Mimi nampenda lulu diva divana❤❤na kuangalia interview zake pia napenda sanaa❤❤❤mung akujalie atokee bwana mweny akili na maadil mema akuoe❤
@NissileStephen Жыл бұрын
2lia Ivyo Ivyo Dada yangu Mungu akubark na kukujaria mwanaume anaye jielewa
@AnnaAlpha-o2j11 ай бұрын
Acheni wivu nimpambanaj lulu diva
@TamashaFilbati Жыл бұрын
Hongera lulu diva
@AzizaMshana-b4j10 ай бұрын
hongera dada naomba unitumie namba yako napenda xan unavyo igiza
@aishaimam1442 Жыл бұрын
Nampenda Lulu
@TaarabChannel Жыл бұрын
Mrembo
@AminaSadallah-yi1dv Жыл бұрын
Nyumba ya femi na luka
@khadjamhozya2 ай бұрын
@@AminaSadallah-yi1dv sio nyumba yake
@WinfridaZakayo-mj7co Жыл бұрын
Kwann wasanii wakiulizwa hiki kitu umenunua shingap wanasemaga dora kadhaa😢😢😢😢 mm huwa sipend
@nancyg8664 Жыл бұрын
Si ili wakuchanganye😆😆
@scolamisunza9581 Жыл бұрын
Wakiumwa utasikia tuchange
@WinfridaZakayo-mj7co Жыл бұрын
@@nancyg8664 ushamba unawasumbua tu
@WinfridaZakayo-mj7co Жыл бұрын
@@scolamisunza9581 waache utakuta wanajioneshatofauti kwenye mitandao na maisha Yao yako tofauti
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ahaa Wana duka kumbe nikajuwa kashona yeye anapena dizain Kama mimi
@rebeccazagabe3 ай бұрын
nakupenda sana dd hongera mahi 🎉
@coreyplatinum Жыл бұрын
Huyu Demi jini 😂 macho hayo vipi? Au Ndo umevaa eye lenses 😂😂
@Yolanda-n3x Жыл бұрын
Nimeona nguo 😢😢 jamii nimesikia weka hapa dada atakuja kukuja
@pikanaauntzuu1466 Жыл бұрын
Yani unachumba cha nguo lkn umeshindwa kupanga nguo vizuri coz ch8mba kimekuwa km karume haipendeza mdada mrembo pangilia chumba chako manguo umefanya kufunika na Kitenge tu😅😅😅😅na ulijua wanakuja watu wafashion unajua lazima waingie ndani kuangali nguo na viatu hayo mabegi na nguo ungefungia hata store au hata chumbani kwa huyo dada wako wa kazi na hio mibeg lkn we umesambaza chumba kizima 😮😮😮cjapenda
@JUU-lw2je2 ай бұрын
@@pikanaauntzuu1466 wabongo hatujambo kwa ujuaji nina uhakika mtu akifika kwako atarudia mlangoni
@elizabethwanjiku7831 Жыл бұрын
Chumba kama ghala la mahindi jamani superstar hujui kupanga chumba😳
@khadjamhozya2 ай бұрын
Mumbea wewe
@Peace.2018 Жыл бұрын
Yaani hapo hayo macho yakiharibika utamlaumu nani?wakati Mungu kakuumba na macho yote mawili mazima
@MbarakaNgozАй бұрын
Enhe tupo weng tunapenda luludiva na Mimi pia
@tabiangonyani3526 Жыл бұрын
Wanaume huwa wanamgawia kiatu mtangazaji na wew unampa ipi mtangazaji kama mfano
@yousramutwale24632 ай бұрын
Mwaka jana kabati lako lilikua ovyo aibu nikawa naona mimi bora saivi😂
@MamumratyAthumani Жыл бұрын
ni location ya femi kwa jua kalii
@queenpeter9809 Жыл бұрын
Yeah no yenyew kabisa
@fatmakhamis3779 Жыл бұрын
Nguo zimekaa kama sokon
@Martha-gs3in Жыл бұрын
Nyumba ya femi hii mbona😅😅😅😅
@chany9950 Жыл бұрын
Ona iyo garde robe jmn kabati kabaya toka
@JackTembo-c4z2 ай бұрын
Punguza chuki ufanikiwe 😢
@nicolemweny5574 Жыл бұрын
Ako na dada and she's so disorganized 😮
@ummusalim1991 Жыл бұрын
Sijui kwa nini unaweka nguo nyingiii hivyoo jamanii wakati kuna watu hawana za kuvaa.... Kwa nn nguo kama waona huivai utoe uwape wale wanaohitaji????.... Hii tunaita israaf... Kuweka kitu kinajaza kabati tuu kuvaa huvai na kutoa hutoi😢 Sio vizury hivyooo🥹
@aggyparty2990 Жыл бұрын
Sasa atampa nani na wanavaa nguo za uchi
@ummusalim1991 Жыл бұрын
@@aggyparty2990 hakosi wa kumpa..... Ikiwa ni fupi aweza kuvaa na suruali ndefu yule ampae,hakukosekani namna kabsaa.... Ni mtu kutaka na kutotaka😊