Spika Ndugai Amjibu Lema Kuhusu Bunge na Serikali Kutomsaidia Lissu

  Рет қаралды 149,641

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Subscribe / uwazi1
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema anamsamehe Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema kwa maneno aliyosema kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwa hajui atendalo.
Spika Ndugai amesema amesononeshwa na maneno yanayosemwa kuhusu Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu kupigwa risasi.
Akizungumza baada ya kutambulisha wageni bungeni leo Alhamisi, Spika Ndugai amesema wabunge wenyewe ndio waliamua suala la matukio ya watu kushambuliwa kwa risasi liende wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama.
Spika amesema Lema anamtuhumu kwa kumpelendugaka mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge lakini wao ndio waliamua suala la watu kushambuliwa kwa risasi lijadiliwe na kamati ya ulinzi.
“Anasema maneno barabarani ayaseme huko kwa wabunge wenzake,” amesema Spika.
Kiongozi huyo wa Bunge amehoji ni kwa nini wanasubiri awaite kwenye kamati wakati wanaweza kwenda badala ya kupotosha wananchi.
Spika amesema hata yeye hajui kinachoendelea ila anasubiri kamati iwasilishe taarifa bungeni kesho.
Amesema si vizuri kutumia tukio hilo kuwashutumu wabunge wengine kama mashetani.
Spika amefafanua shutuma zilizotolewa na Lema kwenye mtandao akisema suala la Kubenea linahusisha mapenzi, Bunge kutogharamia matibabu na wabunge kuchangia badala ya Bunge kulipia.
Mbunge wa Singida Mashariki, Lissu alishambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi Alhamisi Septemba 7 akiwa nyumbani kwake Area D mjini Dodoma na sasa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aga Khan iliyopo Nairobi, Kenya
Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1

Пікірлер: 346
@kelvinvenance1483
@kelvinvenance1483 7 жыл бұрын
Spika uko sahihi be blessed umejibu kwa kanuni na taratibu na umetoa ufafanuzi mzuri. Mwenye masikio amesikia na mwenye kuelewa ameelewa
@kfastak
@kfastak 7 жыл бұрын
Ahsante Lema ujumbe ulifika
@laumlimbila4337
@laumlimbila4337 7 жыл бұрын
nawakubali wapinzani kwa hili spika uko sawa mungu akulinde ndugai
@abras3479
@abras3479 7 жыл бұрын
Right on POINT Mr Spika, well done. that is what we call maturity in politics. Arusha deserved better.
@adinanjuma2457
@adinanjuma2457 7 жыл бұрын
Ndugai bana, you are bright sana!
@kifarusongeaolg9726
@kifarusongeaolg9726 7 жыл бұрын
pole sana mueshimiwa
@geofreymwaipopo7627
@geofreymwaipopo7627 7 жыл бұрын
Very nice our gud leader so rispect
@nyangorwihula9281
@nyangorwihula9281 7 жыл бұрын
Baba tumekuelewa. Asante kwa ufafanuzi.
@petertengia3062
@petertengia3062 7 жыл бұрын
siasa ya bongo kama vita tushawastukia hao hawana lolote pigeni kaz waache wao waendelee kupiga maneno kaz nzur spika mungu akubark
@mamuubuss4236
@mamuubuss4236 7 жыл бұрын
mungu akupe moyo wa sbra spka wetu
@msovietimjamaa3017
@msovietimjamaa3017 5 жыл бұрын
Ur the walking dead
@kalongaalex8262
@kalongaalex8262 7 жыл бұрын
Mungu atakulipia mheshimiwa Ndugai
@upendoakio5825
@upendoakio5825 7 жыл бұрын
pole kakaangu ndugai dunia tambara bovu vumilia tuu mungu akutie nguvu
@tedystanley8889
@tedystanley8889 6 жыл бұрын
Hah ''arusha deserves better' we were better since before na saiv ni best coz of comrade lema!! God bless you Godbless lema
@paulinabaynit3627
@paulinabaynit3627 7 жыл бұрын
Nyie watu acheni kuropokaropoka mnajua sheria na taratibu za bunge? Nyie wapinzani jichunguzeni sana, mwenzetu amevunjwa vunjwa na risasi bado mnafiliri ndiyo dili kulaumu watu wasiyo husika, huo siyo upendo, acheni mara moja na tumwombee Lisu msiingize siasa kwa mambo kama hayo. Mungu akutie nguvu SPIKA wetu. Sema usiogope baba.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 7 жыл бұрын
yupo sawa nn,angefikisha hill swala sehemu husika akafikishiwa ujumbe spika
@emmanuelterevael5766
@emmanuelterevael5766 7 жыл бұрын
safi sana spika nimegundua kwamba kuwa kwako na hasira sio bure kuna wabunge wanakera kinoma....
@fellaanikulapo4712
@fellaanikulapo4712 7 жыл бұрын
Ila Leo kwa Mara ya kwanza nimekuelewa
@msovietimjamaa3017
@msovietimjamaa3017 5 жыл бұрын
Ur the walking dead
@rahamalast4005
@rahamalast4005 7 жыл бұрын
Bora spika umeongea tumekuelewa vyema achana na hao
@iviejustified8109
@iviejustified8109 7 жыл бұрын
Na ndiyo maana ya kuwa wana jumuiya lazima muwe na protocol plus platform.... very proffessional Mh. Ndugai
@dasadaimasanga7287
@dasadaimasanga7287 7 жыл бұрын
Dah mungu amsamehe uyu jamaa LEMA
@anaplucas1698
@anaplucas1698 7 жыл бұрын
Uko sawa mh speaker
@akimmbwego797
@akimmbwego797 7 жыл бұрын
BIG BROTHER ALWAYS RIGHT
@doglasssalla9170
@doglasssalla9170 6 жыл бұрын
yesss man nakukubali big up
@ufahamumelekizedeki2139
@ufahamumelekizedeki2139 6 жыл бұрын
Akim Mbwego
@manyangagrace4342
@manyangagrace4342 7 жыл бұрын
pole spika wetu wapokee tu hajui atendalo, wasamehe saba mara sabini.
@bsgfreightpermits3673
@bsgfreightpermits3673 7 жыл бұрын
shetan anapendeza sana kwa sura na lugha.
@gehartstone9452
@gehartstone9452 7 жыл бұрын
Mheshimiwa spika uko vzr sana ispokuwa wtz wengi sio waelewa.
@jobmwakilama1541
@jobmwakilama1541 7 жыл бұрын
nakukubali sana wajina wangu, wapinzani wanatafuta tafuta tu, kasoro
@salmaidrisa3811
@salmaidrisa3811 7 жыл бұрын
Wabunge ni Tatizo La Nchi Yetu, Wanawashwawashwa ka Baadhi ya Wastaafu
@labanigalusi874
@labanigalusi874 7 жыл бұрын
spika uposawa sawa kabisa
@faithpaulnyabagaka2410
@faithpaulnyabagaka2410 7 жыл бұрын
For this nime kuelewa baba be blessed
@musibaessaba8693
@musibaessaba8693 7 жыл бұрын
Bunge lina mambo mengi sana Sidhani kama muda utatosha Mitandaoni kuna topic nyingi sanana si rahisi zote zijadiliwe bungeni
@edmundedward4365
@edmundedward4365 7 жыл бұрын
Hakuna siku Mh Ndugai umenigusa kama leo, Lema tukutabe 2020 sisi ndio Arusha tutakunyoosha na wengine wooote mnaojipanga kugombea kupitia Chadema, nasema tukutane 2020
@ebenmkidzi2506
@ebenmkidzi2506 7 жыл бұрын
nc
@haroldsenyagwa4756
@haroldsenyagwa4756 7 жыл бұрын
dah kweli wakubwa mmejitengenezea kinga ya uhai...kwann wananchi wasipate hata matibabu bure bas hospitali za ndani?
@kafugejoel4422
@kafugejoel4422 7 жыл бұрын
pole sana Mhe Speaker
@suleimanally3515
@suleimanally3515 7 жыл бұрын
wewe kwani Mungu?
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Huyo rema kazi yake majungu sana
@kennedyjohn6788
@kennedyjohn6788 7 жыл бұрын
lema yuko sawa wee endelea na bunge lema anaasira mmemshambulia mbunge wao lisu hanauhakika kama atapona
@davboimkali2857
@davboimkali2857 7 жыл бұрын
Spika upo sawa kabisa
@kulwamapunda4414
@kulwamapunda4414 7 жыл бұрын
Kaka maelezo mazur sana, truth is by nature a self evidence...that stand loner
@fokasiinnocent3448
@fokasiinnocent3448 7 жыл бұрын
mheshimiwa ndugai we nimpore sana!!!!!! kiboko yao ni d.r tulia naibu spika na zungu mbunge Wa ilala watu hawa hawatakagi kubembeleza!!ndugai usiumie achana nao.
@bahariahd6299
@bahariahd6299 7 жыл бұрын
Mungu akulipe wema spika lima hana jambo tushamzoea
@fausterjordan2880
@fausterjordan2880 7 жыл бұрын
mmechangishana pesa nyie wabunge yakumtibia mbunge mwenzenu mungu amewaona ..haya mengine nichangamoto
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 7 жыл бұрын
Duh! kweli kile Kiti kinamhitaji MTU mwenye Busara
@donathaayaga527
@donathaayaga527 7 жыл бұрын
Nauliza tu, Bima yenye Referral Aporo India ni kwa waheshimiwa tu????
@mosesmagadula9122
@mosesmagadula9122 7 жыл бұрын
KUJIBU HOJA KWA HOJA NDIO SIASA SI KUKASIRIKA..
@doglasssalla9170
@doglasssalla9170 6 жыл бұрын
yesss man upo sahihi sana ndugu upo sahihi ndugu
@graceswai9147
@graceswai9147 7 жыл бұрын
Hii Kweli Tanzagiza, Serekalee Inaendeshwa Kinafki Sana Mungu Atawaumbua Only time will tell...
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 7 жыл бұрын
Si vyema Sana kutoa lawama za kuleta mkanganyiko katika jamii. Hakuna mtu anapenda mambo haya ya mashambulizi yakifanyika. Hakuna sababu ya kutaka kupata umaarufu kupitia mtu aliyeumizwa. Mungu awape hekima wabunge wengine. Wazuri kwa sura lkn mambo yao mmmmmmm!! Asome Mith. 14:33
@eliuthamangula1791
@eliuthamangula1791 7 жыл бұрын
Ukiwa na kichwa cha mwendawazimu au kukurupuka huwezi muelewa spika!!.. "ARUSHA DESERVES BETTER"
@preciousadellycious2774
@preciousadellycious2774 7 жыл бұрын
upuuziiiiiiiii
@shendimwampamba6570
@shendimwampamba6570 7 жыл бұрын
Unafiki
@zubedahussein9779
@zubedahussein9779 7 жыл бұрын
achana nao spika wpinzan hawana jema kaz kutafuta lawama kila siku
@thaddeojude7511
@thaddeojude7511 7 жыл бұрын
Ktk hili na mengineyo,sasa wanasiasa wetu mnatuaminisha kuwa sio wakweli.daima mnatunga mambo tu kuwaaminisha watu ili wawakubali.prove failure!!kumbe ni haki kabisa mkifukuzwa bungen.for sure "Arusha Deserve better""
@masseanadir2904
@masseanadir2904 7 жыл бұрын
Duh kumbe nyie bima yenu inaenda hd India
@kimongearusha247
@kimongearusha247 7 жыл бұрын
Spika wa kwenye mitandao
@matobholwamanonu5919
@matobholwamanonu5919 7 жыл бұрын
Spika anaharibu kujibu...maana leo ukijibu la huyu..kesho ataibuka mwingine na lake....
@aikaelias2491
@aikaelias2491 7 жыл бұрын
huna jipya ww mungu akuona usizani kama ww ndo mpendwa sn mungu atakulipa tuuu malipo ni hapa hapa jidai tuu kweli ww nimbaya sana hata ww hakushangaii
@stewartmillanzi7198
@stewartmillanzi7198 7 жыл бұрын
Kumbe bado na nyie mnapoteza muda kujibizana kwa mambo ya kwenye mtandao...!? Huu ni uswahili wa hali ya juu.
@maulidawadh1647
@maulidawadh1647 7 жыл бұрын
hajielewi huyo spika
@johnadam6825
@johnadam6825 7 жыл бұрын
Mmmmh kazi ipo
@mauwezohouseofjeansmauwezo6062
@mauwezohouseofjeansmauwezo6062 7 жыл бұрын
Chadema hawana imani na serekali ndo maana wakampeleka kenya....kulingana na mazingira...nawaunga mkono chadema kwa maamzi yao..
@gisilabarunguza6679
@gisilabarunguza6679 7 жыл бұрын
Sometimes silence is the best answer.
@ephraimmwano7134
@ephraimmwano7134 7 жыл бұрын
Leo umeongea vzuri na umeeleweka
@bwanasalehe6732
@bwanasalehe6732 7 жыл бұрын
Spika huyu ana hekima pia busara kama unakumbuka vizur haliwhy kumchapa bakora mgombia mwenzake
@graceswai9147
@graceswai9147 7 жыл бұрын
Bwana Salehe haaahaaa
@robartmdumarobart6568
@robartmdumarobart6568 7 жыл бұрын
HATAWASINGETUPELEKA KWENYENDEGE TUNGEENDAWENYEWE
@festomeshack8581
@festomeshack8581 7 жыл бұрын
Naona spika amekuwa anaendesha bunge kwa kutizama yasemwayo mitandaoni.
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 7 жыл бұрын
Spika yuko sawa mzee coz hata wewe unapata habari kupitia mitandao hakuna tatizo kumjibu ili tujue ukweli
@mtatiromgeka7270
@mtatiromgeka7270 5 жыл бұрын
Festo Meshac
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Wanafanya Kiburi sana hawa wapinzani wa chadema rema ndio ariyefanya diri ra kupigwa tundurisu mpo hapo watanzania
@francissalamba8112
@francissalamba8112 7 жыл бұрын
Lema juuuu hata ufanye vip
@emmanuelngadaya1412
@emmanuelngadaya1412 7 жыл бұрын
spika siku hizi anajibu hoja za mitandaoni, bunge limekuwa lina summarize kilichojili mitandanoni kama vile Millard Ayo! Plz Mr. spika we have a lot to do!
@frankmachumu2481
@frankmachumu2481 6 жыл бұрын
Dr. Emmanuel Imani Ngadaya
@daudimwidimakihanda5386
@daudimwidimakihanda5386 7 жыл бұрын
Mheshimiwa Ndungai kama ulikua unalijua hilo na ukasema unaomba useme kwa upole ndivyo ivyo ungemwambia Zitto kabwe sio kumtishia hatoingia bungeni
@monakalinga7623
@monakalinga7623 7 жыл бұрын
Leila aliyeleta mkanganyiko ni lema so acha spika ajibu tujue coz mambo hayawez kwenda mtu atakavyo kuna taraatibu
@fanimasambu2443
@fanimasambu2443 7 жыл бұрын
Hahahahahah!!! Mshaambiwa kuwa mwafaaaaa
@franklinbennie4470
@franklinbennie4470 7 жыл бұрын
muggingaikavyo na hii mitandao nkama iliwapigia kura hvi sawaaaa
@ramadhanihatibu374
@ramadhanihatibu374 7 жыл бұрын
Kwahiyo gari ya naibu spika ni la serikali au bunge
@sulleabasi6761
@sulleabasi6761 7 жыл бұрын
speaker accept your own mistakes stop working unwillingly
@amirijr
@amirijr 7 жыл бұрын
Hila jamani kwani siasa ni lazima uongee uwongo na hali kila kitu kipo wazi kama alivyoelezea Mh Ndugai - Spika. Hapo ndipo ninashindwa kujua huwa kunatumika vigezo gani mtu kuwa mbunge au kupitishwa. Tubadilike na siasa za majungu na kutafuta umaarufu kupitia matatizo. #mimi na Tanzania
@abdalahmohamedi1806
@abdalahmohamedi1806 7 жыл бұрын
Spika kama haukufanya kosa usungejibu hoja ya lema ila unajua kwamba umekosea ndio maana umejibu
@rajabushomari2910
@rajabushomari2910 7 жыл бұрын
mungu akusimamie spika wet, achane nao huyo lema hana akil hata kidogo anatakiwa asome nyakati
@kassmbilali5013
@kassmbilali5013 7 жыл бұрын
Unachekesha alio kodi ndege niww au hiyo selikali yako turk nimwanadam aliguswa natukio hilo ndio mana alikod hiyo ndege naleo chadema wamelipa hiyo ela we huna mana yeyote
@hassankasigwa477
@hassankasigwa477 7 жыл бұрын
Leo umeongea ktk hisia kari na upole wa hari ya juu mambo mengine raia tunapotoshwa kwa hari ya juu sana FANYA KAZI SIPIKA MUNGU NDIO ANAKUONA UPO KWENYE HAKI AMA HAUPO KWENYE HAKI!
@atheistblood8568
@atheistblood8568 7 жыл бұрын
tutona mengi
@mathayomkumbuchile1569
@mathayomkumbuchile1569 7 жыл бұрын
Choko hilo
@isuqalex8726
@isuqalex8726 7 жыл бұрын
amna cha kamat wala cha mama ake na kanati mpo mpo 2 nch gan hiii....kwel bongo bahati mbayaa
@samwelpetar3612
@samwelpetar3612 7 жыл бұрын
Sasa wanaopiga meza nn kimewafurahisha hapo
@jumanguru670
@jumanguru670 7 жыл бұрын
mbona nyie hamtibiwi tz km cc ?
@christinasangu8040
@christinasangu8040 7 жыл бұрын
Wanatapatapa kweli hawa
@adamkatet274
@adamkatet274 7 жыл бұрын
Hao Chadema wengi vichaaa hao
@mwalimuchristian3273
@mwalimuchristian3273 7 жыл бұрын
Mi nadhani Spika si lazima sana kila kitu akijibu, vingine apotezee tu, akiendelea hivi kwa kujibu kila neno nadhani atachoka sana maana hawa watu wanajijua wenyewe
@reubentza
@reubentza 7 жыл бұрын
Spika toa ushahidi tuamini kama ni kweli ndege ilikuwepo
@ufahamumelekizedeki2139
@ufahamumelekizedeki2139 6 жыл бұрын
Ruben TzA
@jackllinendehel2361
@jackllinendehel2361 7 жыл бұрын
Mimi ni mwana Chadema kwa hili ndugai uko sawa sana tenda haki siku zote hutonyooshewa vidole
@danielbasilwango4402
@danielbasilwango4402 7 жыл бұрын
Jacklline Ndehel wewe ccm tuu acha kuzuga kwa jali ilivyo leo
@thomasnaman3909
@thomasnaman3909 7 жыл бұрын
Jacklline Ndehel we non sense kweli ndo wenye mawazo mgano ambayo kila kitu mnaona sawa
@julianamsengi7002
@julianamsengi7002 7 жыл бұрын
Jacklline Ndehel kwani kuwepo pale ndio msaada lema yuko sawa kabsaa umelipoti polisi kuna m2 anakutishia kwann hawakuchukua uamuzi wa kumsaidia tindu lisu?????????????????
@graceswai9147
@graceswai9147 7 жыл бұрын
Juliana Msengi CDM fake utakua
@fatimahassanmohammad1941
@fatimahassanmohammad1941 7 жыл бұрын
upo sahihi usiumize kichwa nahao wabunge wasioelewa sheria nakanuni zabunge fanya kazi ndugai
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 7 жыл бұрын
Sometimes watu wengine wakiongea ongea maneno mengi ni kunyamaza na kuyaacha hivyo hivyo. Maana kuongea ni kuongeza matatizo au kuendeleza maongezi. Tumieni muda kwa masuala ya msingi. Watu wengine wamejaliwa kuwa wasemaji mahiri huwezi shindana naye maana ndivyo alivyojaliwa kuwa vile alivyo.
@davidmbilinyi4198
@davidmbilinyi4198 7 жыл бұрын
nimekuelewa m. spika sauti yako na roho yako sio mbaya
@adinanjuma2457
@adinanjuma2457 7 жыл бұрын
Mbunge wa jimbo langu Lema uliteleza...Kama haya ndo yaliyofanywa na spika
@katungenyanda6177
@katungenyanda6177 7 жыл бұрын
pole spika wetu Mungu atasimama mbele yako watu watafuta cheap popularity wengine wanatafuta wanachama na wengine wanatafuta waumini kwa hiyo usife moyo watanzania tunaojitambua hatubabaishwi watawapata wasiojitambua
@fausterjordan2880
@fausterjordan2880 7 жыл бұрын
lema tushirikiane kumwombea mgonjwa apone achalawama hazisaidii kwasasa
@kitangacharles5818
@kitangacharles5818 7 жыл бұрын
unamfaham lema ila humjui!
@beatricemushi9718
@beatricemushi9718 7 жыл бұрын
spiki kwanza kwa kujibu hiki kitu umesaidia wale ambao walikuwa hawajaelewa kuelewa ila wale ambao hata uwaeleweshe vipi wao wanabaki na wanachokiamin hao achana nao ila umeniudhi jambo moja unaposamehe bila sabb ya msingi ya kusamehe why Mimi nilijua baada ya kuongea ungempiga chini huyo Lema dahh eti nasamehe no watu wengine sio wakusamehewa watoe tu coz unamamlaka we jitu linaongea uongoooo bila sabb pichi chini wote hao spika
@doglasssalla9170
@doglasssalla9170 6 жыл бұрын
Beatrice Mushi,mwanamke mweye akili iliogandaa mavi ya chooni,hivi wewe lema kazungumzia kenya,tena katumia haki yake ya uhuru wa kujieleza na hakuna sheria yeyote aliovunja iwe ya kenya au tanzania,apewe adhabu gani,ndio nyie ambao ha kwenye biblia yesu aliwaambia watu,waacheni wafu wakazike wafu wao,wewe lema he was right and im still insist lema he was right,kwasababu tanzania inawajinga wengi na watu wa kuamini bila kufikiri ndio maana kila ujinga wa ccm watu nanuamini,sasa ampe adhabu lema yeye nani,uwe na akili wewe unaetumia jina bandia la moshi,huku ukiwa nyangao asiejitambua,kama kungekuwa na makaburi ya kuzika wafu wanotembe hata wewe ungekuwa umezikwa tiari,poooooooolllleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nyangao la moshi
@mwanahella9650
@mwanahella9650 7 жыл бұрын
🤔😳
@mashakadeya5347
@mashakadeya5347 7 жыл бұрын
zwazwa
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 7 жыл бұрын
Nilifiliya at least kwakuwa wana mugonjwa hospital watasaidiya the family to restore peace kumbe hapa lisu yuko hoyi nawao kuendeleya kuvunja familia yake, eti spika, spika,spika,mala wanajua aliyemupiga lisasi. .......duuh nikazi kuwa na malafiki kama awa wakati mgumu, hivi si niliona mke wa lisu ni mwanasheliya kwa nini asiombe privacy kwa familiya yake???? Anaanikwa inje nawabunge wa chadema 😩😩😩 duuh spika muna kazi ku deal na hizo viumbe
@sangararawarioba3016
@sangararawarioba3016 7 жыл бұрын
Hivi hili ndilo bunge nililolisoma kwenye Vitabu la wakati wa Piusi Msekwa au Mzee Sitta au hata mama yetu Makinda?! Mbona bunge kinazidi kuondoa hadhi ya hata kulitazama?! Hivi hayo ndo tuliowatuma mfanye humo mjengoni kweli?!
@robartmdumarobart6568
@robartmdumarobart6568 7 жыл бұрын
LEMA TUNAKUKUBALI ASILIMIAMIA SEREKALIINAKOTUPELEKASIKO
@jerrywilhelm
@jerrywilhelm 7 жыл бұрын
Umefanya vema kubadili response Nafasi yako si ya kutumia kutema cheche za ubabe bali kutawala kwa hekima na busara. Utafungia wengi sana ukiikosa hiyo. Jazba haifai!!!
SPIKA AMVAA LEMA - "Sikuogopi, Una STRESS Wewe Unadaiwa MIL 419"
4:33
Global TV Online
Рет қаралды 27 М.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 15 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
Why is Ukraine the West's Fault? Featuring John Mearsheimer
1:14:16
The University of Chicago
Рет қаралды 29 МЛН
This is HOW Small Steps Make Big Changes | Muhammad Yunus | Top 10 Rules
16:23
Wolfram Physics Project: Update with Q&A Tuesday, Oct. 19, 2021
3:11:21
Germany’s Historic Election Results Explained
10:16
TLDR News EU
Рет қаралды 244 М.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 15 МЛН