Do you have classes and where exactly do you have classes from
@makingatv65512 жыл бұрын
Hongereni
@ashaalkharas88832 жыл бұрын
Kumbe igizo
@latifakilimo65142 жыл бұрын
Ukovizuri dada
@faridaafrica6342 жыл бұрын
Hapo sawa
@psj15642 жыл бұрын
Sasa hayo mambo yanatakiwa yafqnyike kwasiri sio azarani munawapa faida wasungo
@zainasaidi92182 жыл бұрын
Asante nikweli
@muniraabdulrahman56562 жыл бұрын
Huyo anaefundisha mwenyewe msungo
@asyadula18362 жыл бұрын
Nikwl tunafundishw ndani nje hutoka kwa kujinema2 kwa sisi waruguru
@abuudaru14012 жыл бұрын
Kweli
@mussamwaita12252 жыл бұрын
Tayari
@zainasaidi92182 жыл бұрын
Asante sana waambie waelewe
@faustinamanase24892 жыл бұрын
Kire Kire ³
@ukhtyashachannel55052 жыл бұрын
Mila inapelekea pia kuharibika kwamtoto ila pia inategemea na ayo mafumzo munayo mpa kama ya kijitukizima bas ndio apo mtoto anapo haribikiwa kwasababu mushamfindisha tayar
@mwajabumsami63882 жыл бұрын
Hakuna mzazi anayeweza kumfundisha mwanae maovu hata wanapochezwa hawaambiwikalale na mwanaume tatizo niwatotowenyewe
@MunaMuna-tn3go2 жыл бұрын
Atutaki ayana madili ya dini mambo Yao,
@mfuu91602 жыл бұрын
Hakik dear asha ila ukiwaambia sasa ayo madong yake balaa
@ukhtyashachannel55052 жыл бұрын
@@mfuu9160 nataka wachambe watoe madonge lakini nishaongea ukweli na mtazamo nnao ona
@mfuu91602 жыл бұрын
Kun cku mm apa nliongea na shog yang mzaram nayy heee nilijut 🤣🤣🤣 lkn nlimtumbua jipu nkamwambia vizur
@ukhtyashachannel55052 жыл бұрын
Na mambo hayo hayafanyanywi hazarani
@khadijarajab83832 жыл бұрын
Wazaramo ngoma yao cha mtoto tu hawa ndio wanaosababisha ngoma zote zionekane sio kitu ndiomana wanasemwa vibaya.
@rahmasambara84412 жыл бұрын
Soma kwanza maidhui uelewe ndo uje kuweka comment
@ukhtyashachannel55052 жыл бұрын
@@rahmasambara8441 hamna cha kuelewa mauzui pwety ipo hivi watu wakifundishwa mambo hayo huwa ni siri sio wazi wazi Hill ndilo nilosema
@ukhtyashachannel55052 жыл бұрын
@@rahmasambara8441 mfano mdogo t mimi nnashoga au kafundwa kama ivo kafundishwa mapema mambo makubwa mbona hakufundishika tulikuja skia tu kashapata mimba bila kuolewa .kwasababu alifundishwa mambo makubwa mapema
@nassibaisha52432 жыл бұрын
Alifudwa Kisha akaenda kujaribu,kwa hiyo inaligana na mwari mwenyewe.