No video

Staa wa BSS aeleza sababu za kuacha Bongofleva na kuimba Gospel

  Рет қаралды 28,104

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mwimbaji Bella Kombo amekaa kwenye EXCLUSIVE na Ayo TV ambapo licha ya kusema ni ndoto yake kuimba Gospel, kaeleza sababu za kuamua kuacha kufanya muziki wa Bongofleva na kuhamia kwenye nyimbo za kumsifu Mungu 'Gospel'.

Пікірлер: 57
@ladybilionaire379
@ladybilionaire379 7 жыл бұрын
Hongera saana Bella Mungu atakupeleka mbali saana karibu kwenye Gospel najua umeisikia vizuri saana sauti ya Mungu hongera kwa kuitii ña Usiogope utashinda kabisa tunakuombea
@rosetheophil2562
@rosetheophil2562 7 жыл бұрын
congratulations my daughter, keep it up
@annakangajaka9450
@annakangajaka9450 7 жыл бұрын
so proud of you Bella
@subirasaid753
@subirasaid753 4 жыл бұрын
Hongera kwa kumtii mungu nakuskia sauti yake mungu akufungue zaidi kupitia huduma hiyo akutimizie kila haja ya moyo wako chochote kizuri unachokitamani mungu akupe kwa wepesi kama unakubaliana na comment gongs like
@tumainlwinga5898
@tumainlwinga5898 7 жыл бұрын
Seriously bella i want to hear other songs from you pl........z and God bless your family so much
@princeemmamunda4286
@princeemmamunda4286 6 жыл бұрын
Hongera sana hautojuta wote waliomkubari Mungu aliwakubari pia na wote waliomuinua Mungu na yeye aliwainua pia waliombariki aliwabariki nyenyekea uwe Sababu ya akina Bella wengi kumrudia Mungu
@vailethlinus8623
@vailethlinus8623 5 жыл бұрын
Prince Emma Munda j
@mwajumahamisi6738
@mwajumahamisi6738 7 жыл бұрын
umenena vema Bella. Roho Wa Kristo akuongoze uimbaji wako
@iky183
@iky183 7 жыл бұрын
kizungu on👌.cute couple
@edithmwasulama7005
@edithmwasulama7005 7 жыл бұрын
Mungu akusaidie damu ya Yesu inafuta yote wa kwanza atakuwa wa mwissho. ipo neema juu yako mwangalie yeye alieangikwa msalabani
@puritygerald6692
@puritygerald6692 4 жыл бұрын
Nakupenda Bella. Na Yesu alikuja kwa ajili yako. Hakuja kwa wasafi
@philbertbukeme6177
@philbertbukeme6177 3 жыл бұрын
The post is three years ago but I think it's not too late for my post. I am deeply moved and thankful to God for serving you and your husband. I pray that He who began a good work in you will bring you to the end. I pray that you will find pleasure/ delight in Jesus. Few advise:- 1. Spend more time deepening your relationship with God than serving Him. Singing in particular. 2. Spend more time building your marital relationship. Family is a most blessing and it is highly attacked by devil. Keep building each other with love and patience. 3. Conduct yourselves as ministers of Jesus and not celebrities or entertainers. That one will not only take you higher but will sustain you at the top. Remember, God opposes pride and gives grace to the humble. Finally, I pray that God orders yours steps for the steps of the righteous are ordered by God. You and your husband are blessed with many talents and potentials and so it might be tempting to jump into everything since you can do them and they are good but God's season is critical. So I pray that God will cause you to discern His appropriate time in everything. Much love in Christ. Philbert Bukeme!
@josephathema
@josephathema Жыл бұрын
😞
@divinehaibei9801
@divinehaibei9801 3 ай бұрын
Wow
@nelibaba
@nelibaba 4 жыл бұрын
Big up sana Millard Ayo...We are proud of you🇹🇿
@aminazahibubakari2752
@aminazahibubakari2752 4 жыл бұрын
Beautiful Couple❤❤❤
@mropetbjoshotz334
@mropetbjoshotz334 7 жыл бұрын
Safi Sana Mungu Akusaidie Kusimama Imara katika Bwana
@mdsavage2048
@mdsavage2048 3 жыл бұрын
Amine dada bella kuja kwa mungu
@judithkennedy1345
@judithkennedy1345 6 жыл бұрын
Bella mama nimependa style ya nywere yako
@dynerlwena5676
@dynerlwena5676 Жыл бұрын
i am happy for you Bella🥰
@briggsanji9176
@briggsanji9176 7 жыл бұрын
Hongera
@geofbeka1669
@geofbeka1669 7 жыл бұрын
Good! be blessed Bella
@edithmwasulama7005
@edithmwasulama7005 7 жыл бұрын
mnapendeza na ninawaona ni watulivu sana. Emen
@jacquelinejackson6124
@jacquelinejackson6124 7 жыл бұрын
I love how the husband supports his wife that's lovely
@monicantonya4815
@monicantonya4815 6 жыл бұрын
B blessed
@xkingx8041
@xkingx8041 6 жыл бұрын
Anything is possible with God. Keep it up
@jalaljalal5258
@jalaljalal5258 7 жыл бұрын
sina dini imani yangu ya mi kristo
@maryupendo8706
@maryupendo8706 11 ай бұрын
Bella dadangu,kuja hapa nyuma ya pazia,ukisuka ndio unapendeza
@daudinzunda8739
@daudinzunda8739 3 ай бұрын
Hapa ulikuwa mwembamba,,,, duuuuh saizi sasa bonge la mtu hakuna mwembamba duniani
@sandelaxford3685
@sandelaxford3685 2 жыл бұрын
Gotcher
@jalaljalal5258
@jalaljalal5258 7 жыл бұрын
rekebisha muonekano wako dada
@edithmwasulama7005
@edithmwasulama7005 7 жыл бұрын
wewe umekamilika? kaz kuhukumu wengine wewe ni Mungu? hauna na wala hujapewa mamlaka hiyo ya kuhukumu tengeneza wewe na Mungu wako co kunyooshea kidole wengine
@bibemelody2560
@bibemelody2560 6 жыл бұрын
anakasoro gani kwenye muonekano wake
@naomiwilhard1315
@naomiwilhard1315 6 жыл бұрын
Jaman acha uinjilisti,kwakua ameamua kuokoka nijambo kubwa kuliko kuliko muonekano na muonekano usikupe shida
@rukkii3367
@rukkii3367 6 жыл бұрын
Jalal Jalal we wakwako umekaaje
@laibonimario6235
@laibonimario6235 7 жыл бұрын
Bella mbona hata kwenye gospel hatukusikii unaua kipaji chako kiukwel
@annakangajaka9450
@annakangajaka9450 7 жыл бұрын
Laiboni mario tafuta nyimbo yake inaitwa Alpha and omega...
@rukkii3367
@rukkii3367 6 жыл бұрын
Laiboni mario mgugo utampata
@fahmakingu2037
@fahmakingu2037 5 жыл бұрын
Badilisha mwonekano hiyo stahi ya nywele mmmh inachukulika yakihun
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 4 жыл бұрын
Don't judge a book by it's cover
@ccmchadema8107
@ccmchadema8107 7 жыл бұрын
umeoka una kiduku, .
@celinethequeen992thequeen7
@celinethequeen992thequeen7 7 жыл бұрын
salima Kaniki sasa ww kwani mtu akiokoka ndo atakiwi kuwa na kituku,same time u are sappose to think,kuokaa ni moyo wako na sio kwenye kichwa,mtu unaweza kufanya chochote what's u want,and u believe God from heat dear,,,Thanks
@ccmchadema8107
@ccmchadema8107 7 жыл бұрын
uwa unatzama picha ya bikla maliya au bac wanawake yote tulitakiwa mavazi kama Yale pasi kujali imani ulionao ivo tu mungu wake tayali kamkosea ayo mavazi tu
@celinethequeen992thequeen7
@celinethequeen992thequeen7 7 жыл бұрын
salima Kaniki sawa mama salima
@jalaljalal5258
@jalaljalal5258 7 жыл бұрын
salima Kaniki Hugo bikla maliya ni wa wapi ndugu mbona simfahamu?
@ccmchadema8107
@ccmchadema8107 7 жыл бұрын
mama yake yesu usomi vitabu au
@esterbarinaba5891
@esterbarinaba5891 6 жыл бұрын
Amen ubarikiwe Yesu ailinde ndoa yenu
BELLA KOMBO: Kuhusu Huduma yake | Kuhusu Ndoa yake | "Namfahamu Zoravo"
54:56
Bethel Radio Tanzania
Рет қаралды 61 М.
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,4 МЛН
Ameniona by Bella Kombo covered by HEMAN CHOIR Nairobi
8:58
Heman Choir Nairobi
Рет қаралды 19 М.
BELLA KOMBO AKIONGOZA KUABUDU | RGCM GOBA CENTRE, DAR ES SALAAM.
16:06
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10