SPIKA AMVAA LEMA - "Sikuogopi, Una STRESS Wewe Unadaiwa MIL 419"

  Рет қаралды 28,067

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SPIKA AMVAA LEMA - "Sikuogopi, Una STRESS Wewe Unadaiwa MIL 419"
Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameiagiza kamati ya Bunge ya Haki na Maadili kumuita na kumhoji na kumtolea maamuzi leo leo Aprili 03, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kutokana na utovu wa nidhamu aliouonesha Bungeni.
#BUNGENIDODOMA
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website:www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 44
@martinakyoo148
@martinakyoo148 5 жыл бұрын
Mnaopigania haki za Watanzania msipopata wa kuwatetea yupo Mungu anayeweza kuwateatea na anazo njia nyingi. Pambaneni ipo siku historia itanena.
@AloisMosha-uv2fu
@AloisMosha-uv2fu 8 ай бұрын
Umbeaa mzee
@AloisMosha-uv2fu
@AloisMosha-uv2fu 8 ай бұрын
Zamana cheo
@AloisMosha-uv2fu
@AloisMosha-uv2fu 8 ай бұрын
Jipya mzee kalale usiku mwema
@emmanuelbwire5173
@emmanuelbwire5173 5 жыл бұрын
Kazi ya bunge nikusolve matatizo yetu nasio kwamba kusemana na kuonyeshana ubabe
@caesarfranc
@caesarfranc 5 жыл бұрын
Huyu spika ni maku kweli
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Mmmmmmh ubaguzi
@saidechokozasaidechokoza3371
@saidechokozasaidechokoza3371 5 жыл бұрын
Hata kama ungefanya unyanyapaa ndani ya bunge kwa kujivunia uspika bado unajisumbuwa wangapi walikuwepo akina sita makinda msekwa wako waapi today? Hata ww muda wako utapita tu huto dumu milele na mungu anakuona vizur sana tutakutana ulaiyaani
@joycemagessa350
@joycemagessa350 2 жыл бұрын
Mungu analipa hapa hapa huna uspika wewe pumbavu
@ramiaomary4277
@ramiaomary4277 5 жыл бұрын
Akuna person yani natamani mikopo ifutwe kwani # baba au mama awawezi kukusaidia alafu badae uje kuwazalau basi mkikopa tusaidieni na sisi tunaowapigia kura mnashindwa hata kutoa milioni 100 kwa mwaka mmoja kutukopesha sisi tuliewapigia kura dah mungu wewe ni wawote wenye mwili
@nicksonclinton5842
@nicksonclinton5842 4 жыл бұрын
ulevi wa madaraka spika
@jumaramadhan3464
@jumaramadhan3464 5 жыл бұрын
Mbona wew aujisemi kwanza Lema mshitaki uyu mtu mzalilishaji
@judyngowi391
@judyngowi391 2 жыл бұрын
Hahahaaa safari hii umeingia 18 za Samia
@edwinmakingi3631
@edwinmakingi3631 5 жыл бұрын
Wafalme wote walipo karibia kuanguka , walijaa kibri na jeuri, kulikua na mfalme akiitwa Nebokadreza, huyu alikua na kibri kama tunachokiona leo kwa watawala kama hawa, mambo yote haya yatapita, na kila mwenye kibri na jeuri atashushwa, chukua mfano wa mabuto seseko jinsi alivyokua na kibri , lakini wote mnafahamu aliko ishia tena kwa aibu.
@vodacom9315
@vodacom9315 5 жыл бұрын
Tupo pamoja na mbunge wetu lema
@elibarikibayo4047
@elibarikibayo4047 5 жыл бұрын
Mda mwingine ni kweli , msongo wa mawazo upo ukiwa una madeni mengi
@adilipius7379
@adilipius7379 5 жыл бұрын
Acha vijembe wew pumbavuu mbona wew ulimpiga fimbo mbunge mwenzio pumbafuu wew kukopa miion mia sita wew zinakuhusu nini mbona wew unamadeni
@pereilambonabucha6192
@pereilambonabucha6192 5 жыл бұрын
Mmm kweli Bunge dhaifu ndo nimeani
@mohdmohd2550
@mohdmohd2550 5 жыл бұрын
Heeh, spika!!!!
@saidechokozasaidechokoza3371
@saidechokozasaidechokoza3371 5 жыл бұрын
Nakupongeza cag mh mdee mh lema kwa kuongea ukweli kuuzihilisha ulimwengu kuwa bunge la ndungai ni dhaifu hata ukiwafungia bado wananch tunajuwa kuwa ww bunge lako ni dhaifu na hata ww mwenyewe na jopo lako wote wadhaifu na ndiomaana bunge lako ni dhaifu
@davidremmy2769
@davidremmy2769 5 жыл бұрын
Hahahahahaha!!! Nachoka sana. Kwa spika kama huyu.... hatuwezi kufika...
@mwampikamelkzedek7817
@mwampikamelkzedek7817 5 жыл бұрын
Many many tekeli na metheli
@andrewemanuel9513
@andrewemanuel9513 5 жыл бұрын
Mhhhhhh mbn wabunge ni wengi tu wanaodaiwa tena mamilioni ya pesa?
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Sasa mkopo wake unahusiana vipi dahhh
@leticiaelias7543
@leticiaelias7543 4 жыл бұрын
Huyu spika mm ningekuwa mbunge wangeshanifukuza maana ningrmng'ata hata pua
@bashirumatola1721
@bashirumatola1721 5 жыл бұрын
SPIKA HUYO UNAYE MWAMBIA TOKA NJE SIO MBWA NI MBUNGE KAMA WEWE JIFUNZE KAULI ZA KISTARABU BORA UNGE MWAMBIA UONDOKA NENDA NJE ACHA MAMBO YA UBABE
@florameza9529
@florameza9529 5 жыл бұрын
Hivi kila mtu akitoa siri za mtu na akawa na uhakika nazo utafurahi? Vitu vingine tunafanya vya kitoto kabisa
@joelmataro8945
@joelmataro8945 Жыл бұрын
Malipo huwa ni hapa hapa Duniani
@atwayally8105
@atwayally8105 4 жыл бұрын
Haikuhusu kwani kakuambia kashindwa kulipa
@hamedmaskari518
@hamedmaskari518 5 жыл бұрын
Munawaonea una siku yako wewe umesahau wewe ulimpa yule ccm mwenzako gongo akazimia mbona hujafanywa kitu
@davidkalinga5580
@davidkalinga5580 5 жыл бұрын
asante cag naona neno lako linathibitika sasa. bunge kupitia afsa mikopo wake wanatangaza mkopo wa milion 400 wa mteja wao. hahahaaaa mh. afsa mikopo utaishi milele eeeeeeh
@miriamlema4386
@miriamlema4386 5 жыл бұрын
Wewe spika acha ujinga, ujinga wako umezidi kipimo
@yordanyona1234
@yordanyona1234 5 жыл бұрын
Wananchi tunajielewa na tunaelewa Ndugai nyie dhaifu
@saidechokozasaidechokoza3371
@saidechokozasaidechokoza3371 5 жыл бұрын
Sasa kama c ulimbikeni wa spika ni nini? Wabunge wangapi wanadaiwa? Ukiwepo na ww mwenyewe why? Umtangaze mh lema kama anadaiwa ivi kutoka uspika hadi kuwa afsa mikopo daa amakweli wagogo c watu ni wanyama
@petromakilika1131
@petromakilika1131 5 жыл бұрын
hapo ni kufifisha upinzanii tuu hakuna asie daiwaaa
@kinyutatonha8831
@kinyutatonha8831 5 жыл бұрын
uyu ndungai ana hasira hawezi kuwa kiongozi
@mwidausaid5701
@mwidausaid5701 5 жыл бұрын
Huyu anajiona mkamilifu na kuongea kwa kibri kiasi hiki mi nafkir watanzania wana sababu ya kuwakataa viongozi km hawa tuachane na hiki chama Cha majambaz kitatufikisha pabaya kwa kauli km hizi
@hamedmaskari518
@hamedmaskari518 5 жыл бұрын
Halafu kutoa siri za wabunge kukopa pesa ayo ni mambo ya pasanal ndio maadili ?munakwenda pabaya usijisahau
@saidechokozasaidechokoza3371
@saidechokozasaidechokoza3371 5 жыл бұрын
Na hata ww pia hatukuogopi mbwa ww who are are you ? Acha ubabe ubabe hilo bunge c la baba yako wala mama yako haumkomoe mtu ww no mjinga tu tatizo la wagogo wana mapungufu ya akili sio watu wa kuwapa vyeo hata mwalim aliwakataa
@petromakilika1131
@petromakilika1131 5 жыл бұрын
mbona wabunge wengi wana madenii ,hata weweee waweza kuwa na madeniii. hzo ishu za madeniii ni person ishu hapo mnataka kufifisha tuu upinzanii
@linahlameck7950
@linahlameck7950 5 жыл бұрын
Hv huyu ndugai hchondo walimtuma me mwanikera kweli
@gilbrtmaganga5471
@gilbrtmaganga5471 5 жыл бұрын
Sasa wewe madeni yanakuhusu nn, huo ni umama
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 3 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 15 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 30 МЛН
VITUKO vya MBUNGE BWEGE,  AMEANZA UPYAAAA, SPIKA Hoi, Awalipua CCM..
13:52
Global TV Online
Рет қаралды 488 М.
LEMA AICHANA SERIKALI: "Hali mbaya, watu wanateswa, nchi itaendeshwaje?"
4:36
"Hivi nyie watu gani, haya ndio malipo kwa Spika?" - Job Ndugai
18:28
"UASKOFU NI HUKO HUKO, MIMI NI MZEE WA KANISA" - SPIKA JOB NDUGAI
4:31
LEMA ALIAMSHA DUDE BUNGENI MATIBABU YA LISSU, MWENYEKITI AMTAKA AKAE
4:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 169 М.