Ooh hallelujah mtumishi wa mungu nimejifuza mengi kutoka kwako,mungu akubariki sana tujifunze mengi zaidi
@kiruhurafils9986 жыл бұрын
Ubarikiwe Mr. Pastor David Mmbaga, Sherti Temperance itembee sambamba na ujumbe wa malaika wa tatu . Eee ndugu katika KRISTO wa kanisa la masalio kazeni mwendo wakati ndio huu.
@t7zkc5tpxgim284 жыл бұрын
Mungu akubariki sana pastor
@shimwekagwiza23006 жыл бұрын
Barikiwa pastor, nimejifunza na nimeelewa!
@tajimtera25186 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi yani somo lako limenibariki sana.
@mtuwawatumtunamtu25206 жыл бұрын
Ubarikiwe ndg. Mchg. Mbaga ila shetana ametuharibu sana katika maswala ya ulaji na unywaji. Maana ni shida. Mungu atuongowe na hili janga
@allistideskasigara9789 Жыл бұрын
⁴5
@allistideskasigara9789 Жыл бұрын
t
@allistideskasigara9789 Жыл бұрын
4
@allistideskasigara9789 Жыл бұрын
4
@violetnyansiaboka28215 жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji ntajaribu kuacha kuku hawa wenye wanadungwa shindano na sukari.
@damasbunzali75906 жыл бұрын
na barikiwa sana pr kwa mahubiri MUNGU na aendelee kukutia nguvu ktk kutangaza neno lake
@maureenjovial60834 жыл бұрын
Amen asante kwa somo ili umenifumbua macho asante Yesu
@akinyisusan80495 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafunzo mazuri pastor nakukubali sana asande
@maureenawuorangawa69296 жыл бұрын
Amina pastor kwa mafundisho bora
@rodahadhiambo363710 ай бұрын
ubarikiwe sana mchungaji Kwa mafundisho haya
@angel-y6 жыл бұрын
Amen. Tuko pamoja Pastor. Barikiwa sana.
@shukranjulius59103 жыл бұрын
Amina pastor hakika nabarikiwa sana kila inapo itwa Leo
@barakajoseph18164 жыл бұрын
Be blessed so much Pr
@ngemenyerere71210 ай бұрын
Barikiwa sanaa na huyu pastor david hadi nimesubcribe🙏💝
@ClovisSongolo4 ай бұрын
Ubarikiwe postor
@mishaelmisana19735 жыл бұрын
Tunashkr sana pastor
@nadinemasengo56886 жыл бұрын
Mungu akubariki
@angeljoshua54652 жыл бұрын
Ubarikiwe mnoooo Mchungaji mwenye masikio amesikia
@JEREMIAHSEKWAO-k3z Жыл бұрын
Barikiwa sana past
@shukranjulius59103 жыл бұрын
Amina somo limenofungua mengi
@kiruhurafils9986 жыл бұрын
Niko pamoja nanyi hapa Belgium.
@HappyLamceklima-gj7pjАй бұрын
Amina!!
@baricklutandula9776 Жыл бұрын
Amen, somo zuri sana
@juliusstephen57536 жыл бұрын
Barikiwa pastor hata wakiitoa hii video ujumbe umefika.
@philemonmlowe74184 жыл бұрын
Safi
@zamdasalumu97406 жыл бұрын
amina pastor
@genesispeter55844 жыл бұрын
Mchungaji david mmbaga Nakusalim tkt bwana wetu kristo Naitaji maombi kutoka kwako Naomba namba zako 0784388721 mm naitwa genesis
@maxlove26685 жыл бұрын
Napokea
@kingnyamoma56966 жыл бұрын
Sehemu ya pili tunaisubiri kwa hamu sana
@bonnymanyama28685 жыл бұрын
Hakika turudi kwenye utaratibu wa Mungu
@davidmmbaga33506 жыл бұрын
Amen
@francismustapha24212 жыл бұрын
Pt niseme UBALIKIWE SANA
@hawasaid52864 жыл бұрын
Nimekuelewa mtumishi, wanataka kututolea asili ya kimungu watuletee asili ya (kishetani) ili watubadili Hapa ulaya wana mpango wa kubadili badala ya nyama fresh watatengeneza maabalaa ya kutengeneza nyama
@veronicawilsonmbwambo105410 ай бұрын
Amina
@kimagotv25864 жыл бұрын
Naam nimekuelewa pr.
@priscambwambo10304 жыл бұрын
Naomba hiyo list ya chakula kinachopinga uvimbe. Nimefanyiwa operation mara 3 sasa fybrody
@richardmichaeli45484 жыл бұрын
Pa1
@chamdada38126 жыл бұрын
Muhubiri TV je lishe nyama utaiwekalini?
@tumainingonyani32266 жыл бұрын
NASUBIR SEHEM YA PIL MCHUNGAJI
@graceesiabia53794 жыл бұрын
I'd like to know about that mafuta ya rizeti. What's that. In English. Your Swahili is too good for me 😅
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Hahaha SUNFLOWER OIL
@graceesiabia53794 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga 😅😅😅 thank you so much. I should up my Swahili. Mimi Ni jirani hapa kenya
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Nice to know you. Karibu Tanzania
@ntambaraenock1823 Жыл бұрын
Pastor Barikiwa sana, mimi ni Enock kutoka Rwanda nakuombea kwa mwenyezi Mungu akutie nguvu
@blessed599 Жыл бұрын
😂😂
@msangodiesel31322 жыл бұрын
Nimechoka tunafanyaje Kila kitu kimebadilishwa tunapataje vya kiasili
@trophywilson72112 жыл бұрын
Miaka 3 bado hamjaitoa,Si biashara tu mnafanya,?
@agustinohizza13952 жыл бұрын
Tungepata watu kama hawa Kumi tu Tanzania nazani tungejua mbali Ila kwa nchi zetu za. Africa tegemezi hawafai nimatui wa wazungu
@chungwasingers4 жыл бұрын
Paster MUNGU AKUBARIKI SANA JE KUHUSU UZAZI WA MPANGO YAANI VIJITI/VIDONGE VYA MAJIRA VINAATHIRI MWILI KIASI GANI?
@lolojunior58082 жыл бұрын
Vinaaribu kiasi kikubwa kuliko unavyo zani, chunga sana wewe chungwa CHANNEL utaumia zama zimepita na África ndio hiyo mipango ndio mingi sana, ili uamini hili swala angaria KZbin Au Google kuhusu mpango wa kazi ya uzazi wa mpango vidonge wanavyo leta huko África, sio wanavyo tumia wao huku america au ulaya sio hizo za África hizo za África ni hatari sana, iluminati ni hatari sana, wanaadamu wazuri wameisha duniani walio baki wale mijamaa ya huyu mpinga Cristo
@salehekikwa78044 жыл бұрын
Umegonga ikulu ya shetani
@FAMASIKITAA6 жыл бұрын
kwann munatoa xx pastor????
@samwelnguvila87936 жыл бұрын
ubalikiwe pasta mbaga
@karumbete6 жыл бұрын
Barikiwa sanaaa
@salumkalulu-de1md Жыл бұрын
Ni kweli kabisa kwani magonjwa mengi yanasababishwa na ulaji usio na mpangilio sahihi,pia ulaji wa visivyoruhusiwa na mwenyezi Mungu.Barikiwa sana pasta.
@OnchongaRich20203 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza sijakubaliana nawe mchungaji. Neno lilisema mfanikiwe kwa mambo yote, na uwe na afya njema vile roho yako inavyofanikiwa. Kwa hivo ni roho ifanikiwe lakini afya pia ishughulikiwe kama faida ya ziada. Hatuwezi kusema mwili ndio unaelekeza roho,hivo havishikani moja kwa moja.
@lolojunior58082 жыл бұрын
Wewe ndio wale wale, mijamaa ya 666
@OnchongaRich20202 жыл бұрын
@@lolojunior5808 unajielewa?
@freddokuckelmann85024 жыл бұрын
Mchungaji, badala ya kumuua tembo, wewe unamgusagusa tu mkia wake. Waeleze watu kuhusu vyakula vya kichawi, kulishwa ndotoni n.k. Hivi ndivyo vinavyoua watu Africa, ambako hmna GMO. Mimi ninakula GMO zaidi ya miaka 30, bado naonekana kijana siku nimerudi nyumbani nikala vyakula fulani. Mbona nililazwa hospitali na maombi makali juu yake. Vyakula vya kichawi. Au muulize Gwajima atakupa siri.
@edwardvelidiana18643 жыл бұрын
Aleruyaàaa
@allistideskasigara9789 Жыл бұрын
tGyy4
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@allistideskasigara9789 Жыл бұрын
555
@genesispeter55844 жыл бұрын
Mchungani naomba namba zako 0784388721 mm naitwa genesis