'Halima Mdee akamatwe na Polisi akiwa na pingu na aletwe Bungeni' -Spika Ndugai

  Рет қаралды 743,662

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumfikisha Bungeni Mbunge wa Kawe (CHADEMA) Halima Mdee kujibu tuhuma za kutoa lugha za matusi kwa Spika wakati wa uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki uliofanyika April 4, 2017.

Пікірлер: 286
@mako331
@mako331 7 жыл бұрын
safi mkuu demokrasia isiyo na mipaka ni vurugu jamani, mbona hatulielewi hili???
@ezekieljosephsemroki5297
@ezekieljosephsemroki5297 7 жыл бұрын
Halima mdee kaolew kama hujaolewa nijenikuoe utanyookatu maana Mimi nitakufundisha nidhamu utanyooka ndani yasiku mbili yote Tisa ila halim nakukubari sana achamatusi wewe nimtanzania kwaiyo mtanzani nimtu anayependa jamani naukarimu
@shahibuswalehe5101
@shahibuswalehe5101 6 жыл бұрын
spika inabidi ukate fimbo wakileta ujinga ni kuwachapa tu hawana adabu hawajafunzwa maadili huko walikotoka
@radhiarukemo6150
@radhiarukemo6150 7 жыл бұрын
halima mdee anajitoa akili zote izo ni sifa za kijinga
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 жыл бұрын
safi sana Mh spika huyu halima wewe ni sawa na babake anatakiwa awe na ukomo wa maneno so kuropoka tu na alivyo na jisauti ka chura
@joisytimbul3491
@joisytimbul3491 7 жыл бұрын
wewe sio mungu , wakutoa ukum tumuachie mungu yeye ndie mtoa hukum, usiseme eti wanyongwe wewe nani mpaka utoe ukum?
@sashaaden3062
@sashaaden3062 7 жыл бұрын
unanichekesha wewe uliyesema tumuachie mungu ndo ahukumu nikukumbushe ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu
@iliasaliogopen6505
@iliasaliogopen6505 4 жыл бұрын
Changia madrasa yetu iliopo mbagala kuu kwa kutuchangia vifaa aufedha kwanamba 0687139525iliasa Nyogopeni,changia mungu atakulipa.
@shaksbinsalim9535
@shaksbinsalim9535 6 жыл бұрын
Nahisi utamaduni wetu watanzania yanavunjwa na viongozi wetu kuruhusu uhuruwakila MTU serekali lazima isimamiye maadili ya watanzania isikae kyma
@scholasticalvibayaaa484
@scholasticalvibayaaa484 7 жыл бұрын
Halima mdee kma huwezi kuongea vitu binavyolea maadili ziba mdomo wako na super glue
@mwajumaselemani879
@mwajumaselemani879 7 жыл бұрын
Piga kazi baba umeaminiwa ndiomana uko hapo,kelele na matusi yao yasikuteteleshe daima msimamo,mwenye nyumba akimbii siafu waadabishe pasipo kuangalia itikadi za vyama vyao.
@zenamshana6852
@zenamshana6852 4 жыл бұрын
Ndugai anahekima Sana mungu ampiganie spika wetu
@dominicnicholas4612
@dominicnicholas4612 7 жыл бұрын
huna kitu ww spika haoko kiaki ww ndo chanzo cha yote hayo unaendesha bunge kiitikadi ya chama,kwann uwachagulie upinzani muwakilishi wao?ww n nani?we ndo chanzo cha hayo yote na lichama lako.
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Hutafikiri awa wapinzani kero zao humo bungeni kama aio watanzania mambo mbaya sana wanayofanya wanazidiwa ata nawatoto wadogo
@juliusringo8544
@juliusringo8544 7 жыл бұрын
Inatakiwa tutende haki kwa wote msimwonee mtu yeyote. Mnamtafuta nini basi tusameheane jamani.
@thetreasure2230
@thetreasure2230 7 жыл бұрын
Spika mzuri hivi halafu mnashindwa kumtumia vizuri. Ngoja mletewe yule mama wa Kinyakyusa Dr. T.A.M awanyooshe.
@mujwasteven
@mujwasteven 2 ай бұрын
Ulijuaje mkuu
@jeromemushi3403
@jeromemushi3403 4 жыл бұрын
Duniani hapa ukipata huongozi kidogo tayari sheria ni yako mtoa hukumu ndio ww daaaa utazan mungu ndio kakupa huongozi huo unapomfanyia mwenzio ubaya kumbuka ubaya unalipwa hapa hapa Duniani kwanjia yoyote ile tuishi kwa kupendana hakuna anaejua kesho yake 🤔🤔🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@danydanford6189
@danydanford6189 7 жыл бұрын
tutangulize utaifa mbele tuache ushabiki
@manyangagrace4342
@manyangagrace4342 7 жыл бұрын
jamani mnatukwzwa sana, mmekuja kutuwakilisha na si kutukana, kumbuka Spika hakujiweka alichaguliwa. Nyie mnaotukana mnatudundisha nini sie watazamaji?
@mwajumaselemani879
@mwajumaselemani879 7 жыл бұрын
Mh Ndugai hebu fanya utaratibu hapo bungeni waje wataalam wa magonjwa ya akili,au muwafanyie vipimo wabunge baazi wanaonekana kabisa bado wanatumia bangi.
@monikazakaria6775
@monikazakaria6775 7 жыл бұрын
haswaaa
@said306nyatu9
@said306nyatu9 4 жыл бұрын
Sawa sawa kabisa baadhi ya wabunge wanakula bangi asa wa ccm
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 жыл бұрын
tatizo bunge la tz baazi yao wanafikili bungeni nisehem yakulopoka chochote upendacho.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 жыл бұрын
nauliza huyu halima ni mtz? maana huyu baba si umli wake nataratibu yatz mkubwa akikukosea unakausha.kwani kutukana ndo amepata alichotaka?
@joycesimon8115
@joycesimon8115 7 жыл бұрын
jeny yusuph Umefanya jambo la msingi sana kuwapeleka maadili tumechoka kusikia baadhi ya waheshimiwa wakitukana bungeni badala yakuwakilisha kero zetu
@khamisihaji2905
@khamisihaji2905 3 жыл бұрын
Alikuwepo makufuli leo yuko wapi mukiambia ukweli munasema munatukanwa uwezo kakupa muungu lkn ujue walikuwepo wenye nguvu sana ww si chochote leo wako wapi je mm na ww endelea baba ujue mwisho upo.
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 7 жыл бұрын
safi sana speaker, nakuunga mkono kwa hilo! mambo ya kutukana tena hata vijiweni siku hizi unaweza yakosa! utukufu wa bunge uko wapi sasa!
@raphaeltv6051
@raphaeltv6051 7 жыл бұрын
mnaovuruga utaratibu ni nyie kwa kuweka ccm mbele badala ya taifa #2020 sio mbali
@floramollel6753
@floramollel6753 4 жыл бұрын
RAPHAEL TV nini wewe
@allenmalya82
@allenmalya82 4 жыл бұрын
Daaaaaa malezi nayoyanachangia wazazi tunakazi
@georgefaustini5679
@georgefaustini5679 7 жыл бұрын
wao ni wabinafsi tumewapigia kura watuwakilishe Kwa Picha hii.sisi wananch tunaumia na wanakula kodi zetu.wakamatwe wanyongwe kabisa.
@sarahhappy1886
@sarahhappy1886 7 жыл бұрын
ata kura ukupiga unabwaya tu eti wanyongwe kaanze wewe kufa nyau wewe
@coccouedson4751
@coccouedson4751 7 жыл бұрын
ko alievunjika mguu yy mkokoten ulimpeleka wp
@jacksonmars7894
@jacksonmars7894 7 жыл бұрын
Hugo mwanamke kwanza kibayaaaa Kinajifanya kinajua kila kitu
@munaahmed8499
@munaahmed8499 4 жыл бұрын
Jac mm wa 1 siez kuumba binadam mwenzangu lkn namchukia mno huyo mwanamke na huyo alomuoa ana shida ndan ya nyumba walah ongea yake na ni mbabe hatar
@jacksonmars7894
@jacksonmars7894 4 жыл бұрын
@@munaahmed8499 huyu bado hajaolewa hana mume bado ila ana watoto
@munaahmed8499
@munaahmed8499 4 жыл бұрын
Hata mwanaume hawawez kumsogelea kwa hapo walah domo zegeeee
@kayayooisaac4128
@kayayooisaac4128 7 жыл бұрын
Kiukweli sikufurahishwa na maneno aliyosema mdee, hasa katika alilokuwepo, lkn pia lazima nikiri kwamba pia Ndugai naye ana mapungufu mengi hasa linapokuja suala la maamuzi ya spika ambayo wakati mwingine huamsha hisia mbaya kwa wapinzani, na kwa watu wasio na busara kama mdee hujikuta wakiropoka tu ili kujaribu kuonesha hisia zao.
@thetreasure2230
@thetreasure2230 7 жыл бұрын
Halima umri unaenda na hana hati miliki ya kikunio. Sasa anawashwa hadi kwenye ubongo. Mheshimiwa Halima Mdee tafuta dudu utulie.
@fridahfredy5272
@fridahfredy5272 7 жыл бұрын
Halima ananidhamu sana kweli mchukulie hatua
@jerryjacob9446
@jerryjacob9446 4 жыл бұрын
Ukianza vibaya vivyo hivyo utamaliza vibaya na mtoto umleavyo ndivyo akuavyo pia kumbuka samaki mkavu hakunjiki la-sivyo utamvuja tu!
@mamarama6360
@mamarama6360 7 жыл бұрын
safi sana Halima ana chonga sana ajui kama madomo unamchongea kichwa
@mkunderade4626
@mkunderade4626 7 жыл бұрын
Bim Khamid yaani baba wawatu anaongea hadi nalia.tusamehe baba
@josephjohn2114
@josephjohn2114 3 жыл бұрын
Eti Huyu ndio spika mtetezi wa wabunge wanawake wa upinzani.
@reginamrema1417
@reginamrema1417 7 жыл бұрын
wafundishe adabu watovu wa nidhamu wote, nimekupigia suruti👍👊 mheshimiwa spika niaibu kubwa kwa mwanamke kupayuka ka kama hajafundwa imenisikitisha Mimi kama mwanamke
@gastordominic410
@gastordominic410 7 жыл бұрын
Hiyo sehem kuwepo daraja la waende kwa miguu la juu
@manstego2983
@manstego2983 7 жыл бұрын
Spika ndugai ndiye mwenye matatizo , halafu hujifanya muungwana ,mstarabu na heshima kumbe Hana lolote. maneno na vitendo vya mheshimiwa Halima mdee dhidi ya spika ni sawasawa. Ndugai hafai kabisa ni problem.
@e.j.starelia5672
@e.j.starelia5672 5 жыл бұрын
Kamata huyo mpumbavu
@csato9415
@csato9415 7 жыл бұрын
Matusi hayafai kabisa mbele ya jamii si kwa kiongozi tu bali mtu yeyote...! ila mtu ukiminya sana uhuru wake wa kutoa mawazo inapelekea mtu kujawa na ghadhabu ambazo hupeleke kusema chochote kwa wakati huo kwa kuwa tu anaona kaonewa, na pengine huja kujutia baadaye kwa yale aliyoyatamka.Lakini pia bunge letu halifanyikazi kwa maslahi ya watanzania walio wengi kwani wanaonufaika ni wachache.
@luganokapula6267
@luganokapula6267 7 жыл бұрын
hana akili timamu huyo pamoja na wanachama wake
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Huyu arima mdeei amekosa adabu rema zotto mbowe qabunge qotte wa chadema hivi huko majumbani kwao wanahishi vip
@scholasticalvibayaaa484
@scholasticalvibayaaa484 7 жыл бұрын
Hapo bungeni natufundisha nini. km hamuwezi kuongea tulichowatuma bakini majumbni
@wizzditto747
@wizzditto747 5 ай бұрын
Utamaduni nini banaaa wakati nyie munafika mpaka kuwauwa watu kwasababu wapinzani kwaiyo uwo ndo utamaduni wetu kuuwana
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Yani wabunge wa upinzani wanatuhaibisha bunge retu tz
@dostovan5142
@dostovan5142 2 жыл бұрын
What goes around comes......... Finish ze sentence
@hassanmadodi5396
@hassanmadodi5396 7 жыл бұрын
Flora zungumza kama msomi hayo maneno anatakiwa aseme aliyekuwa bar, kwani mtu akinyimwa haki yake ndiyo atukane? kwani hakuna njia mbadala zaidi ya matusi? afadhali ukitukania bar hakuna atakae kuhoji.
@leonardchoma1141
@leonardchoma1141 7 жыл бұрын
Mbona naona upinzani unazidi kupoteza uelekeo?
@davidobedgangai1654
@davidobedgangai1654 6 жыл бұрын
Huyu Mdee ni Mbunge au mhuni wa Kawe????
@yohanamaugila743
@yohanamaugila743 7 жыл бұрын
mnaendesha bunge kiccm nyie akina ndugai mshughulikieni kwanza bashite ndo mje kwa halima mdee.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
Ndugai useme nani alie mpiga risasi Mhe Tundu lissu.
@amocimokha1555
@amocimokha1555 7 жыл бұрын
Uhuru bila sheria na taratibu za inch ni vurugu matokeo yake ndo hayo kila sehemu ni siasa mpaka kazini mhuuuu
@maryammaryam-jp2zg
@maryammaryam-jp2zg 7 жыл бұрын
kha kweli spika ni falaaaa
@ziguatv9190
@ziguatv9190 7 жыл бұрын
Mtu akileta u-0, unam treat ki ziro ziro vilevile😊
@mnada_56
@mnada_56 7 жыл бұрын
😂😂😂nmekuelewa
@جميلهخميس-ط5ث
@جميلهخميس-ط5ث 7 жыл бұрын
Hii ndio Tz ya awamu ya tano mtanyooka2 Acha move iendelee
@abdubabu5454
@abdubabu5454 7 жыл бұрын
kazi niliokua naitaka sasa imeanza rasimi,tunataka displini bungeni ionekane,bunge limekua kama uwanja wa chandim,yani bora uangalie ndondo kap,kuliko bunge,spika lifungie hilo li halima mdee halina sifa zakua bungeni likauze mbege kwao moshin
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 5 жыл бұрын
halime fala tyu ,,,kwaza anatabia za wanaume ,#tomboy#
@issahmwakinyuke9506
@issahmwakinyuke9506 2 жыл бұрын
mpaka tukio litokee ndiyo tunajiami?
@thabitification
@thabitification 7 жыл бұрын
Wabunge wenyewe wanatukana, wengine wakiwatukana ni shida MAKONDA ALIKUWA YUPO sahihi kuhusu tabia za baadhi ya wabunge.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 жыл бұрын
tumesikitswa sana spika wetu nakuombea mungu akupe saburi simchezo kuwasikiliza hao wabunge.
@florameza9529
@florameza9529 7 жыл бұрын
Naomba ktk kazi zenu pia mmtangulize MUNGU jua cheo ni dhamana kuna cku kitaondoka wewe utakumbukwa kwa lipi?
@mwajumabwembwe9706
@mwajumabwembwe9706 5 жыл бұрын
afungwe
@sophiakimaro4008
@sophiakimaro4008 5 жыл бұрын
Acha uongo ndugai ww unapendelea afu ni ushoga uo
@saulikeyamwamseya5721
@saulikeyamwamseya5721 5 жыл бұрын
Shoga baba yako
@kingcobra9238
@kingcobra9238 7 жыл бұрын
mh spika toa makucha na meno nje usicheke na watovu wa nidhamu mungu atakuongoza ishaallah
@mamaasia4179
@mamaasia4179 5 жыл бұрын
kweli.halima.hana.adabu.kabisa
@costantinebena2002
@costantinebena2002 7 жыл бұрын
Ni vema km mh spika angekuwa uwezo wa kisaut km alivyo au anavyofanya kwa wabunge wa upinzani bungeb basi bunge lingekuwa mfano wa kuigwa dunian lakn kwasababu bunge letu liko kwa maslahi ya serkali nasiyo taifa kinachobaki ni spika kuushi na wabunge wa upinzani km simba na swala bunge limebaki midomon mwawabunge wa upnzani nasiyo mwa wabunge wote
@alimakame9215
@alimakame9215 4 жыл бұрын
Mh
@dnaofgodtv4873
@dnaofgodtv4873 5 жыл бұрын
Mzazi mzr hamchokozi mtt kwa kuwa yy ni mkubwa. Heshima ni two ways traffic!
@suletv9922
@suletv9922 7 жыл бұрын
✌✌✌✌✌✌✌✌☝👎
@osternmeru6240
@osternmeru6240 7 жыл бұрын
yote hayo chanzo ni nyinyi
@joshuasamson4872
@joshuasamson4872 7 жыл бұрын
asizoeee uyo
@felistamagoyo2887
@felistamagoyo2887 7 жыл бұрын
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nyingi mwenyew Hanna maadili
@florameza9529
@florameza9529 7 жыл бұрын
wilsoni Haki ikitendeka amani hutawala
@hassankayla4076
@hassankayla4076 7 жыл бұрын
Safi sana nimefurahi kusikia sauti yako Spika wa bunge lazima awajibishwe kazidi kuropoka, mdomo unaponza kichwa na hv ana sauti ya peke yake akiongea tu kila mtu anajua amelopoka
@mrpaultz
@mrpaultz 7 жыл бұрын
job ndungai nchi yetu sote muogope mungu
@veronicshaiyo2786
@veronicshaiyo2786 7 жыл бұрын
we ulyexma halima ni msgaj una uhakika? na kama uhakika unao bas alikusaga wew
@sarahhappy1886
@sarahhappy1886 7 жыл бұрын
umeona ee yani limeamua kubwatuka tu naona alisha wahi kumsaga
@aliabeid5122
@aliabeid5122 4 жыл бұрын
Msagaji kweli bhn
@leahkazeba5850
@leahkazeba5850 7 жыл бұрын
huyu halima ninani?yy kutukana wazee tu kwanini asijifunze adabu?bora nikose chama siku yakupiga kula nilale tu kuliko kuchagua mtu asie naakili,ukipata ujasili wakumtukana anaelingana na baba ako ata nyumbani kwenu wazazi hauwaeshimu inaboa vibaya sana,
@kingcobra9238
@kingcobra9238 7 жыл бұрын
poleni sana kwa ajali iliomkuta mbunge ila msiweke matuta wekeni rasta kama za mikumi itakua safi sana na ajali zitapungua
@abrahimali3628
@abrahimali3628 5 жыл бұрын
Musiuwe watu nanyinyi
@shufaaa.4766
@shufaaa.4766 7 жыл бұрын
safiiiii huyo halima hana adabu kabisa
@sheazuberi4765
@sheazuberi4765 7 жыл бұрын
chadema hebu kuweni na adabu hivi kwanini mnakosa dispirin mnadhani sifa au ndio umaarufa walazima cheni kutafuta kiki zakijinga
@raymondichristopha5868
@raymondichristopha5868 7 жыл бұрын
+Shea Zuberi huyu ndio chanzo cha kufanya awe anatenda haki kwa watu wote pia nas tunaumia kwa kuwa wabunge wetu wananymwa haki km watetez wetu.
@emmatarimo2815
@emmatarimo2815 7 жыл бұрын
Shufaa A. Mbona na huyo spika alimpiga mtu hadharani enzi zile anagombea ubunge? Ni nidhamu hiyo?
@hassanmusa5162
@hassanmusa5162 4 жыл бұрын
kwanini africa hatuna umoja
@hassanmusa5162
@hassanmusa5162 4 жыл бұрын
Shufaa A. kuweni na mshikamano na uwiano wakwapamoja mujenge taifa
@sazafsuma7542
@sazafsuma7542 5 жыл бұрын
Alie vunjika mguu hamjamchukua ila yeye mlimuitia ndege
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
safi sana Mh Ndungai huyo dada siku zote hanaga adabu adi mtaan kwake anajiona yeye ndo yeye kamaliza kila kitu dunian hajui kuwa cheo dhamana! waliompandisha ndo hao hao wanaweza kumshusha! mfungen pingu za mikono na miguu huyo dada ad pingu za mdomo kama zipo ajifunze!! mfyuuuuu
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 7 жыл бұрын
Nikweli Halima kakosea na anapaswa kuonywa lakin mbona haya maonyo na ya upande fulani tu ukali kwa hawa tu wao tu ndio makosa yao yapo wazi .
@sarahhappy1886
@sarahhappy1886 7 жыл бұрын
yanaonekana ya upinzani ya kwao hawayaoni best
@shabanibakari1760
@shabanibakari1760 6 жыл бұрын
KRistiani bera umondoka ariyangu sionzuri
@boazimbwaga8771
@boazimbwaga8771 6 жыл бұрын
Halima mjinga san anatufundisha nn laiya wakawaida
@daudmalangisa3272
@daudmalangisa3272 3 жыл бұрын
Atapona kwa jina la Yesu
@godfreybaretelemi6070
@godfreybaretelemi6070 7 жыл бұрын
wabunge wa ccm ni matako tu
@aliabeid5122
@aliabeid5122 4 жыл бұрын
Godfrey Beretelemi matako ya mamaako mbw ww
@luganokapula6267
@luganokapula6267 7 жыл бұрын
ko haki isipo tendeka ndo itapatikana kwa matusi sawa mwenye akili timamu kama hizo haki isipo patikana Sheria zifwatwe sio upumbavu kama huo
@luganokapula6267
@luganokapula6267 7 жыл бұрын
ulewa mkubwa unafikra potofu haki azikutendeka toka enzi ya wakoloni lakini wapi nyerere,Mandela, walitukana
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 7 жыл бұрын
Mara nyingi mwanamke Wa aina hii akiolewa ndoa haifikishi hata mda Wa wiki mbili mpuuzi hana adabu wala aibu
@manasemeshack3273
@manasemeshack3273 3 жыл бұрын
Wawe na dispil bungeni
@theonestlaurent7938
@theonestlaurent7938 7 жыл бұрын
Ndugai amefanya jambo la msingi kuwapa nafasi wapinzani. Sasa halima hata mimi aliniudhi
@florameza9529
@florameza9529 7 жыл бұрын
hasan najua cku zote huwa unatukana sana sababu hauna adabu kama mm mandazi na ni mama yako hao wengine??
@medadiclement7335
@medadiclement7335 7 жыл бұрын
hata kama halima mdee alikua na haki asinge ongea upuzi namna hiyo hadi Mimi nine mzarau
@neemakweka8202
@neemakweka8202 5 жыл бұрын
kama sio upinzani nchi isinge fika hapa ilipo
@mosesnduati6572
@mosesnduati6572 4 жыл бұрын
Tundu lissu
@sarahminja7255
@sarahminja7255 7 жыл бұрын
kiongozi hatakiwi atukane bwana jamii inajifunza kwake
@edsonisholagi5775
@edsonisholagi5775 7 жыл бұрын
ndugai oyeeeeeeeeeeeeee
@esteranney953
@esteranney953 3 жыл бұрын
Oyeeeee
@yohanamolel2318
@yohanamolel2318 4 жыл бұрын
Nikweli
@joycesimon8115
@joycesimon8115 7 жыл бұрын
mheshimiwa spika pole sana mungu akupe ujasiri wa kutosha ili ulimudu bunge hili wengi ni vijana ambao wanatanguliza jazba bila kupima yanayotoka kwenye vinywa vyao
@esthermichael5792
@esthermichael5792 6 жыл бұрын
we ndugai ndio maana umekatwa vidole nautakatwa hadi pumbu zako na roho yako mbaya
@stanslausmoses5706
@stanslausmoses5706 7 жыл бұрын
huyo mwanamke ni K kwani mimi ananikeraaaa nahisi kumnyaaaaaa
@wemacarlos2554
@wemacarlos2554 7 жыл бұрын
Ww ndiyo Tatizo Hayo matusi ya nini
@stanslausmoses5706
@stanslausmoses5706 7 жыл бұрын
WEMA CARLOS nini sass
@nessa4899
@nessa4899 7 жыл бұрын
Spika wewe ndio mtovu wa nidhamu
@swedijuma7873
@swedijuma7873 7 жыл бұрын
kwa kweli halima amekosea inabidi awajibishwe
@alimakame9215
@alimakame9215 4 жыл бұрын
Mpaka itoke ajali ndomuweke taassar
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Hivi hutawara huu wapinzani watafanya fujo mpaka mwisho wa mihura yote miaka kumi kamati ya kuwachukuria hatua hinakua wapi yani sisi wanachi tumechokeshwa na kerere kama za awa wapinzani
@salitosofo5561
@salitosofo5561 7 жыл бұрын
bashite je ?
@bettylozie9038
@bettylozie9038 7 жыл бұрын
Salito Sofo Hayuko madarakani huyoo unaye mtaja samahi😂😂😂
@mwajumaselemani879
@mwajumaselemani879 7 жыл бұрын
kwahyo hakitunayoitaka bungeni ni kutukanana na kubishana kama walevi,hao ndio wawalishi wetu tunachowaagiza kutoka majimboni,chakushangaza matatizo hayafikishwi wamebaki kulushiana vijembe kama waimba taarabu hii ni shida.
@davidkambulaje338
@davidkambulaje338 7 жыл бұрын
ni kweli jpo Spika hakuwa sahihi lkn Dada Halima hakufanya vema kimaadili ya kitanzania, angejaribu kutuliza hasira
@khalifayusuph5132
@khalifayusuph5132 6 жыл бұрын
david kambulaje Ww maadili gan usijifanye unajua sanaaaa
@mathiaslunyili5221
@mathiaslunyili5221 6 жыл бұрын
f
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Nishida
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
SPIKA NDUGAI ALIVYOMTOA NJE MBUNGE CONDESTER - "NENDA KAVAE VIZURI"..
4:50
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”
13:54
MALUMBANO MAKALI YA DK  TULIA NA MBUNGE SALOME MAKAMBA BUNGENI LEO
12:28
Halima Mdee na Ester Bulaya Wamgeuzia Kibao Ndugai, Kumburuza Mahakamani
8:10
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33