ya pili aisomwi ولان سالتهم من خلق اسموات والارض Bali inasomwa مايفتح الله لناس منرحمة
@munirahamid79744 жыл бұрын
Shukran Allah akujaze mawaidha mazuri mashallah
@saq26264 жыл бұрын
Jazakallah Kher wa Barakallahu Feek
@rilkabuya65194 жыл бұрын
Mashaallah shekh mungu akuzidishie
@humudmarhoon80444 жыл бұрын
Jazaak llahu khayra akhy
@saidishekalaghe34964 жыл бұрын
Shukran Sheikh!
@tallyfa05saeed674 жыл бұрын
MashaAllah Asante sana kwa dua nzuri ambazo zitatusaidia kutatua matatizo yetu Biidhinillah Ila Sheikh mm sijaelewa vipi utazisoma hizi dua jee kuna mda maalumu wa kuzisoma au unasoma time yoyote tu Shukran sana 🤲
@maryamidris62744 жыл бұрын
Mashllah Allah akulipe .jazakallahulkher
@salmaalkyumi22704 жыл бұрын
Unazisoma Muda wowote
@aminajama82154 жыл бұрын
Shukran shekh lakini ayaya7hukuitaja bimaana umerudia ya6x2
@aliabdulla24474 жыл бұрын
A ALAYKUM SH WAKATI UNAPOFAHAMISHA TAFADHALI KUWA NA HAKIKA YA SURA NA AYA ZA QURAN KWA UTARATIBU BORA NA SAHIHI. SHUKRAN NA SAMAHANI
@salmaalkyumi22704 жыл бұрын
@@aminajama8215 Mimi nilovofaham suratul tawba( 9) aya ya 51 Suratul An am( 6) aya 17 Suratul hud(11) aya 6 Suratul hud(11) aya 56 Suratul An kabut (29) aya 60 Suratul Fatwir ( 35) aya 2 Suratul An kabut (35) aya 6 Hebu ziangalie hizo aya na mskilize tena zaid chukua number ya aya sometimes anasoma aya number tofauti na number alotaja
@noraevers88684 жыл бұрын
ManshaAllah
@adamysmaina82964 жыл бұрын
MashaAllah
@mariam1chuwa5424 жыл бұрын
Mashalah shehe mwenyezi mungu Skype maisha marefu. Naomba namba yako
@shariffajelan12074 жыл бұрын
Shukuran saana lini tupata aya za mahaba family nyingi zimesambaratika watu hawapendani
@afsaporini20644 жыл бұрын
Asalam akeykum Shekhe nauliza hivi hizi aya zote unazisoma mfululizo kwa kufuatana au unachagua aya na kuzisoma?
@beautywithnay59744 жыл бұрын
Amiin inshaaalh 🙏
@hakikamuhammad88874 жыл бұрын
Kujifunza kusoma ni lazima sio sunna
@bayaanhumud43284 жыл бұрын
Shekh ata hii aya ya suratu faatwir umeghaflika nayo sio uloitaja aya ya pili katika suratu faatwir ni hii 👇 WAMAA YAFTAHI LLAHU LINNAASIMIRAHMATIN FALA A MUMSIKA LAHAA" WAMAA YUMSIK FALA A MURSILA LAHUU MIMM BA3DIH " WAHUW L3ZIIZU LHAKIIM.
@sheikhyusufdiwan24894 жыл бұрын
BAYAAN HUMUD nikweli ndugu yangu ndio mana nikasema fata namba na sura nilizozitaja kwakua nimechanganya baadhi ya aya
@sheikhyusufdiwan24894 жыл бұрын
BAYAAN HUMUD nikweli ndugu yangu ndio mana nikasema fata namba na sura nilizozitaja kwakua nimechanganya baadhi ya aya
@mzerama4 жыл бұрын
Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu shukran kwa elimu. Nilikuwa pia naomba kama vile mnavyo twambia umezichanganya pia mtujuze vizuri na izi za husda maana ziko 7 tofauti ni ayat 3 ndo naona tu tafazali nazo naomba pia mtujuze na kutuelekeza vipi tuzitumie. kila la kheri
@bayaanhumud43284 жыл бұрын
Anhaa ok shekh shukran sana
@bayaanhumud43284 жыл бұрын
Waalayku musalamu warahmatu llahi wabarakatu mzee rama rama kuhusu aya za husda ktk ayatul kursiyyi ngoja niitafute niiskilize kisha utafahamiswa mana sijaiskiliza hiyo mm shukran na pia naomba radhi kwa shekhe wetu kipenzy
@aidaalsharji9154 жыл бұрын
Shekhe izo sura za mwisho mbona hukutupa nisura ngani niyo iyo Houd awo ni zingine
@bayaanhumud43284 жыл бұрын
Shekh sorry kama utaiona hii comment naona surat hud aya ya 6 sio ulio isoma kwa nnavyo ona aya ya 6 ya surat hud ni wamaa min daabbatin fil ardh
@omisul46794 жыл бұрын
Mashallah
@ashamtwana76914 жыл бұрын
MashaaAllah sheikh wetu kwa mafunzo mazuri
@azeezaabdalla46734 жыл бұрын
Kaka sisi wengine atujasoma tufanyeje
@saadahassan14373 жыл бұрын
Usikiri auwezi download app inaitwa Islamic pro jifunze