SIRI YA KUWA MTU WA TOFAUTI - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 61,225

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 107
@daprince7545
@daprince7545 Жыл бұрын
Mwaka wa 2015 niliamua kuacha kunywa pombe. Vijana wenzangu walishangaa kuchukua uamuzi huo. Wakadhani nitarudi kwa pombe. Nashkuru mungu alinipa nguvu mpaka saii niko na family yangu naishi maisha yangu.
@kitwanathabiti
@kitwanathabiti Жыл бұрын
Ongera sana ndugu yangu ❤
@PetronilaMushiii-q1b
@PetronilaMushiii-q1b Ай бұрын
Sahihi
@hamisially-c4x
@hamisially-c4x Күн бұрын
Gd sana
@kubiyapp3567
@kubiyapp3567 Жыл бұрын
Ndiyo mimi nahishi tofauti wa mazoea mwanzo ilikuwa ngumu lakini sahvi nafurahia maisha yangu
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Mwaka 9.2.2011 hakika sitakuja kuisahau hii siku kamwe🎉matokeo ya kidato cha nne yalikuwa yametoka na nilikuwa nimepata ufaulu wa divisheni three ya point 25 yaaani Hist D Kisw B Chem D Physics D Civics C Geography D Math F Bioz D Eng D Matokeo hayo hauwezi kwenda kidato cha tano maana nilikuwa na C na B tuu na kwenda five lazima uwe na C3.wengi wa mtaani walikuwa wamepata divisheni four ya point 26 mpaka 28 wakawa wameomba ualimu wa msingi 😊😊😊 mimi lengo langu lilikuwa ni kwenda form five basi,wengi wakaniambia omba ualimu mbona wengi wameomba msingi waliongea sana😮😮😮 nikaanza safari ya kurudia mtihani na Mungu akiwa ananisimamia ,nikafaulu nikaenda kidato cha tano 😢😢😢 nikafukuzwa shule na ilikuwa shule ya binafsi aseee nikarudi tena mtaani wakaanza kusema kikowapi sasa wenzako wameenda ualimu na watamaliza wewe uko mtaani utajuta kwanini ukwenda!!!!!! Basi wazazi walinitia moyo nikarudi tena shule nikaanza safari tena hakika nikafaulu na nikasonga mpaka nikamaliza chuo.lengo langu nilikuwa sitaki kufuata mkumbo wa wengi kisa wamesomea ualimu na mimi nikasomee ualimu wa msingi .sijadharau ualimu wa msingi wapendwa lakini wengi walikuwa wamepangwa na mimi nikawa sitaki nataka kwenda kidato cha tano .Hakika sifa na utukufu apewe Mungu awezaye kutusaidia hata tunaposimama pekee ili kutimiza malengo
@Kisinjatito01
@Kisinjatito01 8 ай бұрын
Kaka ulipambana sana
@OdeniGeorge-m3m
@OdeniGeorge-m3m Жыл бұрын
Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏
@josephmichael9555
@josephmichael9555 Жыл бұрын
Kwakweli mm sijiamini kabisa najishusha thamani sana
@anny19988
@anny19988 Жыл бұрын
Umeumbwa na Mungu, Kuna kusudi la wewe kuwepo hapa, una kitu ambacho dunia inakihitaji na hamna mwingine aliyenacho ndio maana ukaja duniani. Plz usijishushe thamani. Usisikilize maneno mabaya ya watu hata kama yametoka kwa mzazi wako, mlezi, mwenzi, boss, rafiki, n.k. Usisikilize maneno mabaya wala usiyaweke kichwani mwako. Kila siku jiambie maneno mazuri kama vile, mimi ni mshindi, mimi ninaweza n.k. Kumbuka wewe thamani yako iko palepale kwa maana umeumbwa na Mungu ila wa kuipandisha au kuishusha hiyo thamani ni wewe mwenyewe. Fanya maamuzi sahihi.
@Datetime-qf9wy
@Datetime-qf9wy 4 күн бұрын
Mimi napend kuish maisha yangu ninayo amini
@MwanduMachiya
@MwanduMachiya 26 күн бұрын
Wewe mwalimu mzuri sana nitaendelea kukufatilia😂
@ndatoyeaspert6745
@ndatoyeaspert6745 Жыл бұрын
Asante.mimi ni mrundi,anae kufuata nakuami mafundisho yako.kwasasa ninaishi katika kile ninacho Feel,
@pastorkingJoshua
@pastorkingJoshua Жыл бұрын
We jamaa, utakuja kuwa noma sana kwenye kizazi chetu. Mark my words
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 Жыл бұрын
Hili somo linanikumbusha lile somo kwamba mazingira yavyoweza kubadili mitazamo ya mtu,hili somo linaigusa jamii moja kwa moja,shukrani
@emanuelifredi5436
@emanuelifredi5436 9 ай бұрын
Nakubali sana kaka,,, MUNGU akupe nguvu uendelee kutupatia madini ya kutosha
@Wille-hj6tc
@Wille-hj6tc Жыл бұрын
Mungu akulinde kaka Joel nanauka
@Kaundasutidodoma
@Kaundasutidodoma Жыл бұрын
the more you teach, the more you mature my brain 🫡🫡🫡🫡
@SAIDSaidy101
@SAIDSaidy101 11 ай бұрын
Aisee Wewe umenigusa sana mimi ni mojo ya watu ambao awaamini kila kitu kinacho kinasaportiwa na watu wengi, kiufupi ni kwamba si kila kinacho semwa na wengi ndio ni kweli hapana!
@JULIUSJOHN-rq7hc
@JULIUSJOHN-rq7hc 7 ай бұрын
Me nipo sehem zote mbili naishi maisha yangu ila mudamwingine nafuata mkumbo ila kupitia hii naenda kubadilika nakuishi nitakavyo
@evaristlyimo115
@evaristlyimo115 Ай бұрын
Kaka Joel asante sana somo ili Sasa najihisi wa tofauti sana
@annastaziamzobora1984
@annastaziamzobora1984 9 ай бұрын
Hata sijui naona nipo hapa
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 Жыл бұрын
Namshukuru nimeweza kusimamia msimamo wangu na nikatengwa kwa muda baadae msimamo wangu ulikuja kuonekana wa maana sana baada ya matokeo ya Jambo nililopinga kuonekana
@grace-neemabuninange-bujik9117
@grace-neemabuninange-bujik9117 Жыл бұрын
Mim nina maisha yangu mwenyewe lakin wengi wanakuchukia kwa sababu ya hilo
@carenedimund9481
@carenedimund9481 Жыл бұрын
Usijali kuhusu mawazo yao but the only thing its you to focus coz you're goals are coming they will wonder never give up
@ErickRichard-kh7tj
@ErickRichard-kh7tj 4 ай бұрын
Ukiona unapendwa na kila mtu jitadhimini Unahitaji maadui kwa misingi ya kukuza ufahamu na kufanya ufanisi kwenye mambo yako Sipendi kupendwa na kila mtu Naamini kupendwa na kila mtu ni unafiki Kuna namna najirahisisha kwann unipende kama hakuna unachofaidika na mm cha bure Ukiwa mkali na mdhibiti mzuri wa maswala yako ya kimaisha lazima upate maadui
@kelyjames5452
@kelyjames5452 Жыл бұрын
hsante kaka ,Joel mm naishi maisha yangu mwenyew ,kufuata Wengine wanasemaje wanaweza kukuburuza kwa mawazo Yao ,ambayo mwisho siku yanabaki majuto kwako!!
@MtesiwasospeterMasige
@MtesiwasospeterMasige Ай бұрын
mtumishi ni kweli ata Mimi ninachokifanya sio ndoto yangu
@IreneSabiniani
@IreneSabiniani Ай бұрын
asanteee kwa elimu bora ,je naweza kufanya mazungumzo na ww
@KARIMARodrick
@KARIMARodrick Жыл бұрын
Mwalimu kwasasa mimi naishi maisha yangu mwenyewe bila kutaka kufafa nawengine
@MarcoPeter-y5n
@MarcoPeter-y5n 24 күн бұрын
Thanks brother
@HaimacMwalim-xn5os
@HaimacMwalim-xn5os 9 ай бұрын
Mimi nime penda somo moja Kati yayote mbin yaku fokasi Jambo mojatu hadi kutimiza rengo nashukuru kwa uwepo wako duniani Mimi mwenyewe si haba rakini hiro du,
@eradiusaudax6224
@eradiusaudax6224 10 ай бұрын
Mungu akulinde kaka najiona npo mbalii kwa izi elimu zako maana kimekua chakula chang Cha akili Cha kila siku
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 Жыл бұрын
Maisha ninayoishi kwa sasa hivi niliamuaa mwenyewe baada ya kugundua marafiku zangu walipenda starehe zaidi ya uwezo wao.Niluachana nao, kwa sasa hivi namshukuru Mungu sana.
@ElishaBernard-ih2vw
@ElishaBernard-ih2vw 3 ай бұрын
Hata mm imenisadia sana
@masterkey536
@masterkey536 Жыл бұрын
Barikiwa mnoooo
@lilianjoseph1144
@lilianjoseph1144 7 ай бұрын
Ninakufatilia nina mwezi mmoja. Kwa sasa najiona siko normative wala formative. Naanza kuweza kuishi maisha yangu peke yangu. See me at the TOP. Thank you
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Жыл бұрын
Ebwanae kweli kabisa mdogo wangu
@academiazsoft
@academiazsoft Жыл бұрын
Ahsante sana. Am on it. See you at the top
@selemandaniel6179
@selemandaniel6179 Ай бұрын
Kweli kabisa life coach
@PaulMagoma
@PaulMagoma Ай бұрын
N maisha yangu mwenyew nilisom had level y degree ya HR but now I'm full time network sababu salary ya HR huwez fanikisha malengo niliyonayo binafsi
@uniquemwalo
@uniquemwalo Жыл бұрын
Boss J unamadini mengi sana Jah bless 🙏
@EnezerMarithanga-ks6rv
@EnezerMarithanga-ks6rv Жыл бұрын
Normative en informative enfluence ilinicost mm ikanisababisha kupoteza mwaka 1 kusoma kitu ambacho sio kusud langu ila baada ya kugundua kusud langu Kwa kupitia video zako Imenifanya niweze kufanya maamuzi sahihi na Kwa ujasiri
@rabiashaibu
@rabiashaibu 6 ай бұрын
Ni kweli kabs kaka napend sana kujfunz kutoka kwako
@KelvinMullar
@KelvinMullar 9 ай бұрын
Safi sana kaka, God may bless you with your generous words
@gibsonmnun887
@gibsonmnun887 Жыл бұрын
Asante sana kwa ujumbe huu unaoishi, nimetambua mm kwamba nimepoteza meng yaliyokuwa kibaumbele kwang na yaliyoweza kunipa furaha kwa sabab ya both nomative na informative influences
@Kisimirmedia
@Kisimirmedia Жыл бұрын
Dash my brother God bless you
@pembamusic3929
@pembamusic3929 Ай бұрын
Maisha ninayo ishi sio ambyo natka na haikua lengo langu ila sio kua n mabaya no! Bt haikua fikra zngu natman mda ungrud nyuma nkafnya maamuz sahihi ila daah nmechelew sana 😢
@dr.sarahbusongo
@dr.sarahbusongo Жыл бұрын
Hii msg imekuja wakati muafaka kabisa kwa sababu pengine nimeishi kwa utofauti sana na nikataka kuona mbona kama nacomplicate maisha maybe nirudi tu kwenye maisha ya kawaida na mazoea ambayo watu wengi wanaishi... thank you kaka Joel. Ninakusanya vizigo vyangu na kuendelea mbele. God bless you
@neemacurthbert
@neemacurthbert Жыл бұрын
Amina Kaka Joel kiukweli vijana wengi tunaishi kwa kufuata mkumbo wawengine ndio maana tunaishi maisha ambayo hatuyapendi ila kwasababu tu wengi wanaishi hivyo ndio maana nasisi tunafuata hivyo hivyo balikiwa sana kaka kwasomo hili🙏🙏🙏🙏
@maulidympembeta6045
@maulidympembeta6045 6 ай бұрын
Kaka Joel uko vizur mno katka mambo ya psychology Yan mpka unakera . Masomo yko baadhi najifunza zaid lkn baadhi yanarasmisha masimamo yang na mambo yang, Yan nagundua kumbe ni masomo kabsa yanafundishwa . La mwisho kaka Joel kila ninapoona kitu kipo mtandaon kinahusika na wewe bac huwa napata shauku kubwa kutazama au kusikiliza sas anapokuwa mtu mwengne aaa shauku hunitoka Yan nahisi kama sio madini yko vilee!!! Kwa kifupi napenda usimulie wewe mwenyewe sbb wewe ni mfasaha mno .
@MalikiChitopela
@MalikiChitopela 7 ай бұрын
Tnx powerful words c u around again ❤
@WilliamSospeter
@WilliamSospeter 7 ай бұрын
Absolutely 💯
@MeliethKaizile
@MeliethKaizile Жыл бұрын
Ahsant sana kaka Joel Nanauka, masomo yako yananibariki sana, na mimi kiukwel natafta sana kuwa wa tofaut sana tofauti na wengine
@academiazsoft
@academiazsoft Жыл бұрын
Imekata kabla ya kuisha
@mchmwal...z.a.ndelwa7838
@mchmwal...z.a.ndelwa7838 Жыл бұрын
❤ nimeweza hicho asante
@amanilwila1185
@amanilwila1185 9 ай бұрын
Thanks brother jee..
@mohammedsiga7202
@mohammedsiga7202 7 ай бұрын
Nilitamani sana niwe na sikiliza na backsound tofauti 💯💯🫶🏾 Asante sana Daktari
@bestbest9638
@bestbest9638 Жыл бұрын
ahsante kiongozi ila mm naomba uendelee kutupatia elimu
@meshackmmassi
@meshackmmassi 11 ай бұрын
God bless you
@anithamsoke2329
@anithamsoke2329 11 ай бұрын
Stand still even if u stand alone! I usually don’t follow the Claud
@johnbanda6601
@johnbanda6601 Жыл бұрын
Ni maisha yangu mwenyewe
@NZAMUYEJoseph
@NZAMUYEJoseph 15 күн бұрын
Nimeishomq hiyo
@OfficialTinkayo-em1od
@OfficialTinkayo-em1od Жыл бұрын
Kabisa...lakini naomba utuandalie somo itakuaje kama rafiki yako ana marafiki wengi sanaa
@JumaNaizer
@JumaNaizer 7 ай бұрын
Naeshimusana manenoyako
@Livingstonembookwa
@Livingstonembookwa 7 ай бұрын
kwa kweliimefikia Mahali due to environment niliyopo hata sielewi ninako elekea
@henrymoghu5087
@henrymoghu5087 Жыл бұрын
Nakupenda kaka mungu akupe maisha marefu
@mussakubari3920
@mussakubari3920 Жыл бұрын
Kaka Mimi naishi maisha yangu mwenyewe mpaka naonekana mbaya kwakua cpendi kufuata mkumbo
@EsterJames-sk4te
@EsterJames-sk4te Жыл бұрын
Asante kaka nmejifunza
@emanuelmanfred9856
@emanuelmanfred9856 10 ай бұрын
Ukweli ninacho kifanya sasa ndiyo nilicho chagua lakini nimekuwa mtu wa kufeli kila wakati na kusababisha maumivu kwa wengine.
@djaysamtzm950
@djaysamtzm950 9 ай бұрын
Hakika wewe ni njia moja wapo ya Tiba😢
@JenivaGrayson
@JenivaGrayson 8 ай бұрын
Asante sana
@AbdulkadirHaji-dd4uu
@AbdulkadirHaji-dd4uu Жыл бұрын
Mie naishi ktk maisha yangu mwenyewe sio yale waliyoyatak watu niishi kwa sababu watu wengi wamezoea kufny jambo fulani kw mfano kw kutumia njia A mie nawambia sifanyi hivyo nafanya kwa njia B na wananishangaa sana outcome yngu inakuwa bora zaidi ya wao.
@Balakahamis
@Balakahamis 11 ай бұрын
Hasa kabisa
@bonemwaminifu3935
@bonemwaminifu3935 9 ай бұрын
Nishaangaika sana kupata kitabu lakini bado sjafanikiwa nipo zanzibar
@paschalmasanilo2617
@paschalmasanilo2617 8 ай бұрын
Mentor 🎉
@EliasGwaya
@EliasGwaya Ай бұрын
Aiseee
@elijahsaro6611
@elijahsaro6611 23 күн бұрын
Thank you 🫡🫡🫡
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 Жыл бұрын
Naishi maisha yangu kwa kwel
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Kila siku napata vitu vipya
@rashidhassan8156
@rashidhassan8156 Жыл бұрын
Thanks
@yohanamdui7458
@yohanamdui7458 8 ай бұрын
Mimi nahitaji niwe wa tofauti shida kubwa ni kwamba kila ninachotaka kufanya kimeshafanywa na wengine. Sasa nifanye mini zaidi naomba ushauri
@hawakizenga864
@hawakizenga864 6 ай бұрын
Fanya unachokipenda kua n uthubutu kua jasiri fanya kwa bidii
@uwser-mj2ii4wx2b
@uwser-mj2ii4wx2b 7 ай бұрын
🎉🎉🎉
@Adidja257
@Adidja257 6 ай бұрын
Najikuta nafanya yale siyapendi natumikiya serekali bali ndoto yangu ni biashara😂
@GaudenciaMwita
@GaudenciaMwita 23 күн бұрын
Mimi kitu kikubwa kinacho nisumbua ni kuanzisha kitu na kukiacha kutokana na watu wanaonizunguka
@mosesfrancis8495
@mosesfrancis8495 Ай бұрын
✌️
@HijaKuyu
@HijaKuyu 2 ай бұрын
👍
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Nikweli mwalimu kwaunachokisema,kwani uamuzi wa maisha ya mtu ni mutu mwenyewe aamuwe lakini ukinghoja uamuzi kwa watu hautafanikiwa hata kidongho
@beatrixmalakasuka1214
@beatrixmalakasuka1214 Жыл бұрын
unajua kaka
@faudhiaGombaeka-kf7oe
@faudhiaGombaeka-kf7oe Жыл бұрын
🙏
@halfanMaganga
@halfanMaganga 4 ай бұрын
I have something inside...next is me
@JifunzeKiarabu
@JifunzeKiarabu Жыл бұрын
👍
@TitoZefania
@TitoZefania 7 ай бұрын
100%
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🤝
@OdeniGeorge-m3m
@OdeniGeorge-m3m Жыл бұрын
Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Asante sana
@OdeniGeorge-m3m
@OdeniGeorge-m3m Жыл бұрын
Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏
@OdeniGeorge-m3m
@OdeniGeorge-m3m Жыл бұрын
Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏
@OdeniGeorge-m3m
@OdeniGeorge-m3m Жыл бұрын
Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏
@OdeniGeorge-m3m
@OdeniGeorge-m3m Жыл бұрын
Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏
@OdeniGeorge-m3m
@OdeniGeorge-m3m Жыл бұрын
Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏
@OdeniGeorge-m3m
@OdeniGeorge-m3m Жыл бұрын
Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏
@OdeniGeorge-m3m
@OdeniGeorge-m3m Жыл бұрын
Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏
@OdeniGeorge-m3m
@OdeniGeorge-m3m Жыл бұрын
Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏
@OdeniGeorge-m3m
@OdeniGeorge-m3m Жыл бұрын
Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA
10:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 60 М.
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 14 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,9 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 86 МЛН
LIFE WISDOM : NUSU YA MWAKA ILIYOBAKIA FANYA HAYA - JOEL NANAUKA
13:57
Dr. Chris Mauki: Mambo 5 kamwe usiendekeze kushirikisha watu
8:15
Jinsi ya kupanga malengo kitaalamu  Paul Magola
5:36
Paul Magola
Рет қаралды 11 М.
Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako
26:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 164 М.
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 186 М.
LIFE WISDOM : KWA NINI WANAKUCHUKULIA POA - JOEL NANAUKA
13:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 41 М.
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 128 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН