GHARIB MZINGA AUCHAMBUA USAJILI WA BEKI MPYA YANGA BOKA Vs BEKI SIMBA VALENTINO YANGA WAMELAMBA DUME
Пікірлер: 45
@yousifyousif-p7f3 ай бұрын
Yanga bingwa🎉💚💛😃💪
@OmegaNgondo3 ай бұрын
Eng, Hersi asante kwa kutuletea majembe hatari,tusubiri tuone kama watu hawatapoteana tena, wachukue ubiingwa wa ligi majirani .thubutuuuu, labda 25-26 ndiyo wtarajie huo ubingwa
@NyatseLogistics3 ай бұрын
Khalid Mzinga nakubatiza a.k.a Mbape wa TZ....hongera sana brother unaitendea haki kazi yako
nakukubali sana kaka ghalib uwe unachambua ata azam pale
@Aliabdullah-y3e3 ай бұрын
Mchambue kocha wa simba ❤❤ plz
@amaniomar17553 ай бұрын
Mwamba Gharib Mzinga katika ubora wake
@FaustineFeredinandi2 ай бұрын
Simba ni Under 25 god blesss
@Christophernyandiga2 ай бұрын
Nakukubali Gharib mziga hasa ukitangaza timu yanga
@khadijabakari90922 ай бұрын
Mzinga 💯 kwa 💯✅
@EPHRAIMRAMADHANI-is1du2 ай бұрын
Gharibu mzinga ni mwamba kweli ,,,,,kwa habari na update za michezo na timu mbalimbali usisaha fuatilia pia Stanley tv
@EliaKaluwa2 ай бұрын
Mzinga anajua kuchambua vzr mpira
@sosomacharles99203 ай бұрын
Gharibu jamaa anajua.
@stanslausmteme84552 ай бұрын
Simba usajiri mbovu sana mambo yaleyale
@RayMyonga2 ай бұрын
Lameck lawi ndiyo bas tena
@Hamisi-uw1mc3 ай бұрын
Jamaa nikiona interview yake lazima niicheki huna baya mzinga
@SuleimanMbarouk-x2x3 ай бұрын
Mzinga apewe mauwa yake, huyu mwamba ni fundi
@Omri-b7n2 ай бұрын
Atar sana
@MASESASIMON2 ай бұрын
Unajua xan mzinga!
@haidarysalehe90563 ай бұрын
HUKU YAO KULE BOKA YANI NYASI ZITAWAKA😂
@SalvatoryMtunga2 ай бұрын
Kapombe, ngoma, shabalala, ayoub, mzamiru, do all of them under 25?
@alexandermagukura2 ай бұрын
Hakika G mzinga huwa nakuelewa sana uchambuzi wako hasa unapowachambua wachezsji wa yanga
@malietamaliet3 ай бұрын
hii derby ya yanga na Simba na derby ya boka na nouma 😂😂😂itakua baraa
@amaniomar17553 ай бұрын
Balaa tupu 🎉🎉🎉
@malietamaliet3 ай бұрын
@@amaniomar1755 nakwambia
@DadymikiSaburi3 ай бұрын
Mzinga unakitu katika uchambuzi waige kwako
@SaidDafi2 ай бұрын
Kwa asilimia kubwa tshazijua sifa zao kazi kwako kharibi kwenye chumba Cha matangazo ligi ianze tu
@mczoo-g4t2 ай бұрын
Kakakaaaa🎉
@OmarSuleiman-o8o3 ай бұрын
Simba bingwa
@reonardchatanda63712 ай бұрын
Pole sana
@chabapaul77142 ай бұрын
Huyu anajua
@Kim19onlinetv2 ай бұрын
Hakuna muandishi hapa change tu hajatulia
@anastaziakilima2 ай бұрын
Mzinga we nifundi
@amanilupembe97883 ай бұрын
Hata uta n gazaji mzuri
@saidilindukwa3 ай бұрын
Fadlu Davis kwenda Simba washa fail kwanza si Kocha WA makombe,Ni Bora Maxime au minziro,Adolf Rishad,mkwasa,matola,mgunda,Julio,..😂 lkn fadlu kafail Maritzburg Na Pirates hamna kitu,watapigwa 8 Na yanga
@litimbaify2 ай бұрын
Kwa hiyo we shida yako simba tu!!! Endelea kuteseka na ndoto za Alinacha tushazisoma mbinu zenu ndo maana boss karudi, Mwaka huu mwaga unga nimwage ugali, Honga Arajiga 10 million, tunahonga 15, dadadeki uto😂😂😂😂
@EddyseimonWiliam2 ай бұрын
Hakik we nimwamb nakuelew san
@abisalomjuma3 ай бұрын
Wape vitu mzinga
@salimmbilu45243 ай бұрын
Sas ww mwandishi unakwenad t shirt lako hap tukuelewj