Рет қаралды 946,309
Rais mstaafu Daniel Moi alikuwa ni kiongozi wa taifa kwa muda mrefu zaidi katika historia ya kenya, lakini tofauti na marais wengine, masuala ya familia yake haswa uhusiano wa kindoa yamesalia kitendawili hadi sasa. Raquel muigai anaangazia yaliyojulikana kuhusiana na ndoa ya moi na mkewe mama lena Moi na wanawe wanane.