Mashallah mawaidha mazuri Allah SWT akulinde na maadui zako wote na akujaze mema hapa hapa duniani na akakkuingize Jannat Ferdaus pamoja family yako tukakutane pamoja kwenye pepo .Allahumma Ameen.
@nuurbosir78102 жыл бұрын
Allah akujaze kheyr sheikh MashaAllah watufaidisha na mengi, nawe Allah akuzidishie na akufungilie milango ya kheir zote
@mwanakombohassan25672 жыл бұрын
Masha Allah Allah Akulipe kila la kheir insha Allahh
@aliadan25902 жыл бұрын
Allah yahfadak ya Sheikh!!! Nakupenda kwa ajili ya Allah.....
Mashaallah,Shekh Allah akupe umri MREFU wenye manufaa
@jamalhuka89492 жыл бұрын
Mashallah sheikh Allah akujalie kheri hapa duniani na akhera hivyo ulituelimisha mtandaoni kila kukicha
@salmahassan5114 Жыл бұрын
Subhanallah mngu atutatulie shida na dhiki yaraab
@babsale30702 жыл бұрын
Ma Sha Allah
@rehemaothaman59992 жыл бұрын
Jazaaka llah. Lkheir
@hanifarajab90062 жыл бұрын
Subhanalla wabihamdi subhanalla alladhim. Shukrn kwa ukumbsho.
@safiaothman51752 жыл бұрын
Jazak Allahu Khairaan Kathiraan kwa Darsa Muruwa lenye mafundisho na mazingatio makubwa sana.
@fhyubhhh28812 жыл бұрын
Subhanallah Allah atupe Imani Yarrab atusameh
@salmaalkyumi60302 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@hassantorab92312 жыл бұрын
Mashallah
@nasimnamira25172 жыл бұрын
Ameen shek Allah barik
@MuhammadHassan-rg7chАй бұрын
Mashaallah
@VickKulekana-si1ib10 ай бұрын
Amina
@ashaahmed88712 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Tabarakallah 💞
@shamilamo91592 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah
@khsudida1770 Жыл бұрын
Mashaa Allah
@shamzone3882 жыл бұрын
Mash allah jazakal kheir sheikh Wallah sichoki kabisa kuangalia clip zako Shukran
@fatmamasafu86062 жыл бұрын
Shukran jazila🤲
@mwanaidhassan61702 жыл бұрын
Barakallahu fiq
@yusrayusra7892 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu. Jazakallahu kher
@eshasaid32582 жыл бұрын
Shukrani akujazi kheri allah
@hidayasaid67812 жыл бұрын
Allah akuweke ishaallah utuongoze kwenye dini
@imamurashidi17542 жыл бұрын
Jazakum llahu khair
@firstlady98482 жыл бұрын
Alhamdulillah Mungu azidi kukupa umri na nguvu
@stonefacestoneface29762 жыл бұрын
Ameen
@sammoses7479 Жыл бұрын
Masha Allah, Allah akulipe mazingatio mema
@FatmaMohamed-it7gs Жыл бұрын
Mashallah tabarrakah allah
@fauziakarama8581 Жыл бұрын
Shukran Allah akubariki Amiin
@tatumzinga7984 Жыл бұрын
Mashallah Allah akutunzee kwa ajil ya kutufunza siee....🙏
@tripletricks.98982 жыл бұрын
Subhanallah
@user-cf7yh8mh5w6 ай бұрын
MashaAllah ❤
@bahatiadamu59262 жыл бұрын
Shukran Sheikh Othman Angalia wenzetu wa upande wapili wanapo fanya Maombi yao utadhani yule wanae Muomba wanamuona!Ela cc Macho makavu hata simannzi na ishara ya muombaji halipo! Subhanalah!
Shukran Shukran kaka Kwamawaiza mazuri sana Asante 💙💙💙
@omanmct135 Жыл бұрын
Mashalllah
@user-rx5jx5wt3t Жыл бұрын
Jizaaka alllah kheyr
@apangomombasa92302 жыл бұрын
Ma sha allah
@jumahizza6812 Жыл бұрын
SHEKH SHUKRAN UNATUPA NJIA YA KUKUTANA NA ALLAH KWA WEPESI SANA
@jaz99742 жыл бұрын
Mashaallah yaa sheikh allah akulipe kila lenye gheir
@mwanaharusimasoud9282 Жыл бұрын
Mashalla tabaaraka llah
@rehemaothaman59992 жыл бұрын
Allah akujaze kheri
@rufaydabaskut22302 жыл бұрын
Mashallah mungu akuhifadhi sheikh othman
@ashaabeid45206 ай бұрын
Manshallah, Allah akujaaliye kheri na akupe mwisho mwema.
@mozasaid38692 жыл бұрын
Shukran shekhe kwa mawaidha
@fatmakombo75842 жыл бұрын
Shukran
@asiakibali1253 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@rahmanguzo92702 жыл бұрын
Dua
@athumanikhamisi33772 жыл бұрын
Shukraan
@highmedland92802 жыл бұрын
Mm nakujibu uliouliza suali kwa shkh wetu 7b Hana mda wa kkujibu, Nikua swala ya usiku wa manane na swala ya alfajiri sio sawa, kwamaana swala ya alfajiri sio usiku mda huo ukilala na kusinzia ktk Sala alfjr ni uzembe wako unapaswa upigwe Kofi lausoni😴
@chunaabdullah13332 жыл бұрын
Unge replie chini yake kama hivi
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Huku nilipo kwa sasa swala ya Isha inaingia saa 4 na dakika 43 na swala ya Alfajir inaingia saa 8 na dakika 40, Na jua linatoka saa 10 na dakika 40. Unakuta kuswali swala za usiku huezi.
@fhyubhhh28812 жыл бұрын
Poleni kwa mabadiliko ya nyakati, lkn nia yko Allah anaijua anakupokelea!!
@fhyubhhh28812 жыл бұрын
MashaAllah shkh Allah akupe umri wenye afya Yarrab
@boubabizo2462 жыл бұрын
Naona mwengine kapiga usingizi .. yaani anakaa pia haskie kama sheikh anawahusia kulala wakati wa ibada.
@heyumi23402 жыл бұрын
swala za usiku ni suna au aidha unaswali swala ya haja sio kusema anawafundisha wasiswali kuwa muelewa
@sharifashabani8973 Жыл бұрын
Mashaallah shekh wetu allah akujaze majazo mema Yaarab👏👏🤲🤲🙏
@shaabanmtunguja51282 жыл бұрын
Me
@halimaa93672 жыл бұрын
Wewe ndugu yke mariam mtunguja yupo uku oman
@nasrainagakima41452 жыл бұрын
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh,sheikh Nina swali ,nimeskia umezungumza kuwa sio vyema kuswali swala ya usiku huku ukiwa na usingizi na vp kuhusu swala ya faradhi ambayo ni swalatul fajri nayo hupaswi ??
@heyumi23402 жыл бұрын
kumbuka swala ya asubuhi ni faradhi na ni lazima kuiswali swala zausiku ni suna OK
@jamalamon58462 жыл бұрын
Pia fajri mm nadhani si usiku, km sijakosea.
@heyumi23402 жыл бұрын
@@jamalamon5846 ni asubuhi ndiooo
@nusaybahabduly4502 жыл бұрын
Jaman sala za faradh ni lazima uisali haina sababu ila za sunna km una uwezo nazo sali km huwez una usingiz unatakiwa ulale ili ukiamka alfajir kwa ajili ya sala usiwe na usingiz wala uchovu. Kumbuka kuwa sala ya faradh ukiacha bila sabab za mcng ni dhambiiiii
@makamewadi72432 жыл бұрын
Mashallah
@mangulimanguli39742 жыл бұрын
Mashaallah
@mozaally76432 жыл бұрын
Shukran
@fatmahajj42 Жыл бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh Allah akuhifathi akuwengezee almu mafia akupe Pepo ya firdaus amin
@SelemanMakau8 ай бұрын
Mimi kiukweli,Kama ningejaliwa kukaa karibu nawewe Basi Kila msikiti ambao ungekuwa unaenda kutoa hutuba Basi ningekuja kukusiliza kwakweli Allah akuweke,visa na mifano unayoyatoa kwetu tunanyooka Sana,Allah akuhifahifadhi na manyang"au was ulimwengu.