ZORaVO NA BELLA KOMBO NI WAPENZI!!! |AMWANDIKIA UJUMBE HUU MZITO| MASHABIKI WATAKA WAOANE HARAKA|

  Рет қаралды 32,247

Letz Gospel

Letz Gospel

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@pharisasiko3546
@pharisasiko3546 2 ай бұрын
Bella yupo single na pia zoravo yupo single shida Iko wapi??,wanafaana sana
@PreciousMwampondele
@PreciousMwampondele 3 ай бұрын
Waimbaji kuoana ni kwa neema maana inatakiwa mmoja awe na kipawa kingine kama cha kutawala na kuomba ili kutunza kipawa cha mwenzake.....ni mtazamo wangu tu ila Mungu anaweza yote
@PeaceMfzz3343
@PeaceMfzz3343 3 ай бұрын
Zoravo please owo Bella mutumikiye mungu pamoja
@NinaTitus404
@NinaTitus404 3 ай бұрын
Wamsikilize Mungu zaidi ya mashabiki, mana kama Mungu kapanga hata watu wakikataa bado itakua tuu. However it's my wish wawe pamoja
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 3 ай бұрын
HEBU WATU MUWE MNAENDELEA NA MATUKIO MENGINE SASA TUMESHAELEWA, KILA SIKU LI HABARI HILO HILO UMBEA TU KUPIGA MSWAKI AAAAAAH
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 2 ай бұрын
Wala pepo anatumika kuzimu
@SophiaMogitu
@SophiaMogitu 3 ай бұрын
Mmmmh kuimba na masuluali iliyobana wapi na wapi warumi 12:1 basi itoeni miili yenu iwe dhabihu takatifu mana ndyo ibada njema ya kumpendeza Mungu
@Patrick.W.Pallangyo
@Patrick.W.Pallangyo 3 ай бұрын
Unavyosema Rastoni inakera kinoma
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 3 ай бұрын
Mungu awatendee ndoa njema
@visionmartin
@visionmartin 8 ай бұрын
Wow May it be🙏 I love this guys❤
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 2 ай бұрын
Wimbaji umevamiwa kwaheli injili yakeli
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 3 ай бұрын
KWA HIYO KUNA TATIZO GANII POST ZINGINE ZA KISHAMBAA SANAA
@jaligawesa
@jaligawesa 3 ай бұрын
Glory to God!!😅
@waytruthlife4171
@waytruthlife4171 3 ай бұрын
kuabudu siyo kuimba nyimbo za taratibu
@MelkisedekiSamson-kd7gw
@MelkisedekiSamson-kd7gw 3 ай бұрын
Sahihi worship is real not talent ni kipawa cha kristo
@berthamwaitenda7207
@berthamwaitenda7207 3 ай бұрын
Kweli kabisa kweli kabisa watu wanapaswa kujua hili
@AbigaelMisigo-id5cm
@AbigaelMisigo-id5cm 3 ай бұрын
Worship is a lifestyle...
@Patrick.W.Pallangyo
@Patrick.W.Pallangyo 3 ай бұрын
Ni Laston sio Rastoni
@Mgayapaulina
@Mgayapaulina 3 ай бұрын
Ukopowa mamy
@joelemmanuel9616
@joelemmanuel9616 3 ай бұрын
🎉
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 3 ай бұрын
Alivyojipamba jini akasome This lady is not the servant of Almighty God
@annagidion7817
@annagidion7817 3 ай бұрын
Huna kipimo.wako watu wanavaa majuba ni mashwetwani kuliko shetani mwenyewe.bella jikwatue vaa pendeza nukia dada .jipe Raha maisha ni matamu .poda na urwmbo uko duniani mbinguni hakuna.
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 3 ай бұрын
@@annagidion7817 Mtie moyo for nothing lakini Biblia ni msemaji wa mwisho Isaya 3:16-24
@judy830-b5v
@judy830-b5v 3 ай бұрын
Sijawahi kumuamini na sitakaa nimuamini kama mtumishi wa Mungu
@neemangwesa3372
@neemangwesa3372 3 ай бұрын
Kwamba alitakiwa achakae ndo awe mtumishi wa Mungu
@neemangwesa3372
@neemangwesa3372 3 ай бұрын
@@judy830-b5vUkimuamini Mungu inatosha
Bella Kombo - Nifinyange (Official Live Recorded Video)
9:49
Bella Kombo
Рет қаралды 7 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Mashindano Makubwa Zaidi ya Mabara Yote Ulimwenguni 16/03/2016
2:59
Vumb'elimnandi
15:10
Dumi Mkokstad - Topic
Рет қаралды 4,2 МЛН
Erick Smith - Wewe Ni Zaidi (Official Video) Worship Song
16:16
Erick Smith
Рет қаралды 8 МЛН
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 2,9 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН