Maa shaa Allah ❤huu ndio uadilifu wa Allah s.w kila mtu kampa kipaji chake ,wewe muhammad bachu Allah kakupa kipaji cha kusoma qur anii kwa sauti nzuri basi kitumie kipaji chakoo vizuri ,ila mambo ya kubishanaa na watu hiyoo sio fani yakoo unajidhalilisha tuu
@SmilingBoardGames-jm4sj7 ай бұрын
Mashallah mola akuifazi dunia na Akhera
@burahanimohamedy4137 ай бұрын
Kaka bachu kiraaa kinasikaa ❤❤
@fakisalim4467 ай бұрын
Much love from Bahrain 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭
@YahyaYahya-vp2pp7 ай бұрын
mashAllah. muhammad bachu ❤
@jemedaryhamidu13767 ай бұрын
Allaa akuhidhi shekh muhammad bachu na amlehem mzazi wako
@iddimohamed2547 ай бұрын
Much love from Kenya 001.
@omaritvtz52357 ай бұрын
This is my favorite Ustadh in our Diin,
@hafidhgadafirajab59387 ай бұрын
Same to me because I enjoy mostly in Ramadhan I mean Quran recitation
@dinakipingo19057 ай бұрын
Masha Allah ❤ sauti ina rahma ndani Yake Allah akuhifadhi
@khamismussa62587 ай бұрын
Amin
@saumuashirafu74157 ай бұрын
Mashaallah mashaallah jazaka lahukher
@fat-hiyarashid46056 ай бұрын
Sheikh una kipaji cha kusoma na sauti nzur mashallah Allah akuhifadhi
@tawakalimfyomi69756 ай бұрын
بارك الله لك في الدنيا والآخرة وعافاك من شرور العالمين وحسن خاتمتك
@suleyazidu49917 ай бұрын
Mashaallah mashaallah
@Nuru_ya_sunnah.official7 ай бұрын
surat taubah❤
@zaynabdadi30657 ай бұрын
Mashaallaah, heart melting recitation
@mubariekabrahams26507 ай бұрын
Mashaallah Allahu barik
@HauaAliSaide7 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah como eu não posso amar você por Allah ❤
@aminuddinwacate7 ай бұрын
Masha Allah. Ele gosta tanto de Maqam Ajamy
@maarufukalugula87647 ай бұрын
Mashaallah Allah akuhifadhi
@chemicalalli92917 ай бұрын
مَاشَآءَاللّٰه بَارَكَ اللَّهُ فِيْكَ
@MohdAli-cx7bc6 ай бұрын
Hata ahmad al nufais umempita mashaallah 🎉🎉
@abubakarothman35327 ай бұрын
صوتك ممتع جدا،حفظك الله من كل سوء
@fat-hiyarashid46056 ай бұрын
Ila kaangu punguza mabishano sio kipaji chako kipaji Allah kakujaalia kipaji cha kusoma kuraan na sauti nzur na, elimu tumia elimu yako kuelimisha waislamu na sio mabishano Allah akuhifadhi akuzidishie zaid tunakupenda kwa ajili ya allah
@nadyasalim79566 ай бұрын
sio mabishano anayosema yote ni ukweli mtupu maulid hayatakiwi yaachwe hakuna jambo baya alosema hata moja