Mtumishi wa Mungu unanijenga, ninfundishika, neno ni tamu saaana. Tunaishi kwanneema tu. Asante baba.
@agnesseunice56324 жыл бұрын
Barikiwa Sana apostle mtalemwa, nafarijika Sana na jinsi Mungu anavyokutumia katika mafundisho ya neno la Mungu.
@patrickmunishi22773 жыл бұрын
Dah! Huwa unanibariki sana baba mutalemwa
@mtumwawayesu19564 жыл бұрын
Jamanieeee somo zuri sana cheif lkn kunamahali sauti inakata jmn...daaaah ... Ubarikiwe sana chief
@happyobeth85994 жыл бұрын
Huuuuuu tunatembea na neema sio sheria ameeen unanibariki saaaana
@Forester__2 жыл бұрын
That Man, Chief Apostle, very powerful
@beatricenjoki13314 жыл бұрын
Amen barikiwa sana
@tutengenezemuziki4 жыл бұрын
Nimekuelewa Chief.
@anaellamtalemwa31324 жыл бұрын
Powerful Chief
@happyobeth85994 жыл бұрын
Haaaaah somo zuri
@joycejumaa71814 жыл бұрын
Ameen
@naimijastine51033 жыл бұрын
Amen
@Mo_shoes_perfume4 жыл бұрын
Nakupata vizuri chief apostle
@lovenessdiva71324 жыл бұрын
Neema ya Mungu nikubwa mnoooo Yanii Uwiiisha moyo wang
@lucyluke86744 жыл бұрын
Mungu nirehemu kwa Neema yako..
@julianlaurent21074 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@lightnesstumsifu65934 жыл бұрын
Kweli kabisa
@vailethywalter56744 жыл бұрын
kweli ni Kwa neema ya mungu tu,asante chief
@honestyminde55194 жыл бұрын
Ahsante Sana Chief Apostle..
@dorsandollah33844 жыл бұрын
Ameen na mm ninamlilia sana MUNGU anisaidie niishinde dhambi
@robertnkyalu99274 жыл бұрын
You are correct
@mugenzimugenzi82414 жыл бұрын
Powerfull
@dismondamwoka3563 Жыл бұрын
💥💥💥💥💥💥💥 hahaha
@julianlaurent21074 жыл бұрын
Hapo umegusa penyewe maake walokole wanakera Sana na unafiki waoooooona ubinafisi
@pamelanabokolweojuma19644 жыл бұрын
God bless you
@elishapeterbalele38794 жыл бұрын
powerful
@furahinsichona72354 жыл бұрын
Samahani,Hapa Dar es salaam kanisa lipo wapi?
@doricelema25914 жыл бұрын
Kanisa letu Lipo Makongo Juu kituo cha Mashine ukiwa unatokea Milimani City.
@sarahmsangi72434 жыл бұрын
Furahin Sichona kanisa lipo dar ukifka pale mliman city unaweza chukua pikipik akupeleke makongo juu kanisan kwa bushiri wa takufkisha au kuna daladala zinazoenda makongo juu waambie wakushushe kanisan ecg
@franciscokilangazi82204 жыл бұрын
Ameeen
@framsirona4 жыл бұрын
(HIYO NEEMA YAKE BWANA YESU)*100000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000 NAKUENDELEA.................
@mwimbajinamwalimujaphetgeo17184 жыл бұрын
Sawa kbs wasabato wanajidanganya Sana hawataki Neema wanataka sheria ya Musa.
@uwrtvuwrtv35754 жыл бұрын
Chief unatisha kwa ufahamu
@gracekwila56744 жыл бұрын
Tunaishi kwa neema nimekuelewa sanaaaaa #NYERERE WA MAKANISA YA ECG TANZANIA
@jenipherkachecheba62514 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi,unanibariki sn Apostle
@jenipherkachecheba62514 жыл бұрын
Nikioneje unisaidie niko mbali karibu na Mutukula
@gracekwila56744 жыл бұрын
@@jenipherkachecheba6251 sijakuelewa
@reverentnkyami92924 жыл бұрын
Huu ni upotoshaji mkubwa! Warumi 7:7.Kazi ya sheria nikutuonyesha lipi jema na lipi baya! Kwa taarifa yako bila sheria dhambi haipo. Warumi7:7Mtume Paulo anasema, je torati ni dhambi? Hasha pasipo sheria hatuwezi kuitambua dhambi. Na kuna sehem amesema Sheria ni njema. Ni kweli sheria haimuokoi mtu ila Kazi ya sheria nikutuonyesha kipi ni dhambi na kipi si dhambi. Ndio maana tafsiri ya dhambi ni Uasi na uasi/ kutokutii sheria ya Mungu. Kwahiyo ukisema sheria haipo unamaanisha nini? Yesu atakuja kuhukum wenye dhambi, waouvu yaani ambao hakufanya mapenzi ya Mungu na mapenzi ya Mungu maana yake kufata sheria ya Mungu! Aiseee mumenichanganya sana mahubir yenu!
@salmahassan35214 жыл бұрын
Yuko sawa, hila kuna kipengele kidogo angenyoosha ingekamilika zaidi, kwa wasiojua neno kweli wanaweza potoka, coz it nguvu ya Roho tunayokuwa nayo inatuwezesha kutotenda mengi yaliyoandikwa kwenye Sheria
@happyobeth85994 жыл бұрын
Sabato
@patrickmunishi22773 жыл бұрын
Huyu ambae ajaelewa ndio wale ambao hata yesu awaku muelewa,ni wasabato hawa kusoma kwao Biblia husoma kama kitabu cha historia