Leo nakuleta Toyota RAV4 2020, Fahamu utamu wa gari hili na mapungufu yake. Toyota Raize 2022 • Hii Gari Ukiweka Lita ... FAHARI MOTORS (T) LTD / faharimotors_sales
Пікірлер: 41
@frankrecordpool83411 ай бұрын
Dream car yangu
@alphoncebujiku196011 ай бұрын
bro snash mung akupe maisha marefu
@hamzaseneda525111 ай бұрын
Apo kwenye kufungua buti umebugi bro...hiyo boot ni electric just una press inafunguka yenyewe😂
@thobiasbukali900811 ай бұрын
Wewe huwezi linganisha na Rav 4 2020, na huo uchafu wako. Ipe heshima Rav 4.
@tanzaniacarschannel697511 ай бұрын
That car comes with dual fuel system (port injected and direct injected fuel) why that design? Direct injected fuel system is for fuel efficiency and powerful combustion...but since direct injection of fuel ipo na weakness ya kutengeneza carbon kwenye njia ya hewa kutokana na PCV system, basi ku sort tatizo hilo ndo maana wakaweka na mfumo wa port injection ambapo mafuta yanapitia kwenye port inapopita hewa ili kuondoa carbon kwenye njia ya hewa..ndo maana injini yake inapiga kelele ikiwa inatumia direct injection, but muda ambapo inatumia port injection basi engine noise hupungua..lakini pia ipo nia gearbox ya cvt ambaYo ni tofauti na traditional cvt gear box.. (hizi ni tech za muhimu sana kuongelea kwenye rav 4 hii mkuuu)
@ibrahimmwonga536511 ай бұрын
Bei gani hiyo rav 4 ya 2020
@mthename875911 ай бұрын
Bro uko very speak anae shindwa kukuelewa uy n bumbuwazi kabsa 🤠
@petermbogo86613 ай бұрын
Kaka ni kweli Engine ya 1990Cc inatengeneza HP 500..
@daviddeus6437Ай бұрын
Fanya review ya Toyota harria new model
@icesue661311 ай бұрын
Jamaa muongo kabisa. Utaalamu huo bado hunao.
@daviddeus6437Ай бұрын
Njoo na review ya ford ranger make unajua kueleza kweli napenda knona video zako
@Al-julanda10 ай бұрын
toa review ya toyota harrier 2014
@masoudissa741911 ай бұрын
Next time jaribu kutest wireless charging na vitu vingine kabla ya kufanya main review ili uwe na information za uhakika
@muzoribrah151011 ай бұрын
Snash bro naomba review ya annimation ile spider man across the spider verse
@chrispindevan395211 ай бұрын
Tunaomba review ya G wagon
@selemannamkiliya10 ай бұрын
Bei ikoje
@youngkingtz986311 ай бұрын
🔥🔥🔥
@stephaniabenjamini28483 ай бұрын
Hallow hii ni bei gani
@user-mx2tx5eg9x10 ай бұрын
Gari Haina spear tyre halafu Bado unasema sio tatizo? Very poor advertising 😅😅
@mundhirfarid725011 ай бұрын
😂😂 snash bana kwa kuwaonea wabongo so pw eti ni gari ya watu 5 lkn kibongo bongo ata watu 7 😂😂😅 sema brother unajua sana asante pia kwa kutujuza tulokua hatuyajui 🙏
@snashtz11 ай бұрын
😂😂🙏🏽
@DBARAKAMRINGO11 ай бұрын
@snash hapo ulipokua umeweka simu its true ni wireless charge ila kwenye hiz gari 2019 and 2020 sinashida ya kuchelewa kusence uwepo wa simu na kuanza kucharge plus kwenye spare tire zipo ambazo zinakuja nazo the issue is ni TRIM AU PACKAGE GANI umenunua boss otherwise nice review
@hassanlikwenangu847111 ай бұрын
Bei gani hii gari plz
@gracenkembo831811 ай бұрын
HIZO NAMBA ZENU HAXIONEKANI VIZURI
@swalehsuleinam46698 ай бұрын
Sinashi hiy gan hamun otomatiki hiz gar
@husseinchambau301511 ай бұрын
Ni gar inaweza kutembea rafroad au ni chombo ya lami tu
@snashtz11 ай бұрын
Pote pote boss
@EsterMasaga11 ай бұрын
Hiyo rangi yake inaitwaje
@fellisianholle943111 ай бұрын
Nikweli unavyosema lita moja kwa klmt 18?
@Kevjoseful11 ай бұрын
Muongo. Hakuna Rav4 ya HP 500. Umeboa
@user-dd1jq7vw2r10 ай бұрын
Tunaomba maana ya ECO MODE,EV MODE KWENYE MAGARI
@AW-vt9pw10 ай бұрын
Eco = Economic ya petroli
@user-dd1jq7vw2r10 ай бұрын
@@AW-vt9pw matumizi yake au maelezo yake wakat gan wakuwasha na wakat gan siyo yakutumika
@daudmasawe445911 ай бұрын
Tatiz unaongea San bey gan
@user-oe8ee5tw7l11 ай бұрын
Nimependa bei yake ipo chini san
@hassanlikwenangu847111 ай бұрын
Inauzwa hela ngapi??
@bravo_man11 ай бұрын
Snash naomba tofauti ya SCION XA na TOYOTA IST
@denistimoth784311 ай бұрын
Jaribu kureview na subaru outback kuanzia ya mwaka 2011