Ndio karibu ,huwa tunatangaza madarasa Instagram Mziwanda Bakers
@annamboya28227 ай бұрын
Foundant inauzwa au unatengeneza mwenyewe?
@mziwandabakers82977 ай бұрын
Unaweza tengeneza ama kununua pia
@azizandwata77254 ай бұрын
Kwaiyo fondant koja keki ngapi
@samiayunus15463 жыл бұрын
Mm
@hawabofu63542 жыл бұрын
Fondakty ni Nini?
@jackyluns82243 жыл бұрын
Ccter,ccter,ccter ninavyokukubali Mwenyez Mungu ndie anaejua ndani ya moyo wangu naomba tu utuorodheshee vitu vinavyotengeneza fondant ili nitaenda kuvitafuta ata supermarket jomon
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Shukran dear hii ni Fondant special inauzwa madukani iko hivyo hivyo For recipe ya Fondant check jinsi ya KUTENGENEZA Fondant Rahisi sana
@imanijoseph87802 жыл бұрын
Nakutumiaje picha uone nimejaribu kupamba leo
@mickelineadam43812 жыл бұрын
Mnapatikana wapi
@mishikikoti29482 жыл бұрын
Foundat inauzwa au unatengeneza mwenyewe?
@wardabaruani28283 жыл бұрын
Mash Allah,keki hizo umeziunganisha na nini?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Na Butter cream
@jacquelinepeter43622 жыл бұрын
Samahani je nikitaka kuja kujifuza ni shingapi adayake na mnapatikana wapi
@ashuraudeke99473 жыл бұрын
Mashalla najifunza vingi sana kwa account yako sijutii kuijua. Ila naomba msaada mm apo kwenye kufunika nikishafunika nikiwa na sawazisha inakua inakatika inaachia sijui nakosea nini?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Unachelewa kuikandamiza kwenye keki
@ashuraudeke99473 жыл бұрын
Mziwanda Bakers du maana ni mara ya pili inanifanyia ivo
@pendoemmanuel84322 жыл бұрын
Hiyo fondant inapatikana super market au
@mziwandabakers82975 ай бұрын
Maduka ya vifaa vya keki zipo
@mariatumaini70782 жыл бұрын
Keki triming
@hellenomar21773 жыл бұрын
Kaki trim
@maureenmbinile16553 жыл бұрын
Naomba namba yako
@soundofafricarec.6974 Жыл бұрын
Samahani dada hiii fondat
@mziwandabakers82975 ай бұрын
Ndio ni yenyewe
@Joel-fc9bv Жыл бұрын
Cake terming
@gloryissaya49603 жыл бұрын
Nimependa sana mafunzo yako
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu sana
@lovenessmahondo75273 жыл бұрын
Fondant kg 1 unetengengenezea cake ngap dear?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Za 7 inch keki 5 dear
@alrumhymohd58323 жыл бұрын
Naomba namba ya group la mambo ya keki
@carolinekoko43482 жыл бұрын
Cake treaming
@sabinalazaro65002 жыл бұрын
Naomba mawasiliano nahitaji practical dada
@mercyambuka92143 жыл бұрын
1kg ina cover cake kiasi ngani?
@SuzanaDonald-c4r4 ай бұрын
Hii fondant inaliwa pia
@mziwandabakers82974 ай бұрын
Ndio ni tamu
@zumratsarumhashim85873 жыл бұрын
Naomba niwe mwanafunzi wako napenda Sana hiyo kazi
@IbrahimAhmed-ge6nu2 жыл бұрын
Na hii foundert inapatikana wapi
@colleennashon81023 жыл бұрын
Dada nimependa kazi yako na Mimi nataka niwe mwanafunzi wako , je unapatikana wap, na ghalama zipoje
@nasmaally49572 жыл бұрын
Unapatikana wapi nataka nije nijifunze
@mankamchomvu47323 жыл бұрын
Kwa kilo moja ya foundant unaweza kutumia kwenye keki ngapi na za kilo ngapi?
@theodoraberusa65872 жыл бұрын
Foundant isiyotumia butter cream
@gloryissaya49603 жыл бұрын
Dada unapatikana wap
@jackyluns82243 жыл бұрын
Eti Dada mziwanda hiyo bodi ya kuwekea keki ipo nyeupe umeivisha nini bodi ikawa nyeupe pee nisamehe kwa maswali lakin ccy napenda nielewe
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Maswali ndo nayapenda yenye kukujenga Hizi bodi zinabandikwa stika za rangi tofauti kadri ya mapendekezo yako Pia zipo zimeshabandikwa hivyo tunauza
@jackyluns82243 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 oooh asante sana sana vip Pan zineshafika
@zaibonge78673 жыл бұрын
Hizo fondati inauzwa wapi uudugu
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Kwenye maduka ya vifaa vya keki
@nickymuganga56662 жыл бұрын
Nahitaji darasa mpendwa
@sheillahkienge28462 жыл бұрын
Mpendwa natamani kujua kupika keki, nifanyaje
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Karibu darasani Kuna online na live jikoni
@mauaabdulrahman6272 Жыл бұрын
Niunge na online live ya jinsi ya kupika na kupamba
@tatuibrahim28893 жыл бұрын
Madam mimi nikifunika cake na fondat mfano ni usiku nikiamka asubuh inakua inamafuta mafuta ile fondat haikauki nakosea wap
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Fondant huwa inakuwa kavu ama unyevu kama hali ya mvua ila haitakiwi kuwa ngumu
@roselund58173 жыл бұрын
Habari, samahani naomba kuuliza Mimi huwa nikifunika huwa hii buttercream ya ndani huwa inakuwa Kama inayayuka unaiona inakuwa Kama inachuruza huku chini mwisho je nakosea wapi? Naomba msaada dada
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu,unaweka Butter cream nyingi bila kukauka pia ndo maana inajichuruzisha
@roselund58173 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 ok so kukauka inatakiwa niiche kwa muda gani? At least?
@salmandege39613 жыл бұрын
Dadaa Fondant yapatikana wapi
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Check mziwanda_tools
@fatmahussein4563 Жыл бұрын
Madam...naona huwa nanunua huwa nakuta haziwi ngumu.. muda wote nikifungua huwa laini tu...hapa ipoje naona zingine zikikaa huwa hivyo ka jiwe..hata nikitengeza mm huwa ngumu
@fatmamansour6763 жыл бұрын
Fondant ya kilo unafunika keki ngapi?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Za 7" unafunika 4 mpaka 5 inategemea na utumiaji wako pia
@anastaziajohn63083 жыл бұрын
Naomba kuuliz jaman kuhusu hiyo fondant je, mda wa kukata keki ukifika inavuliwa au inaliwa hivohivo coz nimeon kama inavutika
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Wapo waokula Fondant pia
@mercyambuka92143 жыл бұрын
Unaweza fanya jinsi ya kutengeza black fondant.
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Yeah I will
@marymungai18463 жыл бұрын
Beautiful. What's the filling
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Butter cream filling
@hajiwaseif28253 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah hii fondant tenenza au nunuwa