Vyakula vya Wanga ni Hatari | Unaharibu Kizazi Chako| Vipimo Milioni 8

  Рет қаралды 70,266

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

5 жыл бұрын

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ( The Jakaya Kikwete Cardiac Institute ) iliyoko katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.Profesa Janabi, ambaye pia ni daktari Mkuu Binafsi wa Rais Mstafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametoa athari zitokanazo na matumizi ya chakula cha wanga kupita kiasi.

Пікірлер: 70
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 Ай бұрын
Prof Janabi nashukuru kwa elimu yako. Uliyoyasema yote ni kweli, nilipoacha tumia wanga kwa miezi 5 niliona matokeo mazuri sana. Nilikuwwa nikila matunda, mayai na samaki. Ahsante sana Prof
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 4 ай бұрын
Sisi tunataka kujua tule nini,,siyo ukosoaji tu.
@user-nh9pp8xe2g
@user-nh9pp8xe2g 4 ай бұрын
Mbishi huwa hafaidi chagua mwenyewe ule nini halafu uende kwake akakuzibue moyo.Tunabisha lakini matokeo tunaona jinsi watu wanavyoteseka.kula lakini kwa kiasi na mazoezi
@renataraymond8988
@renataraymond8988 5 жыл бұрын
Hatari sana,hasa watu Wa mijini maofisini.Elimu inatakiwa!
@Deojames98
@Deojames98 2 жыл бұрын
Kweli kabisa kazi za maofisini kama mtu asipokuwa na ratiba ya mazoezi ni hatari sana
@stevenclaud6648
@stevenclaud6648 5 ай бұрын
Ahsante prof kwa elimu naomba nikushauri zingatia lishe kula vizuri acha ubahili huo si mwili wako ahsante
@saramartine7330
@saramartine7330 4 ай бұрын
Hahaaa hatariii sana mmh ubahiliiii
@hamzamakame-fy6yp
@hamzamakame-fy6yp 3 ай бұрын
Tutakula ivo ivo tu twamuamin mungu hatuachi tule tu
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 4 ай бұрын
Kawa ambie Wasukuma wanao kula sana
@elizabethleonce1089
@elizabethleonce1089 13 күн бұрын
Waandishi wetu bana wanachekacheka tu kwenye vitu vya msingi
@kwisa4899
@kwisa4899 5 ай бұрын
Masomo haya kafundishe kijijini kwenu
@dietrihs9264
@dietrihs9264 3 жыл бұрын
Kufa siku ni moja na mungu akikupa ugonjwa amekupenda, Ule vyakula vya wanga usile utakufa hio hio siku moja 😁😂😂😂
@luthernicholaus2455
@luthernicholaus2455 Жыл бұрын
Pia magojwa wanachosha sana jamii na familia. Ni mateso sana kwa mtu binafsi na jamii kwa ujumla
@binhussain3445
@binhussain3445 Жыл бұрын
Huyo Mungu amesema tuchukue tahadhari
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 10 ай бұрын
Tunatakiwa kula kidogo bila kujaza tumbo ili ibaki nafasi ya hewa na maji,shida iliyopo kwetu tunakula hadi matumbo yanatuna mwingine mpaka anashindwa kupumua.Chochote kile kinahitaji kutumia kidogo hata mapenzi ukifanya sana matokeo yake ni uhalibifu;kila kitu inatakiwa iwe wastani.Mtu mwingine anakula chakula cha mchana saa 11 jioni na usiku anakula saa 3 tena pilau na nyama au wali mweupe;anategemea nini hapo?
@noelashoo6043
@noelashoo6043 7 ай бұрын
Dada God Is Love unatakiwa kuwa Na Kiasi Katika Maisha Hasa Kula Bila Kubebesha Lawama Mungu kakupa Ugonjwa. Hii part Achana Nayo mana huna Ushahid ww wala Mm cha Muhimu wajibika kutunza afya yako kwa Garama Yoyote ikibid Kuacha Kula vitu vya Ajab bila Masaa
@amjudith
@amjudith 5 ай бұрын
A very sad way of thinking 🤔🤔
@joniajohn4716
@joniajohn4716 4 жыл бұрын
Ahsante Prof
@olivamatama590
@olivamatama590 Жыл бұрын
Mungu atatulipia siku moja.
@Bakari_Mnolela1989
@Bakari_Mnolela1989 Жыл бұрын
Atatulipia Nini?
@rashidsuleiman9253
@rashidsuleiman9253 4 ай бұрын
😂😂😂atatulipia nini?
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 11 ай бұрын
Tumekulia ugali wa Dona mboga na maziwa mgando huko nymbn tena unapg kisufuria mtu mmoja😂sema tulikuwa tunatembea kwnd shamba kuchnga na shuke ni kilometer 3, sasa hivi wanetu wanakula huku wamekaa nitatzo kwakwel Asante kwa elim
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 11 ай бұрын
MADK MARA NYINGINE MNATUTISHA SANA!!!
@ahz6907
@ahz6907 6 ай бұрын
Kama anakutisha fanya utakayo.😂
@Newage.Construction
@Newage.Construction 4 ай бұрын
Swali, tule nini ambacho hakina wanga?
@user-xo5ch3yl5s
@user-xo5ch3yl5s 4 ай бұрын
Unatushauri tule NN doctor
@salumjuma6073
@salumjuma6073 Жыл бұрын
Prof.Mohammed tunaomba uanzishe KZbin Channel ili kutuelimisha zaidi kuhusu magonjwa ya moyo na vyakula
@abednegopaul2705
@abednegopaul2705 7 ай бұрын
Anayo tayari
@ahz6907
@ahz6907 6 ай бұрын
Ipo.itafute.
@gastorjohn5308
@gastorjohn5308 5 жыл бұрын
Msos Jaman
@solomonsebo2691
@solomonsebo2691 Жыл бұрын
Professor naomba utuambie tule nini na wewe unakula vyakula gani?Asante
@kipsjr3664
@kipsjr3664 2 жыл бұрын
ukiwasikiliza madaktari unaweza usile chakula
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 10 ай бұрын
Daktari kuzungumza bila kutoa miongozo ya Nini kifanyike Sasa Wapi na kwa watu wa namna gani hujasaidia
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 жыл бұрын
Kwenda zako kama ugonjwa unao ni wako tuu mimi toka nazaliwa chakuka kikuu ni ugali na uji vyoote ukibadili ni wali nao unakula siku ya skukukuu tu eiza pasaka klismasi ndo tunakula wali usitutishe
@godloveorio8029
@godloveorio8029 9 ай бұрын
Aseme tule nini sasa maana ugali na wali ndo vime tukuzia hadi sasa.
@SaimonTanganye
@SaimonTanganye 5 ай бұрын
Huyu mtu ni muongo tuwe makin nae.kila siku ana hili mara hili tusile wanga tutakula nn. Kusoma ni mhim ila kusoma ili kuelimika ni mhim zaidi . Lakn why professor kila siku mtandaon au unataka teuzi. Maisha yetu anajua mungu wengne ni uongo uongo tu mara tusile sukar mara wanga sasa tule nin na uwezo wetu ndo huo wa wanga .
@hanifamziray277
@hanifamziray277 5 ай бұрын
Samsasali tulia hapo husomi magazet msikilize doct punguza lishe
@georgebundala1915
@georgebundala1915 4 ай бұрын
Unatuongezea hofu,je maisha yanatakiwa kuwa na muelekeo mmoja?Tuteketeze mahindi na mchele na mihogo yote
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 9 ай бұрын
Dr Janabi Hujasema tule Nini
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 4 ай бұрын
Wanao PATA magojwa ya hivyo wengi ni wanakula vitu vya dhurma hata ally haph aliongea akiwa mkuu wa mkoa tabora mnadhulumu viwanja mashamba nyumba Hela mnatesa watu mnafunga watu saingine hawana hatia magojwa lazima yawarudie wenyewe
@deodadeo2016
@deodadeo2016 4 ай бұрын
Huyu jamaa alivyo mjuvi ataishi milele
@jamilarumisha7031
@jamilarumisha7031 5 жыл бұрын
Mm niliacha wanga kwa miez 11 kiukweli changamoto za ki afya nilizokuanazo zikaisha wanga na sukar ni hatar sn
@TamuzaKale
@TamuzaKale 3 жыл бұрын
Unakula nini badala?
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 10 ай бұрын
Sahihi
@abednegopaul2705
@abednegopaul2705 7 ай бұрын
@dr_tinner naweza kuja WhatsApp yako Dr unisaidie ni vyakula gani natakiwa kula maana tumezungukwa Sana na wanga. 🙏
@gllythetraveler2430
@gllythetraveler2430 5 ай бұрын
Tupo weng
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 5 ай бұрын
Bakini tu na vipimo vyenu maan kwa hiyo bei 😮 ngumu
@kainimkini2073
@kainimkini2073 4 ай бұрын
Aongee tule nini sasa sisi hatuna shida tutafanya kile kinachotakiwa anaongea mengi mno huyo doctor au tuache kula kabisa
@vengageorge6574
@vengageorge6574 4 ай бұрын
Nguvu watapata wapi
@praygodmtui1407
@praygodmtui1407 6 ай бұрын
Dada acha wenge
@user-nv3gh7pi3r
@user-nv3gh7pi3r 4 ай бұрын
😅😅😅
@user-sj4ur9zk9e
@user-sj4ur9zk9e 8 ай бұрын
Huyo alijinenepea 😂😂😂😂anapumulia gesi hta aibu hna
@marynkya2841
@marynkya2841 5 ай бұрын
😅😅😅😅
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 4 ай бұрын
Sasa tule nini jaman?
@emmanuelmpaliyenutritionist
@emmanuelmpaliyenutritionist Жыл бұрын
Huyu kazingua, akale shule upya. Vyakula vya msingi kula Ni vya wanga. Wazazi wamekuwa wakila vyakula hivyo vya wanga, (viazi, mihogo, ugali, maharage n.k) magonjwa hayakuwasumbua Kama Sasa. Tatizo he should backup with scientific evidence. Bongo tunakwama wap🤾🤾🤾
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 11 ай бұрын
Nikwel lkn walikuwa wanaenda shamba pia kuchunga mifugo chkula kinatumika tatzo Sasa hivi tunakula tumekaa Mungu tusaidie
@emmanuelmpaliyenutritionist
@emmanuelmpaliyenutritionist 11 ай бұрын
@@radhiambwana3353 hakana anayekula akiwa amekaa vi ginevyo nikiwete. Lakini pia mjini tunakula kwa kupima, utashangaa Mtu asubuh amekula mandazi matatu au matano na chai. Mjini hatuli Kama watu wa vijijini. Na siku hizi watu wanafanya jogging. So kuna mengi. Point ya kwamba walienda shamba ni soft sana.
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y 5 ай бұрын
Kizazi which?
@emiliananaombakulizanimeot3658
@emiliananaombakulizanimeot3658 5 ай бұрын
Docta Jamaica je Watton wakila mate kila siku inakuwaje
@lightnesscharlse2281
@lightnesscharlse2281 3 жыл бұрын
Tule nn jamani
@mwanjinzara8009
@mwanjinzara8009 8 ай бұрын
Tule vyote kwa wakati ila.kidogo sukali ikiwezekana tusiguse bia mwisho mbili nazo unywe saa.mbili au tatu chakula cha jion mwisho kula saa moja maxoezi tusisahau pia😅😅
@ramadhanmazije3882
@ramadhanmazije3882 5 ай бұрын
Na wewe Dr kutwa kucha unatutisha sasa tule nini? Utaepukaje vitu hivyo?
@suzanejeremiah3463
@suzanejeremiah3463 3 жыл бұрын
Ana rangi Kama roho yake
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 5 ай бұрын
Hahahaha
@faizaomary2036
@faizaomary2036 5 жыл бұрын
Tule nn docta
@mohamedkisalala4523
@mohamedkisalala4523 5 жыл бұрын
Tule nini sasa
@irenekatambe1090
@irenekatambe1090 4 жыл бұрын
eti jmn
@TamuzaKale
@TamuzaKale 3 жыл бұрын
@@irenekatambe1090 Hahaahahaha
@suleimanhamad920
@suleimanhamad920 3 жыл бұрын
Sasa tutapunguza baada ya kuelimika
@Ric0974
@Ric0974 Жыл бұрын
Vitamini kwa wingi!
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 17 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 60 МЛН
Je wajua kufunga masaa 18 au 16 kunaimarisha afya yako
10:39
BBC News Swahili
Рет қаралды 10 М.
ONYO KUHUSU TATOO/MUHIMBILI YATOA ANGALIZO ULAJI WA HOVYO
13:16
Это ежегодное настроение 😉 #tiktok #юмор #жиза #funny
0:10
Батя в общественных местах 😇
0:46
Время горячей озвучки
Рет қаралды 2 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
0:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
19 июля 2024 г.
0:20
мишук круглов
Рет қаралды 7 МЛН
The thieves pulled a prank on the Policeman ! 😬👮🤣
0:38
BOGDANCHIKI
Рет қаралды 5 МЛН