Mt. Kizito Makuburi - Tunarudi Nyumbani (Official Music Video)

  Рет қаралды 205,769

KMK MAKUBURI

KMK MAKUBURI

Күн бұрын

Пікірлер: 237
@breezonlinetv
@breezonlinetv Жыл бұрын
Ambaye amechangua kurudi nyumbani na awe wa kwanza kucoment
@divinevoicestz3757
@divinevoicestz3757 Жыл бұрын
Wangapi wamerudia kuangalia intro kama mimi😅
@esauedward
@esauedward Жыл бұрын
Mimi hapaaa
@jovinusjulius9840
@jovinusjulius9840 Жыл бұрын
Aaaah🔥
@andrewmushi8274
@andrewmushi8274 Жыл бұрын
Nmerudia
@Ellybeny
@Ellybeny Жыл бұрын
Mimi meichek mara 3 na vile muda hautoshi… Nice 🥰
@lytnecnjau1715
@lytnecnjau1715 Жыл бұрын
Tuliona live ndo tulienjoy ziad
@innocentsylvester590
@innocentsylvester590 Жыл бұрын
MTUNZI, WAIMBAJI, WAPINGA VYOMBO, WALIO CHUKUA VIDEO QOTE NIWATAALAMU NAWAPONGEZENI SANA KUTOKA ROMA ITALY NAWAPATA SANA. MUNGU AJALIE WIMBO HUU ULIOSHIBA, UZAME MIOYONI MWETU NA KULETA NEEMA KAMILI
@AaronKaranja
@AaronKaranja 4 ай бұрын
The harmonies especially the tenor part,"tunarudi nyumbani tuliko umbiwa..."❤woww🎉 Just brought me peace.
@anthonybyalushengo4032
@anthonybyalushengo4032 Жыл бұрын
B mukasa hajawai kufeli na wanakwaya hawajamuangusha nimerudia pia kuaangalia intro ongeleni sana💥💥💥💥
@mamarajab256
@mamarajab256 Жыл бұрын
Nawapenda sn kmk mungu awabark sanaa ningekuwa karb ningekuja kujiunga na kwaya yenu jmn nawapenda bure yani❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@kmkmakuburi
@kmkmakuburi Жыл бұрын
"🍀TUNARUDI🍀 NYUMBANI🍀 " LEO TAREHE 05 JUNE 2023 NI SIKU YA MANZINGIRA DUNIANI Tunawakaribisha wote kushiriki nasi kwenye kampeni hii ya kutunza mazingira yetu kwa kurekodi video fupi yenye ujumbe kuhusu mazingira na kukubali kurudi nyumbani Tuma video yako kwenye Whatsapp number +255742000089
@kimgodfrey9225
@kimgodfrey9225 Жыл бұрын
Huge huge. Ujumbe mkubwa kwa ulimwengu wote
@kimgodfrey9225
@kimgodfrey9225 Жыл бұрын
Naomba huu wimbo wasap
@JosephJoseph-sm2be
@JosephJoseph-sm2be Жыл бұрын
Video ya kikatolikii ya kwanza ubunifuu👏👏
@gideon...9516
@gideon...9516 Жыл бұрын
MUKASA BERENADO NEVER DISAPPOINT
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
Watching from saudia arabia, MUNGU nilikosea wapi, nyumba kuna hewa safi, chakula fresh. 😭
@PatriciahmPeter-fw4ex
@PatriciahmPeter-fw4ex Жыл бұрын
Tu make sure Tukikata mti Tume panda mti.
@lucasshirima2880
@lucasshirima2880 Жыл бұрын
Nyumbani hakuna kansa ya Damu,Nyumbani tunavuta Oksijeni,Nyumbani kuna matunda,nyumbani kuna chakula asilia....
@robertombogo8927
@robertombogo8927 Жыл бұрын
Hongera sana, Bwana Mukasa kwa wimbo bora. Ninatamani sana kukutana na wanakwaya hawa na kuimba na wao. Kazi yenu ni safi.
@albertmdemu2767
@albertmdemu2767 Жыл бұрын
Tunamshukur Mungu kutupatia rasilimali hizi
@nobbistz
@nobbistz Жыл бұрын
Mkaona Amani iliyokuwa huku mjini KZbin imezidi😂😂😂 Anyways Great Video... Credits to iRis Empire 🙌 kama kawaida... bila kumsahau mwenye script yake afu juu kabisa pale Kuna watu wamevaa uhusika ipasavyo😅 You guys made it great 👍 Congratulations..!
@frankmhoja2460
@frankmhoja2460 Жыл бұрын
Be blessed sana wana makuburi karbuni tena manzese... Parokia mama wa makuburi
@LiberiaMunishi
@LiberiaMunishi Жыл бұрын
Hakika nyumbani kumenoga KMK Mungu azidi kuwatumia katika viwango vya juu zaidi, nyie mnajua sana nipo nyuma yenu kwa Maombi ❤ kazi yenu ni nzuri mno mno mnooooo kongole kwenu kwa miaka 35 ya uinjilishaji#STAYGEENFOREVER #i bless you NAWAPENDA
@jamesmanyama2218
@jamesmanyama2218 Жыл бұрын
Ujumbe umetufikia ila sasa na wanakwaya wetu tukayafanye haya yawe ni tabia yetu kweli tusiishie kuimba tu, Mungu awabariki
@alberthelmenglid4824
@alberthelmenglid4824 Жыл бұрын
Huyu Mzee Mukasa n hatari sana
@josephnshimba3566
@josephnshimba3566 Жыл бұрын
Hongera kwa wimbo wa kuhamasisha utunzaji wa mazingira
@rainerkamairu5500
@rainerkamairu5500 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa utume huu wa uimbaji,mmeupiga mwingi nasi inabidi tuige
@MelckionMpeka
@MelckionMpeka Жыл бұрын
Mungu awape ufunuo Zaid hongereni
@baziliosasila5064
@baziliosasila5064 Жыл бұрын
Happy Environment day. Mmetutendea haki wataalamu wa mazingira na wapenda mazingira safi na salama kwa ujumla.
@awesomeworldchanel
@awesomeworldchanel Жыл бұрын
No Bias No nudity No Vulgar No skyscrappers 100% Nature 100% Creativity 100% Team Jesus Everything on point. You're always the best🎉
@harrietambia9406
@harrietambia9406 Жыл бұрын
Iam a Kenyan but watching this song from this far Iraq, I can only say Africa is a place to be, fresh air, fresh food, good vibes, Hello mama Africa
@vinetnyabuto-df1pn
@vinetnyabuto-df1pn Жыл бұрын
Wow Wow!!! A nice song Be blessed Mt Kizito. Vinet from 🇰🇪
@davidlelo6192
@davidlelo6192 Жыл бұрын
Mukasa kiboko
@changalagad2587
@changalagad2587 Жыл бұрын
I love this choir 💕 I don't understand your language but I enjoy your music 🎶 from Zambia 🇿🇲🇿🇲
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro Жыл бұрын
Hello Chan.. enjoy with the English Subtitles.
@mwesigacredius9852
@mwesigacredius9852 Жыл бұрын
I can tell you it's the most talented and entertaining choir in the whole of East and Central Africa!! If am mistaken I stand a chance to be corrected!! My favorite choir
@KalltuniClassics
@KalltuniClassics Жыл бұрын
Amazing sanaaa!!!! MUshobozi nakuona sanaaa
@rosekapingu-hs5rd
@rosekapingu-hs5rd Жыл бұрын
Asante sana❤❤
@patrickkyalo3268
@patrickkyalo3268 Жыл бұрын
Can't get enough of this.... Creativity Isee Iko apo juu ...Mungu awabariki wana Makuburi ....toka Kenya
@jacintawangari7567
@jacintawangari7567 Жыл бұрын
Hongera Wana makumburi,hope Tanzania ni karibu niwaone live,karibuni Tena Kenya mcome kiambu st Peter and Paul Catholic ❤❤
@velejilyomhongole1641
@velejilyomhongole1641 Жыл бұрын
Bigup👍 nimeipenda sana sana
@magejuliani5293
@magejuliani5293 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri! Mlipotea sana
@julitashayo2466
@julitashayo2466 Жыл бұрын
Much love
@emanuelsanka792
@emanuelsanka792 Жыл бұрын
Mukasa apewe tuzo yake bana wimbo unacontent nzuri sana kitaifa na kimataifa
@AnneInyerere
@AnneInyerere Жыл бұрын
❤. Mtuimbie zaburi kwa wingi pia, sauti tamu twaburudika.
@TitusOmondi-y8k
@TitusOmondi-y8k 10 ай бұрын
Heko kwenu mt kizito dunia ya mziki ni yenu,muendelee kumsifu mwenyezi mungu kwa lugha ya mziki
@BabaManu2024
@BabaManu2024 Жыл бұрын
Wimbo mtamu sana na wenye mafunzo mengi kuhusu mazingira...ni wakati tuanze kutunza mazingira..palipokatwa miti ipandwe ingine..mazingira Bora, maisha bora
@piusbaruhuwundi8987
@piusbaruhuwundi8987 Жыл бұрын
Utunzi mzuri sanaaaaaa
@martinmurimi5240
@martinmurimi5240 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana KMK. Baraka za Mungu zikae nanyi daima. Niko tayari kurudi Nyumbani.
@BekamSalvation
@BekamSalvation Жыл бұрын
Yaaan cjuw ata niseme Nini juu yeenu hakika kmk mmekuwaaa faraja kwangu
@FideliceLubuva
@FideliceLubuva Жыл бұрын
Wanajua kuinjilisha kiukwl huchoki kuitazama kuimba raha sana
@japhetmussa2030
@japhetmussa2030 Жыл бұрын
Sina neno hapa nashindwa nitumie lugha gan au ntumie neno gan kuwapongeza kwa wimbo huu mzurii sanaaa🔥🔥🔥🔥
@uncertgosbertuncertgosbert8362
@uncertgosbertuncertgosbert8362 Жыл бұрын
Chukua maua yenu dunia mmeishaiteka
@BraysonSagale
@BraysonSagale 9 ай бұрын
Wimbo huo una ubora wake,Makuburi mzidi kupewa maua yenuu.
@omwantegal.1109
@omwantegal.1109 Жыл бұрын
Mukasa wewe⛪🙏🏾🙏🏾 kazi kuntu🌹🌹
@wesleyrogito8326
@wesleyrogito8326 Жыл бұрын
be blessed and may the lord be upon you as you continue praising the living lord
@bongoclaudio7877
@bongoclaudio7877 Жыл бұрын
Hongereni sana kmk mtu. kizito kazi nzuri Mungu aendelee kuwabariki daima
@johnyurra-eb8yo
@johnyurra-eb8yo Жыл бұрын
Mungu awaongezee ubunifu zaidi na mafanikio mema
@jestuschisanga5489
@jestuschisanga5489 9 ай бұрын
Ever impressed with St Kizito of Makuburi
@DezalaKambani
@DezalaKambani Жыл бұрын
Come to Malawi we love you in christ juses
@priscachale5646
@priscachale5646 Жыл бұрын
Nitarudi na mimi nyumbani, bado kidogo tu 🚲⛪.... Nyumbani kumenoga..... Hongera Sana mwalimu B. Mukasa 👏👏👏kwako
@mwesigacredius9852
@mwesigacredius9852 Жыл бұрын
Creativity at its peak!! Who saw this coming from KMK? I bet no one me included!! Great song and everyday its new just like your other songs!!
@GodwillAkilimali
@GodwillAkilimali Жыл бұрын
Tuungane kwa pamoja kuyatunza mazingira yetu. Tuirudishe dunia yetu kwenye ukijani wake, tukatae uharibifu wa mazingira. Tunarudi Nyumbani
@benardmukonyi7585
@benardmukonyi7585 Жыл бұрын
Hendry Kimario is really doing the best in his work... Congratulations my name sake @Bernard Mukasa . Nawapenda KMK
@waruithuo4009
@waruithuo4009 Жыл бұрын
Hongera kwenu wote KMK. Ni baraka zake Mwenyezi Mungu. Tuyalinde na tuyatunze mazingira yetu.
@janemwangi605
@janemwangi605 Жыл бұрын
WAAAOO SURE WE ARE GOING BACK HOME HONGERENI SANA KMK KWA WIMBO MTAMU. HOME IS THE BEST. MBALIKIWE SANA. FROM QATAR BUT KENYAN
@agatonngailo6632
@agatonngailo6632 Жыл бұрын
Kazi nzuri mt kiZito inayo hamasishaa utunZaj wa mazingira
@scholasticanjokimugo7319
@scholasticanjokimugo7319 Жыл бұрын
Nice message as we celebrate world environment day, let’s protect our environment❤🇰🇪 KMK Makuburi asanteni sana.
@drimaxpro8948
@drimaxpro8948 Жыл бұрын
Dhambi zenu nipewe mimi asee 🔥🔥🔥 Mungu awabariki
@magreth1492
@magreth1492 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@velejilyomhongole1641
@velejilyomhongole1641 Жыл бұрын
Daah 🤣🤣🤣Umenishinda tabia
@liberatusmboje8332
@liberatusmboje8332 Жыл бұрын
😂
@muemakwaskiti853
@muemakwaskiti853 Жыл бұрын
This is an amazing piece that should reach advocates of climate resilience. Climate Innovation Challenge (CIC) 2023 should see this... share! share! share!
@ericksteve1315
@ericksteve1315 Жыл бұрын
Mixing ya Dunia 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@paulokimanthi8341
@paulokimanthi8341 Жыл бұрын
Good job edu
@judemutuku3320
@judemutuku3320 Жыл бұрын
Am here to represent all Kenyans🎉
@josephinekilonzo9681
@josephinekilonzo9681 Жыл бұрын
And we are well represented
@ritamakio7447
@ritamakio7447 Жыл бұрын
same here
@isikesamike
@isikesamike Жыл бұрын
Thanks for your support
@Love_Tush
@Love_Tush Жыл бұрын
Thank you
@desmondparsimei8982
@desmondparsimei8982 Жыл бұрын
Hongera kmk from us. 🇰🇪
@RaphKE001
@RaphKE001 Жыл бұрын
The video idea is wow thanks Henry thanks BABLAI purely studio IRIS keep it coming @IRIS EMPIRE
@CK_munene
@CK_munene Жыл бұрын
Wow🎉
@RaphKE001
@RaphKE001 Жыл бұрын
Nice job KMK keep it up #TUNARUDI NYUMBANI
@francismatsiri3437
@francismatsiri3437 Жыл бұрын
Hakika tunarudi nyumba bustanini Edeni kitu Safi sana wananakuburi
@sheilajepkorir2386
@sheilajepkorir2386 Жыл бұрын
Turudi kwetu kule kwenye uhai
@mapendoglory16
@mapendoglory16 Жыл бұрын
Ahaaaaa. Watu wangu, you are back!!!!!! Sauti zaniambia ni wana wa Mt. Kizito. Blessings upon you all. Mtunzi, Roho Mtakatifu aendelee kukutumia. Nawapenda sana.
@januarius-js2xl
@januarius-js2xl Жыл бұрын
Nawapenda sana KMK Makuburi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mungu awadishie sauti nzuri kila kukicha..long live Bernard Mukasa
@ziddiekalendy5622
@ziddiekalendy5622 Жыл бұрын
Imebidi nidownload huu wimbo....congrats Mt. Kizito Makuburi🤗🤗
@edwinouma1024
@edwinouma1024 Жыл бұрын
SALAMU KUTOKA KENYA
@annamosha968
@annamosha968 Жыл бұрын
Congrats ❤❤❤
@jonathanmarickh-un6fi
@jonathanmarickh-un6fi Жыл бұрын
Kazi nzuri wapendwa
@michaelmutiso6272
@michaelmutiso6272 Жыл бұрын
Nyumbani dio narudi Kuna mazigira safi
@paulinemwangi2045
@paulinemwangi2045 Жыл бұрын
👏👏👏❤❤good good job well done.
@collethapilly1256
@collethapilly1256 Жыл бұрын
Tunarudi nyumban kule kwa kijani🌳🌳🌳
@colmanhumphrey2996
@colmanhumphrey2996 Жыл бұрын
Turudi nyumbani kwa kupanda miti, kutunza mazingira
@crispinenicholas1489
@crispinenicholas1489 Жыл бұрын
Wonderful, I'm happy to watch this song several, hongereni sana mnatia hamasa sana, mungu awabariki nyote
@markmainaonundu6442
@markmainaonundu6442 Жыл бұрын
Stewardship manenos! One of great principles of Catholic social Justice
@wilkisterekesa3885
@wilkisterekesa3885 Жыл бұрын
Am here kazi nzuri sana :tunarudi nyumbani
@marychrisant2308
@marychrisant2308 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana sana sana, Mwenyezi Mungu aendelee kuwatumia katika kuelimisha jamii na kuinjilisha watu wake.
@baltazarlucas5000
@baltazarlucas5000 Жыл бұрын
Mbarikiwe nyote kazi safi tunashukuru kwa uinjilishaji Wenu uliotukuka
@MosesSolsol-ot1vy
@MosesSolsol-ot1vy Жыл бұрын
Nawapenda bure
@franciskironjo9369
@franciskironjo9369 Жыл бұрын
Congratulations kenya twawapeda
@raphaelkadady1gbraphael1gb48
@raphaelkadady1gbraphael1gb48 Жыл бұрын
Hongereni kmk🎉hongera mwalimu Mukasa.
@clintonmurangiri9685
@clintonmurangiri9685 Жыл бұрын
Congratulations kizito
@rosentinyari6561
@rosentinyari6561 Жыл бұрын
Great song there .
@davidnchoji
@davidnchoji Жыл бұрын
Haya Watanzania wote turudi nyumbani kwa pamoja...💪🏾
@kinst.o.o.l3441
@kinst.o.o.l3441 Жыл бұрын
one of the kind, of its own kind. Mungu atukuzweee
@peterkoigi8212
@peterkoigi8212 Жыл бұрын
A well researched song. Keep it up great choir..
@BekamSalvation
@BekamSalvation Жыл бұрын
Hongereni kmk
@judykemunto3208
@judykemunto3208 Жыл бұрын
Tunarudi nyumbani kwenye jua bila ukame.
@andrewmushi8274
@andrewmushi8274 Жыл бұрын
Iko poa sanaaa
@silastvkenya1496
@silastvkenya1496 Жыл бұрын
Nimesharudi
@valleyrocktravellers2007
@valleyrocktravellers2007 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri wanakizito, Nawapenda bure, Much ❤️ from Kenya🇰🇪
@mariakanja9387
@mariakanja9387 Жыл бұрын
Nami pia narudi nyumban kwa kutunza mazingira
Mt. Kizito Makuburi - Mbinguni Furaha (Official Music Video)
7:20
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 227 М.
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 10 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
MTUKUZENI BWANA | Dr Kelvin B Bongole - Kwaya Ya Mt Karoli Lwanga |Arusha Technical College (ATC)
4:08
Kwaya ya Mt.Karoli Lwanga Chuo cha Ufundi Arusha
Рет қаралды 200 М.
TOA (Official Video)- Mt. Secilia Makuburi
8:12
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 46 М.
Mt. Kizito Makuburi - Kenya ya Mungu Mmoja (Official Music Video)
9:59
Naomba Baraka by- Kmk Queens St. Kizito Makuburi
6:34
Alexander mumo
Рет қаралды 3,8 МЛН
TUNAISHI NAYE By. Shimanyi FM (Official Video)
4:35
KWAYA YA MT. BONIFACE(KMB) SOMBETINI ARUSHA
Рет қаралды 1,8 МЛН
TUNAPASWA KUSHUKURU
5:50
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 9 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Kenya Mikononi Mwako (Official Music Video)
8:55
MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
6:31
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 1,7 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН