Mnajua kuimba nyimbo zenye ujumbe mzuri saanaaa pamoja tupo tupeni neno la MUNGU
@tonytitus-zm2kk8 ай бұрын
dunian mpaka mbingun kwa mfufuka wetu hongeren waimbaj nataman niwameze tumbon mnavonibariki
@user-fr6ml5pu3h9 ай бұрын
Mnaimba vizuri sana ushauri wangu ni huu msimruhusu shetani kati yenu akawasambalatisha maana nyimbo zenu zimenifariji sana nilipokuwa naumwa na nilijifunza kitu kikubwa mno kutoka kwenu,mnaimba Kwa upendo wa ndani
@user-mh6ov1dy6d10 ай бұрын
Congratulations kwaya
@Tumainmweta-dp4hg10 ай бұрын
Hongeren Sana kwa utume hazina yenu mtaikuta mbingun