Umeogea vizuri waache ubea kila Mtu anafanya anachotaka wote Mungu wetu ni mmoja. Mungu akubariki na akulinde Harmonize
@GenerousAzard-fq1ym2 күн бұрын
🤣🤣🤣 Kumupakataa mzuri ❤❤❤ point nani mwingine hanahelewa hii
@AzizaHamisi-o6z2 күн бұрын
ACHA utahira hujielew ww siku ukijielewa hutoongea ujinga huwo
@balkissMuhammad-sk1ic2 күн бұрын
Akhuzubillahi minashaitwanirajiim laanatullah
@judithnjunwa66683 күн бұрын
Hahaha tulogeni WATUMISHI wapo wanatuombea
@festinamwakipale39193 күн бұрын
Usilahisishe mdada kwenda kuombewa.kwanza din zinafuga watu wabaya unakuta.mtu anaharibu kizazi anaishi anavotaka lakin anasema mm islamiki au mkristo watanzania tusiaminiane ujinga kiyama.kipo na hakichelewe kuna watu anafikili akienda kuingia tu kanisani ndo kamaliza ndugu zanguni kiyama lipo na hakichelewi hata.leo chaweza kukujia Mungu yuko siriasi wanadamu tunalemba maandiko ndugu tukimpenda Mungu tumheshimu na tushike sheria.zake lasivyo atatupotosha na hakuna atakayetunyosha kama tunamtaja Mungu tuachane na ufreemasoni.uchawi.uganga uzinifu ulevi na tusivae kumtukania Mungu tujiheshimu na sio kila.mtu.ni wakumuombea wachungaji wengine ni wakukemewa.kuonywa.na kufundishwa.baadae ndo anaombewa we shetani anawatumia kuharibu maadili ya nchi kabisa wanakuwa.uchi wanabadilisha.wanawake laivu mchungaji anasema anamuombea ko anamuombea kuwa aendelee kuharibu maadili Tanzania mchungaji amejileta.harmo mikononi una.bahati mkemee muonye mfundishe yeremia 7:9 imekataa kuombea kila mtu pastor tony usichukulie poa damu ya harmo itakuwa.kwenye.mikono.yako lakini ukimwambia.ukweli utanawa.atabeba madhambi yake
@elizabethmukeba25282 күн бұрын
Kweli Mungu ni moja Ibrahim ni baba ya Ismael na Isaac
@isakwisamwamlengaКүн бұрын
Waislamu ndio wanaoongoza kwenda Kwa mwamposa
@DarajaniZanzibrКүн бұрын
Ndugu yangu hii dunia ni mapito iko cku utaijuwa dunia
@KudraWanguvu-em1xw2 күн бұрын
Uislam ndio dini ya manabii na Mitume wote kuanzia Adam mpaka Issa bin Maryam yani Yesu wote hao walikuwa waislam na Muhammad swala Allahu aleyhi wasalam ndio mtume wa mwisho msidanganyike enyi waja wa Mwenyezi Mungu muifuate haki mtasalimika dini ya Uislam ndio dini ya haki Yesu Muislam huko kanisani wote hao ni WASHILIKINA sasa kama wanamini ukristo basi wako katika kumshirikisha M/Mungu.
@alexkatana50372 күн бұрын
Msanii Hana Dini
@KelvinSimangoКүн бұрын
Nimependa iyo kwanza unajiamini ile super woman . Kile anachokielewa ndo imani ilipo.
@HafidhAli-b6e3 күн бұрын
Laanatullah, yaani umeingia ktk ukafiri?M/mungu hapendi washirikina